Ndoa sio lelemama endelea kumwomba sana mungu wako kwani MUME na MKE ni zawadi kutoka kwa mungu, na pia upate bararaka za mama na baba hata uwe milionea Fulani bado watabakia kuwa wazazi wako tuuu shirikiana nao ktk maombi mungu Siku zote anajibu . Nakupenda sana NANDY👌🤙💋💋💋💪💪💪💪💪🤙🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Me kama juster Master msanii mpya kwenye game la bongo freva nasema nandy kajibu fresh njoo endi kwenye youtube channel yangu muone kazi yangu mpya ambayo nimemshilikisha stamina
Alafu watu wanamshindanisha na kumcompare NANDI na Zuchu ivi nyie mnaakili kweli. NANDI she's our African queen👸👸
Ndoa sio lelemama endelea kumwomba sana mungu wako kwani MUME na MKE ni zawadi kutoka kwa mungu, na pia upate bararaka za mama na baba hata uwe milionea Fulani bado watabakia kuwa wazazi wako tuuu shirikiana nao ktk maombi mungu Siku zote anajibu . Nakupenda sana NANDY👌🤙💋💋💋💪💪💪💪💪🤙🙏🙏🙏❤️❤️❤️
Mungu aingilie kati wazazi wasiporidhika ni mbaya
pia hata mm nakusihi xan dada muombe can mung
Nyie nitukaneni tu Ila Billnas siyo husband material bado ana utoto mwng
Huyu dada ni mkweli ,hisia zake hajazificha
Inaonekana Kuna shidaa
Anaonekana Ni smart
Nimempenda
Halafu nyinyi mnakuwaga mna anika vitu vyenu ku mitandao. Kisha mukiulizwa vigugumizi vinaanza watoka
Kama umeona nandy alikuwa kachangamka mwanzoni ila alivyogusiwa swala lake na bilnass kabadilika kama vile kaudhika, nipe like.
Ndio
Mapenzi kigugumizi
Ndugu wanawake ndovyo walivyo jaribu uona
ruclips.net/video/r4RA0Klb47k/видео.html
Hahahahahah
Mama nass uyo mwasaaaaa nakupeda bure Nady na usimuache nass mna edana Sana
1:02 kama umegundua ndoa ngumu na ujana majiamoto ni hapa tujuane
Aaah! Weeeee!🥴
Mmmh kuna kitu maana alivyo ambiwa mambo ya bilinas kama kabadilika hivi
Mbona apo mwisho umegugumiza😂😂😂
Nikisema ukwel huyu nandy mzur hakika
Sauti yako ya kawaida sana...Ruby ni hatariii
Nanderaaa kuachana wewe sio wa kwanza walla wa mwisho usipanic
Mbona nandy amepanic alivyoulizwa kuhusu nenga
Nimecheka kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂AAA weeeeee
Kali sana
Nampendaga sana nandi jaman
😄😄😄😂💪💪wabongo wape picha wakupe capshen😄😄😄😄
Nimependa no comment mapenzi ya a mengi
Haina haja ajibu alivyo badilisha sura baada ya kuulizwa ni jibu tosha kua hapo moto upoo
Ahahahaaa kigugumizi kwa kizungu kinaitwaje?na maswali yanayoleta kichechefu je?
Bégayer
Kithunguthungu 😂
Hahahahahahaha
Anaongea kwa uchungu mwishon had huruma...
Nandi mbona kama kapaniki mmmh mambo ya ndoa sio mchezo
Huezi kujua kama numefanya nao wote 😁😁😁😁
Hahaha nandy na yy anabody gad
Wameachana baada papa mopao kumpiga Nandy chezea ww 😂😂😂
Me kama juster Master msanii mpya kwenye game la bongo freva nasema nandy kajibu fresh njoo endi kwenye youtube channel yangu muone kazi yangu mpya ambayo nimemshilikisha stamina
Nakubali
😂😂😂😂nikama kakurupushwa ndotoni
Nampend sanaaa nandii🐒
Nandy ucmwache billnss
Nisichokielewa ni Nandy kuwa na Body Gard wa kiume🤔
Kama kuna celebrity mwingine mwenye Body Gard wa kiume mtaje tumjue
Zuchu
Duuu
Nandy kama nandy😍😍
Xxxx
Nandy nzuriii piah nakubaliii nyimbo zake
Njoo ujionee wimbo wangu mpya ambao nimemshilikisha stamina unaitwa so different
Nandi pia tuu
Nandi ☝️☝️👊👊👍👍👍
Pacha wangu
Anxiety ya ghafla pole Nandy
Akapoaaa ghafla yani😂😂😂
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ndoa sio kisibil kifo 😛😛
Wabongo wape picha _____________
Njoo nikuoe mimi upate kitu wewe nyokoo unakaa unarembuaaaaaaaa mburaaaa
pisi kali kama hizi zinapatikana kwenye kampeni za ccm napata wapi ujasiri nisiudhurie
Hahah
Duuu sawa
Kawaida ya mapenzi
Nandy kichupi cha bongo
Duuh ashakua tabuu🤪
Hhaaaah!!!
Weeeeeh!!!
KIDATO CHA NNE TAZAMA hii
ruclips.net/video/Xfv_cqXPU8s/видео.html
Mi nliwambia na narudia hakuna ndoa ya nandi na bilnas hakuna kitu
Ww nimumba ama
Ndoa ipo kama kawa🤣🤣🤣
Samatta anagoli ngapi msimu huu
Yani kashtuka kama vile kasikia habari ya kifo. Eti eeeee weeee? Alishindwa hata kusema what
Daaahh
Noma
Huyo mlinzi sio kwa kununa huko
💥
Nandy
Mmm sijuwi hata na guna nini
Maya season
Oh
Nandy kiboko yao
Meja
Ila ka nandy kazur
Umepndeza nandy
Usmani
Wacha weeeee
Nakubar
Nand bwana eti weee hee
Umempa jibu zir
hy
Hahaha
Je unasumbuka na kupata mtoto 👶 kisa tu mirija imeziba na unasumbuka na P.I.D usihangaike nitafte 0758112592
Si angekua katupa Pete. Ila kalijichongea akisema mta achana tuu
😝😝😝😝
Mesi
Acha umalaya wewe
Katoto kazuri haka bora hata ningekaoa mimi
Mh utamuweza
Utawezana?
Utakaweza sasa
@@scolanasary672 tatizo si show kali tu nitakaweza
@@praxedadominic5193 haswaaa
Sizan km ndoa itafanyika kwa mwakan
Dax body
Munzik
Wewe nandy your so stupid unaweka maua meusi kwenye insta then unasema no comment why you post nonsense munapenda KIKI sana wasanii wa bogo.
Nandy