MCHIZI ANAPATA SABABU YA KUISHI TENA BAADA YA KUJIKATIA TAMAA | ITAKUSIKITISHA SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 261

  • @DezzyJumanne
    @DezzyJumanne Месяц назад +30

    Wakwanza leo nipen like

  • @jovinmahende
    @jovinmahende Месяц назад +41

    kumbe hyo simu imenunuliwa ki mkakati usku n kuongea to full kutegeana nan akatee🔥🔥🔥Na sisi Mungu atuone jamn😂😂😂

  • @IzakiAmos
    @IzakiAmos Месяц назад +5

    Konka naipenda sana kaz yako nataman kuwa kama wew, naomba kama unahtaj kijana wa kum coach na kukusaidia mambo kadhaa unichukue

  • @JOSEPHINRamazan
    @JOSEPHINRamazan Месяц назад +18

    Wa kwanz Leo jamani like zangu

  • @nillanmohamedy5827
    @nillanmohamedy5827 Месяц назад +20

    Hiyo mzee imenitokea 2022 mke niliekua nahc tutafikia marengo meng akafa tena gafra tu huwa inaumiza sana aisee uone hvyo hvyo kwenye movie tu

  • @Queentipha-f6g
    @Queentipha-f6g Месяц назад +12

    Una kosea konka😊 m kwangu huo upendo unapatikana😊😊😊

  • @karibuduniani9741
    @karibuduniani9741 Месяц назад +6

    Na sisi mungu atuoone jmn 😄 🤣

  • @U_Mach_moz
    @U_Mach_moz Месяц назад +4

    Abalizenu Família, Tiobeyeni uku Mozambique. Tunapambania Uhuru na haki zetu.🙏🙏🇲🇿

  • @BaruaniSaidiBrighton
    @BaruaniSaidiBrighton Месяц назад +4

    Like zangu jamani wa kwanza 🎉

  • @calvinmathiace9512
    @calvinmathiace9512 Месяц назад +8

    Nmeiangalia tena yote japokuwa nishaiona kwa Genius Swahili Movies

  • @NiylaamAliMantika
    @NiylaamAliMantika Месяц назад +7

    Na mim mnione jmni 😂😂😂❤❤🎉

  • @ZanufaKihelo
    @ZanufaKihelo Месяц назад +3

    Kweli mungu atuone jmn 😅😂🙏

  • @gladnessmanase
    @gladnessmanase 19 дней назад

    Nzuri sana

  • @Likeiam552
    @Likeiam552 Месяц назад +5

    Wa kwanza leo

  • @directorshasibu
    @directorshasibu Месяц назад

    "Na Sisi Mungu atuone jamani" 😂😂😂 unyamaaa sanaaaa

  • @annamenard4454
    @annamenard4454 Месяц назад

    Akuboi uku nyie🎉

  • @LeeBeautyZone
    @LeeBeautyZone Месяц назад +24

    Watu badala mkoment kuhusu movie mnakazana kuomba likes sijui zinawasaidiaga nini😏😏.,.. Kazi nzuri Konkaa🔥🔥

