ANAAMUA KUSOMA MADARASA YA CHINI ILI AWEZE KUFIKIA NDOTO ZAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии •

  • @adsonadriano9347
    @adsonadriano9347 6 месяцев назад +8

    ❤hii ya Leo nimenibamba Sana Kuliko Hizo wengine kukata tamaa Ni mwiko na marufuku sana

  • @nassraramadhan4009
    @nassraramadhan4009 5 месяцев назад +7

    Hii story imenikusa sana hadi nalia 😢😢😢😢 kwenye maisha tunapitia changamoto nyingi sana mpaka tunafika malengo letu

  • @Essy1492
    @Essy1492 5 месяцев назад +11

    😢😢tulio umia baada ya Mrs kail mfadhili wa Ade kufariki njoo like hapa

  • @annayambayamba8614
    @annayambayamba8614 6 месяцев назад +17

    Nzuri saan hii picha Mafunxo nimengi🎉🎉🎉🎉

  • @omondinjaakali6382
    @omondinjaakali6382 6 месяцев назад +7

    Mimi nahisi wamwisho ila nimeenjoy kuangalia🤣🤣🤣stor nzur mno

  • @edwardballige1568
    @edwardballige1568 6 месяцев назад +12

    Nzuri sanaaa hii da unajua sana Izkonka

  • @ShugweHusna
    @ShugweHusna 5 месяцев назад +6

    Wallah izkonka ingekuwa wapost kwa siku mara 3 kama dozi ya mareliya ningeachana namapenzi kabisa 😢😢unanipa rahaa kuliko ata ayo mapenzi yananitesa tuuu Allah abariki kazi zako My wetu 🤲🥰🥰🥰🥰

  • @AxerAvaxer-dk8zd
    @AxerAvaxer-dk8zd 6 месяцев назад +13

    Leo na mm npo kwenye ata top 100

  • @VictaMsodoki
    @VictaMsodoki 6 месяцев назад +16

    Mwamba unatafcli movie kiumakn mno kuliko ote wanao piga mbanga iyo kama ya kwako✌️✌️

    • @WATCH_THIS-y7j
      @WATCH_THIS-y7j 5 месяцев назад

      Umewah msikiliza jamaa mmoja anaitwa @amrahul

    • @revocatuspaulo6716
      @revocatuspaulo6716 2 месяца назад

      @@WATCH_THIS-y7jhamjui hahaha yani akitoka yule anakuja huyu

  • @tobadinamhegele8055
    @tobadinamhegele8055 6 месяцев назад +6

    Vigongo vikali na sauti Kali ❤️❤️

  • @hildasawe666
    @hildasawe666 5 месяцев назад +3

    unaweza unaweza na unaweza tenaaa🎉🎉

  • @rodgersmwagu239
    @rodgersmwagu239 6 месяцев назад +6

    Tupo pamoja zee mipinduko ushindi babaahh from Dodoma 🔥🔥💯

  • @EvelyneEdward-s2e
    @EvelyneEdward-s2e 6 месяцев назад +4

    Asante e7bits unajua kutafsiri vizuri we love you ❤😂🎉

  • @filbertlucas2236
    @filbertlucas2236 6 месяцев назад +7

    Nomaa mzee

  • @jovyjackson3445
    @jovyjackson3445 6 месяцев назад +6

    Sema naomba utufanyie Recap ya SUPERSTAR ya mwamba fulani hivi anaitwa Timini yule jamaa wa movie ya HEY YOU

