#MV

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • #isleblogTV Serikali imeamua kutokuiyuza Mv Mpainduzi II baada ya kutowafiki bei ya wanunuzi, jambo lilopelekea Serikali kutoa maamuzi ya kuifanyia matengenezo makubwa ya kuifufua Mv Mapinduzi tu, Waziri Dk. Khalid anafafanua hatua zilizobaki na maamuzi ya Serikali baada ya kukamilika mambo yote. Kama bado hujasubscribe chanal yetu fanya hivyo sasa ili uwe wa kwanza kupata habari zetu na kuwajuza wengine. Asante Like|Comment|Share|SUBSCRIBE NOW

Комментарии • 8