@@lulanjamd3886unafirwa kum ww nikufunze kidg tu Israel ambako ndo nchi yenu takatifu ndo taifa la kwanz kuidhinisha ushoga na ndo hufanyik maadhimisho ya dunia nzim kwaiy jifunze kua Ni wapi mashoga zaid
@@MujuniKamugisha hawa waislam njaa wa tz mawazo yao yakijinga sana utasikia wanasema Marekan mashoga wakatti hapa hapa nchin kwetu maeneo yenye ushoga niyanayokaliwa na wao huko mafia juzi watoto wamefirwa zaid ya 25 madrasa hawaoni
Kuna watu uelewa wao bado ni dhaifu sana . Sasa urusi ndio baba wa ujamaa (ukomonist) (ujamaa na kujitegemea kila MTU awe na nguvu na sio kumtegemea MTU mmoja) na marekani ndio baba wa ubepari(wakoloni) (unyonyaji wate tumtegemee yeye mkubwa tukiamka asubuhi atujamsalimia vizuli basi tunalala njaa vikwazo vinaanza) hivyo sasa urusi hahitaji kumtawala MTU mrusi anapigana zidi ya mfumo wa kibepari ama mfumo wa kimagharibi ama mfumo wa wakoloni na wanyonyaji mrusi hapiganii dini wala kabila yeye yupo katika haki za asili za binadamu na sio haki za manyangau kutoka magharibi het kuwa shoga ni haki yako mwanaume kumanina zao hawa watu wa ulaya ya magharibi (mabepari mkoloni).
@@josephkostans9128 comunist hawawezi kukusaidia kitu mfano mzuri china anamsaada gan zaid yakujilimbikizia yeye tu mbka sasa hv hatumtaki kabisa kuhusu maendeleo ni ni sisi ndo tunalazimisha mikataba mibovu tunatumia mbaka jeshi kulazimisha kusign nan wakulaumiwa sasa kuhusu ushoga kweli huonni utashi wa mtu mwenyewe maana hata kwetu wapo wamejaa tele badala tupambane na familia zetu tunakaa madirishan kutukana wengine
@@EmmyRowland-ir5ghwa ambie na wale wa upande unaopendelea wa anzishe tuone hizi siyo Enzi za Vietnam ambayo marekani tu ndo alikuwa anavamia anvyo taka nchi nyingi zimesha endelea poleni hakuna mtoto tena piga ni pige
Mashetani haohao wamegundua internet, social media unayotumia, computer na beki system ya kutuma hela.. Sasa Mbona wewe unatumia vitu vya kishetani mwenzetu?🤣 au umekuwa shetani?
Huyo president hatabiliki, hakuna hata mmoja aliyedhani angeweza kuishambulia Ukraine kwa namna ilivyokuwa unafuatilia hata Zelensk na washirika wake hawauamini kilichotokea.
Kabisa dunia ya sasa iko tofauti sana na ile ya kina Vietnam huwezi ukavamia mtu hivyo hovyo nchii nyingi zimejipanga labda Africa tu ndo hatuna nguvu kijeshi
@@HorebuKasuku-zz8cj yaah putini anajua kabsa uwezo wakuifuta marekani Kwa mabomu ya nyuklia anao Kisha anajua uwezo wa marekani kuifuta urusi kwenye uso wadunia Kwa kutumia nyuklia anao na huwa haofii kutumia nyuklia maana Alisha idhibitishia Dunia Kwa kuwatandika japani😭😭 Sasa hakuna mtu atakaye kubari Kuona hatma ya nchi yake ikitokea siku za usoni 🧐. Maana wakifanya masihara wote watabaki historia🤔 na Dunia itageuka tanuru la moto kama siyo kiyama kitawasiri🙆 Bax Dunia inaweza kupotaza watu zaidi ya nusu ya Dunia 😭😭😭 watakao fanikiwa kuishi 🤝 kalibia wote watakuwa wadhaifu Kwa miaka mingi sana🙏🙏
Wajaribu ushambiwa iyo. Nchi kubwa kuliko nchi za nato inawezekana kuwa na mabomu mengi ya nyuklia na nyuklia azalishwi sehemu moja inazalishwa mikoa tofauti tofauti by chemistry man
Hachana na mwamuko wa presha. Kama anatangaza vita vya nyuklia ni kwa sababu wengine wako nazo na wanaweza shambulia. Sasa yeye Iko tayari kwa nyuklia. Mwambie Marekani akubali
Hana mabomu zaidi. Na silaha alizonazo ni zilipendwa kwahiyo ni useless kwenye modern warfare. Hiyo ni sababu kubwa yeye kuogopa kuingia vitani na Marekani; utashindaje vita kama silaha zako zimejaa kutu? Bomba lake la gesi lilipolipuliwa hakufanya lolote, oligarchs wake wananyanganywa assets zao (nyingi ambazo ni zake Putin mwenyewe) hafanyi lolote, besti wake ambaye ni jirani yake kashasema vita hataki kwahiyo ni zero support urusi ikivamiwa na NATO, na nchi yake inaendelea kushambuliwa na nchi ndogo na bado hawezi kuwashinda. Putin ni kama kocha wa mpira anayesema ana kikosi hatari dunia nzima na hata kombe la mjini hashindi. Ukitumia common sense utaelewa kwanini anaitwa paper tiger; ni mtu anayeonekana anatisha kumbe ni voko tu.
