DAWAH NDANI YA KITUO CHA POLISI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 187

  • @minhajsahal4467
    @minhajsahal4467 2 года назад +6

    Ramadan kuria walahi nakupenda kwa ajili ya Allah.
    Mungu akubariki na akuzidishie elimu, akulipe hapa Dunia na akhera pia.
    Alhamdulillah ni'matul Islam 🤲

    • @maslahNoor
      @maslahNoor 10 месяцев назад

      NAMI pia❤❤❤❤❤

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 года назад +2

    Shukran kwa kuleta hiyo Program.. Sheikh Ramadhan nadhani tunaposema kumswalia Mtume, ni vyema tujue kwamba tumetumia neno la Kiarabu. Hili neno hubadilika maana kwa kutengemea haruf jarr inayofuata. Kwa hivyo, Swalla alaa Ar Rasuul kwa Kiswahili ni kusema alimuombea Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam. Kwa hivyo, ili wasiojua kiarabu na utaratibu wake wasitatizike ni vyema, tuwaambie kuhusu kumuombea Mtume, rehma na amani badala ya kuwaacha bila kuwa waxizi kuhusu nini tunachomaanisha kwa kusema Kumswalia Mtume, Swalla Allahu alayhi wa sallam.

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 2 года назад +3

    Walaikum Salaam Wa Rahma Tullahi Wa Barakat, Masha Allah, kazi nzuri mwalimu wetu Ramadhan, Allah azidi kukupa nguvu, afya njema, akuzidishie elmu na akupe amani na subra pamoja na familia yako Allah Ummah Amiin

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 2 года назад +6

    Mashaallah jazzakallah khairan Allah akuzidishie ilmu zaidi na afya njema shekh wetu 🤲🤲

  • @kaderbakshamin2345
    @kaderbakshamin2345 2 года назад +6

    Slkm! Shkh kuria unafanya kazi kubwa sana na kwa utulivu sana allah akupe subra atakulipa duniani na akhera amiin

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 года назад +3

    Mwenyezi Mungu hataki watu wajitungie njia zao za kumuabudu. Ndio sababu amewatuma Mitume wawaelimishe watu wajue vile Muumbaji anataka aabudiwe.

  • @spodo1044
    @spodo1044 2 года назад +7

    This is very good Sheikh it will eliminate stereotyping Muslims especially by the police as they will understand that Islam is totally prohibiting any form violence and intolerance.

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 года назад +3

    Maashallah tabarakallah Allah azidi kuwapa Afya kwa uwezo wake 🤲

  • @bahatikenia39
    @bahatikenia39 2 года назад +5

    Mashaalah mafundisho mazuri Allah azidi kuwaongoza kueleza njia ya haqi iliyonyooka inshaalah allahuma ameen

  • @AbdallahHussein-fr4zv
    @AbdallahHussein-fr4zv Год назад

    😢😢😢😢😢😢nimeufanyia nini uislamu wangu mimi nitajibu nini Allah mimi daah sobhana Allah

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 года назад +25

    Hakika hakuna mwenyenguvu kuliko maneno ya Allah,sheikh angeenda hapo na maneno ya mitaani basi kusingekuwa na upole wa aina hiyo kwa polisi,Ametakasika Allah

  • @rayhanrashid3928
    @rayhanrashid3928 2 года назад +11

    Maashaa Allah Tabarakallah our sheikh...Barakallau kheir kwa kazi njema

  • @mojambili637
    @mojambili637 2 года назад +5

    Kenya mko vizuri

  • @husseingabo5497
    @husseingabo5497 2 года назад +2

    Mashallah nakupata vizuri in daresalam city pande za kariakoo

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 2 года назад +3

    Waalaykum Salaam Warhamatullah Wabarakatuh....Maasha Allah..Hakika mmejitoa kwa dhati kuutangaza Uislam.ALLAH afanye daa,wa hii iwe ni asbabu ya kukutana na kipenzi chetu Muhammad Swala llahu Alayhi Wasalaam.

  • @babauna3458
    @babauna3458 2 года назад +4

    Mashaallah shekh Ramadhani kuria , maneno mazuri kabisaa kwa polisi wetu.

