HUKMU YA NDOA NA MUME YUKO MBALI KIKAZI,KUPOTEA AU JELA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 101

  • @nnbb8402
    @nnbb8402 6 лет назад +4

    Shukran sheikh Allah akuzidishie elmu na Allah atuzidishie nyoyo za iman Inshaa Allah

  • @aliomar612
    @aliomar612 4 года назад +1

    Shukran sheikh jazaka Allah kulu kheyri

  • @innocentjay5844
    @innocentjay5844 5 лет назад +9

    Sheikh elezea mada zako vizuri minaona wewe wawapunguzia subra wake zetu. Na sisi twasafiri kuwatafutia wao maisha mazuri na hatutaishi Nje daima.mda ukiisha na malengo yakitimia twarudi nyumbani kwa family yetu

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 5 лет назад +1

      katika baadhi ya familia huwa kuna shida ya mapato na hasa siku hizi ambapo maisha yasemekana ni magumu. Je ikiwa mna watoto?

    • @changchuma9256
      @changchuma9256 5 лет назад +1

      Faida ya mysmaya mbuzi maalim Yusuf

    • @changchuma9256
      @changchuma9256 5 лет назад +1

      Shekh Yusuf

    • @ramangadu6451
      @ramangadu6451 4 года назад +2

      Anachozungumza nisheria nakawaida yasheria Haimtazami MTU. Tuchukue natujifunze.

    • @ayushachidau6758
      @ayushachidau6758 4 года назад

      Ndowa nikuaminiana mana ata mke ana safiri lkn waume was sasa awana subra+254

  • @ahmedmubareq3228
    @ahmedmubareq3228 5 лет назад +1

    Shukran sheikh jazakAllah kheri

  • @lacicam8119
    @lacicam8119 6 лет назад +8

    Allah akuhifadhi ustadhi Izudin uzidi kutuelimisha

  • @HamzaNduwimana-l4u
    @HamzaNduwimana-l4u Год назад

    Shukran shekh

  • @shaukatmohamed4187
    @shaukatmohamed4187 6 лет назад +3

    Alhamdulillah twashkuru ndugu yetu kwa elimu nzuri

  • @saidswaleh9126
    @saidswaleh9126 3 года назад +1

    Twayyib shekh

  • @fatimasaid4193
    @fatimasaid4193 6 лет назад +1

    Shukran wajazakallahu Kheri

  • @mowanaalmowana6126
    @mowanaalmowana6126 4 года назад +1

    Maasha Allah

  • @neziali6992
    @neziali6992 6 лет назад +2

    Asnte shehe kw mawaidha yko Mungu akuweke kwnye milango ya pepo biiznillah

  • @shabanisaidi8827
    @shabanisaidi8827 6 лет назад +1

    Mwenyezi mungu akulipe kila la kheri

  • @najma3268
    @najma3268 6 лет назад +2

    Mashallah allah aendelee kukuweka

  • @zuwenaabdillahzanzibar5670
    @zuwenaabdillahzanzibar5670 6 лет назад +11

    kweli hawezi kukaa mwaka mimi najiona huku Oman tayari hicho kiungo kishaleta ishara

  • @hamdukhamis2903
    @hamdukhamis2903 4 года назад +1

    Masha Allah

  • @msangsmsangi6535
    @msangsmsangi6535 5 лет назад +2

    Mm nawez kukaa hata miaka mitatu sina hizi hisia kalii mpka nishindwe kujizuia je ninatatizo, mm ni mwanamke.

  • @yusufidarus2951
    @yusufidarus2951 6 лет назад +1

    Jazakallah kheir

  • @fahmiabubakar5654
    @fahmiabubakar5654 6 лет назад +8

    Tatizo wanawake wasiku hizi wataka pesa nyingi n subra hawana so wanaume tuna mitihani sana

    • @husseinyhassany5696
      @husseinyhassany5696 5 лет назад

      Ukweli haki

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 4 года назад +2

      Uongo kwanza nyinyi sikuhizi tunawalea tunawapa kilakitu usiseme kitu usojua😯

    • @ndukulusudikucho_
      @ndukulusudikucho_ 2 года назад

      Mfanyie kheri miaka 100 mkosee siku moja, atafuta yote

  • @abullahkabaka8774
    @abullahkabaka8774 4 года назад +1

    MASHALLAH ALEIK

  • @lailahaillallah4020
    @lailahaillallah4020 6 лет назад +2

    Inshallah...mungu azidi..kukuongezea..elimu ...nzuru .

  • @faudhiayasinibakarifaudhia9505
    @faudhiayasinibakarifaudhia9505 2 года назад

    Assalam Aleykum warhamatullah wabarakattuh shekhe naomba namba zako Kuna Jambo nataka nikuulize shekhe tafadhali 🙏🙏🙏🙏

  • @nimoibrahim4235
    @nimoibrahim4235 6 лет назад +2

    ManshaAllah

  • @yunusmagimba4928
    @yunusmagimba4928 3 года назад

    Assalam alaykum naombeni jibu kuto mwingilia mkeo kwa muda wa miezi 3 nitalaka?