    • @priscahmahenzo642
      @priscahmahenzo642 Месяц назад

      😂😂😂😂𝑈𝑚𝑒𝑜𝑛𝑎𝑒𝑒𝑒ℎ😅😅😅

    • @SamiaBint-dm6rl
      @SamiaBint-dm6rl Месяц назад

      😅😅😅😅

    • @LeeBeautyZone
      @LeeBeautyZone Месяц назад

      @@priscahmahenzo642 yaani sijui wakojee😂😂😂

    • @LeeBeautyZone
      @LeeBeautyZone Месяц назад

      @@SamiaBint-dm6rl wanakera😂😂

    • @AdelinaMgaya
      @AdelinaMgaya Месяц назад

      Had so poa ​@@LeeBeautyZone

  • @stevkaliona4107
    @stevkaliona4107 Месяц назад +5

    Gonga like kama unamkubi@izkonkaaaaaaa like zenu

  • @JohanesJunnior-cp9ho
    @JohanesJunnior-cp9ho Месяц назад +3

    Nakubali sana mwamba

  • @Janetom-y5
    @Janetom-y5 Месяц назад +2

    Wa kwanza leo nipe like zangu ❤

  • @MbalasaJRMwakabalile
    @MbalasaJRMwakabalile Месяц назад +5

    Mmmhhh!! Amakweli ukistajabu ya P diddy utayaona ya Baltazar

  • @Zaynab-d5d
    @Zaynab-d5d 12 дней назад

    Nimeipenda hyoo😂😂😂❤

  • @suhailaDadi
    @suhailaDadi Месяц назад

    Nzuri sanaaaà

  • @AbdallahMatwanje-r4n
    @AbdallahMatwanje-r4n Месяц назад +2

    Uyu jamaa na mkubali sn kuliko bushoo Clinton Joshua mletee sn mwamba😂😂😂😂

  • @shabanizena2612
    @shabanizena2612 29 дней назад

    Nilifiwa na mpenzi wangu kabla ya kufika mbali .RIP Hassan❤I miss you

  • @seifkhamis2840
    @seifkhamis2840 Месяц назад +2

    Daah u jmaa uko pow

  • @ellywillisgotora1473
    @ellywillisgotora1473 Месяц назад

    Konkaa umetisha

  • @abdulshebe5689
    @abdulshebe5689 Месяц назад +2

    Konkaaa badilisha muonekano kila mtu anatafsir movie za mjini mpk uwa zinajirudia nenda kwenye mfumo wa movie za shamba kule zinakuwaga nzuri sana tupo pamoja na wewe kila hatua

  • @silashemed4849
    @silashemed4849 Месяц назад

    dah mpaka nimejisikia vibaya,
    Hakika maelezo yanajitosheleza,asante sana konka🎉🎉🎉r🎉🎉

  • @KalistaMbilinyi
    @KalistaMbilinyi 26 дней назад

    😂nasisi mungu atuone jamani😂😂😂😂😂

  • @Zaynab-d5d
    @Zaynab-d5d 12 дней назад

    Babaangu kipenzi ameniacha mapema xaana nando alikuwa rafiki yangu mxhauri wangu ambae hajawahi kuwa mnafiki namkumbuka xaana pia namuombea kheri huko aliko mungu amxamehe makoxa yake😢😢😢

  • @Fatuma-e8z
    @Fatuma-e8z Месяц назад

    Nilisubiri Sana hiii🔥🔥🔥

  • @anilyasalum2273
    @anilyasalum2273 Месяц назад +1

    Unachelwa sana Mzee bba side tunakusubr sana

  • @zaitunimgongolwa1324
    @zaitunimgongolwa1324 Месяц назад

    Kazi nzur ko konkaa ila apo kweny kufiwa na mtu umpendae Mimi nilifiwa na mama angu mzaz mda ambao sikutaman Wala kutalajia kuwa ataondoka

  • @SifaMasamba-rq6ee
    @SifaMasamba-rq6ee Месяц назад

    Unyama Sana kaka uyamasana unaweza Kazi Sana kuoga aaaaa ❤❤😂😂🎉

  • @irenetairo6549
    @irenetairo6549 Месяц назад

    Na sisi Mungu atuone jamaniii 😂😂nimeirudia mara nne 😅😅

  • @AshaIsmail-ny7ex
    @AshaIsmail-ny7ex Месяц назад +1

    Mzigo ni wamotoo jmn🥰🔥🥰🔥🔥🙌

  • @BinKassim-vl8ky
    @BinKassim-vl8ky Месяц назад +1

    Huu ni upendo wa kweli ambao haupatikani daslam

  • @EmmaLugelambwike-ls3ol
    @EmmaLugelambwike-ls3ol Месяц назад +1

    Nakukubali snaa E7bts unaua snaaa

  • @stellahbethord9321
    @stellahbethord9321 Месяц назад +3

    Wakwanza leo ❤❤❤❤thanks bro

  • @Iryns77
    @Iryns77 Месяц назад +2

    Wallah mm ni wakwanza kila siku 😅😅😅

  • @CastoricMuro
    @CastoricMuro Месяц назад

    Ndomana tunashauriwa kuamin anachotupatia MUNGU kuwa ni sehem za maisha yetu🎉❤

  • @Pili-n3l
    @Pili-n3l 22 дня назад

    Regina Daniel Tanzania nzima cjamuona mwanmke mzuri km huyu dada anaebisha apinge coment yng

