KAMA HAUNA CHETI CHA NDOA HAUJAOA; WIKI YA SHERIA ELIMU INAENDELEA KUTOLEWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Hakim Mkazi Mfawidhi wa wilaya ya Chunya kwakushirikiana na Mahakim, wanasheria, mawakili na wadau mbalimbali wa Sheria wanaendelea kutoa Elimu maeneo mbalimbali ikiwa ni Sehemu ya Maadhimisho ya wiki ya Sheria inayoadhimishwa Nchini kote
    Ikiwa Haujui kama umeoa au la, Umeolewa au la, Fuatana na Elimu hii Ujifunze juu ya Elimu ya Ndoa
    Endelea kutufuatilia kwenye mitandao yetu
    Chunyadc.go.tz
    Chunya_official
    Chunya Dc online

Комментарии •