BREAKING NEWS! A MAN THROWS HIMSELF IN LIKONI FERRY but GOT RESCUED (courtesy of African celebs)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 196

  • @bettyimbahala7469
    @bettyimbahala7469 Год назад +40

    Kenyans are very depressed. Life is so hard. Many have reached the end of themselves. I have been talking to many depressed friends that I am so affected by the happenings. Many have been rendered homeless, kenyans are breaking, and the government must make life manageable

    • @johnlobuin4212
      @johnlobuin4212 Год назад

      Only for "nywele ngumu" Kenyans.

    • @festo1591
      @festo1591 Год назад +2

      Hiyo sio sababu...kuna watu wako na life ngumu zaidi hata hizo nguo amevaa kwao ni deal kubwa hawana...na hata hawafikirii kujitoa uhai..huyo vile amesumbua watu hapo atakwenda kupewa beatings wakiwa mbali na cameras.

    • @DANIELMACHARIA-d5y
      @DANIELMACHARIA-d5y Год назад

      No life ngumu,jitume kazi kibao ujinga wa kukaa town huna hela shenzi kabisa.

    • @marysegers6995
      @marysegers6995 Год назад +2

      @@festo1591 That's exactly where y'all go wrong. You don't beat a mentally sick person. That's not how to help. He could be fighting with a mental illness and you think it's easy?🤔 be your brother's keeper kindly.

    • @festo1591
      @festo1591 Год назад +2

      @@marysegers6995 sijasema mimi ndio napiga watu walioko depressed...nimesema atagotwa na hao police sababu amewasumbua...na wao huwa hawaangalii kama mtu ako depressed ama vp wao wanagota tu.

  • @conradatiang4476
    @conradatiang4476 Год назад +31

    Kudos for police officers handling him with dignity like a human being and not handcuffing and harassing the victim. Good Job Mombasa!

  • @fridahndungenzaumi6591
    @fridahndungenzaumi6591 Год назад +20

    It's sad... Depression is real.. May God come through for us 🙏

  • @KangsWangare
    @KangsWangare Год назад +16

    Mental health care is important may God heal him.

  • @agnesveronica324
    @agnesveronica324 Год назад +13

    That man apewe kazi he's so weak ata njaa ako na mingi serikal saidia

    • @macklineabuto8201
      @macklineabuto8201 Год назад +1

      Exactly he looks hungry

    • @hellenadhiambo4816
      @hellenadhiambo4816 Год назад +1

      The trouser yenyewe inashuka chini yani anakaa haja kula maybe for some days,he look weak.This is heartbreaking 😢

    • @bilqismathuku
      @bilqismathuku Год назад

      Wampe hata ya kufagi huko post.

  • @florenceobonyo7770
    @florenceobonyo7770 Год назад +10

    Huyu kijana yuko weak sana apewe chakula kwanza

  • @ocholarose4654
    @ocholarose4654 Год назад +9

    Life imekuwa ngumu jameni mungu amukumbuke

  • @vivianomondi6247
    @vivianomondi6247 Год назад +24

    The young man just looked depressed 😢😢 only God will take us away from this mess....

  • @sandraawour
    @sandraawour Год назад +5

    Just last week kijana alijiwasha moto huku mombasa...young men go thro alot

  • @Otitmach668
    @Otitmach668 Год назад +14

    Depression is real,,ni juzitu mtu mtu amejichoma,tena mwingine kajirusha majini

    • @marysegers6995
      @marysegers6995 Год назад +1

      I was watching the guy's mom saying the son was diagnosed with bipolar and always was closely watching him and it wasn't easy. He was an engineering student at university of Eldoret had registered for masters 😥 my heart is bleeding for our children

  • @pamj9v
    @pamj9v Год назад +11

    Kimemramba😢😢nasini kijana mdogo sana akii labda uchumi imemfikisha mwisho nautakuta gava badala wampee job atafungwa

    • @hellenadhiambo4816
      @hellenadhiambo4816 Год назад

      Depression is real na wa hakikishe wamemsaidia, wasipo fanya hivyo next mtasikia amejiuwa na njia nyengine