@@Ankobioticsnakukunbusha ulimwengu wa sasa ni tofauti na 1962 ambao marekani Alivamia anavyo taka Enzi ambazo kuna nchii hazikuwa na helicopter 🚁 kwa sasa nchii nyingi zimejipata hauwezi sijakataa au kutabiri nani anaweza akashinda ila kukukumbusha tu nchii nyingi Zina maendeleo kwa sasa ya kijeshi technologia vifaa ..... so usidhani hata marekani anaweza akashinda vita kirahisi kwa nchii zilizo jipata kama ya Vietnam Enzi zile iliwachosha hadi sasa mim niko hapa marekani historia ipo kuhusu ile vita ukibisha wew ni munafki tu hamutakagi ukweli
@@HorebuKasuku-zz8cj Hujakosea kusema dunia ya leo ni tofauti. However, Urusi hawezi vita na Marekani kwa sababu resources za vita -- weapons, intelligence, personnel, skillset, and finances -- hana za kutosha. Vita vya Vietnam ni vita ambavyo Marekani ilijitoa baada ya kuona itapoteza too many resources and too much public support for nothing. Reduction ya American troops in Vietnam ilikuwa maksudi; wananchi hawakuitaka hiyo vita halafu American casualties zilianza kurushwa kwenye TV. Haikuwa kwa sababu wakulima wa mashamba ya mchele in Vietnam walikuwa na majembe yenye super powers. Troops walikuwa reduced because ultimately, the juice wasn't worth the squeeze. Huo ndio ukweli. Ndio maana gains ya vita yeyote -- be it vita vya Vietnam, Iraq, Afghanistan, proxy na Urusi -- lazima izidi consequences ya hiyo vita. Marekani hapigani vita kwa kutumia silaha tu. Modern warfare ni 50% intelligence; hakuna nchi yeyote inayoweza kushindana hapo. Information kuhusu adui yako yuko wapi at any moment, with precise coordinates, ndio kitu ambacho kinafanya propaganda ya Urusi ifeli kwenye masikio ya wengi. Jiulize kwanini Urusi hataki Ukraine iingie NATO. Pia, jiulize kwanini Urusi wamekataza watumishi wao wa serikalini kutumia vifaa na software za Marekani. Hauwezi kupigana vita na mtu anayejua location yako na mabaunsa wako masaa 24, siku 7 zote za wiki. Realistically, Urusi anaweza kabisa kumshinda Ukraine. However, the path ya huo ushindi ni kupitia mabomu ya nuclear. Urusi akimpa Marekani (and NATO) sababu za kuingilia vita directly (e.g., Urusi akitumia nuclear) then Urusi atatafunwa kama kitimoto laini. Hiyo ndio maana Putin na wasemaji wake wanatumia nguvu ya microphone kuliko nguvu ya mabomu. The second ukiwapa nchi 32 rukhsa ya kulipiza kisasi, it's over.
@Ankobiotics marekani wameshinda vita ngapi mbona mi nipo marekani na ukweli tunaujuwa kupitia wa staff wa jeshi la marekani sikiya ndugu hata marekani huwa anaepuka vita na nchii zenye nguvu tunajuwa so mi sijakataa kama marekani hamuwezi mrusi je mmarekani nae ana uwezo wa kuingia vitani na mrusi moja kwa moja bila shortcut na dunia ikawa salama?