  • @HQBOE
    @HQBOE 6 месяцев назад +5

    Jamn zangu leo naombenk na mm🎉🎉🎉🎉

  • @moricenkwera8903
    @moricenkwera8903 6 месяцев назад +5

    Bonge la muvi hili aisee💯💯💯💯💯😊😊

  • @LandryMapesa-ns5mq
    @LandryMapesa-ns5mq 6 месяцев назад +8

    Nime chelewa ila nataka ata Nami like 2 tu

  • @BernardMayengo-iw7bh
    @BernardMayengo-iw7bh 6 месяцев назад +3

    Love u konka naenjoy sana

  • @ThabeDamian
    @ThabeDamian 6 месяцев назад +4

    E-7bits mnatoa hit tu🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤

  • @TERMINATOR06-sk8un
    @TERMINATOR06-sk8un 6 месяцев назад +6

    Aya sasa nimekuwa wa kwanza

  • @Ahadipro-b7d
    @Ahadipro-b7d 6 месяцев назад +7

    Kazi muzuri sana 🎉🎉🎉🎉 e 7 bits

  • @HQBOE
    @HQBOE 6 месяцев назад +6

    Wa kwanza leo naombeni like

  • @UmmuBaby
    @UmmuBaby 6 месяцев назад +3

    Jamaaniiii wakwanzaaa😢 leo

  • @becanecarlo
    @becanecarlo 6 месяцев назад +4

    nimependa kasiako!