  • @BettyKyando
    @BettyKyando Месяц назад

    unajua asee📌🔥

  • @zuwenaMiraji-zy5fq
    @zuwenaMiraji-zy5fq Месяц назад +1

    Nakukubaaaali brooooo

  • @dorcasminzi
    @dorcasminzi Месяц назад +1

    Unatucheleweshea jaman jitahidi wateja tuko hapa 😊

  • @nurathabdu-ux1uw
    @nurathabdu-ux1uw Месяц назад

    Upendo wa kweli ambao haupatikan dasam 😢😂

  • @mohammedally9208
    @mohammedally9208 Месяц назад +2

    Mimi sijaangalia bado nasoma tu comment inaoneka ni kali aisee na subiri mpaka baadae nikadandie wifi kwa jirani😊

  • @Ramabadie
    @Ramabadie Месяц назад

    Me nampenda huyu kaka ❤ lakini hii pc niloweka sio yngu😅😅

  • @benjaminaxwesso4561
    @benjaminaxwesso4561 Месяц назад

    Kaliiiiiiiiio can kaka

  • @jovinmahende
    @jovinmahende Месяц назад +5

    Na huu ni upendo wa kwel ambao huupati Dar es slaam😂

    • @johnyusuph2404
      @johnyusuph2404 Месяц назад

      😂😂😂😂

    • @AminaKhemedy
      @AminaKhemedy Месяц назад

      Hapa dar utawapata wale maneno haya sio mageni jijini

  • @YangaSimba
    @YangaSimba Месяц назад

    Kazi nzr nakukubali konka❤

  • @HerbertFrancis-tr8gh
    @HerbertFrancis-tr8gh Месяц назад +3

    Nomaaa saaanaa mtu wetu wanguvu 🎉🎉🎉🎉izkonkaa ❤

  • @HamiccleophacRukobec-tf5yi
    @HamiccleophacRukobec-tf5yi Месяц назад +1

    Nakubali sana man

  • @wachimbajiwavisimatz
    @wachimbajiwavisimatz Месяц назад

    Sisi ndio wachimba wa visima bora Tz Nzima❤️‍🔥

  • @fayzadaud
    @fayzadaud Месяц назад

    Izkonkaa me mbn nimekuonaa😂😂😂
    Eniwei kaz nzur nver seen b4🎉❤

  • @Shadia544
    @Shadia544 Месяц назад

    Kwa kweli inauma sana kupoteza mtu umpendae 😢😢

  • @LutfiaRashid
    @LutfiaRashid Месяц назад

    Hahahaha eti na Sisi mungu atuone😂😂😂😂😂😂😂

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b Месяц назад

    Kzi nzur san

  • @eliyasanga6374
    @eliyasanga6374 Месяц назад +1

    Hivi vi massage vyenu vya nipeni like ningekuwa naweza kufuta aki msinge kuwa munaviona 😅😃

  • @hilarisamwanga4997
    @hilarisamwanga4997 Месяц назад

    🔥🔥kazi nzuri konka

  • @AnatolliaDesderius
    @AnatolliaDesderius Месяц назад +2

    Kuna rafiki yangu alifiwa na boyfriend wake walikuwa ndo wapo chuo mwaka wa kwanza na huyo rafiki angu alikuwa kapelekwa kutambulishwa mpaka kwa wazazi wa huyo kaka

  • @mariamutowi7084
    @mariamutowi7084 Месяц назад +1

    Rafki angu wakike pia ni mdg wangu Amendoka mapema sana😢😭😭😭😭

  • @aishamohd4799
    @aishamohd4799 Месяц назад +1

    Tunaemkubali konka tujuane❤

  • @racheljohn2216
    @racheljohn2216 Месяц назад +5

    Mi nshafiwa na baba yangu mzazi nikiwa na miaka minne tu inauma san kuona wengin wakiw na baba wanapigiwa cm na bab zao 😢 ila wew huna mtu wa kumuita baba

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  Месяц назад +5

      Pole sana ndugu Rachel🙏🥹

    • @racheljohn2216
      @racheljohn2216 Месяц назад +1

      @@e7bits_tz Asante 😊

    • @YusuphMaulid-eg5tq
      @YusuphMaulid-eg5tq Месяц назад +2

      Pole ety jmn

    • @Tonee_Tuber
      @Tonee_Tuber Месяц назад +2

      Pole sana bidada, mimi mwenyewe namiss sana kuona ata Sim yangu inaitwa ikiwa na jina la mama 😭😭😭