Mama afanye kazi asisikirize wapiga debe, kuna kuna mikataba mingapi imesainiwa na mwendazake na watu hawakuhoji. Mama ameamua kuwa muwazi mnasumbua. Muacheni mama afanye kazi. Mitano tena
Propaganda tu hizo mkwara Kama wengine. Alafu tunao comment humu kama ushawahi skia juu ya Area 51 ya Marekani basi utaelew juu ya anacho kisema Putin. Alafu Africa tuamke hivi mpaka Leo mtu unampapatikia mtu ni kiasi gani inanyesha bado tuna uozo mwingi kichwani. Me naamini mzungu ni mzungu hakuna lolote wote hao
Vita ni mchez wa uongo...Russia ina mabomu ya nyuklia zaid ya hayo na bado inazalisha na hizo ni mind game tu wana silaha nying mno na za kutosha...Anasubiriw mtu ajichanganye tu
HAKUNA ANAAMINI MANENO YAKE, WAWEST WAJIANDAE TU NA ATOMS NK SABABU HAKUNA MJINGA HAPA WAKUMFANYA AJISAHAU, MAPEMA SANA KAAZA KUJITETEA HHHH ALIDHANI VITU HAVIPO SERIOUS EEE? NA USO WAKE 😉
Amepiga NATO na basha yako marekani bado huamini una kasirika na kuumia ukiwa wapi .NATO na mademu Marekani wanamuogopa Putin kinoma ndo maana kila kukicha wanapanga watakavyo mzunguka.
Kwataarifa Yako huyo jamaa hataki kuimaliza ukreni kama unavyotaka wewe anataka kuichukua ukreni kidogo kidogo ili awakomeshe mashoga , kwasababu yeye silaah anatengeneza mwenyewe kwasabu anajua ukreni atakapo ichukua ataitengeneza mwenyewe natukumbuke anapigana na ulaya nzima yeye anajua watampa silaah mpaka watachoka lakini yeye hawezi kuiacha ukreni ichukuliwe namashoga hata sikumoja
Nakupa mfano tu,unakumbuka Russia alionya juu ya Sweden na Finland ikiwa watajiunga na NATO.?alisema kitawakuta kama kilichomkuta Ukraine bt hadi leo hakuna kitu ni mikwala tu alafu tambua Ukraine sio mwanachana wa Nato ila angelikua mwanachana basi putini asingelisuthubutu katu kuingilia Ukraine,mfano ndio huo kashindwa kuivamia Finland na 🇸🇪 na tyr ni wanachama wa NATO
Unajua nuclear au mnaongea tu , nenda mkasome thermal weapon siku ikipigwa nuclear wakirushiana kwa technology ya Leo asilimia 60 mpaka 70 ya binadamu watakufa kumbuka ukiwa tz Kuna base za usa ziko Djibouti na Mombasa hivyo hata huko hamtopona mtu anaeshangilia nyuklia ni wakuogopwa ni vita dhidi ya ubinadamu satalaiti zilizopo juu ndio miongozo wa hayo makombora siku ikipigwa nyuklia ubinadamu utafutika
Nitajie rais gan duniani aliewah kuchukua helicopter ya kijeshi na kwenda nchi nyingine kushambulia wakati vipi imepamba moto zaidi ya Putin huyo mwamba aliwah kutoka na chopa peke yake na kwenda chencheniya kushambulia na kurud moscho peke yake sidhan Kama ulikuwa unajua hiyo ishu et Putin muoga😅😅😅
Urusi Hana silaha kumshinda America 🇺🇸 maana America 🇺🇸 vyake aviongeleki wala habisemeki kabisaa usa 🇺🇸 iko juu kuliko inch zote duniani hata uyo russia 🇷🇺 anaiogopa usa 🇺🇸 100%
@@Zenny89Andika kiswahili chako chote ila ukweli unaujua fika Mrusi amewatandika vibaya mno ,Hao unao waita wababe tumeshudia siraha zao zikifanyiwa maonesho Huko Moscow na hata hizo wanazo mpa za masafa marefu hazitafua dafu.Ni mkong'oto tu mpaka mjue marekani hana hadhi mda huu.
@@africanmandetraveler2847 😆😆 Jitu lenyewe linaoongea hivi hata Kenya alijafika lakini ndo anajua Urusi balaaa😆😆 Wabongo muache kudanganyana hadi mitandaoni
Sijui kwanin ila napenda sana urusi
Yaan siku nikipata pesa yakutoxha naenda kuhiji #MAKHA na nikitoka huko naenda #KREMLIN siwez kwenda kwa mashoga mim
Unamzungumzia Athuman Kapuya au??
Hujui ndg zenu wenye dini kama wengi wao Ndiyo wanafanya ujinga huo.
