- Видео 129
- Просмотров 372 536
Aisam Bestland [Property Channel] Viwanja Town
Танзания
Добавлен 26 дек 2020
HII NI CHANNEL MAALUM KWA AJILI UMYA KUKULETEA MIRADI YA VIWANJA VILIVYOPIMWA DAR ES SALAAM NA PWANI NA MIKOA MINGINE TANZANIA PIA CHANNEL INAHUSIKA KATIKA UTOAJI WA ELIMU NA USHAURI KUHUSU MAKAZI BORA NA SALAMA. PIA TUNAWASAIDIA WENYE MASHAMBA NA NYUMBA WANAOTAKA KUPANGISHA,KUKODISHA AU KUUZA.
MAWASILIANO.
0623013237
0747141871
AU TUFUATE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
🟣INSTAGRAM @aisam.bestland
🔵FACEBOOK
Aisam Bestland
🟢EMAIL
bestlandlink@gmail.com
🤝PLEASE SUBSCRIBE OUR CHANNEL
MAWASILIANO.
0623013237
0747141871
AU TUFUATE KWENYE MITANDAO YA KIJAMII
🟣INSTAGRAM @aisam.bestland
Aisam Bestland
bestlandlink@gmail.com
🤝PLEASE SUBSCRIBE OUR CHANNEL
Miliki Kiwanja Chako Kwa TZS 750,000 Pekee! Kisemvule ObeyCity na Vianzi Pentagon!
Description:
🌟 Fursa ya Kumiliki Ardhi kwa Bei Nafuu - Kisemvule ObeyCity na Vianzi Pentagon! 🌟
Unatafuta ardhi kwa bei rahisi na yenye mazingira mazuri kwa makazi au uwekezaji? Sasa ni wakati wa kutimiza ndoto yako ya kumiliki kiwanja kwa gharama nafuu katika maeneo yanayokua kwa kasi.
Maelezo ya Kiwanja:
📏 Ukubwa wa Kiwanja: Ft 40×50 - Eneo la kutosha kwa nyumba ya makazi au miradi ya biashara.
💵 Bei: TZS 750,000 pekee!
💰 Malipo ya Awali: Unaweza kuanza na TZS 500,000 na kumalizia salio lako ndani ya miezi miwili.
Faida za Viwanja Vyetu:
✅ Eneo Lenye Maendeleo: Kisemvule ObeyCity na Vianzi Pentagon ni maeneo yanayokua kwa kasi, na yana miundombinu inayoboresha maisha ya kila siku.
✅ Mazingira Tu...

Просмотров: 396
Видео
Kichwa cha Video:Miliki Kiwanja kwa TZS 1,000,000 Pekee - Vianzi Chang'ombe! Fursa ya Kuaminika!
Просмотров 256День назад
🌟 Fursa ya Kipekee ya Kumiliki Ardhi Vianzi Chang'ombe! 🌟 Je, unatafuta eneo zuri na nafuu kwa makazi au uwekezaji? Tumekuletea viwanja vya ukubwa mzuri kwa bei ya kuvutia na masharti mepesi ya malipo. Hii ndiyo nafasi yako ya kuwa na ardhi bila presha ya gharama kubwa! Maelezo ya Viwanja: 📏 Ukubwa: Ft 40×50 - Eneo la kutosha kwa makazi au biashara ndogo. 💵 Bei: TZS 1,000,000 pekee! 💰 Malipo ya...
Viwanja Vilivyopimwa Vizuri Vinauzwa Bei Nafuu - Fursa ya Uwekezaji
Просмотров 198День назад
Description: Unatafuta kiwanja kwa bei nafuu na masharti rahisi ya malipo? Tumekuletea fursa ya kumiliki kiwanja cha ndoto yako kwa TZS 1,300,000 tu! Viwanja vyetu vipo Vikindu Malela, mahali pazuri kwa makazi na hata uwekezaji. Maelezo ya Viwanja: 📏 Ukubwa wa Kiwanja: Ft 40×50 (Eneo la kutosha kwa nyumba ya makazi au mradi mdogo wa biashara) 💵 Bei: TZS 1,300,000 💰 Malipo Rahisi: Unaweza kuanza...
