Masha Allah hakika nimeamini wewe ni professor na unajua ku balance story, hakika huo ndio ukweli amabao haupatikani katika vyoyote ispokuwa Quran na hadith sahihi. Allah akulipe Kheiri nyingi sana bila hesabu
Ufunuo wa Yohana 6:7-8 [7]Na alipoifungua muhuri ya nne, nikasikia sauti ya yule mwenye uhai wa nne akisema, Njoo! And when he had opened the fourth seal, I heard the voice of the fourth beast say, Come and see. [8]Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivujivu, na yeye aliyempanda jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatana naye. Nao wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni na kwa hayawani wa nchi. And I looked, and behold a pale horse: and his name that sat on him was Death, and Hell followed with him. And power was given unto them over the fourth part of the earth, to kill with sword, and with hunger, and with death, and with the beasts of the earth.
@@nziizamydear..7271 Yohana 6 MLANGO 6 Baada ya hayo Yesu alikwenda zake ng'ambo ya Bahari ya Galilaya, nayo ndiyo ya Tiberia. 2 Na mkutano mkuu wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa. 3 Naye Yesu akakwea mlimani, akaketi huko pamoja na wanafunzi wake. 4 Na Pasaka, sikukuu ya Wayahudi, ilikuwa karibu. 5 Basi Yesu alipoinua macho yake akaona mkutano mkuu wanakuja kwake, alimwambia Filipo, Tununue wapi mikate, ili hawa wapate kula? 6 Na hilo alilinena ili kumjaribu; kwa maana alijua mwenyewe atakalotenda. Inahusiana vipi na hiyo historia?
@@nziizamydear..7271 Tafuta watu wa kuwasanganya Historia hiyo utaipata kwenye Quran na hadith Sahihi tu Yohana 6 9 Yupo hapa mtoto, yuna mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini hivi ni nini kwa watu wengi kama hawa? 10 Yesu akasema, Waketisheni watu. Na mahali pale palikuwa na majani tele. Basi watu waume wakaketi, wapata elfu tano jumla yao. 11 Basi Yesu akaitwaa ile mikate, akashukuru, akawagawia walioketi; na kadhalika katika wale samaki kwa kadiri walivyotaka. 12 Nao waliposhiba, aliwaambia wanafunzi wake, Kusanyeni vipande vilivyobaki, kisipotee cho chote. 13 Basi wakavikusanya, wakajaza vikapu kumi na viwili, vipande vya mikate mitano ya shayiri vilivyowabakia wale waliokula. Soma nimekuwekea 1 mpaka 6 Na 9 mpaka 13 ili uone uongo wako
Tuombeni mwisho mwema jaman mwenyezi mungu Ni mkubwa mwenyezi mungu Ni mwema mwenyezi mungu Ni mwenye busara mwenyezi mungu Ni mwenye hikma huruma na Ni mwingi wa lehema eh Allah atujalie mwisho ulio mwema
Kando na dini ya kiislamu na ile ya wakristu,je, tamaduni za kabila tofauti Africa,walikuwa wanajua bibilia ni nini haswa?walikuwa wanafwata Mila na tamaduni zao.Mbona tamaduni za kabila za Africa,zizipewe heshima na je mbona makabila mingi za kiafrika hawaja zingatiwa katika bibilia.Mbona tu ni waisraeli na waharabu.🤔🤔
Allah atujalie sikumoja tukutane na watu wema kama mfalme dhulkanain na mtume wetu na maswahaba zake na watu.wote wema walio tajwa kwenyee vitabu vya Allah na mitume wetuu ameen inshaAllah
Mungu ndiye mjuzi zaidi... Maarifa tunayovuna hapa yanatujaza hekima na busara tunashukuru mwenyezi Mungu kwa kukupa nafasi jamal kutonyesha na kutufunza tusiyoyajua
Subhanallah blessed kwa mafundisho mazuri kutoka ktk kitabu kitukufu ambayo hata mashekh hawapendelei kutoa mawaidha ya hawa viumbe leo nimeelewa vizuri jujja wa majujja ni viumbe wa aina gani jazakallahu khaira
Awa juja na maajuja tuponao ila awananguvu adi Sasa wanaangaika kumsumbua binadam ila binadam ana akili nyingi sikubinadam atapojisaau itatokea shida sana
Kwanza changu kilikua kimefungwa kabisa,nlianza kuwatch hizi videos last week and am addicted hila zingine zaogofya,sitamani kufa mapema hila sitamani mwisho wa dunia unipate nikiwa uhai aki
ndo ninapoipendea dini yangu ya haqqi ya uislamu yaani inakuonya na lile jambo kabla halijatokea kiukweli namshukuru mungu kwa hii neema. Alhamdulillah.
