LEMA AKASIRIKA ATINGA OFISI ZA HALMASHAURI KUDAI FOMU ZA VIAPO VYA MAWAKALA 'ACHA WANIUE HATUONDOKI!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 ноя 2024

Комментарии • 90

  • @Hemedmikole-r9e
    @Hemedmikole-r9e Час назад +5

    Duuh nchi ya kishamba sana

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 47 минут назад +2

    Kweli kabisa, wanataka kuingiza kura feki. Asante Lema, kura zimepigwa sehemu nyingi.

  • @hadijasufiani6167
    @hadijasufiani6167 Час назад +4

    CCM hawajiamini kwenye uchaguzi Mungu anaona dhuluma hiyo wakumbuke kwamba dunia tunapita kwa Mungu hakuna cheo

  • @SubiranTimo
    @SubiranTimo 2 часа назад +5

    Uwizi unawatesa ccm uwongo mnatesa nchi

  • @prochesytesha8040
    @prochesytesha8040 Час назад +3

    Upo vzr lema ila ila haya mambumbu ya tz mahoga

  • @andrewmaiga4331
    @andrewmaiga4331 Час назад +5

    Hii ni aibu kubwa.

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 Час назад +4

    CCM NI JANGA LA TAIFA YAANI NI WAOGA BALAA MIMI KESHO KURA YANGU NI YA HAPANA

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 часа назад +7

    Kumbe mafisiemu yanajua kwamba hayakubaliki sehemu zenye. Watu wanaakili. Timamu wana kubalika na misukule. Tu

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 2 часа назад +5

    Viongozi wa dini wamezungumza mambo mengi kuhusu haki ya uchaguzi tunaelekea wapi watanzania kwa uovu huu

  • @ChristineNdanu-q6c
    @ChristineNdanu-q6c Час назад +3

    Wajaribu kuiba

  • @HemedKiama
    @HemedKiama 24 минуты назад +1

    Ee Mungu kwanini usiwachukue hawa watu,maccm mbona yanatupa shida sana???!! Mungu Fanya jambo kwa hawa watu,mbona tunaongozwa na mashetani???!!

  • @AlexChawe
    @AlexChawe Час назад +3

    Huyo mkurugenzi ni mpumbavu tu

  • @harounmaarufu3241
    @harounmaarufu3241 12 минут назад

    Mungu atatenda

  • @leokamil6284
    @leokamil6284 Час назад +2

    Kwa kauli yako ya kusema wameshashindwa inamaana hamna uchaguzi wa haki mmeshapanga matokeo .Kwa hiyo mpaka saa sita usiku ndio muwape yaani washinde wakeshe kungoja .Mungu anawaona mtaacha tu hizo dhulma na mtalipwa na vizazi vyenu walafi wa madaraka

  • @maggiehiza5884
    @maggiehiza5884 Час назад +2

    Yaani mwisho wa kutoa viapo ni saa sita usiku!!! Mnachelewesha ili iweje??

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 53 минуты назад +2

    Ccm wapuuz san wakitoka hapo wanajitangza tumeshinda kwa kishindo na manguo yao ya kijan ina mana ccm hawakosei kujaza fom hv serekali hamuoni aibu?????

  • @SirajiHamis-pc1kh
    @SirajiHamis-pc1kh Час назад +4

    Yani ina umiza sanaa

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 44 минуты назад +1

    Sisi hatutashiriki. Tusije tukatenda dhambi. Fomu gani mnatowa usiku kama siyo hujuma.

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 46 минут назад +1

    Kwani ccm.wanaogopa nini uchaguzi

  • @MlawavictorWairinga
    @MlawavictorWairinga Час назад +2

    Kwann cha mwisho iwe ni Chadema na si ccm? Pana neno hapo.

  • @maikamadewa931
    @maikamadewa931 Час назад +1

    Watanzania naomba tubadilike na tuichikie uwonevu unafanywa na ccm kweli wanatudhalilisha vibaya mno 😢

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 Час назад +1

    Kesho kura ni HAPANA
    Wameengua wapinzani kura ni HAPANA

  • @dennissamora729
    @dennissamora729 42 минуты назад +1

    Huyo kenge aliyeongea mwishoni mbona sura haionekani? Eti mwisho mpaka saa sita usiku.. hamna haya wala hofu ya mungu nyie watu! Mshakuwa kama mashetani! Nyie ndio mnaong‘oaga viungo vya binadamu kwa tamaa ya madaraka

  • @mickgeofreyjoachim1580
    @mickgeofreyjoachim1580 2 часа назад +1

    Daah😭😭😭😭

  • @ZakayoDionisi
    @ZakayoDionisi Час назад +1

    Wewe ulijuaje kuwa wameshindwa kama siyo unatengeneza uwizi

  • @Hkilave
    @Hkilave Минуту назад

    Hawa ccm humanitarian zao

  • @AlfredMatemu
    @AlfredMatemu Час назад +1

    Siamin kama kuna uchaguzi niko mkoa flan hivi kesho nasikia hakuna mtu wa upinzani hata mmoja sijui naenda piga kura ya nin kama hakuna chama kingine kweli Karne hii kweli Mungu atausaidie

  • @JumaJush
    @JumaJush Час назад +1

    Wajibu wenu ni kuiba tuu mpuuzi wacha hizo mambo ya zamani tumeona hakuna haki

  • @salummohamed2689
    @salummohamed2689 2 минуты назад

    Box on muda umefika, msisubiri refa.

