Mama ubarikiwe mama mpendwa kwa kutumbukia watanzania maana tuna matatizo sana wanadamu na dawa za kemikali zinatuhalibu ubarikiwe kwa wosia mzito sana na nifaida asante🙏
Mama Terry uko vizuri Sana.Nakupenda nakuheshimu. Tunajifunza mengi Sana toka kwako tunavyopaswa kurudi eden sasa .Tunasukia uyoga pia ni mzuri Kwa afya. Tunaomba utenge siku ya kutupatia faida za uyoga mwilini basi mama tunaomba Sana , maana upon mwingi masokoni.
Asante Sana Mama nikweli kabisa, Mimi hapa ni Fan wakula mboga Za grini+ namatunda aina ya hii papai, unaezungumuza kwa Sasa. Nimependa Sana hii Video yakutufundisha .
ASANTE SANA MAMA TERRY,NINAKUNYWA JUICE YA PAPAI BILA KUWEKA SUKARI WALA ASALI,NA NINAOSHA VIZURI NA SIMENYI MAGANDA,WALA KUTOA MBEGU LEO NIMEJUA MINYOO ITAKUWA HAIKAI KWANGU
tafuta watu wanaojua kutengeneza juice ya alovera vizuri ununue lita moja then uwe unakunywa kikombe cha kahawa kimoja asubuhi na jioni..........ila chungu sana uwe mvumilivu
Hongera sana mama Terry Kwa ELIMU unayotupa mmi Majid MDOGO wake Azama Nairobi anaomba namba yako
Asante mama terry kwa somo nzuri kwa kunipa akiba ya maisha yangu.
Mama ubarikiwe mama mpendwa kwa kutumbukia watanzania maana tuna matatizo sana wanadamu na dawa za kemikali zinatuhalibu ubarikiwe kwa wosia mzito sana na nifaida asante🙏
Ni kweli dawa za hospital ni pasta kichwa,jinamizi
Wow nice Asante kwa mafuzo mama yetu Mungu hakubari more
Asante nitafutie vyakula au matunda vitakavyotibu upunguzaji watumbo kitambi nakuongeza tako au kalio
Hongera kwa somo hili nzuri.
Mama Terry uko vizuri Sana.Nakupenda nakuheshimu. Tunajifunza mengi Sana toka kwako tunavyopaswa kurudi eden sasa .Tunasukia uyoga pia ni mzuri Kwa afya. Tunaomba utenge siku ya kutupatia faida za uyoga mwilini basi mama tunaomba Sana , maana upon mwingi masokoni.
Asante kwa mafunzo mazuri mama Terry. Nilitazama hili kwa pendo TV.. very powerful ❤
Ahsante mama🎉🎉
Asante mama for education
Asante sana kwa elimu
Asante Sana Mama nikweli kabisa, Mimi hapa ni Fan wakula mboga Za grini+ namatunda aina ya hii papai, unaezungumuza kwa Sasa. Nimependa Sana hii Video yakutufundisha .
Santie mama mafunzo
Asante mama tutalifaniya kazi inshallah
THANK U SOO MUCH FOR SHARING🙏 GOD BLESS U ALWAYS! AMEEN🤲👍💖👌"
God bless you mama
Mama ubarikiwe kwa mafundisho yako mazuri
Mama Mwenyezi Mungu akubariki
❤️ubarikiwe ummy
Yaani nakupenda sanaà unatuelimisha sanaaa❤❤❤🎉🎉🎉
Hongera sana mamaTerry ndio maana unaonekana bado uko vizuri
Asante mama vip mbegu za papai ni dawa ya kuzuia mimba
Asante sana. Kwa wosia
Shukrani madam
Asante mama kwa somo
Asante Sana mama🎉
Ubarikiwe sana Mama Terry kutuokoa na matatizo ya afya.
Ahsantee sana mama ❤️
Asante san mama
Mungu akubariki mama kwa kutupa elimu yenye faiad
Asante mm tery ubarikiwe sana
Mungu akulinde
asante, nasubiri faida za AVOCADO
ASANTE SANA MAMA TERRY,NINAKUNYWA JUICE YA PAPAI BILA KUWEKA SUKARI WALA ASALI,NA NINAOSHA VIZURI NA SIMENYI MAGANDA,WALA KUTOA MBEGU LEO NIMEJUA MINYOO ITAKUWA HAIKAI KWANGU
Ubarikiwe mamii
Hongra kwa elimu unaokoa maisha ya watu usichoke:
Thanks mom
Asantee
Asante sanaa
Apana sasa tunaifanyia kazi kabisa
Mama angu mungu akulaze mahali pema peponi Kansa ndo imekuwa dawa majani ya mpapai mama Teri ulikuwa wapi mama angu kanitoka kisa Kansa 😢😢😢
Asante sana
Asante
Mama Terry wewe ni Dactari nzuri Sana hongera
Asant mama
asante sana mama ubarikiwe
Asante saana
Kipindi changu pendwa asanteni sana wahusika wote.
Asante :😮.
Mama shkamoo mama yangu naomba kujuwa je nikitumia glasi moja badala ya kijiko kimoja??
😊😊
Asante Mama
Asante Sana Mama Kwa mawaidha ya Mpapai Mungu akubariki
Asante mama
Asante mama yetu, umetujali sana ,ubarikiwe..Ila mm naomba msaada wako..papai Tosa sijui likoje nifundishe tafadhari.
Castor oil nitumie kwa kiasi gani, na muda gani?
Mama tafa dhali naomba nielekeze
Namna ya kutengeneza sabuni ya majani ya mpapai
Je Mama Terry,Ni Aina Gani Ya Papai Ina Nguvu Zaidi Katika Tiba Za Kiafya?
😘🙏🏻
Vizuri
Nile papai kiasi gani kwa siku
❤❤❤😊
Mama kweli papai linatoa mimba ,ninamba Sasa natamani kula papai
Kweli, mjamzito hatakiwi kula papai
Nilikua siyapendi haya matunda lakini kesho nikiamka tu mbio Supermarkt naenda kuchukua papai yangu matata
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉😂
Ndio zaman walikuwa wanatumia sabuni ya papai
Mama nauliza papai tosa ni gani?
❤❤❤❤❤❤
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️
Mionzi si wanasema sio mizur mionzi
Lily
Sio mizuri kwasababu inanyonyoa nywele na kucha kwa wenye kansa
Asante ila unaongea sana wesema faida ni moja mbili tatu sio kalikwenda kakirudi
Mama tupe dawa ya visunzua
tafuta watu wanaojua kutengeneza juice ya alovera vizuri ununue lita moja then uwe unakunywa kikombe cha kahawa kimoja asubuhi na jioni..........ila chungu sana uwe mvumilivu
Asante mama
Asante sana sasa mama
Asante sana mama
Asante mama