Yan bro hata kama sina usingizi nikisiza story zako mpaka nalala na pia unanipa challenge ya kusoma vitabu na kufanya utafit mwingi(i salute u bro 👍🏽👍🏽)
You are trying brother it's now more than 2 years am enjoying your channel if am not wrong and you are my favourite coz you explain with pictures which keeps your story interesting
Kuna wakati najisemeaga I wish wakati Nabii ISA ( YESU ) atakapokuja for the second time, niwe hai maana hawa watu wabishi Sana, hawajui baada ya kupaishwa Kwa Yesu waliobaki wakapotoshwa kitabu cha injili na kumgeuza nabii WA Mwenyezi Mungu kuwa Mungu wakati ni mtume mkubwa wa Allāh
Aaah proffesal Jamal ubalikiwe mungu akujalie afya njema Swali lang kuwa kabla ya juja na maajuja kufika mungu wale wajamema watachukuliwa then watalindwa na mungu baba sasa baada ya maajuja kufa mungu atashusha upepo ili ubebe watu wema maana watachukuliwa roho zao alafu wale ambao roho watabak watakuwa waovu tena apo sjaelewa maana inabidi wote ambao walichukuliw a kipindi kile si inabidi wachukuliwe wote hao watabaki wataitwaje waovu akati walibebwa na watu wema
Tanzania tunatakiwa kujivunia kuwa na watu kama hawa kwakweli huyu jamal anatoa mafunzo na mafundisho mengi mazuri mengine hata atuyajui mfano jpm alikua akitujuza tusio yafahamu nampenda sana huyu brother mungu akuweke 🙏🙏 naipenda Tanzania najivunia kuwa mtanzania
Shikamoo Jamal April,leo umenifanya niamini mm ni mpuuzi na sipendi kusoma, keep it up bro, endelea kutupa ufahamu wa mengi tusiyoyajua kwa kiwango utakachojaaliwa
asanteee kwa kutufungua akili zetu,tunaangaliaga movie za wazungu tukijua ni za kufrahisha kumbe zinatuonyesha mambo yatakayokuja eee Mungu tusaidie😭😭😭
Mashallah Allah akuongoe akupe nguvu ya kuisoma quran nakutupa faida na akupe zaid ya Ellm na akulipe kwa mafundisho upo kwenye jihhad kubwa Allah akuhifadhi akupe mwisho mwema broo
Allah tujalie mwisho mwema tufe ukiwa ujatukasilikia maana sisi wanadam ni mwadhaifu 🙆🙆🙆🙆🙆 say Aminiiiiii
Ameen Yarabb
Amiin 🙏🙏🙏
Amiiin 🙏
Allahumma Amiin ya Mujib
Allahumma aameen
Masha Allah hakika nimeamini wewe ni professor na unajua ku balance story, hakika huo ndio ukweli amabao haupatikani katika vyoyote ispokuwa Quran na hadith sahihi. Allah akulipe Kheiri nyingi sana bila hesabu
Tangu mm nipo mdogo nimeskia kuna juju sa majuju daah na sa sa ndo Napata picha mpyaaa,, daahh somo yangu umenifungua zaidi,,
Ufunuo wa Yohana 6:7-8
[7]Na alipoifungua muhuri ya nne, nikasikia sauti ya yule mwenye uhai wa nne akisema, Njoo!
And when he had opened the fourth seal, I heard the voice of the fourth beast say, Come and see.
[8]Nikaona, na tazama, farasi wa rangi ya kijivujivu, na yeye aliyempanda jina lake ni Mauti, na Kuzimu akafuatana naye. Nao wakapewa mamlaka juu ya robo ya nchi, waue kwa upanga na kwa njaa na kwa tauni na kwa hayawani wa nchi.
And I looked, and behold a pale horse: and his name that sat on him was Death, and Hell followed with him. And power was given unto them over the fourth part of the earth, to kill with sword, and with hunger, and with death, and with the beasts of the earth.
