Duuuuh sio kwa kulewa uko bwana harusi apendi bas tuu ata kucheka analazimisha mmmmh atari sio vizuriiii kunywa pombe kwa wakati kama huo angesubiri shughuli iishe kwanza watu wakipungua aburudike sasa watu wengiiiiuu mtu yuko mbwiiiiiii 🤔🤔🤔🤔🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Inaonekana aliweka nadhiri siku atayoolewa atakunywa mpaka basi aibu siku ya shuhuli yako unaomba Mungu watu wasikuharibie kumbe wengine wanaziharibu wenyewe amekosa mshauri wala mtu wa kumuongoza na kumsimamia
Loooooooh nmecheka jamani hadi kwa sauti kubwa, 😂😂😂 imependeza
Aliyempa pombe huyu bi harusi, anachakueleza mbele za Mungu.....
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣yaan mwezio kashavunja nazi sanaa
C mbaya kila mtu na swaga zake,cmlaumu bi harusi labda hajazoea kusimama mbele ya watu mob ikabidi ivo,so well done my dear linda ndoa yako
Hongera Bi harusi mtarajiwa!!! Big up sana
Junior Cantona Lu
Uyu bibi harusi kalewa pooh katia aibu adi bac khaaa
Mmmh mpaka mume mtarajiwa anaona aibu loooh! Bi harusi mtarajiwa yupo mbwi
Mashallah, nice 😀😀😀
Japo umelewa gongo lkn tyt ndio unaolewa ndoa njema ulevi uache
duh hii Kali Yan aibu kw wakwe
Masha Allah nimech mpaka bac
Jmn namuombea aishi na mume wk slm ila naomba isije ikanitokea hv nihatari
Ile unampapasa kumbe ni baba mkwe😀😀😀
😀😀😀
Hii n noma sna sipendi kbs
Mwanaume Kawa mpole kumbe mwanamke kalewa khaaaaa 😏😏🙄🙄
Lkn amna aibu wala nn ukifungwa kitambaa uwez jua lkn si amepatia angeshika mpk pumbu maana si anazijua jinsi zilivyo
😁😁😁😁
😂😂😂😂😂
Hatariiiiiiiiiii
Hahahahaha hahahaha uwiiiiiiii mbavu zangu mm
Waaah nimecheka Kwa mazishi
Huyo matron alikuwa anamsukumia,kumuonyesha
Hahahaha nimetoka kwa mirady ayo nijenithibitishe kama nihuyu mwanzo sikugunduaga kama alilewa
Nakubali sana kazi zako bro
Mlevi hadi akili
Hii ni jamii ya amber ruty
Mc gara nakupenda 😍😍😘🤩🤩🤩🤩
Duuuuh sio kwa kulewa uko bwana harusi apendi bas tuu ata kucheka analazimisha mmmmh atari sio vizuriiii kunywa pombe kwa wakati kama huo angesubiri shughuli iishe kwanza watu wakipungua aburudike sasa watu wengiiiiuu mtu yuko mbwiiiiiii 🤔🤔🤔🤔🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️🏃🏽♀️
Yani hadi ndugu mtazamaji ninaona aibu 😂😂😂
😂😂😂kama mm meona hya
😂😂😂
mohamed mbulu 😝😝😝😝
Hahahaha hhahha jamni nimecheka mno
😂😂😂😂
Pombe siyo Chai loooh Mara ya kwanza nilikunywa bia 8 ila sikua kama huyu Dada katisha Sana loooh
hadi jamaa anaona aibu mke mtarajiwa kalewa hatari 🤣🤣hapo mawifi utasikia hakuna mke hapo🏃♀️🏃♀️
Mh mbona kama mdada yuko tilalila 🍾🥂
Kabisaa!!
🤣😂😂😂😂
😀😀 hatari
Ataa cyo atar uyo dada alitenshika anaeza mshtua labda amkonyeze flan mbn atajua tu
Naomba anae fahamu jina la huu wimbo aniambie
Katia aibuuuuu mweeee pombe siyo chai
Kalewa jaman
Chapombe nfyuuuu
kwa taabia aliyoionyesha mbele za wakwe zake ni dhahiri kuwa ndoa itamshinda .. mfyuuu
Aibu naona Mimi huku
Hata mimi
Kumekuchaaa sio kwa pombe hii
Hahaha.... Huyu kalewa sio bure
Hata anavyoimba
Kama umeskia Bibi harusi anauliza mpenzi wake yupo upande gani ,Julia au kushoto
Congratulations
ukiona kila mtoa comment ameponda ujue arusi ya kindezi sjaipenda kiviile kupapasa papasa waume wawezio ujaona style ilingine ya kuingilia ukumbin
Sitaki kabsa had naona aibu Kwani kumpapasa MTU hivo mbele za watu ndio nini??? Inipite tu
We ach t nimeona hyaa
Hahahaa
Pwaaah haha
Ayila Rhoda ha ha ha mmh.mwezangu kweli
Nimeona aibu mm
Hahahaha sio kwa gongo hio
Kama hulikua hujui kama mke anarewa si unatoka hapo unaailisha ndoa maana si kwa aibu hii
Duh maharus nao wanalewa
Daah mlevi kaolewa
Jillian lovie hahaha
anayemjua Mc rugarabam tujuane ap
muhayaaa
Kalewaa jamani nanikampa pombee hivii
Chapombeee bi harusii
Jamani naomba mtu anaefahamu jina la wimbo walio cheza maharusi aniambie
Waooo it is good style
hana lolote huyo...sikiliza anavyouliza.. eti ni mtu wa ngapi? kutoka kulia au kushoto.. limelewa hadi aibu mfyuuu
Victoria Nyamaronge hahahaaaa nikajua mesikia peke angu
Huyo haziwezi pombe ila kajitoa kujipigilia kutoa aibu pombe zimepitiliza du bad histori
aliemshika amemueka balance asiyumbe,.ila alikua anamsukumia kwa muhusika.