Viwanja Bora Kisemvule Mpera - Tambarare, Bei Nafuu, Malipo kwa Awamu #realestatetanzania #property
Просмотров 79828 дней назад
SOMA MAELEZO HAYA👇 Karibu Kisemvule Mpera, mahali ambapo ndoto zako za kumiliki kiwanja bora zinaweza kutimia! Tunakuletea viwanja vya kipekee vilivyopo katika eneo tambarare lenye mandhari ya kuvutia na mazingira tulivu yanayofaa kwa makazi au biashara. Viwanja hivi vimepimwa na vipo katika eneo linaloendelea kwa kasi, karibu na miundombinu muhimu kama barabara kuu, shule, hospitali, na huduma...
Viwanja Vikindu: Nafuu na Malipo ya Awamu!
Просмотров 851Месяц назад
Unatafuta kiwanja kwa bei nafuu? Tunakuletea viwanja bora vilivyopo Vikindu, karibu na huduma zote muhimu za kijamii. Bei zinaanzia TZS 1,000,000 tu, na malipo ni kwa awamu kulingana na uwezo wako. Fursa hii ni bora kwa makazi au biashara yako! Usikose nafasi hii. Piga simu sasa kwa maelezo zaidi: 255747141871. 👉 Jiunge nasi na miliki kiwanja chako leo! #ViwanjaVikindu #ViwanjaNafuu #RealEstate...
PEMBEZONI MWA BARABARA YA KIGAMBONI- VIWANJA VINAUZWA VIANZI MJINI
Просмотров 585Месяц назад
Je unahitaji Viwanja Nafuu karibu na Barabar kubwa ya mtaa!?? Wahi viwanja hivi utanufaika na mengi zaidi Tupigie simu sasa 255747141871
#YADI YA KISASA KISEMVULE DAR - BEI YA OFA TZS MILIONI 100! TU #UWEKEZAJI BORA
Просмотров 4003 месяца назад
YADI YA KISASA KISEMVULE - BEI YA OFA TZS MILIONI 100! Unatafuta eneo kubwa lililozungushiwa fensi kwa ajili ya biashara yako au uwekezaji? Usicheze mbali! Tunakuletea fursa ya kipekee ya kupata yadi ya kisasa iliyopo Kisemvule kwa bei nzuri ya TZS Milioni 100 tu. Faida za kununua yadi hii: ■Eneo kubwa na linalofaa kwa biashara mbalimbali kama kuhifadhi mizigo, magari, au vifaa vya ujenzi. ■Ime...
#VIWANJA VYA BEI NAFUU KISEMVULE - TZS 1,500,000/= TU! #News #viwanja #viralvideo
Просмотров 7563 месяца назад
SOMA MAELEZO HAPA Karibu ujipatie kiwanja kwa bei nafuu kabisa Kisemvule, Dar es Salaam! Tunakupa ofa ya viwanja bora kwa ajili ya makazi na biashara kwa TZS 1,500,000 tu kwa kila kiwanja. Sifa za viwanja vyetu: ■Vimepimwa kikamilifu. ■ Umbali mfupi kutoka barabara kuu. ■Mazingira tulivu na salama kwa makazi au biashara. ■Huduma za kijamii kama maji na umeme zinapatikana karibu. ■Eneo linaloend...
Viwanja Vilivyopimwa Vinauzwa Bei Nafuu Kisemvule - Fursa ya Uwekezaji Mjini Dar es salaam #Viwanja
Просмотров 1 тыс.4 месяца назад
Je umekuwa ukitafuta viwanja vizuri vilivyopimwa Kisemvule Dar es salaam!? Je unahitaji #Viwanja #Vilivyopimwa vya Bei nafuu Mjini? Wahi Fursa hii adimu ya #Uwekezaji kwa Kununua Viwanja Nafuu Hapa mjini. Kumbuka Ardhi ni Rasilimali pekee ambayo itakupa Fursa ya kuwa na Kipato Endelevu. Ni mradi mpya uliopo hapa #Kisemvule Kioo Dar es salaam wenye Viwanja zaidi ya 1000 katika Eneo #Tambarare am...