@@nziizamydear..7271
Yohana 6
MLANGO 6
Baada ya hayo Yesu alikwenda zake ng'ambo ya Bahari ya Galilaya, nayo ndiyo ya Tiberia.
2 Na mkutano mkuu wakamfuata, kwa sababu waliziona ishara alizowafanyia wagonjwa.
3 Naye Yesu akakwea mlimani, akaketi huko pamoja na wanafunzi wake.
4 Na Pasaka, sikukuu ya Wayahudi, ilikuwa karibu.
5 Basi Yesu alipoinua macho yake akaona mkutano mkuu wanakuja kwake, alimwambia Filipo, Tununue wapi mikate, ili hawa wapate kula?
6 Na hilo alilinena ili kumjaribu; kwa maana alijua mwenyewe atakalotenda.
Inahusiana vipi na hiyo historia?
@@nziizamydear..7271
Tafuta watu wa kuwasanganya Historia hiyo utaipata kwenye Quran na hadith Sahihi tu
Yohana 6
9 Yupo hapa mtoto, yuna mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini hivi ni nini kwa watu wengi kama hawa?
10 Yesu akasema, Waketisheni watu. Na mahali pale palikuwa na majani tele. Basi watu waume wakaketi, wapata elfu tano jumla yao.
11 Basi Yesu akaitwaa ile mikate, akashukuru, akawagawia walioketi; na kadhalika katika wale samaki kwa kadiri walivyotaka.
12 Nao waliposhiba, aliwaambia wanafunzi wake, Kusanyeni vipande vilivyobaki, kisipotee cho chote.
13 Basi wakavikusanya, wakajaza vikapu kumi na viwili, vipande vya mikate mitano ya shayiri vilivyowabakia wale waliokula.
Soma nimekuwekea 1 mpaka 6
Na 9 mpaka 13 ili uone uongo wako
Quran tukufu imekiri "Yesu ndiye mwokozi" nimeshangazwa !!
Tuombeni mwisho mwema jaman mwenyezi mungu Ni mkubwa mwenyezi mungu Ni mwema mwenyezi mungu Ni mwenye busara mwenyezi mungu Ni mwenye hikma huruma na Ni mwingi wa lehema eh Allah atujalie mwisho ulio mwema
Ameen Yarabb
@sheshi beshi nom
Kando na dini ya kiislamu na ile ya wakristu,je, tamaduni za kabila tofauti Africa,walikuwa wanajua bibilia ni nini haswa?walikuwa wanafwata Mila na tamaduni zao.Mbona tamaduni za kabila za Africa,zizipewe heshima na je mbona makabila mingi za kiafrika hawaja zingatiwa katika bibilia.Mbona tu ni waisraeli na waharabu.🤔🤔
Ya Allah tuepushe ss na vizaz vyetu juu fitna za Hawa viumbe
Allahma amiiin yaraab.
Hii sasa too much proffesor unajua mpala unakera😂😂😂😂😂🔥🔥
Like za kutosha kwa Jamal
WCB Ni 666 wanaposti Sana ma story ya ki 😈😈
Hajasema huo ukuta wa chuma na Shaba ya kueyeyuka ni wapi mkuu mpaka leo upo? Kasema nahisi katupiga 😅
@@smukelomkhize9775acha ujinga wewe
Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema maana sisis wanadam cio chochote 🤲🙏
Allah atujalie sikumoja tukutane na watu wema kama mfalme dhulkanain na mtume wetu na maswahaba zake na watu.wote wema walio tajwa kwenyee vitabu vya Allah na mitume wetuu ameen inshaAllah
Aamin
@@khatybzuber9744 muamini Yesu kristo ndio njia ya kweli na uzima
@@adamfundikira742 how??
Inshaallah
@@adamfundikira742
Kwan yesu NI Mungu?
nafurah sana kuona ww ni muislam Alhamdulilah
I love prophet Muhammad عليه افضل الصلاة والسلام
sote twampenda yaani ulimwengu mzima
Mungu ndiye mjuzi zaidi...
