BIASHARA GANI INAFAA || AZABOI , MZEE SHAYO, MTUMISHI OBAMA na TX DULLAH

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 фев 2025

Комментарии • 96

  • @norahmunisi
    @norahmunisi 8 дней назад +1

    Uwiiii😂😂 unaweza angalia mkate dukani usitamani kuung'ata😂😂 mtaniua kwa kucheka🤣
    Dullah io 10M bora aongeze unga🙌😂

  • @mybrain8940
    @mybrain8940 24 дня назад +1

    It's nice style of comedy I loved it .! every one is trying to be stupid than the other it's dope

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 5 месяцев назад +6

    Hii kamati naipenda mno 😂😂❤😂😂😂😂😂

  • @DanielChaula
    @DanielChaula 5 месяцев назад +3

    kuwekeza kazi sana😂😂😂

  • @SamuelMwangu-t5h
    @SamuelMwangu-t5h 5 месяцев назад +19

    Hawa jamaa wanakula ugali na mboga gani???😂😂

  • @luchiusmwijage2863
    @luchiusmwijage2863 5 месяцев назад +3

    😅😅 hapo wanachokufundisha ni kwamba mipango yako ibaki kuwa yakwako tu, binadamu hataki kuona mafanikio ya mwenzake

  • @Josamjosam8
    @Josamjosam8 5 месяцев назад +4

    Mtumishi we biashara zote ulisha fAnya😂😂😂😂we ni mnoma sana

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 4 месяца назад +1

    Mtumishi anauliza ipo ndani au bank😂😂😂😂

  • @jumannejoseph8986
    @jumannejoseph8986 5 месяцев назад

    😂😂😂upendo shingonii

  • @Moonlight-m7l4h
    @Moonlight-m7l4h 4 месяца назад

    Hahahaha Ila hawa wamekazana hasa Aza Boy biashara ziko nyingi... Ila kumpa mawazo ya biashara aaaaaah 😂😂😂😂😂

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 5 месяцев назад +1

    Mwagie laaanaa huyo😂😂😂😂😂

  • @denniskirahi1900
    @denniskirahi1900 4 месяца назад +1

    Milioni kumi tuu umeanza kumkaba 😂😂😂ukimuua je

  • @davismcharless5880
    @davismcharless5880 5 месяцев назад

    Done done 😂😂😂😂😂 muoneshe umtishe.... liana Ina vidonda

  • @sailantjoseph7411
    @sailantjoseph7411 4 месяца назад

    Robert Khan, J.j.Thompson, John Stanley, Nyakabere Kasonoji, Nyambura Kufakunoga, Magwela Kanyimpelele

  • @chrissameri465
    @chrissameri465 5 месяцев назад +1

    Dulla hajala ugali na bado anasisitiza unga wa milioni 10 uongezwe😂😂😂😂

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 5 месяцев назад +2

    Hapa wameyakuza kikomedi, ila hizi mambo zipo sana, kuna watu kila unachotaka kufanya kina kasoro na ukianza kukifanya wanaanza kupambana kifeli, seriously kabisa

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 5 месяцев назад +1

      Exactly 💯 unaambiwa ukiamua kufanya jambo lako punguza sana kuomba ushauri kwa kila mtu yani utapewa maneno ya kukutisha ili ufeli na kukata tamaaa na ndio maana wanasema biashara zipo nyingi Sana za kufanya ila awataki kutaja😂

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 4 месяца назад

    😂😂😂😂 akanunuwe unga wa million 10

  • @donaldmgunda4970
    @donaldmgunda4970 3 месяца назад

    Hiyo milion kumi itakuuuuuwaaaa😂😂😂

  • @FrankSamson-r6s
    @FrankSamson-r6s 5 месяцев назад +1

    Msenge anakula afu anasema asialibiwe swaumu😂😂😂😂

  • @gabapentin8070
    @gabapentin8070 4 месяца назад

    😂😂😂😂😂et au kama una mavi😂

  • @protaspessa8615
    @protaspessa8615 5 месяцев назад

    Mpo vzr sana 😂😂

  • @Mnyatucomedytz
    @Mnyatucomedytz 4 месяца назад

    Nom san

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 5 месяцев назад +1

    Hii kamati walahi nyie sio watu wazuri😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 5 месяцев назад

