KAPAMBANA KUPATA KAZI AMBAYO ILIGEUZA MAISHA YAKE KUWA KILIO | ITAKUSIKITISHA SANA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 371

  • @victoriamwampulo853
    @victoriamwampulo853 2 месяца назад +147

    Kila nikiangalia Recap zako nakumbuka tu kale ka wimbo ka yule mama " Orewaa orewaa woo emi a duraa orewaa oohh" 🎵🎶😂😂😂😂 kazi nzuri sana 🤝

    • @Zuwenakassim-p3r
      @Zuwenakassim-p3r 2 месяца назад +13

      Nilidhani nipo pekeyanguu kuna mdaa nakaa naimba kabisa😂😂😂😂😂konka anajuwa bwana❤

    • @hassanSobo-yf3ik
      @hassanSobo-yf3ik 2 месяца назад +2

      Aliuwa sana 😂😂

    • @victoriamwampulo853
      @victoriamwampulo853 2 месяца назад +2

      @@Zuwenakassim-p3r yanii🤣🤣🙌

    • @VeronicaRugoyi
      @VeronicaRugoyi 2 месяца назад +1

      😂😂😂😂kweli

    • @elizabethvucentkabwa
      @elizabethvucentkabwa 2 месяца назад +1

      😂😂😂 kwakweli jamaa alitisha

  • @SarahKiula-vf1mo
    @SarahKiula-vf1mo 2 месяца назад +14

    Anaetamani izkonka arudie recap ya movie ya SHINE weka like tujuane

  • @SaidAhmad-o3n
    @SaidAhmad-o3n 2 месяца назад +22

    Watuu makofii tuuu Huwa unankoshaa Sanaa ukisema hvyooo

  • @NaahMzamilo
    @NaahMzamilo 2 месяца назад +12

    Wow mzee unaweza bn unajuwa kutuburudisha like zenu kwa konka

  • @raymondlaurent4167
    @raymondlaurent4167 2 месяца назад +26

    Apa utasikia wa kwanza me naombeni like me sitaki kitu kwakweli tuejoy TU

  • @SalimoselemaneSelemane-z2n
    @SalimoselemaneSelemane-z2n 2 месяца назад +9

    Wakwanza kabisa leo mimi kutoka moçambique ❤❤❤❤ like

  • @FatmaSaid-mq4pi
    @FatmaSaid-mq4pi 2 месяца назад +3

    Hizo movie ni nzuri Sana endelea kutuletea nyengine nzuri zaidi

  • @FlavianDomician
    @FlavianDomician 2 месяца назад +7

    Duh wa mwisho jamaaniiiii Leo

  • @gladnesskawanga1127
    @gladnesskawanga1127 2 месяца назад +7

    Watu mnajitaidi kuwai😂😂😂 Aya

  • @YusuphMpepo-fx9ik
    @YusuphMpepo-fx9ik 2 месяца назад +15

    Kaka Kuna Saut Unatoa Kaka😂😂😂😂 Hazielewek “ Hata Mim Nilibakwa”😂😂

    • @amdee99
      @amdee99 2 месяца назад

      Nilikua naitafuta hii comment😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @Awoshy
      @Awoshy Месяц назад

      😂😂😂😂

  • @AminaKhalfani-ib7sh
    @AminaKhalfani-ib7sh 2 месяца назад +5

    E 7bits chukuwa mauwa yako🎉🎉

  • @ZanufaKihelo
    @ZanufaKihelo 2 месяца назад +2

    Daah konka una golden voice yani uishi sana 💯📌kwajili yetu😅

  • @WitnessTemu
    @WitnessTemu 2 месяца назад +3

    Aseee kaka salute unajuwa, kazi nzuri maua yako broo🎉🎉

  • @Ericksamweli-tt4ov
    @Ericksamweli-tt4ov 2 месяца назад +7

    Nimekua wakwanz na mm pia ndo wapir anae mkubar i7bti agonge like hap

  • @Zuwenakassim-p3r
    @Zuwenakassim-p3r 2 месяца назад +2

    Konka recap ya shine season 2 fanya mwenyewe bwana yule hatumuelewi kabisaaaa😢 nimeacha mpk kufuatilia