@@lulanjamd3886unafirwa kum ww nikufunze kidg tu Israel ambako ndo nchi yenu takatifu ndo taifa la kwanz kuidhinisha ushoga na ndo hufanyik maadhimisho ya dunia nzim kwaiy jifunze kua Ni wapi mashoga zaid
@@lulanjamd3886una maannisha nini? Ujinga ni ni nini hapo kwenda mecca au una maana gani? Hebu eleven hata kidogo.
Kuna jambo lipo waislamu hawajui kuhusu mchezo wa dunia hii
ukileta stor za urusi kunanogaje dah hii nchi nimeipenda
Mungu akulinde mkombozi wa africa
Ww ni bangi
@@africanQueeny-u7oupo na bieden
Uwepo wa urusi ni Aman kwa Dunia
Hakun mzungu anampenda mtu mweusi ote ni biashara hapo
@@BenMamadou-w9ebora hawa hawatoi misaada hili watu wafirane..kuliko wale washenzi wa Marekani
Urusi ajawah itawala Africa
Love president Putin
Kesho utasikia pastor pray, for Ukraine and urus
The president of the world.
Urusi ndo nchi iliyotabiriwa kuja kusaidizana na nchi za kiislamu kupambana na wanafki.
Alikudanganya nan nchi za kiislam hazina huo ujinga niwajuni wachache hamas na wenzie
Kwani urusi ni nchi ya kiislamu 😂😂😂 kama sio mkristo urusi huwi raisi
@@MujuniKamugisha hawa waislam njaa wa tz mawazo yao yakijinga sana utasikia wanasema Marekan mashoga wakatti hapa hapa nchin kwetu maeneo yenye ushoga niyanayokaliwa na wao huko mafia juzi watoto wamefirwa zaid ya 25 madrasa hawaoni
Kuna watu uelewa wao bado ni dhaifu sana . Sasa urusi ndio baba wa ujamaa (ukomonist) (ujamaa na kujitegemea kila MTU awe na nguvu na sio kumtegemea MTU mmoja) na marekani ndio baba wa ubepari(wakoloni) (unyonyaji wate tumtegemee yeye mkubwa tukiamka asubuhi atujamsalimia vizuli basi tunalala njaa vikwazo vinaanza) hivyo sasa urusi hahitaji kumtawala MTU mrusi anapigana zidi ya mfumo wa kibepari ama mfumo wa kimagharibi ama mfumo wa wakoloni na wanyonyaji mrusi hapiganii dini wala kabila yeye yupo katika haki za asili za binadamu na sio haki za manyangau kutoka magharibi het kuwa shoga ni haki yako mwanaume kumanina zao hawa watu wa ulaya ya magharibi (mabepari mkoloni).
@@josephkostans9128 comunist hawawezi kukusaidia kitu mfano mzuri china anamsaada gan zaid yakujilimbikizia yeye tu mbka sasa hv hatumtaki kabisa kuhusu maendeleo ni ni sisi ndo tunalazimisha mikataba mibovu tunatumia mbaka jeshi kulazimisha kusign nan wakulaumiwa sasa kuhusu ushoga kweli huonni utashi wa mtu mwenyewe maana hata kwetu wapo wamejaa tele badala tupambane na familia zetu tunakaa madirishan kutukana wengine
Nimesoma comment
Wengine mnabisha ety Putin anapiga kelele sio kelele iyo ni fact Putin ni master mind
Masta wa chooni si asubutu ajioneee u masta wake 😂
@@EmmyRowland-ir5ghwa ambie na wale wa upande unaopendelea wa anzishe tuone hizi siyo Enzi za Vietnam ambayo marekani tu ndo alikuwa anavamia anvyo taka nchi nyingi zimesha endelea poleni hakuna mtoto tena piga ni pige
Mwamba Putin🔥🔥🔥
Uraaaaaaa🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺🇷🇺
I like this man
Hizi habari Huwa nazipenda sn kutoka urus
Wajapani waliizidi Marekani wakaona watumie atomiki
Mwamba putin
Kwa maana hii inaonyesha puttin ana utu kuliko hao manyang'au wa magharibi
Utu gani, wakati anaua binadamu Ukraine 🇺🇦
@@InnocentZamkuluinaonekana wew siyo muafrica ! Mangapi mangaribi wamefanya ongea mengine usigusie hapo
@@InnocentZamkulumbona israhell na marekani wanaua binadamu husemi bwana go
Afrika hatuendele kwasababu bado tuna mabepari ya kiafri yawasaidia wa mangaribi kuchukua mali za wanyonge😢😢
Putin for life❤
Putin mkombozi wa Dunia Mungu akulinde.