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi Минуту назад

    Angalieni sana viongozi mtajenga matabaka na mtu akishinda Kwa kura za kuwekewa ni hatari sana katika jamii kiti kitakuwa Cha moto utaongazaje watu ambao hawjakuchagua ? Je watakusikiliza ? Mtu wa watu hajifichi wananchi wanampenda .

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 41 минуту назад +1

    Usiku saa sita mtatekwa au mtaumizwa muwe macho saa sita mjinga gani aliye panga shughuri shughuri ziendeshwe usiku

  • @MohadiTv
    @MohadiTv 51 минуту назад

    Ndo mana mm nimeamua kuja uku china kutulia kwanza nitaona ayo tv kitakacho endelea tz

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 2 часа назад +2

    Samia aachie ngazi ma mkwewe. Hii nchi si kitanda chao. Inafikia sehemu unaweza kumkufuru Mungu. Mskonda mwenye haki mkuu wa mkoa yuko wapi? Si Mungu wa Arudha? Yaani maccm yote yaliyo na elimu, yaliyodomea sheria yote ni majinga namna hii nchi nxima? Kutoka Raisi mwenyewe, mawaziri, wanasheria nchi nzima wite ni mazezeta? Wako tsyati kutupeleka Watanganika vitani tuuane barabarani? Huyu mchengerwa wapi anakaa, anapitaje barabarani, anaenda chooni kunya? What is this. Hata wakati wa utumwa haukuwa hivi. Samia ajiuxuru sasa na di kesho. Hawa watu di wanyama wameshinda hapo na njaa. Usiku , wajinga nyie. Nani akae mpaka saa sita za udiku. Pumbavu kabisa.

  • @AbdallaMwagora-sm1rj
    @AbdallaMwagora-sm1rj Час назад +1

    Tatizo la WATANZANIA ni uoga unawaponza ndio maana Wana oneana .upuuzikama huo ingekua Kenya .dunia ingekua.

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 53 минуты назад

      Ingekuwa kenya mpaka lini kwanini tusiwe na la kwetu la kusifiwa na nchi zingine

  • @HellenNkwera
    @HellenNkwera 2 часа назад

    🎉🎉🎉

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 16 минут назад

    VIVA KOMREDI LEMA....SERIKALI YA CCM YA MH. RAIS SAMIA 'IMEUNAJISI' UCHAGUZI HUU....AIBU NA FEDHEHA KUBWA KWA RAIS BINAFSI NA CCM IKISHIRIKIANA NA VYOMBO VYA USALAMA POLISI NA USALAMA WA TAIFA.

  • @nassorally-xi6zh
    @nassorally-xi6zh Час назад +2

    Tz hatari cna dhulma tu

  • @CajerMomade
    @CajerMomade Час назад

    Lema mpolwaa na atumwana

  • @RashidiAlly-cl7fo
    @RashidiAlly-cl7fo 2 часа назад +2

    Muongo sana wewe M/Mungu akulaani kwa ubaya unaoifanya kwa dhidi ya haki halali ya kuchagua viongozi watu wanaowataka.

  • @Hamy1109
    @Hamy1109 56 минут назад

    Kwanini lakini CCM wanaharibu uchaguzi!? Kama hawataki mfumo wa vyama vingi si waende Bungeni wafute turudi kwenye mfumo wa awami wa chama kimoja🤔 Hizi figisu zote za nini kama hawapo tayari kushindana kisiasa!?

  • @ChristineNdanu-q6c
    @ChristineNdanu-q6c Час назад +1

    Keshoo watakiona

  • @ceciliamagalabajimmy4391
    @ceciliamagalabajimmy4391 40 минут назад

    Kwa hiyo vyama vikuu ndio vimepewa fomu chadema hata wakipewa usiku eti!! Mbona hamna utu nyie? Mmewaengua karibu wote, hata fomu nazo mnawasumbua!!

  • @johnsinyinza7450
    @johnsinyinza7450 38 минут назад

    Hivi polisi watapagwa tanzania yote. Sisi tunakwenda mashambani wavinga upuuzi huu hatuwezi

  • @petermollel2421
    @petermollel2421 Час назад +1

    Kama msimamizi anatoa kauli tata kama hii Kuna haja gani ya kupoteza muda kwenda kupiga kura!

