Nyama Nyekundu na Nyama Nyeupe. Sifa za Nyama bora Kiafya
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- Weka miadi ya kuonana na daktari @drboazmkumbomd / karibu @nsambohealthcare
.
.
𝐑𝐀𝐓𝐈𝐁𝐀 𝐙𝐀 𝐊𝐋𝐈𝐍𝐈𝐊𝐈 𝐍𝐒𝐀𝐌𝐁𝐎 𝐇𝐄𝐀𝐋𝐓𝐇𝐂𝐀𝐑𝐄, Kliniki huduma ya kuonana na Daktari
IJUMAA na JUMAMOSI Saa 2:00 Asubuhi-Saa 12:00 Jioni
.
Follow page ya Kitengo cha Matibabu na Ushauri : @nsambohealthcare @nsambohealthcare
Dr kinachotufanya tuiogope nyama ni kwasababu siku hizi wanyama wetu wanachomwa sindano za kunenepa hii ni uhakika kabisa nimeona na zipo sehema kabisa wameandika wana nenepesha ng'ombe.sasa tufanyeje hpo dr😢
Salam kwa hakika Dctr shukuran nyingi sana umenifungua akili na nimepata mafunzo mazuri sana Mwenyezi Mungu atakuhifadhi wewe na huyo mtangazaji wako nampa ongera hodari wa kuuliza maswali mazuri tena yuko fit kabisa mbele ya camera sauti yake nzuri nyepesi nyororo inaubashasha mzuri macho yake yametulia sana nakutakieni kila kheri nakipindi chenu kizidi kutupa elimu nzuri.
Hakika mimi ni kati ya hao walio pona kupitia video zako kitabu ni nacho ila nimefadika zaidi na video zako .
Tumejitunza kupitia kwako Dr Boaz Ahsant sana
Karibu sana
Hata ngo'ombe wa maziwa ni wale wa kisasa wanatumia homoni,ngombe 1 anatoa lit40 za maziwa hiv kweli hapo tutapona kweli?
Mmmh yaani labda ninunue hicho kitabu cha saysnsi ya mapishi..kuelewa bado kwangu
Karibu sana.......wasiliana nasi kwa namba 0767 074 124 ujipatie nakala yako
Dakika ya 48-51 📍📍📍📍
🔥
hicho kitabu bei gani
@@marianchamba3898 0767030160 au 0767074124
Unaleta uric asid
Uko kinyume kabisa na wataalamu wenzio katika suala hili! Swali langu kubwa ni nini chanzo cha PROPAGANDA kwamba nyama nyeupe ndiyo bora zaidi?
Wanatukataza Wakati wao wanakula.
Rejea kwenye video kuuanzia dakika ya tano(5) swali lako limeelezewa vizuri kuanzia hapo