Mtu Kama kafunika mnatumia vigezo gani 😂😂..kuna Flows,cadence,world play,metaphors,Lyricism,Na articulation,pia hata energy ya mcee inahusika.. Mimi kwangu watu walioua ni hawa.. Essence,Flyin Soucer,Mukimala,Mchizi Mox,Nikki Mbishi.. Wengine wamerap vizuri sana ila bado wana mapungufu Tofauti Tofauti mengi,wengine wameandika vizuri ila style sio kali wengine hawajaonesha ukomavu wa kuchana kwenye hilo beat..hao niliowataja ndio wameuaaa..🎉 kwa @black ninja..
Uuuunjuuuuui,papa fregeee,,kinya mistar,ngudo🙌🙌🙌
Unju da Pioneer🔥🔥🔥
Jiwe Kali sana kwa sisi Big big brain!Nikki Mbishi tishio au sio babu bomba
Unju Always the MVP but we need Dizasta to be featured on the next tukusa plz🙏🏾
Unju kaonyesha ufather frow yakitofauti san
Sena mkimala nae mnyamwez sana 😂😂😂😂 kumamamakeee
Bad ngudo anasound kama k ,wa mapacha
Huyo essence mbona hatari sana
much love family!
Chemistry ya Ninjah na Unju Mamae 🔥🔥🙌🏽🙌🏽
Jiwe la moto
Unjuuuu
wamemsipai simba na dd
Kamusi 🔥 fanya tuwe na Tukusa Yetu Moshi
Kutoka Kenya naomba mhusishe Dizasta Vina
Burundi pia tunaunga mkono wazo hilo
Jamaa wanajipendelea midundo
TUKUSA X ✍️🏿💥💥💣
Oya Simba naskia wameko spoti wewe na didi😊
#Essence ndio anayaanzishaga haya mamizuka. You are too far good sisterhood
salute to you my family
Black ninja....big up from 254
Kinyaaa
Unju ,kamusi na mox
Mtu Kama kafunika mnatumia vigezo gani 😂😂..kuna Flows,cadence,world play,metaphors,Lyricism,Na articulation,pia hata energy ya mcee inahusika..
Mimi kwangu watu walioua ni hawa.. Essence,Flyin Soucer,Mukimala,Mchizi Mox,Nikki Mbishi..
Wengine wamerap vizuri sana ila bado wana mapungufu Tofauti Tofauti mengi,wengine wameandika vizuri ila style sio kali wengine hawajaonesha ukomavu wa kuchana kwenye hilo beat..hao niliowataja ndio wameuaaa..🎉 kwa @black ninja..
🖖
Nikki Mbishi.🔥
Mukimala
Kamusi
Kinya Mistari
Essence
Black Ninja
Others
Nextime Ninja Tuwekee DIZASTA VINA, P THE MC, ID, STEREO, CHID BENZ, MOTRA THE FUTURE, FID Q, CLIFF MITINDO, CLINT, WAKAZI, FRESH LIKE AAH, TORETTO
TUKUSA X1🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥
@@essencemcdonald7931 Yo the illest and dope female rapper alive. Keep up the good work. 🔥🔥🔥🔥🔥🍾
4 this nampa kamusi 🔞 😅😂
>>>Unju 🔥🔥🔥
unayefuata nayo mm naenda geto kwangu, kinya💯
Black ninja black ninja black ninja nimekuita mara 3
Mbishii ni mmoja tuu.. Papaa nae sio kinyonge
NGUNDO 🔥🔥
Zaidi ya waoo hiii baraaaa
MUCH LOVE TO BLACKNINJA 🎉
Ila Frege na kamusi wameua
Bad Gundo vs Frege
Ila hii midundo ya Black Ninja💥🔥
Kinya nomaaa
Kuna dogo anaitwa msomi Jr anajua sana siku moja nataman nimsikie humu
kinyaaaaa
The vulture KAMUSI 🙌
Papaa frege
Tatizo la tukusa n moja mnachana sanaaaaa! tukusaaaaaaaaaaaaa
Black ninjah ngoma Kali sana , sema matusi ungeyabana ingekuw pw Zaid
Unayajua matusi?
@@nikkimbishiunju2402Dk ya 5:42 mchizi moxie anasema " kum* make mshakufa wote" Kwa uelewa wangu Hilo ni tusi kabisa
Unju baba ya Malcom XI , Plate mdaijasho yupo dzm naamini tukusa XI inamhusu ?
💡Dundisha Mpaka Nije... Oiiiii 💥
Ninja nimetua ....
Time ya kuchinja Mcs wasiojitambua......🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
oyoooooo
Asanten sana 📻💥💥
mdau namba moja wa TUKUSA.
😂😂😂😂 kumamake hata Fiyin soucer kaua
Kamusiii 🫵
Og wakuu 👊👊😎
Ila essence 🙌🙌🙌
much love
Getho sijamsikia ninja songa na kado umefeli wap kaka
Unjuuuu na papaa frege ni🔥🔥
Michano ya dunia ipo TUKUSA
FLYN AISEEE
NIKKI&KAMUSI&FLYN SUMU SANAA
Tukusaaaaaa
Tukusa
❤❤❤
Tukusaaaaaa
Unju bin unuki🔥🔥🔥🔥
Tukusaaaaaa
🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥🔥
💥💥💥💥✊🏿
Tukusaaaaaa
Tukusaaaaaa