Ninachoona hapa wamependeza sana,na huwa watu wanapokuwa na matukio kama haya kila mmoja ana hisia zake wapendwa,mwingine akifurahi sana anazungumza hata bila kutulia,tuwaombee wapo safi sana,maisha yao hayo wayaanze na Mungu.
Sema kusema we mweupe wengine weusi unakosea you're not Arabs wala mungu, labda ingekuwa albino ndio ungetakiwa kusema hivyo ila hapo wapi weupe tena hata make up hawajapaka wala mkorogo, usijisifu sana
Mumy usione raha kuchezewa ngoma hapo na ujue kumpa mauno na kumtunz mume wako ndan akirudi sharty unukie na kumvalia mume vitu vya amsha amsha, na ujue kuchekesha ya watu sio unaambiwa unaanza kumnunia mume ndan ys nyumb haipende
Mungu nisaidie sintapenda mtoto Wangu wakiume aongee kama huyu mtangazaji....Amen...!!!Hear my prayers dear Lord...
Jonas Elias hahahaha kwann
Hahahaha
Safi sana dada zawadi nzuri mno afu mmenoga kweli Mungu awe nanyi
Hahahahhaa huyu bwana harusi atakuwa ni last born 😂😂😂😂maana watoto wa mwisho kulia lia ndo zao
Hahahahahaha
Hahahaha kwelieee! Mbona mm siliilii?
Hahaha
Ninachoona hapa wamependeza sana,na huwa watu wanapokuwa na matukio kama haya kila mmoja ana hisia zake wapendwa,mwingine akifurahi sana anazungumza hata bila kutulia,tuwaombee wapo safi sana,maisha yao hayo wayaanze na Mungu.
Mimi ni mweupe sana na wanao nizunguka ni weusi Haaaaaaaaaaaa 😂😂😂😂dada yangu kama umejariwa ni Bahati yako sio ujigambe
Abel Baraka kwakweli kaniboa kwel chefuuuu
Eti watu wanaomzunguka ni weusi khaaaa we dada kwa weupe gani labda lol😂😂😂
Ahaaah.ndo hapo
Kama umesikia biharusi akisema yeye ni mweupe sana lkn watu walikuja kwenye harusi ni weusi tujuane hapa😂
Duuuhhh bibi harus mcharo balaa 😀😀😀😀😀😀😀😀😀
H Alajmi mcharo kawa mtamu
@@jescajulius8023 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 yaliyopo yanafurahish
H Alajmi ,hahahaaha sana t
queen gee nini maana ya mcharo
@@utaani1 ni mtu mapepe mapepe yaan hajatulia
Kama umekuja ku watch hiyo part ya machozi skip adi 3:54🏃♀️🏃♀️
Bettie Joy -Mtoto Wa Mama thank yu
😁😀😀 machozi yamenitoka pia 😥
Skipping right away
@@josperjacobsfit2433 😂😂😂😂👊👊👊
Ahsante umenirahisishia kaz
Masha'allah kapendeza Sana bii harusi Allah awadumishe
Hongera bi harusi mtarajiwa hakika umependezaaah
Eti watu walionizunguka ni weusi😂😂😂😂🤭🤭
Pendeza sana
Uyu analia hivi jaman nimeowa mrembo nitaibiwa tyuuu hahahaha
Mbavu zangu mie
mama mzazi wa biharusi kwakweli hakika unahofu yamungu maana unaongea kwabusara sana. mungu aibariki ndoa yabinti yako. mependeza sana.
Ukimkumbuka pilipili alivyolia siku yake na filomena gonga like twende pamoja
Naipenda nguo ya bibi Harusi,jameni naweza nikaipataje??
Hahahahahaha mwanaume wa dar huyo kaz kulialia
Hongeren sana mungu akaitunze ndoa yenu kwa mikono yake
Mbarikiwe Sana mungu azidi kuwabariki 😍😘 😘
Huyu mama anaongea kwa hekima Sana.. Mungu awatangulie mkigombana mkumbuke zawadi ya bibilia
Tunaoanza na kusoma comment b4 watching tujuane
Kwakwel tupo weng🤣🤣
Pendeza sana binti.