    • @wakalaafrica4013
      @wakalaafrica4013 Месяц назад +2

      Pole sn

  • @SunneillahSameer
    @SunneillahSameer Месяц назад

    Wa kwanza leo❤❤

  • @abdulpires9091
    @abdulpires9091 Месяц назад

    Hii Tam Sanna 🔥

  • @mwarabuofficial5241
    @mwarabuofficial5241 Месяц назад

    Huu mzigo umeniliza sana 😢

  • @salminnyhussein8485
    @salminnyhussein8485 Месяц назад +13

    Wa kwanza leo likes kidgo xnah tamaa 😂😊

  • @leahbukombe9296
    @leahbukombe9296 Месяц назад

    Na sisi Mungu atuone jamani 😂😂😂

  • @PriskusMarunda
    @PriskusMarunda Месяц назад

    Unajua kaka mm nimekuwa wa kwanza

  • @shivokenya8761
    @shivokenya8761 Месяц назад +1

    Big up bro

  • @MackristerThomas
    @MackristerThomas Месяц назад

    Nomaaah🔥🔥🔥

  • @jafetimlelwa9042
    @jafetimlelwa9042 Месяц назад

    Upendo wa kweli ambao haupatikani Daslam😅

  • @7BongoTv
    @7BongoTv Месяц назад

    BIG BOSS soon❤❤❤

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule Месяц назад

    Inaumiza Sana hii Move😢😢😢😢

  • @bagengift3488
    @bagengift3488 Месяц назад

    Leo Star Kafariki 😮

  • @katarieba
    @katarieba Месяц назад

    Haupatikani daslaam😂🙌

  • @AishaSaid-bb9xl
    @AishaSaid-bb9xl Месяц назад +2

    Nilkuwa nipo dorodoro mara pa ki2 icho weuweee😂😂

  • @KsonStephan
    @KsonStephan Месяц назад +1

    From DRC 🇨🇩🇨🇩

  • @RayyanMohammed-r6b
    @RayyanMohammed-r6b Месяц назад +1

    Inaumiza sanah
    Ila cku hiz unachelewa kutoa why kaka

  • @ErickLwena
    @ErickLwena Месяц назад

    sikupingi bro konka unatish mnoo an 💪

  • @Bibi-he6vt
    @Bibi-he6vt Месяц назад

    Moto❤

  • @AaAa-tf7sl
    @AaAa-tf7sl 13 дней назад

    Na ssi mungu atuone😂😂😂

  • @SabrinaMatinka
    @SabrinaMatinka Месяц назад +1

    Fundi la kutafsili apewe 🎉🎉🎉🎉 ykee

  • @kuhanimema-wg5uq
    @kuhanimema-wg5uq Месяц назад

    Wa kwanza Leo nipeni

  • @PendoMenganyi
    @PendoMenganyi Месяц назад

    Maurice anajua jmn😢❤

  • @KakaWakala
    @KakaWakala Месяц назад +2

    Ila hii tabia wenye pesa wanayo kudharau watu

  • @AminaAminakazimoto-qd3lk
    @AminaAminakazimoto-qd3lk Месяц назад

    Dah watu wanawah 😊

  • @mohammedally9208
    @mohammedally9208 Месяц назад +5

    Hivi ni kwanini kwenye movies ni rahisi sana kupata demu

    • @TausRaj
      @TausRaj Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂😂🎉

    • @mohammedally9208
      @mohammedally9208 Месяц назад

      @@TausRaj 😥😋😋

  • @AnatolliaDesderius
    @AnatolliaDesderius Месяц назад

    Nmeipenda ❤

  • @LatifaTifa-bq4me
    @LatifaTifa-bq4me Месяц назад

    Nimewahi leo🎉

  • @SaidatiNizigihimana-z4k
    @SaidatiNizigihimana-z4k Месяц назад

    Inauma kweli 😭😘

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya Месяц назад

    Inauma sana isikie kwa mwenzio tu

  • @violethmushy-zs2qy
    @violethmushy-zs2qy Месяц назад

    Upendo huu aupatikan dar wa neccesary😂

  • @SaidSaleman-l7s
    @SaidSaleman-l7s Месяц назад +2

    Mzeee wa kaz

  • @SilvaAmbroseDeWGWANTED
    @SilvaAmbroseDeWGWANTED Месяц назад

    Mimi uyoo ❤😂😅

  • @injasta_channel4255
    @injasta_channel4255 Месяц назад

    Dah atar man hyo inauma sana

  • @QUEENJoseph-kh6cb
    @QUEENJoseph-kh6cb 4 дня назад

    Eti haupatikani dar es salama 😂😂😂

  • @rehemahassan7475
    @rehemahassan7475 Месяц назад

    Daaah inaumiza 😢😢😢