Nyumba yako Jenga Hapa Viwanja Vizuri Vinauzwa Kisemvule Dar es salam #realestate #nyumba #viwanja
Просмотров 1,5 тыс.5 месяцев назад
SOMA MAELEZO HAYA👇 Karibu kwenye video hii ambapo tunakuletea fursa ya kipekee ya kumiliki viwanja vyenye ukubwa wa ft 40 kwa 50 hapa Kisemvule, Dar es Salaam, kwa bei ya ofa ya shilingi milioni moja na laki sita tu! (1,600,000/=) ■Viwanja hivi vipo kwenye eneo linalokuwa kwa kasi, lenye mandhari nzuri na huduma za msingi kama barabara, umeme, na maji karibu na eneo. Faida za Kununua Viwanja Ki...
Viwanja Vikindu Mjini kwa Bei Nafuu - Miliki Kiwanja chako Leo!
Просмотров 1,3 тыс.5 месяцев назад
SOMA HAPA👇 Karibu kwenye fursa ya kipekee ya kumiliki kiwanja chako katika eneo lenye utulivu na maendeleo - Vikindu Mjini Kwa bei nafuu ya Tsh. 4,500,000/=, unaweza kuwa mmiliki wa kiwanja chenye thamani kubwa kwa uwekezaji au makazi. Vikindu Mjini ni eneo linalokua kwa kasi, likiwa na miundombinu bora kama barabara za lami, maji na umeme, huduma za afya, shule, na masoko, inayokufanya uishi m...
OFA NONO #VIWANJA VYA KUJENGA #NYUMBA YA KUISHI VINAUZWA TSH. 750,000/= TU
Просмотров 5145 месяцев назад
Umekuwa ukitafuta mradi wa bei nafuu kwa ajili ya makazi yaani kujenga nyumba ya kuishi hapa mjini? Usijali karibu kwenye mradi huu uliopo Kisemvule Obey V.I.P City ni viwanja vya bei nfuu vinauzwa kwa kulipa kwa awamu. Ukubwa wa Viwanja ni ft 40/50 ni ukubwa wa Kujenga #nyumba moja ya kuishi yenye vyumba vitatu na kila kitu ndani. Bei kwa kila kiwanja ni Tsh. 750,000/= ambayo unaruhusiwa kulip...
Viwanja Vinavyouzwa Vikindu Kazole - Fursa za Uwekezaji Katika Mji Uliochangamka Dar
Просмотров 2,2 тыс.6 месяцев назад
Viwanja Vinavyouzwa Vikindu Kazole - Fursa za Uwekezaji Katika Mji Uliochangamka Dar
Viwanja Vinavyouzwa Pembezoni mwa Mji wa Dar es Salaam - Fursa za Uwekezaji 2024
Просмотров 1,4 тыс.7 месяцев назад
Viwanja Vinavyouzwa Pembezoni mwa Mji wa Dar es Salaam - Fursa za Uwekezaji 2024
JIONEE VIWANJA VIZURI BEI NI ZAIDI YA KITONGA TSH. 750,000/= UJENGE NYUMBA YAKO!
Просмотров 1,1 тыс.7 месяцев назад
JIONEE VIWANJA VIZURI BEI NI ZAIDI YA KITONGA TSH. 750,000/= UJENGE NYUMBA YAKO!
KUMEKUCHA...!!! KAMA ULAYA VIWANJA VINAUZWA VIKINDU BEI NAFUU
Просмотров 2 тыс.8 месяцев назад
KUMEKUCHA...!!! KAMA ULAYA VIWANJA VINAUZWA VIKINDU BEI NAFUU
#VIWANJA VIZURI SANA #VINAUZWA DAR ES SALAAM GARI MOJA HADI #KARIAKOO
Просмотров 1,7 тыс.8 месяцев назад
#VIWANJA VIZURI SANA #VINAUZWA DAR ES SALAAM GARI MOJA HADI #KARIAKOO
HII NI OFISI YAKO, JIPATIE HUDUMA BORA, VIWANJA BEI NAFUU DAR ES SALAAM.