Mama wa bibi harus uko poa sana nimekupenda bureeeee
Wahaya tuko vzr
hahahaaaaaaaa amemkumbuka dem wke wa zaman
Jen Joseph 😂🤔🙆
Jen joseph😂😂😂😂😂
@@sumaiyaabdallah8808 🏃🏃🏃
makeup ya bb arusi iko smart pk nimetamn😍
Bi haruc mzuri sana
Nice
Mwanaume wa Dar analia machozi😂😂😂
Vichipsi vinawasumbua vichwani
Jacob Keleman 😄😄😄😄😄😂
Ha ha ha ha
Biharusi mcharuko ,bwana ametulia hadi raha punguza kucharuka maana biharusi hapendezi kucharuka kama hivyo.
Mama uko vizuri pamoja na mtoto wako
Mwanaume haliag bana!!
Wanaume wa dar shkamon, baba mmoja mama mmoja 🤭😂😂😂🤣🤣🤣
Ongets
😅
Pendeza mdada
Unalia tena
Hizi bible huwaga tunazingua xn sidhan km tunazisomaga...hahaaaa
Anafanana na Lulu
Sasa kalia nini yaani mi sijaeleeeeee
Naona kama mwanamke mkubwa kuliko Mume ndo maana Mume analia
Martha mungu anakuonab😀😀😀😀
Hujatazama vzr,,,,,
Martha Gabriel ww mchokozi
Martha Gabriel mke akiwa Mkubwa kuna shida gani.km wenyewe wamependana
Z😀😀
Mwakasenge mahubili
hahahaaaa jamaa analiaaa vidume vingine naweza vichapa makofi ujue
Bwana harusi usikie bwana
Bibie mzuri aisee wacha tu atoe chozi
Huyu demu mjanjA kuliko jamaa atakuwa anachepuka afu jamaA analia tu
Usimuwazie mwenzio mabayaaa
Hahahaaa
Unajililisha ,ngoja mziki unakuja ndani ,atapoanza kupigwa mashine inje ndio utalia vizuri
mama uko mwaaaaah ongera
Mmmhhh umeteleza kidogo kusema wewe mweupe sijui wengine weusi mmfyuuu kwani wew mwarabu au mhindi chaàaa ngachoka
Huyo ni chotara my dear
@@innocenciahmwombella3100 haya mae lugha tatizo
Yewomiii
woiiiii
Lucy Mcharo haswaaaa
Kwa weupe gan ulionao dyadya
jaman wahaya tupo vzur....
Mpo vizr na nn??
Mom she is very cute like her daughter it's nice day real ntaman kuolwa
Husna Beiby hahahaah walio kweny ndoa wataman kutoka ata leo mamy
kuolewa ni shida sn mamii furaha iyo ni ya muda mfupi tu
Husna ndoa heshima wala usitishwe kama watokaji mbona zama za magu hawatoki tena wanakamatia kwa wazee wa miba , utaolewa insha Allah, MTU chake bwana
Husna John ndy kuolewa ni heshima lkn kuna shida zake mmmmh
usipokubali kumsujudia mwanaume unaachika asubuh t lkn ukikubal kusujudia utadum
bwana Harus mshamba .
Wamependezana
yaan wanawake wa sikuiz, unajikuta tu umeoa kumbe hukua hata nawazo
Kwann
😂😂
Lia baba
Biharusi anaejiita mweupe hata mm pia ni mweupe huyo aoni ndani sura yenyewe mbovu amenikera kujiita mweupe nyoko
Asanteee kaniboa pia
Amekukosea nn sasa au ndo wv
kweli wanaume wa dar
Mnh ety watu wanaonizunguka weus kwahy mm nivae nguo ya rangi ili waonekane... fyuuuuu mnanimalizia MB
😂😂😂😂
Bibi harus mcharuko unaikata miuno hatar.
bi HARUC heshima haipo tu hana hata haya
Hujj
Sipendi Interview ya kuchanganya kizungu mie... ivi mnafikili kuwa wote wenye Mb ni wazungu???