Hekima nyingi sana. Maana nuclear ni hatari sana.
🇹🇿❣️🇷🇺
Putin anabusara sana hataki kuharibu Dunia ila wanamtafuta sana ,,, God is with you putin
Uyu ni RAIS wa Dunia
Yani hakuna mashetani duniani kama marekani
Kwakweli
Mashetani haohao wamegundua internet, social media unayotumia, computer na beki system ya kutuma hela.. Sasa Mbona wewe unatumia vitu vya kishetani mwenzetu?🤣 au umekuwa shetani?
@@Zenny89akili kisoda ww USA hajawah kugundua kitu USA wanaiba Technology kwa kutumia nguvu
@@Zenny89ubongo mavi
@@MfizoCrypto Embu nikuulize umesoma hadi darasa la ngapi kwanza?? Nisije nikawa nabishana na Nungayembe🤣
Nuclear sidhani kabisa. Hii bado mda wake na kwa sasa hakuna mtu atakayeweza kutupa hizo mabomu za nuclear
Huyo president hatabiliki, hakuna hata mmoja aliyedhani angeweza kuishambulia Ukraine kwa namna ilivyokuwa unafuatilia hata Zelensk na washirika wake hawauamini kilichotokea.
@@yusufismail3116 ni kweli
Ninaposikia kuhusu urusi naoatafurahasana nawezakueka bando hata elfu 10
Wanachimbana sana mikwara hawa wamba😭 kifupi hakuna nch yenye ujasiri wakuanzishe vita ya nyuklia 😡 maana unajua itakuwa kiama kwao na kwa maadui🙏
Unaongea kitu anachokiongea 😅😅😅😅
Kabisa dunia ya sasa iko tofauti sana na ile ya kina Vietnam huwezi ukavamia mtu hivyo hovyo nchii nyingi zimejipanga labda Africa tu ndo hatuna nguvu kijeshi
@@HorebuKasuku-zz8cj yaah putini anajua kabsa uwezo wakuifuta marekani Kwa mabomu ya nyuklia anao Kisha anajua uwezo wa marekani kuifuta urusi kwenye uso wadunia Kwa kutumia nyuklia anao na huwa haofii kutumia nyuklia maana Alisha idhibitishia Dunia Kwa kuwatandika japani😭😭 Sasa hakuna mtu atakaye kubari Kuona hatma ya nchi yake ikitokea siku za usoni 🧐. Maana wakifanya masihara wote watabaki historia🤔 na Dunia itageuka tanuru la moto kama siyo kiyama kitawasiri🙆 Bax Dunia inaweza kupotaza watu zaidi ya nusu ya Dunia 😭😭😭 watakao fanikiwa kuishi 🤝 kalibia wote watakuwa wadhaifu Kwa miaka mingi sana🙏🙏
Mwamba putin❤
Hapo Sawa tumekuelewa Kabisa
Putin baba lao ❤❤❤🇷🇺🇷🇺
Free Palestinian ❤❤🇵🇸🇵🇸🇰🇪
Hana utafaouti na mtu mwenye ela alafu anajitapa na kuna watu wanaela zaidi yako alafu wametulia
Pumba
Putin mtu w maana kabisa ,mashoga wote wajiandae
Hana mabomu mengi kuliko nchi nyingine ,hizo mbwembwe tuu , ,Wala mabomu ya nuclea hayahitajiki mengi ,vitisho tuu ,kwa Nini anasema kama ni kweli ?,
Wajaribu ushambiwa iyo. Nchi kubwa kuliko nchi za nato inawezekana kuwa na mabomu mengi ya nyuklia na nyuklia azalishwi sehemu moja inazalishwa mikoa tofauti tofauti by chemistry man
Hachana na mwamuko wa presha. Kama anatangaza vita vya nyuklia ni kwa sababu wengine wako nazo na wanaweza shambulia. Sasa yeye Iko tayari kwa nyuklia. Mwambie Marekani akubali
Afanye basi kweli na aache maneno itapendeza sana cause right now nikama anaongea sana kuliko matendo 😂
Athubutu aone😂😂😂
Nuclear sio Bom la kufanyia masihala
@@kwisa4899 ndio ni kweli Sasa kwanini anakaa akiongea ongea tu sindo akae kimia Basi
nyinyi ombeni mungu yasitokee urusiii anamabomuu kabla tz haijapata uhuruu amerikaa ni nnji yamiyaka 20 nyuma bado sanaa
@@chancelebishopofficial2785Aliulizwa ktk mahojiano ya wana habar, au alitaka asijibu hlo swala
Sasa kama hayo mabomu anayo mbona yupo kimya siku zote nini anachooopa c arushe kila mmoja ashinde mechi zake
Hana mabomu zaidi. Na silaha alizonazo ni zilipendwa kwahiyo ni useless kwenye modern warfare. Hiyo ni sababu kubwa yeye kuogopa kuingia vitani na Marekani; utashindaje vita kama silaha zako zimejaa kutu?