  • @batiyahmalrashdi2224
    @batiyahmalrashdi2224 4 года назад +1

    Nini hukumu ya ndoa za mbali maisha. Mume au mke Uarabuni au Ulaya mke au mume Tanzania. Mmoja tu kuweza kusafiri kwa mwaka mwezi au mara mbili kwa mwaka kukaa week au week mbili na nini HAKI ZAO?

  • @hassanambarakmbarak8759
    @hassanambarakmbarak8759 4 года назад

    Hicho hicho kiungo shekhe chawaumiza wengi maisha sasa nimagumu.watuwengi tuko nje tufanye nini.itabidi kila tukirudi tutafute viungo vingine Khatari tupu haya mawaidha leo

  • @saidmohd5090
    @saidmohd5090 6 лет назад +2

    Asalam alykum warhmtullh wabarqat shekhe Naomba no yako

  • @jibabahbah5188
    @jibabahbah5188 5 лет назад

    Assalam'alaikum warahmatullahi wabarakatuh sheik ss tupo wake wawili saudia mwenzangu yupo anafanya makkah mm niko nae jeddar pomoja yule hupewa ruhusa mara mbili kwa mwezi lakini hulala njee na ni nisimuulize kwa simu yake napata msg za wanawake zaidi ya wawili kisha anakata sheikh nimevumilia mwisho akaenda kwa kampuni ya simu ya zain akapata msg zote zile nilizo kua nazijua sasa eti yuwaomba msamaha yani amenichafulia jina sana kwa hawo hawara zake kila nikiona hizo msg moyi waniuma sana yy si wakumwambia hawara zake mambo yetu yani mpaka yuwaniita mm mkorifi amwambia hawara kisha mm namsamehe nn huyu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 4 года назад

      Msamehe mbona wewe allah anakusamehe

  • @asahidbahjaj6739
    @asahidbahjaj6739 3 года назад +1

    Je mume mumeowa lkn hamujawah kuonana YY yupo Oman kikaz na mm tnz je hili mwalizungumziaje

  • @muniramohamed8887
    @muniramohamed8887 5 лет назад +1

    Mashallah Allah akuzidishiee elimu yenyee manufaa uziidii kutuelimisha amin

  • @naslamgollo6405
    @naslamgollo6405 6 лет назад +2

    Naomba namba Oki nipate ushauri kutoka hii mada tafadhwal

  • @iddimiraji7760
    @iddimiraji7760 6 лет назад +2

    Unatupa elimu ambayo wengi tulikua hatuijui allah akulipe katika hilo

  • @umayraseeb3357
    @umayraseeb3357 6 лет назад +2

    A.alykum naomba hii vdeo ntaipataje

    • @mwambirekwamboka9525
      @mwambirekwamboka9525 6 лет назад +1

      Copy hii link kwa youtube kisha toka nenda chrome andika online video downloader then paste ile link kisha download

    • @hajielmi7518
      @hajielmi7518 5 лет назад +1

      download

  • @ibrahimabdulaziz3330
    @ibrahimabdulaziz3330 6 лет назад +4

    Je yamfaa kumramba mke wako kwa sehemu ya siri?

  • @kulthumsalim7070
    @kulthumsalim7070 6 лет назад

    Assalam aleikum warahmatullah wabarakatuh,naomba kuuliza sheikh...na kama mume yuko mbali(ughaibuni)akatuma wazazi wake nyumbani kwa mke atakae muoa...je anaweza kuozeshwa kupitia simu au ndoa itakua haipo?please msaada ustadh bado hatujapata jibu.mke amerudi Kenya mume bado contract yake kuisha akirudi mke waeza kukutana huko huko kazi(ughaibuni)...Shukran

    • @salumalawi3434
      @salumalawi3434 5 лет назад +1

      Kulthum Salim mwanangu haifai kwasababu 1 ili ndoa ikamilike lazima wapatikane watu watano (5) muoa na shahidi wake mmoja,(1) na sheikh anaefungisha hio ndoa na muolewa (bibi kharusi ) na walii wake na ,sasa km huo shahidi atashuhudia kitu kwakukiskia je itakua anaoushahidi hapa kamili mama kuludhumu SALIM ? kwahio lazima arudi kwanza ughaibuni ndipo afunge ndoa .shukran .

