HIVI NI KWELI VIWANJA VINAUZWA TSH. 950,000/= TU HAPA MJINI? KWA BEI CHEE KABISA OFA 2022!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 янв 2025
  • Hule mradi uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu zote sasa uko tayari njoo haraka wewe mdau wetu unaye hitaji viwanja vizuri mjini kwa bei nafuu.............fursa ni yako sasa! wenda ulihangaika sana wapi utapata viwanja kulingana na kipato chako sisi tunasema hii ni fursa yako usiiachie kwa namna yoyote!
    MRADI HUU NI WA KIPEKEE SANA!
    Ni wa kipekee kwa sababu umekusanya sifa kemkem nzuri kwa makazi salama ushindwe mwenyewe tu! soma sifa hapa chini ujiridhishe mdau wetu.
    HUDUMA ZA KIJAMII.
    Kwenye viwanja hivi kuna huduma za kijamii kama vile shule, umeme,dispensary,sekondari jambo la kufurahisha zaidi ni kuwa MAJI SAFI yapo viwanjani mataaam kabisa hayana chumvi kabisa.
    USAFIRI NA BARABARA.
    Kuhusu suala la usafirishaji ni wa uhakika kabisa kwa maana kutokea kariakoo kuna daladala za moja kwa moja hadi VIKINDU pia kuna daladala ziendazo TEMEKE na TANDIKA unataka nini sasa! Kutokea VIKINDU hadi site nauli ya bajaji ni TSH. ELFU MOJA TU.
    BEI NA MALIPO.
    Bei zetu ni nafuu sana kwani kwa kiwanja ch SQM 200 unakipata kwa TSH. 950,000/= Yaani ni full kitonga na kwa wewe unayehitaji viwanja vikubwa basi unaweza kupata hata SQM 1000 wahi sasa huna sababu ya kujikosesha viwanja hivi.
    NYARAKA MUHIMU.
    zinapatiakana hati safi ya kijiji na kisha baada ya muda mfupi kila aliyenunua atapata hati miliki kwani viwanja vimepimwaaaa!
    MAWASILIANO YETU
    Wsiliana nasi kwa kutupigiasimu mojakwa moja kwa namba ifuatayo
    +255747141871 pia tunapatikana WHATSAPP kwa namba hizo hizo pia Unaweza kutufuata kwenye mitandao ya kijamii kama vile facebook,instagram na tiktok.
    #loyaltour #viwanjamjini #makazisalama #viwanjamjinidar #viwanjabeinafuu #viwanjapwani #viwanjavilivyopimwa #viwanjakigamboni #viwanjakibaha #mamasamia #raiswetu #siasa #viwanjanafuu #uongozibora #nyumbazinazouzwa #mashamba #hatimiliki #ardhinimali #ujanjaniardhi

Комментарии • 19