Bomba lake la gesi lilipolipuliwa hakufanya lolote, oligarchs wake wananyanganywa assets zao (nyingi ambazo ni zake Putin mwenyewe) hafanyi lolote, besti wake ambaye ni jirani yake kashasema vita hataki kwahiyo ni zero support urusi ikivamiwa na NATO, na nchi yake inaendelea kushambuliwa na nchi ndogo na bado hawezi kuwashinda. Putin ni kama kocha wa mpira anayesema ana kikosi hatari dunia nzima na hata kombe la mjini hashindi.
Ukitumia common sense utaelewa kwanini anaitwa paper tiger; ni mtu anayeonekana anatisha kumbe ni voko tu.
Ukitaka kujua uwezo wa urusi angalia anapigania ma nchi ngap pale ukrane?
@@cosmasjoshua1973 Nchi moja.
@@Ankobioticsnakukunbusha ulimwengu wa sasa ni tofauti na 1962 ambao marekani Alivamia anavyo taka Enzi ambazo kuna nchii hazikuwa na helicopter 🚁 kwa sasa nchii nyingi zimejipata hauwezi sijakataa au kutabiri nani anaweza akashinda ila kukukumbusha tu nchii nyingi Zina maendeleo kwa sasa ya kijeshi technologia vifaa ..... so usidhani hata marekani anaweza akashinda vita kirahisi kwa nchii zilizo jipata kama ya Vietnam Enzi zile iliwachosha hadi sasa mim niko hapa marekani historia ipo kuhusu ile vita ukibisha wew ni munafki tu hamutakagi ukweli
@@HorebuKasuku-zz8cj Hujakosea kusema dunia ya leo ni tofauti. However, Urusi hawezi vita na Marekani kwa sababu resources za vita -- weapons, intelligence, personnel, skillset, and finances -- hana za kutosha.
Vita vya Vietnam ni vita ambavyo Marekani ilijitoa baada ya kuona itapoteza too many resources and too much public support for nothing. Reduction ya American troops in Vietnam ilikuwa maksudi; wananchi hawakuitaka hiyo vita halafu American casualties zilianza kurushwa kwenye TV. Haikuwa kwa sababu wakulima wa mashamba ya mchele in Vietnam walikuwa na majembe yenye super powers. Troops walikuwa reduced because ultimately, the juice wasn't worth the squeeze. Huo ndio ukweli. Ndio maana gains ya vita yeyote -- be it vita vya Vietnam, Iraq, Afghanistan, proxy na Urusi -- lazima izidi consequences ya hiyo vita.
Marekani hapigani vita kwa kutumia silaha tu. Modern warfare ni 50% intelligence; hakuna nchi yeyote inayoweza kushindana hapo. Information kuhusu adui yako yuko wapi at any moment, with precise coordinates, ndio kitu ambacho kinafanya propaganda ya Urusi ifeli kwenye masikio ya wengi. Jiulize kwanini Urusi hataki Ukraine iingie NATO. Pia, jiulize kwanini Urusi wamekataza watumishi wao wa serikalini kutumia vifaa na software za Marekani. Hauwezi kupigana vita na mtu anayejua location yako na mabaunsa wako masaa 24, siku 7 zote za wiki.
Realistically, Urusi anaweza kabisa kumshinda Ukraine. However, the path ya huo ushindi ni kupitia mabomu ya nuclear. Urusi akimpa Marekani (and NATO) sababu za kuingilia vita directly (e.g., Urusi akitumia nuclear) then Urusi atatafunwa kama kitimoto laini. Hiyo ndio maana Putin na wasemaji wake wanatumia nguvu ya microphone kuliko nguvu ya mabomu. The second ukiwapa nchi 32 rukhsa ya kulipiza kisasi, it's over.