Maarifa tunayovuna hapa yanatujaza hekima na busara tunashukuru mwenyezi Mungu kwa kukupa nafasi jamal kutonyesha na kutufunza tusiyoyajua
Mashallah Jamal Mustafa Allah akuhifadhi na akulinde na kila aina ya maadui ❤️👏
Amyn yarabiaalamyn🤲
@@hanifatanzania7258 االهم أمين يا رباعلمين 👏
…
Allah yaalam
@sheshi beshi so kwa
From 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 Kenya...I love you professor you are the best person in scripting I long to work with you...respect bro
Same me from Kenya love professor
ALLAH ( s w ) ni mkubwa jaman, tucjisahau 🌍 tunapita 2.
Jamal you're the best mpaka kutuonesha illustrations you're the best bro.....from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Subhanallah blessed kwa mafundisho mazuri kutoka ktk kitabu kitukufu ambayo hata mashekh hawapendelei kutoa mawaidha ya hawa viumbe leo nimeelewa vizuri jujja wa majujja ni viumbe wa aina gani jazakallahu khaira
Your the best professor of all time
Prof. Documentary zako nazitazama sana ila Hii Umeiandaa kwa ufundi mkubwaa. Mashaallah.
Allah aqbar Allah atujalie tuwe kati ya waja wema mungu akuzidishie elimu asikari wa mtume profesior
Allah aqbar Allah atujaalie mwisho ulio mwema In shaa Allah 🙏🏻 hakika m/mungu ni mwenye hekma na ujuzi mkubwa Allahumma Amina shukrani jamari
Well
Thanks
MashaAllah
❤ exactly 💯
Reciete Quran because it speaks of all these am proud of being a muslim alhamudulillah🙏❤️✨
Gog and Magog the enemies of isreal in the bible.
He's copying from top christian researcher about the return of nephilm, dead sea scroll and great tribulation of earth in the bible.
God of the bible hates syncretism mixing of religion with other religions.
In the book of Enoch the prophet of God who never died who spoke with God tayari alisha simulia haya
Awa juja na maajuja tuponao ila awananguvu adi Sasa wanaangaika kumsumbua binadam ila binadam ana akili nyingi sikubinadam atapojisaau itatokea shida sana
Mashaalah.hakika we ni professor ALLAH akuhifadhi pia akupe nehema zaid na azidi kukupa maarifa Zaid
Allahuma amiin🙏🙏🙏🙏🙏
Sometimes I fill like joining Islam the best religion ever it brings you closer to God
Yer come on it
your feeling is actually true just welcom in this religion welcom bro
@@aymanmaganga9315 Islam is beautiful
Welcome Brother.... Welcome Brother
Why not
The best story book sclipt ever🙏🙏
Wow love from kenya...I love story book...a day cannot end without watching...I even repeat the past videos.....mashallaaaaa.....
ggg
Pia mimi ai can't spend a day without going through story book
vp
Me too @@walaa_wakisure
Thank u profess jamali Allah akulinde milele dunia na akhera ❤🙏😥🙏🙏
Kaka mungu akupe maisha malefu
Allah atupe mwisho mwema!!!🙏🙏
Mashaallah
Mungu akulinde na mahasid walio nyuma yako na uzidi kiwa mwema siki zote ewe JAMAL MUSTAFA🙏🙏
Prof. Unatupa elimu sana na kutufungua vichwa vyetu tulio wengi maana ni kama vimefungwa hivi,thanx a lot bro.🙏👏👍
Kwanza changu kilikua kimefungwa kabisa,nlianza kuwatch hizi videos last week and am addicted hila zingine zaogofya,sitamani kufa mapema hila sitamani mwisho wa dunia unipate nikiwa uhai aki
I will keep praying for everyone in this world 🌍 to reach in heaven peacefully and be together forever with our lord father 😭😭🙏🙏
Mashallah
no pray for your self and no that everyone will carry on his/her on cross
ndo ninapoipendea dini yangu ya haqqi ya uislamu yaani inakuonya na lile jambo kabla halijatokea kiukweli namshukuru mungu kwa hii neema. Alhamdulillah.
