Wadau wapendekeza ubunge wa viti maalumu ufutwe, Mdee ajibu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024
  • Wadau wamependekeza kufutwa kwa nafasi za ubunge wa viti maalum kwa kile kinachotajwa nafasi hizo zinachangia ukatili, hazileti dhana ya usawa wa kijinsia na kuigharimu Serikali zaidi ya Sh200 bilioni kila baada ya miaka mitano.
    pendekezo hilo limetolewa leo Mei 25, 2024 katika ukumbi wa Hoteli ya Victoria Palace jijini Mwanza na Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Tanzania, Dk Ananilea Nkya, wakati wa mdahalo wa wazi wenye lengo la kujadili mchakato wa kupata Katiba Mpya ya Tanzania ulioitishwa na Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS).
    Kwa mujibu wa Mchambuzi wa Masuala ya Kisiasa, Deus Kibamba, mwarobaini wa changamoto ya viti maalum bungeni itaondolewa kwa kuanzishwa kwa mchakato wa Katiba Mpya, mchakato alioutaja kwamba utaondoa mambo yaliyopitwa na wakati.
    Hata hivyo alipopigiwa simu kuzungumzia maoni ya wadau kuhusu kufutwa kwa nafsi hizo, Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee amesema

Комментарии • 22

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 22 дня назад +2

    💯ifutwe

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 22 дня назад +1

    Huyu mama ana hakili nyingi sana. Changamoto hii nchi inaongozwa na vilaza, hawawezi kuona hii analysis.

  • @user-io6yj9fs2h
    @user-io6yj9fs2h 6 дней назад

    Mama umebalikiwa kiakili sana mungu akutunze sana amina

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 21 день назад

    Naunga mkono hoja...Gonga like

  • @AnaniaKyando
    @AnaniaKyando 22 дня назад +3

    Nchi hii inapigwa sana haiwezekani ukawa na wabunge zaid ya miatatu na ushee watoto wanakosa bima hii nihatar sana

    • @hamisimuhunzi7916
      @hamisimuhunzi7916 18 дней назад

      CCM inaturudisha nyuma sana wananchi walishavikataa viti maalum ktk maoni kwa wingi wao lakini mpk leo vinaendelea kinyume na matakwa ya wananchi..leo tunajadili ujinga ule ule tulioukataa..

  • @AlbertSabo-hp3ss
    @AlbertSabo-hp3ss 22 дня назад +2

    Mama ameongea point nzuri sana. Pia wabunge waanze kulipa kodi pia kama raia wengine

  • @mujunibengesi4899
    @mujunibengesi4899 22 дня назад +2

    Ni kweli hii imepitwa na wakati

  • @user-fk6mt5ib6g
    @user-fk6mt5ib6g 22 дня назад +2

    Nakuunga mkono, na Jambo lililostahili kufutwa miaka kumi iliyopita

  • @boscoafikile4737
    @boscoafikile4737 22 дня назад +1

    Ni kweli viondolewe

  • @juliusevance
    @juliusevance 22 дня назад +1

    Mama uishi miaka mingi Mungu akulindeeeeee

  • @user-sw7tf1ob1b
    @user-sw7tf1ob1b 21 день назад +1

    Ondoweni Wana wekwa wanaweke wasio na cv Wana chagua sura kama huna sura hupati Amina mama Kwa nini mama samiya asikuteuwe uwe mwanasheliya mkuu hata jaja mwanasheliya mkuu hajaona Hilo wewe umeona tunataka watu wenye maono siyo sura

  • @user-fl7jl7vk3n
    @user-fl7jl7vk3n 22 дня назад +1

    Dada uko vzr viti maalum zifutwe hawana mchango wowote wanakula Kodi ya Wananji bure

  • @YusufDuale-eq4kl
    @YusufDuale-eq4kl 22 дня назад +1

    Kweli kbsa

  • @MathayoLoboi-uw2uj
    @MathayoLoboi-uw2uj 22 дня назад +1

    Watfutwe na pesa hiyo ya wabunge hao uwekwe kwajili ya kufuta tozo

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 22 дня назад

    Tunataka Wanawake kama hawa Mungu akulinde

  • @gastordominic410
    @gastordominic410 22 дня назад

    Nimekuelewa sanaaaaaa

  • @MathayoLoboi-uw2uj
    @MathayoLoboi-uw2uj 22 дня назад +1

    Naunga mkono hoja hiyo wafutwe wote

  • @MusaOgwoko
    @MusaOgwoko 22 дня назад

    Hafai ni ujinga tu

  • @josephusimbanilo9500
    @josephusimbanilo9500 22 дня назад

    Sasa ucho ki rogo hapo katkat nichanini🤔

  • @rkcomercialenterprises3209
    @rkcomercialenterprises3209 18 дней назад

    FUTA VITI MAALUMU KWELI ZIMEPITWA NA WAKATI TENA HAKUNA TIJA YOYOTE.

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991 21 день назад

    Hakuna umuhimu wowote zaidi ya upigaji tuu