@Ankobiotics marekani wameshinda vita ngapi mbona mi nipo marekani na ukweli tunaujuwa kupitia wa staff wa jeshi la marekani sikiya ndugu hata marekani huwa anaepuka vita na nchii zenye nguvu tunajuwa so mi sijakataa kama marekani hamuwezi mrusi je mmarekani nae ana uwezo wa kuingia vitani na mrusi moja kwa moja bila shortcut na dunia ikawa salama?
Mbonamuga siupigetuone kamahujashamburiwa
Tuuweni basi
Mkombozi wa Africa ni mwaafrica peke Ila hakun mtu mweupe ataipenda Africa zaid ya biashara yao
Mama afanye kazi asisikirize wapiga debe, kuna kuna mikataba mingapi imesainiwa na mwendazake na watu hawakuhoji. Mama ameamua kuwa muwazi mnasumbua. Muacheni mama afanye kazi.
Mitano tena
Propaganda tu hizo mkwara Kama wengine. Alafu tunao comment humu kama ushawahi skia juu ya Area 51 ya Marekani basi utaelew juu ya anacho kisema Putin. Alafu Africa tuamke hivi mpaka Leo mtu unampapatikia mtu ni kiasi gani inanyesha bado tuna uozo mwingi kichwani. Me naamini mzungu ni mzungu hakuna lolote wote hao
SASA 5500 nazo wakizituma urusi nini kinachobaki? Atumie akili kwa hili mana hatobaki salama pia
Shinda nini Putin mbona una haha unajigaba wezio hawana majigambo kabisa kuhusu siraha wewe kabiana NATO Kama unasila zaidi yao✌️✌️
Vita ni mchez wa uongo...Russia ina mabomu ya nyuklia zaid ya hayo na bado inazalisha na hizo ni mind game tu wana silaha nying mno na za kutosha...Anasubiriw mtu ajichanganye tu
Na hasa yule atakayedhani pia kuwa Urusi yuko mwenyewe katika hilo😂😂.
@@davismuzahula907 haswaa ma sera yao ni moja hasa Urus, Korea Kaskazin, China na Iran
mwamba analazimisha tumuheshimu, 😃 mwemye nguvu anaonekanaga tu na mission zake na oparesheni zinavofanikiwa
Ajichanganye kwanza kutumia izonyukria hanafikri kramtu anatangaza kamayy ajalibu aone hatutamjibu kwamdomo tutamjibu kwamatenda kahabasana uyomnze
Kakusikia tayari
Kumamako unatombwa nini
Una akili ndogo Kama li Nzi la chooni
Wende uone kisicho onekana
@@YohanaMasebobabahako ndoanatombwa
Wewe babu sema yote toa mikwara yote lkn kwa marekani yale ni maji marefu umekwama
Maji gani nawewe shoga
ukapimwe akili yako mkuunduguyangu
@@g_forcemusician4242 Nyi
Nyi mnashabikia mnaijua rasia
RASIA TAIFA KUBWA .MMAREKANI MWENYEWE ANAJAMBA JAMBA
WEWE KATIKA AKIRIYAKO PUTIN ANAMCHEZO MUURIZE TRUMPS ANAMJUA AMCHEZEI
Kelele tu
Huyu Mzee tumewai kusema nyukiria siyo mungu unaweza kujaribu kulipua na isiripuke asitutishe mshamba huyu
HAKUNA ANAAMINI MANENO YAKE, WAWEST WAJIANDAE TU NA ATOMS NK SABABU HAKUNA MJINGA HAPA WAKUMFANYA AJISAHAU, MAPEMA SANA KAAZA KUJITETEA HHHH ALIDHANI VITU HAVIPO SERIOUS EEE? NA USO WAKE 😉
Kama yeye ni mbabe aipindue serikali ya Ukraine mbona ameferi? Apige hizo siraha za nyuklia aone Cha moto kitakachomkuta
Yy katangaza kuchukua vijiji muhim na kashachukua vingi bado vichache tu
Amepiga NATO na basha yako marekani bado huamini una kasirika na kuumia ukiwa wapi .NATO na mademu Marekani wanamuogopa Putin kinoma ndo maana kila kukicha wanapanga watakavyo mzunguka.