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 2 месяца назад +2

    Nyie kumekuchwa konka kaachia ngoma huku❤❤

  • @IreneIsambi
    @IreneIsambi 2 месяца назад +6

    Wa mwisho naombeni like

  • @mwageni4wear680
    @mwageni4wear680 2 месяца назад +4

    Unasepa na upepo wa Diddy😅😅

  • @BimkubwaMcha-ep2mc
    @BimkubwaMcha-ep2mc 2 месяца назад +6

    Hee nimechelewa ndio naona notification 😂😂

  • @mwenieliasa6517
    @mwenieliasa6517 2 месяца назад +5

    Asante sana konkaa❤

  • @BenedictorMelkiades
    @BenedictorMelkiades 2 месяца назад +7

    Wa kwanza Leo, dondosha like zako kwenye comment hii 🎉🎉🎉, Alf mchezo uendelee stay tuned guyz 2enjoy

  • @husseinkaoneka5834
    @husseinkaoneka5834 2 месяца назад

    Nikiangalia movie zako huw napenda kakitupia ndan, nainjoy sana 😂😂😂😂

  • @dicksonrevocatus9711
    @dicksonrevocatus9711 2 месяца назад +4

    Sjawah kuomba like ila leo nimewah sana naombeni Like 20 tu

  • @safiBaguma
    @safiBaguma 2 месяца назад +3

    Kazi nzuri kabisa

  • @LeillaNdayizeye
    @LeillaNdayizeye 2 месяца назад

    Napenda sautia yako saana movie zako zinanifurahish☺️

  • @RamadhaniHashim-m7j
    @RamadhaniHashim-m7j 15 дней назад +2

    Kwan moves za kobongo uwe zitafsili

  • @QuizbwoyDangote
    @QuizbwoyDangote 2 месяца назад +5

    Salute bro

  • @ibrahimelisha8901
    @ibrahimelisha8901 2 месяца назад +2

    Gowoni like Pdidy wa Nigeria lagos uko mjini Ghana

  • @ChristianIrakoze-m5w
    @ChristianIrakoze-m5w 2 месяца назад +4

    One like guys mimi ndiye wakwanza

  • @Halima-f7z
    @Halima-f7z 2 месяца назад +2

    Kila mtu wa kwanza haya mm wa katikat 😂😂

  • @HerbertFrancis-tr8gh
    @HerbertFrancis-tr8gh 2 месяца назад +5

    Duuuuuu hatariiiii ni unyamaa 🎉🎉🎉🎉 izkonkaa ❤❤

  • @GidionTumaini
    @GidionTumaini 2 месяца назад +8

    nimekuwa wakwanza leo naombe like zenu

  • @AnnaMusse-rr9zh
    @AnnaMusse-rr9zh 2 месяца назад +1

    Shoutssss kwa KONKAAAA 🎉🎉

  • @shijamohamed369
    @shijamohamed369 2 месяца назад

    Nakupenda buree huwa sichok kuangalia movie zako

  • @ZuenaChabani
    @ZuenaChabani 2 месяца назад +1

    Duuuh wamwisho kweli miyando inasaidiya sana watu kutowa yamoyoni

  • @AbdallahMchia
    @AbdallahMchia 2 месяца назад +3

    Kwamba pamoja sana

  • @AzizakhamisGori
    @AzizakhamisGori 2 месяца назад +1

    Gonga hpa kam umenjy❤❤❤🎉

  • @BbasuleBasule
    @BbasuleBasule 2 месяца назад

    Wanaofanya licap Ni Wengi Sasa Ila Konka ndo No 1 East Afrca❤❤❤❤❤

  • @FaabinOmar-d6e
    @FaabinOmar-d6e Месяц назад

    Umeicheza brother kazi nzuri

  • @AshaMambo-u4o
    @AshaMambo-u4o 2 месяца назад +2

    Ila kounkaaaa unasaut bhn🎉🎉🎉

  • @E7OTTY
    @E7OTTY 2 месяца назад

    Iam back Zela la kutune izkonka mwenye much love bro🎉🎉🎉🎉

  • @paschalmassay3234
    @paschalmassay3234 Месяц назад

    Sema nn konka nikifanikiwa kupqta mkwanja natamani nikufungulie bonge la studio kama vipi unasimulia huku nakuangalia big up bruh