Professor jamal unatupa darasa safi kabisa respect 👍🏻🤲🏻
Dunia ni nzur ila mengi yapo mbele allh atujaliye mwisho mwema inshallah USISAHAU KUSALI
Mashallah bro izi Hadith atakama Una stress zinaisha zote Alhamdulilah Allah akuongoze kaka
Yan bro hata kama sina usingizi nikisiza story zako mpaka nalala na pia unanipa challenge ya kusoma vitabu na kufanya utafit mwingi(i salute u bro 👍🏽👍🏽)
Mashallah 😍 mwenyezimungu ampe huyu jamal maisha marefu hpa duniani na kesho akhera 💔💞💞💞💘
Ya Habib..umeeeleza kiundani sn mashallah...kana kwamba hata masheikh wetu hawaelezi km hivi... Allah akuzidishie ujuzi
I'm Christian namshukuru mungu yesu ndiye mkombozi wangu wala sujuti nimeipenda story hii
Nabii issa
wewe acha kukufuru ,,Yesu sio Mungu bali ni mtume yan mjumbe wa mwenyezimungu
Hapana wokovu pasipo Yesu,, lakin mwisho u karibu nao ndio utaweka bayana mambo yote
You are trying brother it's now more than 2 years am enjoying your channel if am not wrong and you are my favourite coz you explain with pictures which keeps your story interesting
Kaka jamal Mungu akulinde kwa kutufunz mambo yaliyosahihi ktk maisha yetu ya dunia na akhera
Tunajifunza mengi jmn duniani Mungu awaweke muwe hai muendelee kutufahamisha tusivyovijua🙏
Best story teller ever seen in TZ. From beginning with Mtiga Abdalah to Jamal April
The Great story teller of all time Jamal Mustafa
Wajina @professor mashallah Allah akulipe yaliyo kheri,,umeifikish dini katk namn kila ambae Ni muislam au si muislmu anakuelewa
Kuna wakati najisemeaga I wish wakati Nabii ISA ( YESU ) atakapokuja for the second time, niwe hai maana hawa watu wabishi Sana, hawajui baada ya kupaishwa Kwa Yesu waliobaki wakapotoshwa kitabu cha injili na kumgeuza nabii WA Mwenyezi Mungu kuwa Mungu wakati ni mtume mkubwa wa Allāh
Mashaallah Allah akuzidishie elimu zaid ya hii amiin
Waliogundua kuwa movie ya “The tomorrow war” story wamepata kwenye Quran na inahusu hawa viumbe gonga likes hapa
Wenzetu hawajui hii mbilinge ebu some I QUR'AN ACHENI kuwekewa mipaka
@@allykeita704 bigup
Ni kweli kabisa sikupingi
Gog and Magog in the bible
@@allykeita704 wenzio kina nan na ni mipaka ipi niliyoweka apo
Allah atupe mwisho mwema 🙏🏾🖤🕊️
Mungu tupe mwisho mwema 🙏
This man Jamal April is the best of all time
Tumekwishaaa ee mwenyezi mungu uturehemu sisi sote na dunia mzima 🧎🏾🙏
Tutawapga saivi tuna mabomu
Ewe Mwenyezi Mungu 🤲, naomba utupe mwisho mwema
Vraiment ce extraordinaire frère Jamal avril 🤝
Que Dieu vous accorde des plus encore 👏
@from-DRC
Il est un bon professeur de nous ,n'est ce pas?
Bana mboka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🙏🙏🙏🙏 fier de vous mes frères
@@premiershalox sana
Naomba allah ajaalie nikufe kabla ya hawa juja maajuja hawajaja.
rehma na amani zimfikie juu yake kipenzi chetu (mtume wetu muhammad) lakini pia hata wakristo😁 wanamkubali kuwa yeye ni mtume wa mwenyezi mungu.
Maa Shaa Allah, Mwenyezi Mungu akuzidishie........IN SHAA ALLAH
Maa shaa Allah hizi ndio hdithi tunazozitka ili tuijue dini ytu y kislam,Allah akuongoze msimuliaj wet jamal april😘😘😘
Allaah atustiri Waja wake yapo mambo mengi ya kutisha sana mwisho wa dunia ikiwemo hilo la kuja maajuja wa juja
Watching from Nairobi kenya 🇰🇪
Na shukuru Allah kwa kunifanya kuwa muislamu Asante profesa
Mashaalah abdala mungu aku zidishie
Mashaallah professor may Allah keep you Amin 🙏
Mashallah professsor may allah keep you
Napenda the story book na warch nkiwa tarbo eldoret
Aaah proffesal Jamal ubalikiwe mungu akujalie afya njema
Swali lang kuwa kabla ya juja na maajuja kufika mungu wale wajamema watachukuliwa then watalindwa na mungu baba sasa baada ya maajuja kufa mungu atashusha upepo ili ubebe watu wema maana watachukuliwa roho zao alafu wale ambao roho watabak watakuwa waovu tena apo sjaelewa maana inabidi wote ambao walichukuliw a kipindi kile si inabidi wachukuliwe wote hao watabaki wataitwaje waovu akati walibebwa na watu wema
Issa bin mariam ndio komesha wa juji wa maujiji wa hapa dunian 👍👍👍
Ata aliejenga ukuta ni noma maan miaka na miaka sas
Masha Allah❤❤❤
Jamal April, my brother from another mother. You've Born on the face of the earth by the will of Living God for the specific reason.