  • @RajabuSamasi-lx8vl
    @RajabuSamasi-lx8vl 6 месяцев назад +74

    Story Kama nimeangalia movie gonga like Kama unapenda

  • @IssaHamisi-tf1bf
    @IssaHamisi-tf1bf 6 месяцев назад +2

    ❤😂🎉😢😮😅😊 umetisha mwambaaaas babaaaaaas

  • @djcardb
    @djcardb 6 месяцев назад +5

    Umejitaid boss

  • @annwangui6344
    @annwangui6344 5 месяцев назад +2

    Movr iko sawa watching from qatar 🎉

  • @hamisiissa9956
    @hamisiissa9956 6 месяцев назад +6

    🎉😂🎉🎉wa kwanza

  • @Samsan-vl9og
    @Samsan-vl9og 6 месяцев назад +7

    Kuna watu mnashindana Yan now tayar mshajaa nljua me wa kwanza Leo 😂😂😂😂

  • @Shadia544
    @Shadia544 6 месяцев назад +2

    Nimechelewa daah asante mwamba tunainjoi tuuu ❤❤❤

  • @DaudKasigara
    @DaudKasigara 6 месяцев назад +5

    Wa kwanz mm leo 😂😂😂

  • @GloryMshana-yb7qg
    @GloryMshana-yb7qg 5 месяцев назад +1

    Move nzuri kweli na nyingine uwe unaleta on time

  • @JohnNdopweli
    @JohnNdopweli 6 месяцев назад +4

    mimi leo wakanza

  • @oscarsanga-pt5xi
    @oscarsanga-pt5xi 6 месяцев назад +34

    leo mm wakwnza aisee nipe likes zang😂

  • @ErickLyanga
    @ErickLyanga 5 месяцев назад

    Mzee wa mipinduko Safi leta nyingine unatupa Raha sana

  • @MatridaGodfrey-xf1zn
    @MatridaGodfrey-xf1zn 6 месяцев назад +8

    Aiseeee watu mnaomba likes kama hela vile😂😂😂😂

  • @jesusbahati
    @jesusbahati 6 месяцев назад +5

    Wa tatu mimi😂😂😂😂

  • @ronaldngwavi8993
    @ronaldngwavi8993 6 месяцев назад +1

    Kali sana hii tupe tuu mzigo mwingine

  • @KarimunhoJr
    @KarimunhoJr 6 месяцев назад +3

    Wa kwanza nipeni maua yangu 🎉🎉🎉

  • @kayomboedward8009
    @kayomboedward8009 6 месяцев назад +1

    Nzuri sana mwamba wa mastory hamna kukata tamaa

  • @donatillamoshy8898
    @donatillamoshy8898 6 месяцев назад +5

    Oyeaaaaaaa konkaaaaa

  • @bahatinassorali5222
    @bahatinassorali5222 6 месяцев назад +5

    😂😂😂anakuna tuhh mbwa manyoya😅

  • @M.e.g.a-ec2mi
    @M.e.g.a-ec2mi 6 месяцев назад +6

    Wa kwanza 🎉😂 mm

  • @calvinmathiace9512
    @calvinmathiace9512 6 месяцев назад +5

    Duuh ni bonge la movie aiseee

  • @rashidismail6593
    @rashidismail6593 6 месяцев назад +4

    Unanifurahisha Sana unaposemaga watuu makofi Tu 😂😂

  • @JacquelineJoseph-qs5df
    @JacquelineJoseph-qs5df 6 месяцев назад +20

    Leo wa Kwanza naombeni like zenu nakukubali sana konkaaa🎉🎉🎉

  • @gasparmpoma3860
    @gasparmpoma3860 6 месяцев назад +2

    Oyaah we Konka ww 🔥

  • @BrianBanda-bb5hl
    @BrianBanda-bb5hl 6 месяцев назад +3

    Mwendelezo vp

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 6 месяцев назад +8

    LEO SIJASIKIA KAKITUPIA NDAN, WALAI SIJAPENDA IZKONKA AKH

  • @tellodelucky6864
    @tellodelucky6864 5 месяцев назад

    All the way from Zenji#Marashi ya karafuuu❤🙌❤🙌🔥🔥

  • @samwelmwango6730
    @samwelmwango6730 6 месяцев назад +3

    Iko powa kaka🎉

  • @naftaledward
    @naftaledward 6 месяцев назад +4

    First one to comment likes zangu naombeni

  • @godwinmisana618
    @godwinmisana618 5 месяцев назад

    Daaah Semaa Nini E7bits Mungu akuweke Una2paa Vi2🔥,,,,Endelea Usichoke🙏

  • @alphajosephaty5596
    @alphajosephaty5596 6 месяцев назад +1

    Wewe ni noma nashida na group lako la movis

  • @rubenimajura
    @rubenimajura 6 месяцев назад +2

    Kaka unajua sana duuu❤❤❤❤

  • @ErickLyanga
    @ErickLyanga 5 месяцев назад

    Unanifurahishaga sana izkonka leta na nyingine basi

  • @JamalyFadhili
    @JamalyFadhili 6 месяцев назад +4

    Wa kwanza ❤❤

  • @jasminirajabu6865
    @jasminirajabu6865 6 месяцев назад +2

    Konkaa hujawah kukoseaga🎉

  • @Revoclassic26
    @Revoclassic26 6 месяцев назад +6

    Wakwaz leo

  • @honnesports6843
    @honnesports6843 6 месяцев назад +4

    W kwanza leo😅

  • @Floracypriakigelulye
    @Floracypriakigelulye 5 месяцев назад

    Nimependa Sana 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ yako dj unatupa Vitus vizuri hongera ❤❤❤❤❤

  • @silashemed4849
    @silashemed4849 5 месяцев назад

    wewe ni mkal bro,heshima kwako,
    unatuletea vigongo vyenye mafunzo,
    yaani dah!🎉

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 6 месяцев назад +5

    Hii muvi inatukumbusha tusikate tamaa

  • @mussamariamm29
    @mussamariamm29 5 месяцев назад

    #izkonka tupe white wings baba ya mwamba Clinton Joshua🔥🔥

  • @LinahLugendo
    @LinahLugendo 5 месяцев назад

    Tulio toa machozi😢😢 kwenye hii movie mpo kweli

  • @BrigitteMelly
    @BrigitteMelly 6 месяцев назад +3

    Wa kwanza mimi Léo like 😂😂😂

  • @isayaleader4245
    @isayaleader4245 6 месяцев назад +2

    Ya moto san hii 🎉🎉🎉🇨🇩🇨🇩

  • @ShamiruMuhibu
    @ShamiruMuhibu 6 месяцев назад +4

    Mm wakwanza leo

  • @EliyJohn
    @EliyJohn 5 месяцев назад

    Unatafsiri vizur kaka hongera🎉🎉

  • @Gelldrama
    @Gelldrama 6 месяцев назад +2

    Sijacherewa sana 🎉

  • @MoTalentTz
    @MoTalentTz 5 месяцев назад +1

    Oy we unyama huu🙏🙏👏👏

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 6 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂mbona funza hatari sana