  • @mwanakombokalamu7009
    @mwanakombokalamu7009 2 года назад +2

    Mashallah Allah akuzidishie mrefu ustadh Ramadhan

  • @ramazecha8862
    @ramazecha8862 2 года назад +1

    Mashallah shekh Ramadan kurya kwa kzi nzuri unayoifanya

  • @jumakumala1337
    @jumakumala1337 2 года назад +4

    Ma asha ALLAH , sheikh Ramadhani kurya ALLAH akulipe kheir leo Duniani na kesho kheir kwa kazi unayoifanya , na Dua tunakuombea ALLAH akulinde kwa kila hatua na kila unapo ingia kufikisha maneno la ALLAH

    • @mwanamtotosaid702
      @mwanamtotosaid702 2 года назад

      Aamin 🤲

    • @rizikiali328
      @rizikiali328 2 года назад

      Mashallah sheikh Ramadhan Allah akupe umri mrefu na ujasiri kweli wewe kazi unayo ifanya ni ya mtume na maswabaha mungu akulipe kheri

    • @hanifatanzania7258
      @hanifatanzania7258 2 года назад

      Amyn

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 2 года назад +2

    Masha Allah sheikh Ramadan kwa kuwaelimisha police na watu wengine wamjue Allah subhana wataala

  • @ummunadhira6928
    @ummunadhira6928 Год назад +1

    ALLAH AKUPENI WEPESI AAMIYN

  • @MohammedOmar-wt3vg
    @MohammedOmar-wt3vg 2 года назад +4

    Jamaani support kwa daawah

  • @musanike3079
    @musanike3079 2 года назад +2

    Mabruk Rama and the Team

  • @fridahmulongo2697
    @fridahmulongo2697 2 года назад +2

    Mashallah sheikh Ramadhan kazi nzuri sna

  • @mrok284
    @mrok284 2 года назад +1

    Allah tujaalie sisi na shekhe Ramadhan Kuria ikhlasi Zaidi na atuepushe na ria katika kazi ya daawa.

  • @fumoshee2524
    @fumoshee2524 2 года назад

    Wallahy mr rama YOU HV NAILED IT...ndani ya police daawa💪mungu akuhifadhi na akujaalie wingi wa ilmu akuwezeshe kuwaonesha njia hao marafiki zetu wacristo mpaka waine haqq na Allah akujaalie IKHLASW kwa hayo unao yafanya na Allah awe pamoja nawe mpaka akuingize peponi...INNALLAHA MAÀNA

  • @salminabuhudhaifa4273
    @salminabuhudhaifa4273 2 года назад +2

    TABARAKA ALLA. ALLAH BAARIK

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 2 года назад

    Masha Allah Allah awajalie wajiunge na Dini ya HAKI ! INSHA ALLAH ALLAH AWAONGOZE WAPATE UKWELI NA WAACHE KUDHULIMU WATU ! WAJUWE SOTE KWA ALLAH HAKUNA MKUMBWA KUSHINDA MWENGINE ! KARIBU KWA USILAMU MPATE KUONGOKA AMIN AMIN

  • @nasseralmaqbali6317
    @nasseralmaqbali6317 2 года назад +2

    Maashaallah Allah awazidishie kila la kheri

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 2 года назад +2

    Mashallah mm naipenda hii chanel kwasababu unauthubutu ALLAH akuzidishieni ujasiri

  • @HassanAli-eq8ko
    @HassanAli-eq8ko 2 года назад +2

    Asalam alaykum warahamatullah wabarakatuh shukuran ust ramadhan mola akuhifadh inshaallah jazakumllah kheir daawaah mpaka kiama

  • @faridahussein4962
    @faridahussein4962 2 года назад +9

    Salaam aleikum warahmatullah wabarakatu MashaAllah watu wa Kenya very polite

    • @husna34562
      @husna34562 2 года назад

      Waalykum msalam waramatullah wabarakatu

  • @hassanomary9825
    @hassanomary9825 Год назад

    Shkh Allah akupe wepesi ktk Daawa

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 Год назад +3

    MASHAALLAH ALLAH AKUPE NGUVU YA KUENDELEZA DAWAH NYIMBO inaITWA KWETU PAZURI NIME PAKUMBUKA EMBASADA

  • @samxx411
    @samxx411 2 года назад +3

    Sheha Ramadhan hii tamu sana ni mazungumzo huku kwetu tunasema ni ya kiutuuzima kabisa na kuelewana na kuelimishana kwa kutaka kuelewa. tunaingoja part 2 inshallah na Mungu akupe nguvu kufikisha neno la Mungu mahala popote kwa idhini yake