Great teachings based on juja na mahajuja🔥🔥🔥 Allah huyalam out endtimes
my dream is one day to became like you every time i watch you i get inspired
Qur-ani haijaacha kitu, alhamdulillah namshukuru Alla kariim kwa kunijaalia kua muislam mm na wazazi wangu Ameen
Tanzania tunatakiwa kujivunia kuwa na watu kama hawa kwakweli huyu jamal anatoa mafunzo na mafundisho mengi mazuri mengine hata atuyajui mfano jpm alikua akitujuza tusio yafahamu nampenda sana huyu brother mungu akuweke 🙏🙏 naipenda Tanzania najivunia kuwa mtanzania
Shikamoo Jamal April,leo umenifanya niamini mm ni mpuuzi na sipendi kusoma, keep it up bro, endelea kutupa ufahamu wa mengi tusiyoyajua kwa kiwango utakachojaaliwa
De same lke me bro
SKILIZA SIMULIZI ZENYE MAFUNZO
GUSA LINKS
ruclips.net/channel/UCwN5IS4c7oh5lu_k01rAXUA
usiache ku SUBSCRIBE
Ngoja niwapigie sim masela wangu juja wa ajuja.niwakumbushe.inshahhall
Astaghafir
The best professor ever ....God bless you
Mashaallah shkran jamal🙏🏽🌙
Twabaan shk Jamal Allah akujazi akupe umri nafraha daima Amin nko Kenya Yuko pamoja bro.
Hakika Jamal you the best story teller we are proud of you here in Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Talented guy God bless you Mr Jamal April
He's copying from top christian researcher on RUclips and and also he is lying
I realy love story book more especially this one love from uganda😍😍😍😍😍
Ka unapenda wasafi ebu gonga like ka zote apa❤️❤️
Asante professor kwa simulizi safi
Subhana llah umetakasika mola wangu
Allah atujaalie mwisho mwema inshallah 🙏
Mashallah JazzakAllah Kheir
Brother Jamaal you are an extra-ordinary🔥🔥🔥
All the best my Bro Islam is the true religion of the world
asanteee kwa kutufungua akili zetu,tunaangaliaga movie za wazungu tukijua ni za kufrahisha kumbe zinatuonyesha mambo yatakayokuja eee Mungu tusaidie😭😭😭
True
Allah akujaalie umli mrefu na afya njema ndugu yetu uzid kutuelimisha tusiejua
Jumanne shukrani kwa kusikiliza maoni ya watazamaji Leo umeleta story mpya kabisa big up
Subhanna'Allah, Allah Akbar mwenyezi mungu ni mkubwa anauwezo wa kila kitu
Hawawezi kufanya kazi giza likiingia na hapo wanasahau kusema Inshaallah…
Woow maashallah Allah akujarie ndgu
The best channel ever🇹🇿
Jamar Tunaomba siku moja uje na Story ya Huo ukuta wa China 🙏🏿
Yaallah tujalie mwisho mwema
Mashallah Allah akuongoe akupe nguvu ya kuisoma quran nakutupa faida na akupe zaid ya Ellm na akulipe kwa mafundisho upo kwenye jihhad kubwa Allah akuhifadhi akupe mwisho mwema broo
Siku njema tunaianza na story book....,,🌅👏
Mashallah uko vizur kaka tunajifunza mengi sana kupitia simulizi zako
Your the best professor of all time,keep it up
ماشاء الله أحسنت يا جمال
Chercher nous l'histoire de prophète qui a beaucoup subir 😭
Mungu akupe ujasiri Jamaal.