Mashaallah time aqaz qaswida zake zinakuwa na mafunzo ndani yake nimeipenda aqaz kutoka moyoni na namshkuru sana ali hamad studio instrumental mzur ya qasweda AMALI NJEMA ndio msingi wa maisha yako
Bado nikuwa kazi zenu chuo chenu der wenu nayakubali hady Hagar hongera MWALIM JUMA bin Fakky Kiongozi ww simba kweli hatuna zaidy yako Zanzibar kaka ally bin Ahmad hufananishwi na mtu Tanzania wajuwa zaidy wajuwao hingereni San aqaz juu daima
Gedu ndugu yangu unapaswa kua na maamuzi magumu kwa namna yeyote ile hili jambo halifai na unajua so pls pls pls naamini ukiamua ww kuacha kupga ilo dubwana naamini utaokoa saaana vijana wanapotea na hizi ngoma Na baya zaid kuliko yote kulinasibisha na dini haifai ngoma ndugu yng haifaiiiiiiiiiiiiiiii
Mzee fanya yako na mm niachie ya kwangu, sitaki kupangiwa namna ya kuishi, sijawahi kukufata nikakuongoza maisha, anaejua haramu na halali ni mungu, na Sio wewe.
Wengi hatuupendi ukweli tufanye njema amali wasia wetu twawaapa tuacheni na mziki na tuwewniw waumini mziki ni haramu na huo ndio ukweli imesema Quran enyi ndugu wa Aqaz mziki tuuwacheni
Ndugu Waislam tumeandaa group letu la wattsap hilo grup linahusika na kutumwa qaswida mbali mbali kwa anae hitaji grup anitafte kwa kupitia namba 0772379025
Ndugu Waislam tumeandaa group letu la wattsap hilo grup linahusika na kutumwa qaswida mbali mbali kwa anae hitaji grup anitafte kwa kupitia namba 0772379025
Naona kimya ...itabidi nirejee tu kusikiliza
Nyinyi wote wawili mko vizuri sana na sauti zenu nzuri Allah amewapa kipaji kikubwa mnooo mashaallah mashaallah ❤❤❤❤
Mashaallah Juma faki qaswida hii inamafunzo mema inshaallah mola akuzidishie mema yke amiin
Mashaallah mola azid kuwapa Hyo fasaha za ktoa qaswida Tamu Tamu zilizo pea wadamu vnye vya kuishi Na waislama wenzao inshaallah
Ipo vzr mashaallah Allah awazidishie vipaji vyenu inshaallah
Hongera qadiria mnatamba nimemic Sanaa ust,jumaaa faki by 2ma pemba
Mashaallah time aqaz qaswida zake zinakuwa na mafunzo ndani yake nimeipenda aqaz kutoka moyoni na namshkuru sana ali hamad studio instrumental mzur ya qasweda AMALI NJEMA
ndio msingi wa maisha yako
Mashaallah Jumaa Allah akupe nin tenaaaaaaa
Bado nikuwa kazi zenu chuo chenu der wenu nayakubali hady Hagar hongera MWALIM JUMA bin Fakky Kiongozi ww simba kweli hatuna zaidy yako Zanzibar kaka ally bin Ahmad hufananishwi na mtu Tanzania wajuwa zaidy wajuwao hingereni San aqaz juu daima
Mashaallah ust juma fakki & fakkih mbarouk Allah awahifadhi mutupe mafunzo
Mashaallah mashaallah mashaallah❤❤❤❤
Aqz ni moto wa kuotea mbali, dahh hii kali sna jamani
Mashaallah aqaz na wapenda sana from kenya
hii vedio si nzuri kuliko ile
Ahsanteni raisi wa aqaz na makamo wako sheikh juma na sheikh fak
mashaallah mjngu ajaalie ujumbe ufike mmefanyaka kaz wallah mungu atawajaaz kila kheri
Hii qaswida ninzur hatar, dahh aqz nyinyi muachiwe tu, hajakosea alosema juma fakk hodari wa kusoma
aqaz ni 🔥🔥🔥allah awazidishie vipaji muzidi kutuelimisha
bismillah mashallah hongern aqaz na asnten kwa qaswida nzr Allah awafanyie wepec ktk kaz zenu
Mashaallah fakkih mbarouk na juma fakkih..
Wallah imegonga nyoyo
Masha Allah kaswida pambe
dah! hii ndo qaswida mshaallah imetulia iko poa
Tena kuliko
mashallaaah ❤❤❤
kazi safi kabisa
Gud kiongoz fakky and Juma 💯
Aqaz on 🔥
Ma shaa Allah shukran jazayenu kwa Alhmdulillah in shaa Allah 👌😇☝️
Gedu ndugu yangu unapaswa kua na maamuzi magumu kwa namna yeyote ile hili jambo halifai na unajua so pls pls pls naamini ukiamua ww kuacha kupga ilo dubwana naamini utaokoa saaana vijana wanapotea na hizi ngoma
Na baya zaid kuliko yote kulinasibisha na dini haifai ngoma ndugu yng haifaiiiiiiiiiiiiiiii
Mzee fanya yako na mm niachie ya kwangu, sitaki kupangiwa namna ya kuishi, sijawahi kukufata nikakuongoza maisha, anaejua haramu na halali ni mungu, na Sio wewe.
Yassir Salum mmmmh hii ndo dunia
Mashaallah hawana kibaya hawa watu
Ujumbe mzur sana
Best ❤❤❤❤
Shukran ostz fkky uko vzr sana
mamb
Amina shaban
Wanajitahidi mashaallah
Mash allah
Mashllah
Safii sanaa
Hong Era ust juma by Mudy from jufe filam production
qswida nzuri mashallah
Mashawah
Asant she juma
Nakubli kaz
Wengi hatuupendi ukweli tufanye njema amali wasia wetu twawaapa tuacheni na mziki na tuwewniw waumini mziki ni haramu na huo ndio ukweli imesema Quran enyi ndugu wa Aqaz mziki tuuwacheni
Wewe skiliza unachopenda hujalizimishwa kusikiliza hizi za kwetu
team aqaz cjawah jutia
Hata mm Abdul razaq
Omi naona umeliona hilo kuwa hawana mpizani
Mashaaallah
Juma fakhi malim
mashaallah
Nkbl sn vijana