      Wana kamati wana kataa biashara ya kilimo apo wakati huo ugali wao mkubwa wanao kula pia imetokana na kilimo, Hii nchi akuna biashara ya mtu moja kwamba ukifungua Ndio inalipa Sana hao wanamkatisha tamaa bure apunguze kuomba ushauri Sana hao wanawivu tuu😄😄

  • @stevenchami26
    @stevenchami26 5 месяцев назад +1

    Milioni kumi kaongeze unga tusonge ugali😂😂😂😂😂

  • @Awoshy
    @Awoshy 5 месяцев назад +2

    Dullah alivyochoka😂😂😂😂

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 5 месяцев назад +2

      😂😂😂😂utadhania kilitajwa kitu kibaya 😂😂😂

    • @Awoshy
      @Awoshy 5 месяцев назад +1

      @@zahraabdul9652 😂😂😂

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 5 месяцев назад +1

      😂😂😂

  • @LizybethBarnaba
    @LizybethBarnaba 5 месяцев назад +1

    jaman nyie mnaona mboga kwel au n mm tuu sion vzr😂😂😂😅😅😅

  • @kelvincosmas1925
    @kelvincosmas1925 15 дней назад

    Agriculture 😂😂

  • @AldridgeSalome-e4e
    @AldridgeSalome-e4e 4 месяца назад

    Anderson Jennifer Taylor Laura Jackson Mark

  • @HousmanTim-m8j
    @HousmanTim-m8j 4 месяца назад

    Martin Timothy Jackson Jason Williams Robert

  • @alsonmbwana8031
    @alsonmbwana8031 5 месяцев назад +2

    mnatisha sana aisee watu hatuna mbavu huku tafuteni mchongo mwingine kama huu mtuletee

  • @zephaniasirikwa7495
    @zephaniasirikwa7495 Месяц назад

    Uzeni bangi kwa wingi.

  • @yasinlijumba8051
    @yasinlijumba8051 4 месяца назад

    Na kama anamavi akanye😅😅😅

  • @mahubirins3921
    @mahubirins3921 5 месяцев назад

    Upendo😂😂 utakauwa😂

  • @sheyowilliam992
    @sheyowilliam992 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Hawa jamaa daaaa

  • @selemanisaidiahmadisaadi1456
    @selemanisaidiahmadisaadi1456 5 месяцев назад +1

    😂😂😂😂😂 eti rahana unayo wewe miaka yote

  • @JacklineBedatus
    @JacklineBedatus 5 месяцев назад

    Kama una mavi nenda ukanyeeeee😂😂😂

  • @m2pc
    @m2pc 4 месяца назад

    ntawatukana nyie mbwa😂😂😂😂

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 5 месяцев назад

    Magari yanappatia ajali show room.

  • @Josamjosam8
    @Josamjosam8 5 месяцев назад +1

    Hapo kwenye ng'ombe hata mm ckushauli 😅

  • @JustineHaule
    @JustineHaule 5 месяцев назад

    Dulla anategea kula😅😅

  • @tadeonkonya1656
    @tadeonkonya1656 5 месяцев назад

    Hawa wajomba wote haziwatoshi...😂😂😂😂

  • @mayayadeo
    @mayayadeo 5 месяцев назад

    mtumishiiii

  • @finiaskalist747
    @finiaskalist747 5 месяцев назад

    😂😂😂au kama una mavi nenda ukanye

  • @IllahRashid
    @IllahRashid 5 месяцев назад

    Kwan Mboga ipo wapi😂😂😂

  • @yohanajackson4160
    @yohanajackson4160 5 месяцев назад

    Ng'ombe anafuga ng'ombe 😂😂😂

  • @Jacklinejohn7
    @Jacklinejohn7 5 месяцев назад

    Kamati ya roho mbaya nyie😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @BravoMartin-pr8ln
    @BravoMartin-pr8ln 5 месяцев назад

    😂😂mtumish kila kaz kafany

  • @nyalyotosultan964
    @nyalyotosultan964 5 месяцев назад

    Kama una mavi uwende akanye😅😅😅

  • @bilid4128
    @bilid4128 5 месяцев назад

    😂😂😂😂 hiyo hela unayo hapo

  • @DanielKashuliza
    @DanielKashuliza 5 месяцев назад

    😂hapo mwishoni.