  • @musaguga
    @musaguga 2 года назад +6

    Shekh kuria, tunaomba kiswahili wengine tunafuatilia tukiwa Tanzania, kingereza hatujui

  • @hidayacollege4725
    @hidayacollege4725 Год назад

    mashaa Allah may Allah grant you ease and jannah inshaallah

  • @hassanadam3007
    @hassanadam3007 2 года назад +1

    Masha Allah masheikh Wetu Allah awalipie jaza

  • @fatumjumaa5563
    @fatumjumaa5563 2 года назад

    Mashaallah kazi nzuri Allah atawalipa kila la kheri

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 2 года назад

    Sheikh MaashaAllah wewe ndo wajua kweli da'awa, acha wale wengine, kuna watu wanaogopa

  • @yakobomkristo872
    @yakobomkristo872 Год назад +2

    Mathayo 23:15 Ole wenu waandishi na Mafarisayo, wanafiki! Kwa kuwa mnazunguka katika bahari na nchi kavu ili kumfanya mtu mmoja kuwa mwongofu; na akiisha kufanyika, mnamfanya kuwa mwana wa jehanum mara mbili zaidi kuliko ninyi wenyewe.👉Maafande Wa Kikristo Chukueni Tahadhari Hiyo.

    • @MgishaBoaz
      @MgishaBoaz 8 месяцев назад

      Wanena vema. Maana waislam wanamkiri yesu kwa midomo tu ila roho zao ziko mbali nae. Waislam nawapenda ila nauchukia uisilam kuliko kinyesi

  • @aminaabood2898
    @aminaabood2898 2 года назад

    Mashallah Allah akuhifadh sheikh ramadhan. Allah akupe Umri mrefu akuondoshee nahusuda

  • @spodo1044
    @spodo1044 2 года назад +7

    Special thanks to the OCS for giving you permission to engage his officers in a mature and respectful discussion.

  • @athumanishabani2558
    @athumanishabani2558 Год назад

    Mashaallah mashaallah ma ofisa nime wa penda kwa ukarimu wao

  • @fauabuu8609
    @fauabuu8609 Год назад

    Mungu akubariki mwalim

  • @fatmasalad3235
    @fatmasalad3235 Год назад

    Masha Allah Mungu azidi kuwalinda Na kuwafanya watu kujua ukweli

  • @saadahassan3562
    @saadahassan3562 10 месяцев назад

    Mashaallah Allah akupe Janna napenda Sana Chanel yako

  • @maherzain615
    @maherzain615 2 года назад +3

    MashaAllah sheikh Ramadan access all the area. Allah is with you

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 2 года назад +3

    Masha Allah

  • @zuwenaothman
    @zuwenaothman Год назад

    Masha Allah tabaraka lillah

  • @omarijuma1524
    @omarijuma1524 Год назад

    Mashala sheikh

  • @shurlaally1686
    @shurlaally1686 2 года назад +2

    Maashallah Allah

  • @fadumarage2682
    @fadumarage2682 2 года назад +1

    Allah Awaongoze inshaala,

  • @josemu870
    @josemu870 5 месяцев назад

    Kwa neema ya uislamu barikiweni sana sana

  • @HassanMohamed-jw5kl
    @HassanMohamed-jw5kl 2 года назад

    Masha'allah unafanya kazi nzuri sana ustadh

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 2 года назад +5

    MASHA ALLAH police Leo huogopi kichapo hapo shekhe wetu 😂😂

  • @m.d.zo.6296
    @m.d.zo.6296 2 года назад

    sheikh allah akujaalie maisha mema na kila kheri inshaallah

  • @ianhassan1116
    @ianhassan1116 2 года назад +2

    Masha Allah masha Allah

  • @fatmamsiliwa8485
    @fatmamsiliwa8485 2 года назад +4

    Police wametulia kama maji mtungini hapana chezea mungu

    • @adamhashim3352
      @adamhashim3352 Год назад

      Unajua ukifanya daawa shetani hukimbia mbali 😂

  • @JumaMuhamad-j1v
    @JumaMuhamad-j1v Год назад

    Mashallah Mashallah ❤

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 2 года назад +3

    Assalam alleykum. Baraqa'Allahu Fiykum Bro.... Wa'Allahy HII NI MWISHO WA MAWAZO🤣🤣🤣🤣🤣
    WEWE KIDUME HATARI KATIKA LANGO