Просмотров 1,7 тыс.8 месяцев назад
HII NI OFISI YAKO, JIPATIE HUDUMA BORA, VIWANJA BEI NAFUU DAR ES SALAAM.
#NYUMBA NYINGINE YA KISASA #INAYOUZWA KWA #BEI NAFUU DAR (#Luxury house for sale in Dar es salaam)
Просмотров 7 тыс.9 месяцев назад
#NYUMBA NYINGINE YA KISASA #INAYOUZWA KWA #BEI NAFUU DAR (#Luxury house for sale in Dar es salaam)
IPO #KIGAMBONI NYUMBA HII INAUZWA BEI NAFUU SANA!
Просмотров 7 тыс.9 месяцев назад
IPO #KIGAMBONI NYUMBA HII INAUZWA BEI NAFUU SANA!
🇹🇿 IPO KIGAMBONI-KIBADA JE UNAHITAJI KUMILIKI NYUMBA DAR ES SALAAM INAYOUZWA KWA BEI NAFUU?
Просмотров 9 тыс.9 месяцев назад
🇹🇿 IPO KIGAMBONI-KIBADA JE UNAHITAJI KUMILIKI NYUMBA DAR ES SALAAM INAYOUZWA KWA BEI NAFUU?
#NYUMBA BORA INAYOUZWA BEI NAFUU DAR ES SALAAM-CHAMAZI/ Residential House for Sale in Dar es salaam.
Просмотров 24 тыс.9 месяцев назад
#NYUMBA BORA INAYOUZWA BEI NAFUU DAR ES SALAAM-CHAMAZI/ Residential House for Sale in Dar es salaam.
🔥VIWANJA KIGAMBONI-TUANGOMA 🇹🇿 BEI IMEPOA ZAIDI!
Просмотров 2,5 тыс.9 месяцев назад
🔥VIWANJA KIGAMBONI-TUANGOMA 🇹🇿 BEI IMEPOA ZAIDI!
💥 #VIWANJA VYA BEI NAFUU #VINAUZWA #VIKINDU SEHEMU NZURI ZAIDI #DARESSALAAM
Просмотров 4,3 тыс.11 месяцев назад
💥 #VIWANJA VYA BEI NAFUU #VINAUZWA #VIKINDU SEHEMU NZURI ZAIDI #DARESSALAAM
🔥VIWANJA VINAVYOUZWA VIKINDU-VIANZI✅️[DAR ES SALAAM] BEI NAFUU SANA! #Viwanja #daressalaam #Tanzania
Просмотров 3,4 тыс.11 месяцев назад
🔥VIWANJA VINAVYOUZWA VIKINDU-VIANZI✅️[DAR ES SALAAM] BEI NAFUU SANA! #Viwanja #daressalaam #Tanzania
✅️VIWANJA VITAMU KULIKO VYA #KIGAMBONI VIPO HAPA MBANDE #MJINI (#DAR ES SALAAM ) #VINAUZWA
Просмотров 2,8 тыс.11 месяцев назад
✅️VIWANJA VITAMU KULIKO VYA #KIGAMBONI VIPO HAPA MBANDE #MJINI (#DAR ES SALAAM ) #VINAUZWA
✅️VIWANJA MBANDE-TAMBANI MJINI✅️VIWANJA VINAUZWA VYA KUJENGA & KUAMIA (DAR ES SALAAM ) #realestatetz
Просмотров 4,3 тыс.11 месяцев назад
✅️VIWANJA MBANDE-TAMBANI MJINI✅️VIWANJA VINAUZWA VYA KUJENGA & KUAMIA (DAR ES SALAAM ) #realestatetz
KIGAMBONI✅️ VIKINDU ✅️ KISEMVULE VIWANJA NI RAHISI SANA! VINAUZWA NA VIMEPIMWA! UTAMU UTAMU ZAIDI
Просмотров 4,2 тыс.Год назад
KIGAMBONI✅️ VIKINDU ✅️ KISEMVULE VIWANJA NI RAHISI SANA! VINAUZWA NA VIMEPIMWA! UTAMU UTAMU ZAIDI
KIGAMBONI KUMENONA VIWANJA VIZURI SANA VIMEPIMWA UNAJENGA UNAAMIA!