    • @hellenadhiambo4816
      @hellenadhiambo4816 Год назад +1

      This is heartbreaking 😢

    • @bilqismathuku
      @bilqismathuku Год назад

      @@hellenadhiambo4816 true

  • @manumeni5057
    @manumeni5057 Год назад +6

    Sometimes hawa watu sio akili zao ,ni mazingaumbwe mtu hufanyiwa vibaya

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Год назад +14

    Mwenye wanauziyaa watoto wetu Mihadarati, God wa Curse mpaka kizaazi zao za inne. 😢Kijana mdogo jameni. Mungu hurumia Inchi yetu Kenya.

    • @jkiny9315
      @jkiny9315 Год назад +2

      Kizazi cha nne hakina makosa..

    • @maryamjey6340
      @maryamjey6340 Год назад

      ​@@jkiny9315walaaniwe wote na vzazi vyao...pengine halijawahi kukuta😢

    • @gamingwithalvis5688
      @gamingwithalvis5688 2 месяца назад

      Drugs are not a problem, people are.....

  • @MiriamMunyasa
    @MiriamMunyasa Год назад +9

    He needs concelling not being arrested

  • @linetgechuki718
    @linetgechuki718 Год назад +8

    May God give him peace

  • @muindimulwa2102
    @muindimulwa2102 Год назад +7

    Msimuharass life n hard depression imewafika wakenya

  • @christineamukoye3920
    @christineamukoye3920 Год назад +4

    MUNGU asaidie wananchi wa kenya coz ni watu wengi wamejitoa uhai kwa maisha magumu.

  • @eldkibeh
    @eldkibeh Год назад +7

    Dear Kenyans,corruption is a lethal offence nowander in some countries the sentencing is death.
    We are where we are today because of a few rogue people in power.Imagine if the national cake was distributed evenly ie building of modern roads,hospitals,schools, markets,houses,security,adequate food supplies etc.
    The problem is,those put in offices to ensure that,bag all the money therfore rendering millions into turmoil and depression for generations to come.

    • @الوالو-ي3ض2غ
      @الوالو-ي3ض2غ Год назад

      Usilaumu Gover ni madawa. Na bangi. Na hawatati .kuchoka. ruto gorv iko sawa.

    • @الوالو-ي3ض2غ
      @الوالو-ي3ض2غ Год назад

      Karen in the toilet😮😂50 billion s

    • @hellenadhiambo4816
      @hellenadhiambo4816 Год назад

      ​@@الوالو-ي3ض2غAre u serious???

    • @eldkibeh
      @eldkibeh Год назад

      @user-ic9ru6xh5l I was not speaking of this government, I was saying,we are where we are today because of the long overdue corruption(selfishness)in the society since time in memory.People squander monies not caring of generations to come.

  • @susankaburu4527
    @susankaburu4527 Год назад +2

    Huyo ataeda far, GOD love's him.

  • @passy2382
    @passy2382 Год назад +14

    Weuuh depression is real may God intervine

  • @joyritamwende6449
    @joyritamwende6449 Год назад +3

    😢😢😢😢Sasa instead wamununulie food ni kumupelekea police post

  • @marywanjiru4248
    @marywanjiru4248 Год назад

    ,Wooi our God,stress ni nyingi jameni

  • @faithpius6401
    @faithpius6401 15 дней назад

    Huyu nikama stress zimemzidi..kwa yote mungu amkumbuke🙏🙏🙏

  • @silahabutuentertainments9902
    @silahabutuentertainments9902 Год назад +5

    Depression is real. Guys let's speak up rather than just keeping our pressing issues in our hearts. A problem shared is a problem half solved. May God intervene!