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 Час назад +1

      CCM wanataka tuduse ili wapite bila kupingwa

    • @RashidAli-rn3ro
      @RashidAli-rn3ro Час назад +1

      Kapige kura ndgu yngù ni hàki yako km hakuna unaemtàka piga kuŕa ya hapana. Hakunà ukombozi laìni

  • @ChukiMjinga-jw2ql
    @ChukiMjinga-jw2ql 12 минут назад

    Hakuna kuondoka tuone mpaka asubuhi na kila anakuja hakuna kuingia na beg 🧳mpaka kieleweke

  • @justicebridge
    @justicebridge 39 минут назад

    Hiyo siyo yako ya kusema watashindwa

  • @johnwenceslausmmbaga3917
    @johnwenceslausmmbaga3917 Час назад

    Msemaji Maku

  • @philemonsnyanda9450
    @philemonsnyanda9450 Час назад

    Eti wameshindwa tayari😂

  • @nasramusaro
    @nasramusaro 56 минут назад

    CCM wahuni tu

  • @ALFREDMTUNDU
    @ALFREDMTUNDU 31 минуту назад

    Kwa Nini useme wamesha shindwa
    ? Upigaji kura SI kesho!?

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 25 минут назад

    Chama kikishiwa hoja na kukosa wapiga kura na kukosa mvuto na kushindwa uchaguzi huleta funjo tu na Akileta fujo

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 13 минут назад

    KUNA MAMILIONI YA WANA CCM KOTE NCHINI AMBAO HAWAKUBALIANI KABISA NA USHENZI HUU UNAOFANYWA NA VIONGOZI WA SERIKALI WAKISHIRIKIANA NA BAADHI WA VIONGOZI WASHENZI WA CCM.

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 10 минут назад

    MH. RAIS SAMIA NCHI 'INAKUPASUKIA MIKONONI'....GIZA NENE MBELENI.

  • @ChristineNdanu-q6c
    @ChristineNdanu-q6c Час назад +1

    Haki yeti tupewe

  • @hebronmwamwaja7660
    @hebronmwamwaja7660 20 минут назад

    Wanaogopa nini

  • @denisipaulo7785
    @denisipaulo7785 44 минуты назад

    Chama kiku ndo kinakua cha mwisho ujinga gani uyu jama anaongea nini

  • @Hkilave
    @Hkilave 3 минуты назад

    Ccm ujeuri tu mmegundua harpenden aibu yenu hii

  • @hebronmwamwaja7660
    @hebronmwamwaja7660 20 минут назад

    CCM AWAJIAMINI WAJINGA

  • @theonalyalfred8087
    @theonalyalfred8087 26 минут назад

    Unasikia hayo mjibu shida tupu

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c Час назад

    Na kama ni kivyama kwa nini ccm ndio msiwape usiku ili wawe wa mwishoo

  • @Leodimk-n5c
    @Leodimk-n5c Час назад

    Utaratibu gani huo wanatumi wa kugawa kivyama kwa nini isiwe anayefika mapema ndiye apewe?

  • @bicorugina1452
    @bicorugina1452 2 минуты назад

    Kaz ipo

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 22 минуты назад

    Ccm tumeichoka

  • @CajerMomade
    @CajerMomade Час назад

    Wewe lema ni muongo

  • @beatricelivigha4959
    @beatricelivigha4959 58 минут назад

    Mtajuwa hamjui mtapigwa na Mungu live nyie ccm ni suala la muda tu

  • @AlexChawe
    @AlexChawe Час назад +1

    Ccm wanajichoresha sana

  • @AnthonyChaula-d8l
    @AnthonyChaula-d8l Час назад

    Mahira nyinyi kwanini iwe mpaka usiku

  • @BossiLaizer
    @BossiLaizer Час назад

    Kinuke tu

  • @SALUM-l6k
    @SALUM-l6k Час назад

    Mamamambohaya.yakemeembelesiokuzuri.kwa.Taifa.watajengachuki.mitaani

  • @MohamedRashid-py7ro
    @MohamedRashid-py7ro 20 минут назад

    LEMA ANATAFUTA KUWEKWA JELA HIZO NI FUJO NA KUVUNJA SHERIA WAZI TU HATA ANALO SEMA HALIEREKI LEMA HUNA SIASA NA HAO WAFUWASI WAKE NI WAZIMA KWELI AU WESHA PEWA MADAWA

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 2 часа назад +1

    Koma wewe vyama 11 ni feki fisiemu b

  • @ExecutiveHouseKeeperElewana
    @ExecutiveHouseKeeperElewana Час назад +1

    Kwa nn mchelewe kutoa hizo fomu?? We Fala mkubwa

  • @ChristineNdanu-q6c
    @ChristineNdanu-q6c Час назад +1

    Tukinukishe mkuuu

  • @rashidmasungatv9741
    @rashidmasungatv9741 Час назад +1

    Hana hoja ya msingi mbona amna sehem ccm wanalalamika

  • @EmanueliWildausoni
    @EmanueliWildausoni 52 минуты назад

    Hv ccm unaona watu ni wajingaaaaa

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Час назад +1

    Mzee wa maegizo

    • @MlawavictorWairinga
      @MlawavictorWairinga Час назад +2

      Ina maana hapo barua za mawakala zipo ila Lema Ndiye anaigiza? Au wewe chawa.

    • @adelinelyaruu3036
      @adelinelyaruu3036 Час назад

      Mungu sikiliza vilio vya waja wako

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 Час назад

    Lema munogo sana😂