Просмотров 853Год назад
KIGAMBONI KUMENONA VIWANJA VIZURI SANA VIMEPIMWA UNAJENGA UNAAMIA!
VIWANJA VINAVYOUZWA AMBAVYO HUPASWI KUVIKOSA NI HIVI VYA KISEMVULE V.I.P CITY. #realestate
Просмотров 1 тыс.Год назад
VIWANJA VINAVYOUZWA AMBAVYO HUPASWI KUVIKOSA NI HIVI VYA KISEMVULE V.I.P CITY. #realestate
Huwa nawafwatilia sana kutoka Australia, ki ukweli mmetisha sana ,viwanja vizuri sana, nimehifadhi namba yenu, na vile vile nawafwatilia kwenye instagram. Tutawasiliana one day Insh'Allah. Hongereni kwa kazi nzuri mnayo ifanya. Thanks 🙏
Shingap viwanja vipo
Viwanja bado vipo
Bado vipo
Nakupa 40m
Viwanja vinapatikana maeneo gani?
Sio mbali saana polini au nijuzeni basi
Sio mbali Ni karibu +255747141871
@aisambestlandviwanjanyumba sawa nakutafuta
Unapata vyumba vingapi kwa 50 kwa 40
Vyumba 4
Vipo sehem gan???
Vipo Vikindu boss +255747141871
Mimi sio dalali, wala sifahamiani na huyu broker, lakini ndugu yangu kisemvule ni dhahabu.
Bei gan hivi
Bado kipo au
Mbn hamtaji ukubwa wa kiwanja!!! Jina halisi la eneo!!!!?
Sqm ngp
Congratulation
Alhamdulillah
Maa shaa Allaah
Kuna umbali gani kutoka KISEMVULE kwenda huko MPERA???
Kwa chanika mna mradi sehemu gani
Bado hatujafungua mradi kwa sasa
Kunaitwaje hapo???
Kisemvule kioo
Sqm 200 kwa milioni 6 bado unasema bei nafuu!!!!? 😅
Viwanja vya pembeni ya barabara kuu ya lami maeneo mengi huwa ni Ghali mno. Bahati nzuri hapo Vimeisha na watu wanashusha maghorofa
Bei sawa na bure
Mitaa yenu myembamba mno Ata Gari haligeuzi
iyo seem ndo vinjwa ndo milioni moja kaka
vikundi sio dar es salaam kaka vikindu iko pwani
Alhamdulillah maendeleo yanakuja taratibu
Vime pimwa
Mutu kutoka Burundi anaweza kununuwa
Mit 20kwa20 .ni.shlingap
2,000,000/=
Nahitaji jamani
Nataka vipo bado? Niko nje lskini kunamtu naweza mtuma
Bado ipo?
Explain vizuri we Kenyans don't understand
Iko vizuri bei je?
M.150
Kipo hiki kiwanja?
Kipo naomba tuwasiliane 0747141871
Mashallla
Ongea kwa kipimo cha sqm sio futi. Ft. Ni kipimo kiduchu sana sqm. Pls.
Chamazi kunaushua upanga itakuaje
Mesha pata mteja
Mmmm
Bei gani
Ipo wapi
Habari,
Jamani nyumba nzur bei gani
Mashaallah
Anae iponda hata choo chakunyea mavi hana kijijini mamayake hajamjengea hata choo cha magogo
Njumba nzury naamini anauza kwa hasara mungu tusaidie jamani dunia mtihani
Kiwanja kina ukubwa gani?
Vipo kuna mtu anataka
Vipo tuwasiliane +255747141871
Vipo
Vipo karibu
❤❤❤❤❤
Bdoo vipoo
Ndio bado vipo +255747141871
why are you building roofs like that? Ni kwanini mmejenga nyumba ina paa kiasi hicho? mapaa kama hayo wanakuwa nayo ulaya na kwengine kwenye mabarafu ili barafu isikae kuelemea paa, nyie mna sababu zipi? naona sehemu kubwa Tanzania sasa hivi kuna mapaa ya mitindo hii, naomba mnielimishe kidogo, otherwise mnapoteza nafasi tu hapo juu