    • @peninawangechi3830
      @peninawangechi3830 Год назад

      sometimes no one can understand do not judge when someone do not sha
      re it out some people instead of helping they judge

  • @qeewoi2441
    @qeewoi2441 Год назад

    6:33 Aboo nawona kwawezita ichi chagho saosao. Sankyou! 👏

  • @jacksonodoo1388
    @jacksonodoo1388 6 месяцев назад

    Kenya watu wako na njaa sana mombasa akuna kazi huko nikutumia pesa sio kwa kutafuta kazi Kenya zote sasa tunaumia na njaa kazi akuna vungozi awabuni kazi kwa vijana😢 6:58

  • @dennyosoko8075
    @dennyosoko8075 Год назад +7

    I think the boy is depressed

  • @estherkieyakinyanjui7220
    @estherkieyakinyanjui7220 Год назад +4

    Asi kue harrassed something is bothering him, he need help😢

  • @wycliffeeragosa4856
    @wycliffeeragosa4856 Год назад +3

    Hallo Kenyans, hii inaitwa msongo WA wamawazo...no need to ask him questions and also he is not a police customer but for psychological experts customer to deeply cancel him and get to the room Cause...not harras him to add more damage to his brain na heart for now.

  • @chrispinesimiyu
    @chrispinesimiyu Месяц назад

    Huyo kijana apewe kazi na kitu Cha kujikimu maisha.he has done that just bcz of many frustrations many Kenyan are going through. Huyo ni mmoja tu amepatikana akijaribu kujiua Kuna wengine pia wanaumia sana.

  • @ShiroNgure
    @ShiroNgure 20 дней назад

    hayuko peke yake aidha ni depression ama amepagawa na pepo😢😢😢

  • @lucymwangi655
    @lucymwangi655 Год назад +2

    Kuna shida maybe ni depression God have mercy on our nation apewe chakula kwanza God bless you 🙏🙏

    • @hellenadhiambo4816
      @hellenadhiambo4816 Год назад

      Kabisa cause pia anakaa ako na njaa juu hata hio longi amevaa inavuka,OH God jameni

  • @mikamolly5699
    @mikamolly5699 Год назад +1

    Anakaa kupoteza matumaini ya kuishi. Anakaa njaa 😢😢

  • @j.jthemd2286
    @j.jthemd2286 Год назад +1

    That's was a very good response, mental health is this serious

  • @milkamkiwa5457
    @milkamkiwa5457 Год назад +2

    Omg depression haki someone help that guy😢

  • @dougiekiarie3761
    @dougiekiarie3761 Год назад +1

    Huyu ni die hard wa Chelsea 😢😢😢😢😢😢

  • @janetbwari7845
    @janetbwari7845 23 дня назад

    Waaa ata sio kupenda kwake but Mungu ni muwesa yote

  • @merilynmamayao8269
    @merilynmamayao8269 Год назад +1

    It is well brother jamani.

  • @humphreyakidiva
    @humphreyakidiva Год назад +2

    Yaani life imekua hard hadi solution ni kujimaliza

  • @ummiissaabdulissaabdul8117
    @ummiissaabdulissaabdul8117 Год назад +2

    msijue kumuhoji tu kwani hali yake amuoni yuko na shida maisha magumu aya mpatieni ajira sio kumujoji tu na hali mwaona hali yake bila kuelezwa

  • @Shakilahtolomet-ku9lq
    @Shakilahtolomet-ku9lq 23 дня назад

    Mungu amwokoe kwa uchungu anaoupitia

  • @FaithKathini-j1f
    @FaithKathini-j1f Год назад

    Wanahabari nao weeeeeuuh 😂😂😂😂😂

  • @elizabethmureithi5051
    @elizabethmureithi5051 Год назад +2

    Maisha ni mangumu, jameni, ahurumiwe.

  • @nesbitmiriti4366
    @nesbitmiriti4366 Год назад

    Hawa mashabiki wa chelsea😂😂baada ya kipigo.

