Historia ya vita vya majimaji imeelezwa vizuri sana hapa. Vita haikuanza na Kinjeketile Ngwale kutoa dawa, bali ilianza na Lindimyo Mcheka na Ngulumbalyo Mandai kung'oa pamba ya Mjerumani kule Umatumbini. Naona baadhi ya wanahistoria wanaanza kupotosha historia.
Pango la Nang'oma lipo katika Kijiji Cha Nandembo na Sio Nandete. Tupie taarifa ya ukweli na manatukoseite banamitu babaya kweli. Swali: 1. Twenga tuchibangilwa na Anjungu na Uhuru upatikine Twenga lelo tutalepelwa namani na Anjungu ? 2. Serekali ituchengi balabala kwa ajili ya kumbukumbu ya Vita ya mache mache.
Historia ya vita vya majimaji imeelezwa vizuri sana hapa. Vita haikuanza na Kinjeketile Ngwale kutoa dawa, bali ilianza na Lindimyo Mcheka na Ngulumbalyo Mandai kung'oa pamba ya Mjerumani kule Umatumbini. Naona baadhi ya wanahistoria wanaanza kupotosha historia.
Mimi ni mjukuu wa wa damu wa huyo Lindimyo Mcheka, nipo Dar.
Pango la Nang'oma lipo katika Kijiji Cha Nandembo na Sio Nandete.
Tupie taarifa ya ukweli na manatukoseite banamitu babaya kweli.
Swali: 1. Twenga tuchibangilwa na Anjungu na Uhuru upatikine Twenga lelo tutalepelwa namani na Anjungu ?
2. Serekali ituchengi balabala kwa ajili ya kumbukumbu ya Vita ya mache mache.