Wambie hao Wapumbavu wana kera sana
Hahaaaaaahaaa umenichekesha
😆😆😆 umenifrahisha
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
nyimbo hii nzuri Zuhair Yea ni mamake,mzr sn
Aka kadada kanaonkna kajanja kwel 😂😂😂
Safi sana..pendeza mnoo
jmn yawezakuwa anaria kwafurahhaa eee jmnsimchezoo kufikiaaatuahii jmn
Nyie wenye matus, acheni kwan ukikaa kimya utapungua nn
Cjapenda kuxema wengne weusi akat wapo wamekuzid weupe
Kabisa mamy
Msenge kweli unaweupe gani 🙄🙄
mama anamacho ya kurembua cjui enzi za ubinti wake
Ww unaangalia macho 2 badala ya kuangalia nguo
Rey Bony Baba yupo wapi
Yaaani ww kaka kama silaha ya ndoa yako kama kichwa cha familia itakuwa ni machozi basi utapata tabu saaaan
Zz1962
Huyo dada mzur kwakweli
Mambo ya wahaya
Taarabuzazaman
huuuuuuuuu adi chozi
Mashallah, kapendeza 😜😍😍
Mama biharus mkarim sana
Vice versa
nasoma comments tu 😂😂😂😂😂 nafurahi sanaaaa
Mama bibi harusi mrembo
Dayana Moses
Aaa, ni mshenzi tu
daaah huu kweli ni umama
Mmh mama mkwe nae ni mrembooo
😃😃😃😃mwaume Alii wewe
Umenikwaza kusema ww ni mweupe kuliko watu wanaokuzunguka!hao unaowaita weus ndo wamefanikisha hrc yako.
Waooooh
mama mzuri mno
si anaiga kulia hata pasipo lilika
Jmn
umependeza
Sema kusema we mweupe wengine weusi unakosea you're not Arabs wala mungu, labda ingekuwa albino ndio ungetakiwa kusema hivyo ila hapo wapi weupe tena hata make up hawajapaka wala mkorogo, usijisifu sana
Husna John haswaaaaa
Mary Michael wakishapaka mkorogo wa Dubai basi
Hapo hata mm nmeshangaa kidogo
Yeye mwenyewe mweusi hasa
angejua nataman kuwa mweus bas tu rangi za dukan hizi cna jinsi
Bi harusi kazidisha ucharuko
Kumbe vya watu kulia bado vipo? Mmependeza sana
Heeeh we dada sio kwa kujiachia uko chefuu ukumbi mzm unauliza ww umeboa na ww sio mweupe wa sifa kiasi icho apo umetereza
Mwanaume huyu duuh
Congratulations
Una weupe gani?kwani wewe no mzungu yani unachekesha mbona wewe ni wakaida
Hovyo
😁😁😁😁
Kwani weupe sio wakawaida????....Dada angu acha wivu bhana
Zahal Jamal ni mweupe jamani sasa ukimuangalia unaonaje??
Zahal Jamal ahhaa
videos
Habari, gusa Picha yangu upande Wa kushoto Kisha bofya Subscribe.
Asante
Mtoto wakiume kulia ivo jmn c umama uo
Mtoto jojo
Mumy usione raha kuchezewa ngoma hapo na ujue kumpa mauno na kumtunz mume wako ndan akirudi sharty unukie na kumvalia mume vitu vya amsha amsha, na ujue kuchekesha ya watu sio unaambiwa unaanza kumnunia mume ndan ys nyumb haipende
Tupo smart hatotuangusha
nimempenda mama wa bi harusi . ni mama nzuri, binti huyu amwangalie mama yake atavuna mengi mazuri zaidi kutoka kwa mama.
Zuu Said humoni huyo Dada kama anambruza mwanaume