    • @mhogomchungu7168
      @mhogomchungu7168 5 лет назад +1

      @@salumalawi3434 kumuolea mtu inaruhusiwa, usitoe hukumu bila ya elimu

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 4 года назад

      @@mhogomchungu7168 ndio

  • @assleeali2302
    @assleeali2302 5 лет назад

    Je mke akizaa nje ya ndoa wakati mumewe yupo jela je wtt wanahaki ya kurithi?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 4 года назад

      Asslee Ali Mtoto siku zote ni halali kwa baba ILA kama baba atamkataa huyo mtoto ni atomatic na huyo mke amechika. Huwezi kukataa mtoto akachukuwa mke. Uvikibali vyote au uvikatae vyote.

  • @abdulmoez2423
    @abdulmoez2423 5 лет назад

    Asalam alaykum shekhe naomba namba yako

  • @khadijamuhammed6900
    @khadijamuhammed6900 5 лет назад

    Assalam alykum shekh naomba no yako maana mambo mengine niyasir

  • @stevewanga957
    @stevewanga957 6 лет назад +5

    Wanaume wa kusafiri wanawapa mitihani wake zao

    • @rahmafataki2584
      @rahmafataki2584 6 лет назад +1

      steve wanga tena utakuta mwanamme anakwambia hawezi kukaa peke yake na wameruhusiwa kuowa lakini chakustaajabisha anaweza kupiga karibu na mwaka au akaja kwa mwaka mwezi moja halafu akataka uwe ok tu with that je hapo mwanamke akitafuta mwanamme nje nayeye anamakosa

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 5 лет назад

      @@rahmafataki2584 Lakini baadhi ya wanawake wataka watafute mwanamme na bado hawajavunja ndoa, ili waruhusiwe kuingia katika ndoa nyengine. Je ikiwa mna watoto?

    • @rahmafataki2584
      @rahmafataki2584 5 лет назад +1

      @@mutomubaya tatizo wanaume wengine hukufanyia vituko hadi ikafika time roho yako haimkubali tena nambio mbio ataenda kutafta mwanamke mwengine aseme anawake wawili au more halafu na kukuacha hataki vile vile hii ndio problem nawao wakitaka kutafta wanawake wengine hawajali watoto wala kufkiria watoto tena wengine wakishakuowa huwa hawajulii watoto hata hali wala kutaka kujua watoto wanaendeleaje

    • @mutomubaya
      @mutomubaya 5 лет назад +1

      @@rahmafataki2584 Ni kweli lakini Waislamu wakifuata mafundisho ya Qur'an wataona kuna njia za kurekebisha matatizo. Ukimpata mwenza na hatia ya uzinifu hakikisha umepata ushahidi wa watu wasiopungua wanne. Na kabla ya kuingia kwenye ndoa Mtume, swalla Allahu alayhi wa sallam, amefundisha kuhakikisha kwamba mwenza ni MchaMungu.

    • @rahmafataki2584
      @rahmafataki2584 5 лет назад +1

      @@mutomubaya kweli lakini ndoa siku hizi ni mtihani kweli yaani unaowa au kuolewa kwa kubahatisha hata kama umetulia sometimes unapata mtu inakua kama mtihani kwenye maisha yako hadi unaingia uwoga wa kuingia kwenye ndoa nyenginge yaani unajikuta toka wewe umeolewa au umeowa ndo furaha yako yote imeondoka na matatizo hayaishi

  • @mammykaso4136
    @mammykaso4136 6 лет назад +1

    Jee mume kama hakushuhulikii kwa chochote lakini yachumbani tuu ndoyuwaishuhulikia jee nifanyeje naomba jibu shkhe

    • @nadhlfasalmazena7444
      @nadhlfasalmazena7444 6 лет назад

      hiyo niyakwangu kabisa
      ananiikeeeera hadi basi ,we sheikh nishaikua namba take IPO siku nota muuliza maswali sana
      NaEndelea kuvukilia yakinishinda nakfaata inbox

    • @aishaarusha894
      @aishaarusha894 4 года назад

      Na nyinyi msiwape kama hawawaudimii sasa mkiwapa nguvu mtapata wapi🤣

  • @bashirjabiri503
    @bashirjabiri503 6 лет назад +1

    Kwasheriahiyo, nahakihizo ,naamini wengiwetu ,doazilikwishakufasikunyingi, kilichobaki ni tunazißnianabilaya kujua

    • @halimabindo5756
      @halimabindo5756 5 лет назад

      Sheh mada imenigusa tafadhal ifafanue uzur tupate kuelewa.

  • @khadijakamus2850
    @khadijakamus2850 6 лет назад

    Asalam aleikum ustadh naomba namba kumuuliza maswali

    • @saidmohd5090
      @saidmohd5090 6 лет назад

      Khadija ulipata Ile no kama umepata nipe na mimi

  • @jusphermobibo5278
    @jusphermobibo5278 6 лет назад +2

    wanimaliza kabisa na mawaidha yako

  • @nzobakuranaasman8802
    @nzobakuranaasman8802 5 лет назад

    jazakallah khaira

  • @abasishaaban6643
    @abasishaaban6643 6 лет назад

    uko vizur