  • @shaimaahashim4900
    @shaimaahashim4900 6 месяцев назад +3

    Bora Leo nam nimewah

  • @XhebbyMandevu-u1h
    @XhebbyMandevu-u1h 5 месяцев назад +2

    Unyaaaama🎉🎉🎉

  • @lizzygadiel1027
    @lizzygadiel1027 6 месяцев назад +2

    Asanteeee studios konkaaaa😅

  • @oscarsanga-pt5xi
    @oscarsanga-pt5xi 6 месяцев назад +5

    mm leo wakwanza nipeni likes zang

  • @FananiGrosper
    @FananiGrosper 6 месяцев назад +4

    Aweeeee

  • @hakeem2559
    @hakeem2559 6 месяцев назад +1

    Namkubali sana huyu jamaa

  • @yusuphmkumba97
    @yusuphmkumba97 4 месяца назад

    Daah imetisha kinoma🎉🎉🎉🎉

  • @herimwamba8463
    @herimwamba8463 6 месяцев назад +3

    Jamani nimechelewa kidogo kwasababu ya mda naombeni hata link moja tu from 🇺🇸

  • @BeamzMartha
    @BeamzMartha 6 месяцев назад +1

    Mzee wa makofia tu🎉 big up saan 😂

  • @EmediAmisi-f7x
    @EmediAmisi-f7x 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 nimehipenda

  • @TeclaPaul-f3n
    @TeclaPaul-f3n 5 месяцев назад +2

    Mwamba sana

  • @AishaSaid-bb9xl
    @AishaSaid-bb9xl 6 месяцев назад +7

    😂😂ivi nani kamu9na babu yake mtu kwenye nguo ya bluu😂😂

    • @e7bits_tz
      @e7bits_tz  6 месяцев назад

      Aishaa😂🙌🙌

    • @maimuna9132
      @maimuna9132 5 месяцев назад

      😂😂😂😂😂 Mimi nimeona

    • @AishaSaid-bb9xl
      @AishaSaid-bb9xl 5 месяцев назад

      @@maimuna9132 😆😆😆

  • @CleopatraNgomero-t2q
    @CleopatraNgomero-t2q 6 месяцев назад +1

    Movie mzuri sana 👏

  • @ZaiBarqis
    @ZaiBarqis 5 месяцев назад

    Unaweza mpka unaweza tena❤❤

  • @scollamwanisisi2739
    @scollamwanisisi2739 5 месяцев назад

    Konkaaaaa 🎉🎉🎉🎉nimelia sana jamn kwann sjui

  • @KemmySadik
    @KemmySadik 5 месяцев назад

    Mzee nakubalia Sana unajua kusimulia movie Hadi raha.....nilikuwa naomba ututafsirie na Ile series ya Nigeria ya "Blood Sister" please 😌😭🙏🙏🙏🙏🙏

  • @mteulwa6068
    @mteulwa6068 14 дней назад

    Hakika watu wema awana mnda hapa chini ya jua ,nimejikuta nalia t jmn watu tunapitia meng mpk akili inakuambia mwachie Mungu majukum yake

  • @Sarahsaid2648
    @Sarahsaid2648 6 месяцев назад +4

    Duuh mpk nimelia kwenye hii recup

  • @mariaboniphace7853
    @mariaboniphace7853 5 месяцев назад

    Konca unazingua sana siku 5 hupandish movies mzee kama unazidiwa ajiri watu ofs yako inatuongezea muda wa kuishi aisee

  • @irenesongelael
    @irenesongelael 5 месяцев назад

    Inatufundsh tusikate Tama na tukipat nafasi za kufny kitu tusijali umri wa nn ,🙏

  • @DoraryOfficial
    @DoraryOfficial Месяц назад

    Unatisha kaka mungu akubariki Sana😢😢😢😢

  • @GlorylukaBura
    @GlorylukaBura 5 месяцев назад

    On fire broh❤tutupie the witches

  • @azizaumutoni7773
    @azizaumutoni7773 6 месяцев назад +4

    Wa sita

  • @xavieramandiocristovao8286
    @xavieramandiocristovao8286 6 месяцев назад +1

    Story mzuri sanaaa 😢

  • @Gabriel_junior470
    @Gabriel_junior470 6 месяцев назад +1

    Leo kali San kbx

  • @لويسلويس-ص6ر
    @لويسلويس-ص6ر 6 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 hapo kwa funza kidogo nianguke chini