  • @susannaikuni8595
    @susannaikuni8595 Год назад +1

    Aki hii Kenya hii serikali imeamua vijana wakufe

  • @bintisaidmwaganjoni5207
    @bintisaidmwaganjoni5207 Год назад

    aki atakam ako shida jaman amuombe mungu amsaidie aki kuliko afanye ivi😢😢

  • @gideonkipkoech9987
    @gideonkipkoech9987 Год назад +3

    Aki ni WA Chelsea 😂😂😂😂
    Chelsea is always associated with bad things

  • @eunicenguru3495
    @eunicenguru3495 Год назад +3

    Lord remember our young generation,

  • @jacqueline6299
    @jacqueline6299 Год назад

    President please see this, Kenyans are in deep thoughts. 😢 uchumi

  • @itsVico-o8k
    @itsVico-o8k Год назад +2

    I blame ruto😂 mm najua mungu alali ruto hell atakua na burning station Yake solo vip

  • @msuzann6005
    @msuzann6005 Год назад +7

    He has a second chance in life

  • @Rosewakio
    @Rosewakio Год назад

    Pole kwake

  • @joylinaentana7063
    @joylinaentana7063 23 дня назад

    Feri ni pahali kumejaa nguvu za Giza ama mapepo huenda Kuna spirit ya Giza ilimwilia huenda hat haelewi chenye kimetendeka😢

  • @nathanfrancisondieki6586
    @nathanfrancisondieki6586 Год назад +2

    Pelekeni yeye kwa maombi

  • @salomewamuhu2252
    @salomewamuhu2252 Год назад +2

    Mapepo Yako Mombasa ya yarabii Vincent nawewe uombewe na ukeme juu hta wewe ulitabiri kifo chako na Bado ujanunulita mum shamba

    • @yusufmwangichannel6692
      @yusufmwangichannel6692 Год назад +1

      Akili zako za kuku. Hivi kati ya bara na pwani ni wapi kwenye watu upenda kujiua na kuuwa na familia zao?

  • @Ruth-u4v
    @Ruth-u4v Год назад

    Wacha mungu amukumbuke

  • @Danishsb3
    @Danishsb3 Год назад

    Sauti ya captain nyota hio 😅😅

  • @SerahMutuku-xt4xo
    @SerahMutuku-xt4xo Год назад

    Pliz gov patieni huyu kijana job kitu anapitia si rahisi

  • @sophiaruwa1366
    @sophiaruwa1366 Год назад

    Vijana wamekata Tama ya maisha

  • @GodbaDante
    @GodbaDante Год назад

    😆😆😆 watu wa chelsea

  • @mercyseur9462
    @mercyseur9462 Год назад

    Please take it easy to him coz maisha imekuwa ngumu sana

  • @ZeitunMohammad
    @ZeitunMohammad 20 дней назад

    I miss home, home sweet home 🏡

  • @albavpn1920
    @albavpn1920 Год назад

    Haki, Chelsea will finish our Brothers 😢

  • @Winnymugambi788
    @Winnymugambi788 23 дня назад

    Wah lakini maisha ni magumu aki ukiona mtu anajilusha kwa maji, labda pia ni roho wa kifo inafuata

  • @HusseinManji-l3x
    @HusseinManji-l3x 19 дней назад

    Kizungu ya nn boss Acha kujichoresha

  • @sylviaochieng8786
    @sylviaochieng8786 Год назад +3

    Give us his number we donate some cash to him pengine ni financial issues kindly

  • @lucymwai7645
    @lucymwai7645 Год назад +1

    Mupatieni Chakula kwanza

  • @DaughterofUbuntu1988
    @DaughterofUbuntu1988 Год назад

    Our y9ung men in kenya have 😢😢to much stress please fanyani kitu jamani.