  • @drakedrakeest
    @drakedrakeest 2 месяца назад +1

    kaka izikonka nakubali upoi uboiii❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @AlessAless-rb4fu
    @AlessAless-rb4fu 2 месяца назад +8

    Wakwanza jamani like 🎉🎉❤❤❤❤

  • @ashajumanne3281
    @ashajumanne3281 2 месяца назад +6

    Wakwanza

  • @irealyxchamdori596
    @irealyxchamdori596 2 месяца назад

    Mbn km kesi za p didy enewei 😆😆 namkubal sana konkaaaaaaaaa❤❤❤❤

  • @Maimunaibrahim-q1q
    @Maimunaibrahim-q1q 2 месяца назад

    your movies are always the best

  • @mbarakaramadhani9124
    @mbarakaramadhani9124 2 месяца назад

    Nakuomba Izkonka tupigie recap ya LET IT SHINE

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 2 месяца назад +1

    Iko poa sana hongel kwako dj

  • @meresianaadolf9397
    @meresianaadolf9397 2 месяца назад +4

    Sauti ako ty jman ❤❤❤❤

  • @AgnessJohn-cw9bs
    @AgnessJohn-cw9bs 2 месяца назад

    unajua kucheza na sauti konkaa❤❤❤

  • @LoiceLoice-c1b
    @LoiceLoice-c1b 2 месяца назад

    😂😂😂😂hiy sauti yanwaschan kubakwa inatoka moto san😂😂😂😂

  • @AbdallahMchia
    @AbdallahMchia 2 месяца назад +2

    Uweunatoa movies mapema usiwe unachelewa kutoa leo toa kesho toa

  • @priscumushi9083
    @priscumushi9083 2 месяца назад

    Oya kazi kali sana unazichelewesha

  • @jovinmahende
    @jovinmahende 2 месяца назад

    😂😂😂sema leo umesahau ile Mipinduko ikajipaa🙌🙌

  • @Gutfeelings250
    @Gutfeelings250 2 месяца назад

    Umetisha mzee si utufanyiye recap ya OLOTURE

  • @BensonTegambwageDecordesign
    @BensonTegambwageDecordesign 2 месяца назад

    Jaman hakuna maisha mabaya kama wazazi kuwa wanagombana

  • @CharityMwambunga
    @CharityMwambunga 2 месяца назад

    Thanks much

  • @Lornagari
    @Lornagari 2 месяца назад +2

    Kazi yako safi kaka🎉🎉

  • @AshaIsmail-ny7ex
    @AshaIsmail-ny7ex 2 месяца назад +2

    Mzigo ni mkali balaaa

  • @ElijahWilliams-on4fq
    @ElijahWilliams-on4fq 2 месяца назад +4

    Wa kwanza kutoka Burundi 🇧🇮

  • @Misanyahidaya
    @Misanyahidaya 2 месяца назад

    Kali sana funzo kwa wenye maokoto

  • @wadantz123
    @wadantz123 2 месяца назад +6

    Wakwanza 🎉😂🎉🎉🎉🎉naombeni like mungu atawabariki

  • @Zonieclassic
    @Zonieclassic Месяц назад +1

    Mjinii kitandaniii😂😂

  • @EvanceUzengo
    @EvanceUzengo 15 дней назад

    Unajua sana kuzicheza izo muvi

  • @mariamjoseph3530
    @mariamjoseph3530 2 месяца назад

    Usipende kutuchelewesha ikiwezaka kila baada ya siku mbili tuwekee mambo mm ni mdau wako sana nikiikosa sijisikii vizur

  • @AgnessEmmanuel-c5r
    @AgnessEmmanuel-c5r 2 месяца назад

    kuna movie mpya inaitwa a love to remember naomba uifanyie recap kwa ajili yang🙏

  • @GRACESSIMONY
    @GRACESSIMONY 2 месяца назад

    Nikali sana kazi nzurii brooo

  • @Beyonceqme
    @Beyonceqme 2 месяца назад

    Unyama ni mwingi sana bro 😎 ❤❤❤❤❤more love ❤

  • @RonaldGerald-k3g
    @RonaldGerald-k3g 2 месяца назад +1

    Duh huu mzigo nbalaaa ..