Ni shidaaaaaaa
Heeeee ad mm naona aibu et
Aibu hasaa
C kwakulew huko😌😌😌
Be harusi kama hayupo
Habari sana
Bi harusi yupo tungi
C très chic
Umchezo siutaki mm nitakuja umbuka mm
angalia vizur hyo video asingemjua amesaidia na matron wake wakat anamgusa muhusika angalia vizur
Tatu sasa waumbuliwa na nini
@@fatmasemfuko6383 😂😂😂😂😂😂😂😂nitamshika hambae sie haaaa
@@iddkhan7787 😂😂😂😂😂😂ila kweli eeh subir nitizame tena
Yani nikimkumbuka huyu dada nataman tu kumuangai
Waoooo laah sana
Duh hapana CIO kwa style hii ya kushikana shikana ivo hdi aibu
Aibu mbele zawatu
Mwanamme hana mke hapa
yan kanikera hatariiiii ... hana hekima kabisaaa
mbaya sana staili hii so poa kabisa
anatutia aibu mabihars wenzie sasa ndo nn kulewa ata hajainyoy sik yake kwakwel😂😂😂🤔
huyu dada alikunywa nini lakini lol
Kama kalewa lakini ni hisia
@@hilarywizysonsonwizy6241 mmmh hizo hisia zake za nchi gani zinamfanya ayumbe kama mlevi 😄😄😄
Duuuh hii kal
Hadi raha
mnaosema katia aibu aibu gani mbona mm sijaiona apa jaman au machoyangu ayaon vizur Ila tu sema kama kalewa lakin ajafanya chochote kibaya apa
consolata medard upo sahihi
Mwenyew cjaona hata
Sijaona kitu pia
Tilalilaaaaaaaaa
Kaya zaerumbri naishirin
Hovyoooooooooooooo!!
Bon mwaitg
😂😂bi kharus kalew😂😂😂
Kalewa mpk anayumba
Khaaa uyu nae sasa ndo katoa aibu amaa haahaha
Hatarii
aibu
Apana mmekuta baa uo ulevi si sawa kabisa
Inaonekana aliweka nadhiri siku atayoolewa atakunywa mpaka basi aibu siku ya shuhuli yako unaomba Mungu watu wasikuharibie kumbe wengine wanaziharibu wenyewe amekosa mshauri wala mtu wa kumuongoza na kumsimamia
Kabsa yan cjui alifanya nn mpk huruma
Kaka kabaki kushangaa tu
Joti
Amelewa hadi kero jamn uwiii aibu
Bi harusi amelewa nini?
Kalewa mwanza nyegezi
Tilalila
Nimeipenda iyo
Bwana harusi kala wa mee duuh
Bi haruc kalewa😏😏😏😏
😍😍
Kitambakinaona waongo
Hahaha noma sana
Duuuuh!!!
Biharus kaaaaa kakangu nakuhurumia
Pombe sio chai
Duh huyu no harusi tilalila amekunywa zaidi daah
Nimecheka adi basi
Mh
Dada mwenyewe kalewa chakariii anapepesuka tu
Umeonaeee mpk kashikiliwa
Loveness Masawe 😀😁😀uwiii
Chapombe kaolewa mm na kwama wap
Mmmmh sio kwa kumpapasa uko mmmmh makubwa ayo 🙄🙄🤔🤔😳😳
Yan send off tu unalewa hivyo jmb
Bwana harusi kapoa kweli
sianaona kapata kimeo
ww huoni nikimeo
Duuuuh aibu
afia Aaa 😀😁😀umeona ee
Aibu sana hadi huyo bwana yuaona aibu
Momooo
Loooh sio kwa kulewa huko duuuuu
mmmh jaman sio kwaa aibuhii
Sasa alikuwa amelewa