  • @aliciandolo8955
    @aliciandolo8955 Год назад +1

    Don't arrest him as much as I don't support suicidal bt life is hard nowadays especially in ruttos government you might commit suicide

  • @cutenicely4766
    @cutenicely4766 Год назад +1

    Woyiee he looks depressed

  • @jimmyopot372
    @jimmyopot372 Год назад

    The government need to address youth unemployment, rampant depression among young people

  • @IceChampakaWolf888
    @IceChampakaWolf888 7 месяцев назад +1

    Anakaa ako njaa

  • @mariadaniels5653
    @mariadaniels5653 Год назад +2

    Ni shida za dunia

  • @Bcclothes_5
    @Bcclothes_5 24 дня назад

    Wooooie boy child labda anapitia mengi

  • @GgGg-mw6vq
    @GgGg-mw6vq Год назад +1

    Waa hyu n depressed aki

  • @manulukano6687
    @manulukano6687 Год назад +1

    Very true respect that man as how his tshirt says so

  • @benvictor4309
    @benvictor4309 Год назад

    Hawa mapolisi wapewe cheo

  • @RoseAuma-n5h
    @RoseAuma-n5h Год назад

    Ni long story coz ana wazazi

  • @phelisiawakio9246
    @phelisiawakio9246 Год назад

    Government should give Young people jobs wazeee wale wako over seventy mpaka Leo ndio wako kwa kazi any appointments zikitoke watu wenye waliretire wanaregeshwa kazini.

  • @nixonmwanguni3094
    @nixonmwanguni3094 Год назад

    Mwenye kutaka kujitoa uhai haambiwi pole hupewa dozi.

  • @marthawamuyu6912
    @marthawamuyu6912 19 дней назад

    Huyu kijana hayuko sawa,inaonekana Kuna jambo lamsumbua

  • @johnlobuin4212
    @johnlobuin4212 Год назад +1

    Dipression kwa "nywele ngumu"

  • @yunawaithanji5912
    @yunawaithanji5912 19 дней назад

    Life iko ngumu jameni ....

  • @annewangui547
    @annewangui547 Год назад

    Na Yule mama aliejirusha Na mtoto Je mtoto alipatikana????plzz

  • @mohammedmahara2339
    @mohammedmahara2339 Год назад

    Na ni shabiki wa Chelsea kumbe😂😅

    • @bilqismathuku
      @bilqismathuku Год назад

      Umejuajee🤪🤪🤪🤪mu2achane,,, ALAA

  • @yonamunialo1884
    @yonamunialo1884 Год назад

    This is not the first time mostly it has been happening. Can they have proper arrangements for people who use that ferry

  • @koyietjacque2206
    @koyietjacque2206 Год назад

    Thank God

  • @nancyatieno9905
    @nancyatieno9905 Год назад

    Waah aakweli shetani unainadi na binadamu

  • @paulmaxwel7332
    @paulmaxwel7332 Год назад

    so sad😢

  • @damarisnjerunjeru399
    @damarisnjerunjeru399 24 дня назад

    The young man is depressed
    Thanks to the divers and the police officers for rescuing the soul

  • @korirjoan7620
    @korirjoan7620 Год назад

    Tupe number tumchangie pesa sabuni ya depression

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro5174 22 дня назад

    Instead of taking him to police station it's better to help him much more

  • @Shakilahtolomet-ku9lq
    @Shakilahtolomet-ku9lq 23 дня назад

    Sasa apo na Askari wa nini na watu wengi huwa n mkozi ya kwao

  • @andrewekisa2433
    @andrewekisa2433 Год назад

    Apocalyptoo.
    Nyakati ndo izo, haumbiwi ni kutafsiri Tu.

  • @jessicakombekombe1999
    @jessicakombekombe1999 Год назад

    Maskini tena ni Chelsea fan kama mimi mbali na uchumi Chelsea club pia itatuuwa😂😂

  • @khammadjeffa515
    @khammadjeffa515 Год назад

    Maybe ni stress za Chelsea poor performance this season, cz naona ye ni shabiki wa Chelsea, sio unaona hio kitambaa

  • @top_1_per_cent
    @top_1_per_cent Год назад

    jamaa wa chelsea

  • @jose_hazard2544
    @jose_hazard2544 Год назад

    Hii life" iko sai" is better to die😢

  • @johnngugi9552
    @johnngugi9552 Год назад +2

    depression now is real in Kenya,inasikitisna,

  • @VincentWafula-e7z
    @VincentWafula-e7z 21 день назад

    Hmna usalama ferry tangu nianguke majini bila kusaidiwa