  • @ChristinaCharles-ef8qv
    @ChristinaCharles-ef8qv 2 месяца назад

    Ila we dj wew ety ata mimi nilibakwa 😂😂😂😂😂 aki nimecheka

  • @mohamedindalo2663
    @mohamedindalo2663 2 месяца назад

    Sina cha kusema juu ya kazi yako mzee unaweza unaweza mpka unaweza tena like nyingi kwako

  • @Amadesalimosaide57
    @Amadesalimosaide57 2 месяца назад +3

    Nimekua wa 3 naombeni like 😢

  • @RabiaRashidi-y6d
    @RabiaRashidi-y6d 2 месяца назад

    Nzuri sana japo ni fupi😊

  • @aloycetigerjr745
    @aloycetigerjr745 2 месяца назад +2

    Me wa mwishoooooooooooooo leooooooo nipeni like za lolake😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @shaabankibinda6014
    @shaabankibinda6014 2 месяца назад

    Daaaah king of recap❤❤

  • @MBUGABOYTZ
    @MBUGABOYTZ 2 месяца назад +1

    Naafungwe na presentation zake😂😂😂😂

  • @aishamohd4799
    @aishamohd4799 2 месяца назад +3

    Konka mmoj t❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @ZuuhLugoda
    @ZuuhLugoda 2 месяца назад

    Hata mm nilibakwaaaa na gooniiii 😂😂😂 hata mimiii

  • @tahiyaomary15
    @tahiyaomary15 2 месяца назад

    izkonka unajua bwan ❤

  • @MBUGABOYTZ
    @MBUGABOYTZ 2 месяца назад +1

    Kaz ya kwenda .zeee🎉🎉

  • @ErickMlowe-d9x
    @ErickMlowe-d9x Месяц назад

    Gowon alikitupa na wafanyakaz wake😂😂😂

  • @CelestenJoshua
    @CelestenJoshua 2 месяца назад

    Bro unatisha sana. Auna mupinzani kwa iyi kazi

  • @NoriahMwafula
    @NoriahMwafula 2 месяца назад

    Umetishaa sana

  • @BrayantSei
    @BrayantSei 2 месяца назад

    kazi iko fresh🎉🎉

  • @LudovickSamson
    @LudovickSamson 2 месяца назад

    Mzigo wa moto san🔥🔥🔥🔥

  • @Nurdinbakar-b6j
    @Nurdinbakar-b6j 2 месяца назад

    Unyam san mkuu Yan ni🔥🔥🔥🔥

  • @WardaOthamni
    @WardaOthamni 2 месяца назад

    Napenda kazi zako conga

  • @AngelinaPaulo-bf1vw
    @AngelinaPaulo-bf1vw 2 месяца назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉apo tuh nakukubali

  • @Lim-v9w
    @Lim-v9w 2 месяца назад

    Ooya hiyo P2 kasema kwel au umetupiga za uso KONKA!!😅😂🔥

  • @itsreyh_tz
    @itsreyh_tz 2 месяца назад

    Konka kazi nzuri

  • @priscumushi9083
    @priscumushi9083 2 месяца назад

    Eti na mimi nilibakwa niliteseka sana 😂😂😂😂

  • @josephinembeyale3005
    @josephinembeyale3005 2 месяца назад

    Konka ni mmoja tu 🔥🔥

  • @LebonAlliance
    @LebonAlliance 2 месяца назад

    Kazi zuri kabisa

  • @AloyciaDaudi
    @AloyciaDaudi 2 месяца назад

    Bro uko vizuri sana

  • @lordmasali3410
    @lordmasali3410 2 месяца назад

    "hata mm nilibakwa na gowon aliniingilia kinguvu niliteseka san"😅😅😅😅😅 ila konka bana

  • @stephanozibe2740
    @stephanozibe2740 2 месяца назад

    Dah noma sanaa

  • @dicksonrevocatus9711
    @dicksonrevocatus9711 2 месяца назад

    Kaz nzuri konka 🎉

  • @jescacasto9772
    @jescacasto9772 2 месяца назад

    aaah mzigo uko noma xan...

  • @ERNESTMTEULE
    @ERNESTMTEULE 2 месяца назад

    We jamaa unajuwa sana