Je Afrika kugawanyika hivi karibuni?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 май 2024
  • Utafiti wa kijiolojia umeonyesha kuwa bara la Afrika huenda likawa linagawanyika mara mbili.
    Hii ni kufuatia kuendelea kuongezeka kwa nyufa katika bonde la ufa nchini Kenya.
    Ahmed Bahajj anaelezea
    #bbcswahili #kenya #afrika
    Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili

Комментарии • 4

  • @Samiru-lx9xt
    @Samiru-lx9xt 25 дней назад

    Sio saw

  • @kitejamayunga7645
    @kitejamayunga7645 26 дней назад +1

    Hakuna madhara hata likitokea

  • @mwawekomiuda9779
    @mwawekomiuda9779 26 дней назад +1

    Hapo hakuna cha mmomonyoko wala nini ukiritimba tu huo ukiritimba unaoendelea divide and rule inaendelea hapo. Afrika si ni shamba la bibi?

  • @rithadonatus8110
    @rithadonatus8110 26 дней назад

    Makubwaaa