Kwataarifa Yako huyo jamaa hataki kuimaliza ukreni kama unavyotaka wewe anataka kuichukua ukreni kidogo kidogo ili awakomeshe mashoga , kwasababu yeye silaah anatengeneza mwenyewe kwasabu anajua ukreni atakapo ichukua ataitengeneza mwenyewe natukumbuke anapigana na ulaya nzima yeye anajua watampa silaah mpaka watachoka lakini yeye hawezi kuiacha ukreni ichukuliwe namashoga hata sikumoja
UYU JAMAA BINADAMU ANAJUA HUTU TWAFAUTI NA WALE MANDIGIRI MAREKANI NA WST ULAYA
Nakupa mfano tu,unakumbuka Russia alionya juu ya Sweden na Finland ikiwa watajiunga na NATO.?alisema kitawakuta kama kilichomkuta Ukraine bt hadi leo hakuna kitu ni mikwala tu alafu tambua Ukraine sio mwanachana wa Nato ila angelikua mwanachana basi putini asingelisuthubutu katu kuingilia Ukraine,mfano ndio huo kashindwa kuivamia Finland na 🇸🇪 na tyr ni wanachama wa NATO
Kuna group kubwa la wanao coment wana upungufu wa kufkiria
Vita imemshinda anatoa siri zake amna anae mtisha
Hujielewi wew kuku
Putin afe
Acha kijikanyqga ww, we mwenyewe unajua mmarekan ni nan na ana nguvu kias gan
😂😂
Anawajua Marekani vizurii saana anatafuta kiki
Muoga Toka marekani apigane vita hajawahi kutishia siraha za nyukiria
Unajua nuclear au mnaongea tu , nenda mkasome thermal weapon siku ikipigwa nuclear wakirushiana kwa technology ya Leo asilimia 60 mpaka 70 ya binadamu watakufa kumbuka ukiwa tz Kuna base za usa ziko Djibouti na Mombasa hivyo hata huko hamtopona mtu anaeshangilia nyuklia ni wakuogopwa ni vita dhidi ya ubinadamu satalaiti zilizopo juu ndio miongozo wa hayo makombora siku ikipigwa nyuklia ubinadamu utafutika
Sasa zinatengezwa za kutishia viumbe gani??
wapige tu
Uyu jamaa muoga sana watu hawajui tu. 😂😂
Hahahah eti muoga mashoga bhana
@@sultanbakary4292 hahaha Nyuma kuna hema sana
Nitajie rais gan duniani aliewah kuchukua helicopter ya kijeshi na kwenda nchi nyingine kushambulia wakati vipi imepamba moto zaidi ya Putin huyo mwamba aliwah kutoka na chopa peke yake na kwenda chencheniya kushambulia na kurud moscho peke yake sidhan Kama ulikuwa unajua hiyo ishu et Putin muoga😅😅😅
KAZI KUMSIFIA 🫣🤣🤣🤣🤣
@@mustafamasudi8093MUOGA NDIO WABABE NDO WALIVO,YANI MBWA ANAEPIGA KELELE WALA HUWA HANG‘ ati kiivo 🤣🤣🤣🤣
Putin analia.Ashajua kuwa hawezi kushinda
Hizo story tu wewe uzingue tuone
❤❤❤❤❤😂😂😂❤❤
Kila sku unasema hayohayo, si uyatumie tuone
Huyu mzee anaanza kuongopa
Urusi Hana silaha kumshinda America 🇺🇸 maana America 🇺🇸 vyake aviongeleki wala habisemeki kabisaa usa 🇺🇸 iko juu kuliko inch zote duniani hata uyo russia 🇷🇺 anaiogopa usa 🇺🇸 100%
Mbona anatuchanganya…si yeye ndo alikuwa anatishia kutumia nuclear?
Alitishia familia yako au?
Pumzika
@@africanmandetraveler2847 Hapana..ni Baba yako na Mama yako alipokuja kuomba kuchota maji na hela ya Sukari hiyo siku.
@@Zenny89Andika kiswahili chako chote ila ukweli unaujua fika Mrusi amewatandika vibaya mno ,Hao unao waita wababe tumeshudia siraha zao zikifanyiwa maonesho Huko Moscow na hata hizo wanazo mpa za masafa marefu hazitafua dafu.Ni mkong'oto tu mpaka mjue marekani hana hadhi mda huu.
@@africanmandetraveler2847 😆😆 Jitu lenyewe linaoongea hivi hata Kenya alijafika lakini ndo anajua Urusi balaaa😆😆 Wabongo muache kudanganyana hadi mitandaoni
Tumieni muokowe dunia mbona mudomoo tuu piga America ndo tukujue sasa 😅
NDO UJUE MUHAYA HUYO
Putin mchekeshaji uyo
Putin na Iran ni nchi za propaganda si wajaribu wajionee😂😂😅