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 года назад +2

    Mashallah Allah 💕

  • @mhadhara-reloaded
    @mhadhara-reloaded 2 года назад

    MASHALLAH BRO KURIA JAZZAKALLAHU KHEIR

  • @oromiyaajittu7188
    @oromiyaajittu7188 2 года назад +2

    Mashallah ♥️

  • @saudahassan6667
    @saudahassan6667 2 года назад +2

    Mashaallah mashaallah

  • @azzocirty306
    @azzocirty306 2 года назад +2

    Maashaallah,,, PA polici kutabasam

  • @SautiDarsaTv
    @SautiDarsaTv 2 года назад +5

    MashaAllah

  • @mangeraalbert7982
    @mangeraalbert7982 2 года назад +4

    Mashallah

    • @yunusramadhan2546
      @yunusramadhan2546 2 года назад +1

      Mashaallah baakallahu fiika Allah akulipe zaid nazaid inshaallah

  • @aminaoman8418
    @aminaoman8418 2 года назад +2

    Assalamu alagkum mashallah

  • @tangaoldtv1067
    @tangaoldtv1067 Год назад +1

    Sasa huo ndio mdahalo mashaallah

  • @ramadhanirashidi1821
    @ramadhanirashidi1821 2 года назад

    Shekhe mungu akulinde

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 2 года назад

    Sheikh umenifuraisha sana

  • @lastkinglastking3326
    @lastkinglastking3326 Год назад +1

    Kwa hio mnataka police nao wajisalimishe 😂😂😂 ila kwa Mungu
    Kaka Ramadhan Allah Akulipe meema

  • @zumrantorez8570
    @zumrantorez8570 2 года назад +2

    MASHA ALLAH

  • @MohammedOmar-wt3vg
    @MohammedOmar-wt3vg 2 года назад +2

    الله اكبر

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 2 года назад

    MashaAllah ustadhi umenifanya ni cheke

  • @amsodewiz4901
    @amsodewiz4901 Год назад

    Barakallah

  • @lovemwantiti8130
    @lovemwantiti8130 2 года назад +8

    🏃🏃🏃🏃ustadh Ramadhan umetisha leo eti mbele atawale Hahaha.umenifanya nisilim leo.

  • @maimunamselemo8427
    @maimunamselemo8427 2 года назад

    MashaAllah TabarakaAllah

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 2 года назад +2

    MASHALLAH ALLAH AKUIFADHI USTADHI WETU

  • @shukranjazzakhaallahukheir1897
    @shukranjazzakhaallahukheir1897 2 года назад

    MashaAllah tabarakaAllahu

  • @alimuhamed1830
    @alimuhamed1830 Год назад

    Mashallah sema police wakenya wanajielewa kama kwetu tz wangesema unaleta dini katka serekali

  • @mussakilo4916
    @mussakilo4916 2 года назад +3

    Asalam aleikum sheh ramadhani hii ina pat 2?

  • @HamisiAthumani-yu6hw
    @HamisiAthumani-yu6hw Год назад

    Assalam allaikum Shekhe Ramadhan mi naitw Abdallah Ayoub Swalehe in mwislamu nina miaka 29 sasa naomba kua mwanafunzi wako nitangaze din mpaka mauti yang nyumbani kwetu ni Tanga na sins elimu kubwa ya dini yangu naomba uniruhusu nijiunge na wewe niwe mwanafunzi woko katika daawa.

  • @allymbaruku6930
    @allymbaruku6930 2 года назад

    Ma sha ALLAH

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 2 года назад +1

    Pia ni muhimu tujue Mtume Isa (Yesu) aliswali. Katika vitendo vya Swalah kuna KUSUJUDU. Kule kusema nyumba ya Swalah maana yake mahali pa kusujudu. MASJID (,Kwa kiswahili Msikiti).

