Ako wapi?🤔 Usihukumu kwasababu hata wewe utaukumiwa. Sai ndio naona mungu akiwa upande wake dada yetu mungu amemtetea vita vikali kuna wakati alikuwa na machozi mengi sana
Waimbaji kuweni makini na huduma hiii kwa kuwa ipo siku ya kunyamaza kimya kaburini na co kwamba unamfurahisha mutu bali ipo siku ya kuhukumiwa na Bwana yesu ni hatariii sana kama ukafanya kumfurahisha mutu
Inamiuza sana kuona waimbaji walioanza vizuri leo wanamaliza kwa kujichanganya na dunia hivi Mungu kumbariki mtu ndio kumuacha sijamuelewa huyu dada kabisa inaumiza sana
😢 Anaimba kwa kujifurahisha tu hapo Yule Yesu wa Enzi zake hayupo tena ndio maana hazina hisia kbs.
Exactly
Ako wapi?🤔 Usihukumu kwasababu hata wewe utaukumiwa.
Sai ndio naona mungu akiwa upande wake dada yetu mungu amemtetea vita vikali kuna wakati alikuwa na machozi mengi sana
Waimbaji kuweni makini na huduma hiii kwa kuwa ipo siku ya kunyamaza kimya kaburini na co kwamba unamfurahisha mutu bali ipo siku ya kuhukumiwa na Bwana yesu ni hatariii sana kama ukafanya kumfurahisha mutu
Mungu atusaidiie sana
Inamiuza sana kuona waimbaji walioanza vizuri leo wanamaliza kwa kujichanganya na dunia hivi Mungu kumbariki mtu ndio kumuacha sijamuelewa huyu dada kabisa inaumiza sana
Dada Christina Shusho amepigwa Ikabod, yaani utukifufu wa Mungu umeondoka kabisa. Umebaki mtungi mtupu kweli kweli.
Inatia huruma sana.Wimbo umekosa upako. Si kama Alivyokuwa jamani utukufu umekwenda wapi ..
What has she done her songs unifanya kulia
Kitambi kimekuangusha ...
Uyu ameenda,hamna wokovu tena
Kweli huko nikutafuta maokoto tu
🎉
Kuombaomba.hela watu wa.Mungu mnamtukania.Mungu.ushoga ulawiti.maasi.yanaongezeka wengine ndo mnakazana kuombaomba hela mnajua nyie.kwani hamna mikono.ya.kufanya.kazi I'li mjipatie kipato
Cristina shusho uangaliage unasomwa nyota dada mahela.bila.yesu.ni mapetroli.tanks.yatakuchoma wewe.na kizazi.chako.na.usifikili.wasoma.nyota.wanakuwa.na mapembe.wanakuwa na mapembe.kwa ndani.kwa.nje.ni.wazuri.tu.wanaweza wakuoe.na.kukuoa.kuwaita.wakina.baby.
HV kaolewa na mume mwingne jaman au mbona sjamwelewa yule mume aliykaa naye
hapo bila Rose muhando hakuna kitu ndoa imemshinda huyo
Ushamba tu! Anaona alikosea kuolewa na yule baba wa watu mstaarabu kamfundisha vitu vingi akaonekana huyu dada. Laana ya mumewe itamtafuna tu!🤔
@@kellyngogo3319Hapo pana pointi. Hizo laana za kukejeli ndoa.
Tuangalie namavaz tunayoyava wapandwa
Hapa napo utukufu umepotea
Huyu nae Ana sifa nasibu mchungaji tena
Huyu ni mpagani kama wapagani wengine tena huyu ni zaidi huyu ni mtumishi wa Lusifa/shetani/Ibilisi
Yaan wewe sio wazaman jitafakari sana upako umetoek
Uzuri mtu aliyeokoka hutambulika tu Kwa mwonekano wake.