MSIBA MZITO! WATU 7 WAFA MAJI WAKIVUKA MTO - MIILI YAOPOLEWA - WALIKUWA 14 WAKISAFIRISHA MAGUNIA...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 май 2024
  • MSIBA MZITO! WATU 7 WAFA MAJI WAKIVUKA MTO - MIILI YAOPOLEWA - WALIKUWA 14 WAKISAFIRISHA MAGUNIA...
    Watu saba kati ya 14 waliokuwa wakisafirisha magunia ya mpunga kwa kutumia mtumbwi katika bonde dogo la Kitongoji cha Luguya kilichopo Kijiji cha Mwamapuli Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi wamefariki baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kupinduka.
    Akitoa taarifa ya tukio hilo Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Katavi Inspekta Lilian Wanna amesema tukio hilo limetokea mei 24 majira ya saa 12 jioni.
    Ameeleza kuwa ajali hiyo iliwakuta watu hao walipokuwa wakitoa mazao yao shambani baada ya kuyavuna na kuyaleta kijijini.
    Aidha ameongeza kuwa wanaendelea na zoezi la uokoaji licha ya kuwa bonde hilo kuwa na changamoto ya uwepo wanyama wakali kama Mamba na Viboko.
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 7

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  21 день назад

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @VeronicaMacha-pl3xt
    @VeronicaMacha-pl3xt 21 день назад +1

    Mbona taarifa nusunusu ni wapi ajali imetokea au mtoa taarifa yuko kwenye mafunzo ya vitendo.

  • @AtuganileAsubisye
    @AtuganileAsubisye 21 день назад +2

    Mtangazaji ni wapi apo mbona atuelewi taarifa 😭😭😭

    • @albertsteven3919
      @albertsteven3919 21 день назад

      3r4e❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤e❤l❤❤

    • @albertsteven3919
      @albertsteven3919 21 день назад

      3r4e❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤e❤l❤❤❤❤❤

    • @mamasalhat
      @mamasalhat 21 день назад

      Hata mm sijaelewa hawasemi wapi sasa taarifa gani hii haijakamilika kabisa

  • @hamisimkoma7380
    @hamisimkoma7380 21 день назад

    mwandishi hujui kazi yako? Tujuze tukio limetokea mkoa gan, wilaya gan