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 4 месяца назад

    😁😁🤣🤣🤣

  • @josephlemi8084
    @josephlemi8084 5 месяцев назад

    Labda aennde lwanda akalime hii naniii 🚬 wanaruhus😅

  • @HamisiKhalid
    @HamisiKhalid 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @b12chomolla62
    @b12chomolla62 5 месяцев назад +1

    Kula bwana unaongea huku unakula utakuja ujinyee

  • @AlAslanTV1
    @AlAslanTV1 5 месяцев назад

    wanakaula kilicho limwaaa alafu wanakat kilimo 😃 😀 😄

  • @MalinoKadwame-u1c
    @MalinoKadwame-u1c 5 месяцев назад +2

    Akuna ushauli apo ila mnatisha

  • @wavinonoclassic1274
    @wavinonoclassic1274 5 месяцев назад

    yaan mnasema biashara ziko nying tu halaf hamshaur mi biashar gan

  • @barnabasmarsel3876
    @barnabasmarsel3876 5 месяцев назад

    Pata pilipili kidogo🤣🤣

  • @abelimaganga417
    @abelimaganga417 4 месяца назад

    Kamati ya roho mbaya hii imekaaa inajadili

  • @VictorMsodoki
    @VictorMsodoki 5 месяцев назад

    Ugali kwa kachumbali iyoo

  • @blckrabbit9978
    @blckrabbit9978 5 месяцев назад

    Bora aje me nimshauri😂

  • @pharmtech_1
    @pharmtech_1 5 месяцев назад +1

    Naelimisha, Nashauri, Natibu na kufwatilia maendeleo ya afya yako
    KARIBU TUJIFUNZE

  • @AlbashuBardalawiyy-tm2wi
    @AlbashuBardalawiyy-tm2wi 5 месяцев назад

    Eti Magari yanapatia ajali showroom

    • @levinaernest4364
      @levinaernest4364 5 месяцев назад

      😂😂mara maduka yana ungua kila siku ,yani wanamkatisha tamaa bure ila hayo Maisha yapo yani Bora uamue Jambo lako peke yako

  • @thomaslima921
    @thomaslima921 5 месяцев назад

    Ila azaboi et utaweza kuangalia mkate dukani bila kuung'ta,et mkate unatamanisha nyie utatamani uilambe na maziwa

  • @cuteapple7287
    @cuteapple7287 5 месяцев назад

    Mchungaji anapata dhambi muongo

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 5 месяцев назад

    😂😂😂

  • @AmirAbdallah-pr4uq
    @AmirAbdallah-pr4uq 5 месяцев назад

    Aza boi wewe ndo fundi hapo

  • @boniphacegervas8118
    @boniphacegervas8118 5 месяцев назад

    Oya azaboi mmwagie laana huyo

  • @alsonmbwana8031
    @alsonmbwana8031 5 месяцев назад +1

    ila content ya kumshauli mtu alime nin au afuge nn nazo zimekaaa poa sema mshaziongelea kidogo hapo

  • @sybilthorndike5879
    @sybilthorndike5879 4 месяца назад

    Lewis Shirley Lewis Brian Thompson Betty

  • @finiaskalist747
    @finiaskalist747 5 месяцев назад

    😂😂😂au kama una mavi nenda ukanye

  • @mjumbemwanda9666
    @mjumbemwanda9666 5 месяцев назад

    😂😂😂😂

  • @SaneMwezi
    @SaneMwezi 5 месяцев назад

    😂😂😂

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 5 месяцев назад

    😂😂😂😂

  • @muhammadmbaraka4515
    @muhammadmbaraka4515 5 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂

  • @chrismhonda8051
    @chrismhonda8051 28 дней назад

    😂😂😂