  • @عبداللهباحميد-ن4ق
    @عبداللهباحميد-ن4ق 2 года назад

    Na Toa Shukraan Sana Kwa Maofisaa Wa Polisi Kwa Ukaribishaji Mzuurii Kwa Utulivu Na Amani IN SHA ALLAH Wajue Dini Ya Haki Kma Alivyosema Uko Na Open Maind

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 года назад +1

    Ambia afande Jamal awachapie dawaa

  • @naimamohammad8870
    @naimamohammad8870 2 года назад

    Asalam Alaykum warahamatulilah wabarakatuh

  • @muktar1474
    @muktar1474 2 года назад

    Huyu polisi amenichekesha kabisa

  • @aliyahya5785
    @aliyahya5785 2 года назад

    Shekh Ramadhan. ... hahahahah mbele mbele watawale. Hatar kubwa

    • @asiahamis7893
      @asiahamis7893 Год назад

      Ndugu yang umeniacha nicheke pekeang subhannallah mtihan mkubwa

  • @adrisshagi1255
    @adrisshagi1255 5 месяцев назад

    Quran or Islam we have chapter call. Suratul nisa means chapter of women no another religion have chapter like that means they have respect

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 Год назад

    Wasabato 🤦🏾‍♂️

  • @danielmasunu5851
    @danielmasunu5851 2 года назад

    Dini ya kupusu jiwe Makkah sijawahi kuona upangani kama uislamu

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 года назад +2

    MashaAllah.
    Huyu Wecliff ana pinga Biblia sana! Ukisha sikia Mkristo ana sema 'Lakini', basi asha PINGA!
    ' WA ISRAEL' wa 1948, ni WAZUNGU walio teka Palestina Nyara, un 1948, na kui patia jina au TITLE la Nabi YAKUB la 'Izrael'!!
    Na Hawa WAZUNGU walio teka Palestina, walu anzisha JUDAISM in 1769AD, BA'ADA wao kuu edite tge KING JAMES BIBLE!
    Kwa hivyo, hawa WAZUNGU SIO UZAA wa YAKUB, au WA YAHUDI!
    Hawa ni 'WA Israel'!
    Wa YAHUDI ni 'WANA WA Izrael'
    Do you see the difference?
    So, please TAFAUTESHENI!
    Group ya Wazungu ni 'WA'.
    WaYAHUDI ni 'WANA WA'

  • @Sal.0
    @Sal.0 2 года назад +2

    HUYU Wecliff ni Mrongo sana!
    Ali sema :"i am open minded'', BUT he is opposite.
    He also makes his own things up, that are NOT in the Bible!
    My Wecliff,OPEN your MIND, and the truth shall free you!
    STOP being argumentative like a typical SIAYA person!
    Huyu Wecliffe ni kichwa Maji!
    He is REPEATING the Lies that the Western Media has been spreadung about Islam!
    The other Policeman, HE is Open Minded!
    Wecliffe, learn from the PC!

  • @fadumarage2682
    @fadumarage2682 2 года назад +1

    hata ulaya tuna kusikia,

  • @kiswahili_mangat
    @kiswahili_mangat 2 года назад

    Yesu hajawa Mwislamu ng'o, koma kusema uongo na kupoteza watoto wa Mungu aliyehai! Kabla ya huyo mohamed "blablabla" hapakuwa na uislamu. Hamna ushahidi wo wote kwa hayo unayosema. Yesu ni Massiah Mwana wa Mungu.

  • @saidlindukwa6288
    @saidlindukwa6288 2 года назад

    Wakristu wasishangae yesu kuzaliwa bila baba.Adam alikua hana baba wala mama je ni mtt wa mungu? Hawa ana baba mama hana mbona hawashangai?

  • @fatmasuleiman1104
    @fatmasuleiman1104 2 года назад

    Mm nataka kuuliza kitu mfano ww ni muislam alafu ukawa unaenda kanisani lakin c kwa ajili ya ibada hapana ni kwa ajili ya kutaka kujua wao ibada zao wanafanya vip na ukataka kujua ukweli je ni Dhambi?

    • @mohamedimohamedi8933
      @mohamedimohamedi8933 2 года назад

      Allah anajua nia zetu ibada ya kiislam is the best

    • @Stavanger-cr3ee
      @Stavanger-cr3ee 2 года назад

      Dada yangu Fatma, hivi kweli uliwahi kutamani kuingia MAHABUSU ili ujue Mahabusu anaishi vipi???