BIASHARA ZENYE MTAJI MDOGO/ JINSI YAKUTENGENEZA PEANUT BUTTER/ Ntwili (2021)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 83

  • @najlaskitchen1572
    @najlaskitchen1572 3 года назад +4

    Ma sha Allah.... sijawahi iona mashini hiyo huku Mombasa tunanunua peanut za tayari...naona ntakuja inunua nianzishe kakiwanda changu kidogo💝💝💝

  • @mayasamzelela4907
    @mayasamzelela4907 3 года назад +3

    Karanga zake nzuri sana. Mimi mteja wake wa rejareja tabora

  • @swalhatkid330
    @swalhatkid330 3 года назад +1

    Iyi mshine tnaipta wapu kwahuku Zanzibar unguja

  • @HadijaSheban
    @HadijaSheban 3 года назад +1

    MashaaAllah mpenzi kazi safi❤️❤️❤️😘😘

  • @mikerashmil343
    @mikerashmil343 3 года назад +2

    kazi nzuri❤️❤️

  • @estherbakabona9930
    @estherbakabona9930 3 года назад +1

    Kumbe una watoto😘😍🤗 washa guwa sijajuaga wemreembo kama miaka 18 ivo

  • @bettykikwai3187
    @bettykikwai3187 3 года назад +2

    Very unique

  • @saunasanga5642
    @saunasanga5642 3 года назад

    Asante Sana. Nahitaji mashine

  • @cholo4real274
    @cholo4real274 3 года назад +3

    Hivi naweza kutumia brenda ya kawaida kusagia 🤔

  • @poshmina3895
    @poshmina3895 3 года назад

    Nice

  • @jijis8347
    @jijis8347 3 года назад +2

    Kazi nzuli dada, mapongezi kutoka Rwanda🇷🇼

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 года назад +1

      Asante sana

    • @hadijasaidi7709
      @hadijasaidi7709 3 года назад

      @@ikamalle inauzwa ngapi hiyo mashine. ?

    • @marrystephano3866
      @marrystephano3866 3 года назад

      Nahitaji iyo mashine nipo igunga naomba Namba zako🙏

  • @marymtingwa244
    @marymtingwa244 3 года назад +10

    Hi guyz na mm nafanya video za mapishi wapendwa karibu I mnisapoti

  • @fathiaamani8918
    @fathiaamani8918 3 года назад

    mashallah machine naipataje

  • @fdltvtv3914
    @fdltvtv3914 3 года назад

    nimeipenda

  • @witnesshenry8420
    @witnesshenry8420 3 года назад +1

    Very simple 🙏🙏🙏

  • @elianifaaluka4790
    @elianifaaluka4790 3 года назад

    I like it

  • @AishaAisha-rh1fc
    @AishaAisha-rh1fc 3 года назад

    Nimependa sana

  • @latifabeyonce
    @latifabeyonce 3 года назад +2

    Can u use blender kama mtu hana machine

  • @rehemahramadhani3428
    @rehemahramadhani3428 3 года назад

    huy. dada wa mashine. anapatikana. wap dar. au. mkoan

  • @fotunathapeter2421
    @fotunathapeter2421 3 года назад

    Nimemuona mpishi wa mziwanda bekers fau❤❤❤

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 года назад

      🤣🤣🤣🤣

    • @livingkiria5263
      @livingkiria5263 3 года назад

      Naomba nop dada angu ya huyo mwenye mashine

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 Год назад

      Anaehitaj raw material mkulima npo apa ,some where nanyumbu

    • @haidhabushiri9558
      @haidhabushiri9558 Год назад

      Anaehitaj raw material mkulima npo apa ,some where nanyumbu

  • @Grace-ye3wm
    @Grace-ye3wm Год назад

    Mimi niko mbagala sina mashine nahitaji kusaga karanga zangu nafanyaje?au kama una mtu maeneo ya huku mnielekeze basi

  • @neemageoffrey3586
    @neemageoffrey3586 3 года назад

    Ahsante Sana kwa somo, je hyo mashine ya kusagia Karanga sh.ngapi?

  • @joycevicent5101
    @joycevicent5101 3 года назад +1

    Ndgu Mimi naitaji mshine yangu ni ndogo sana nitafute

  • @majeshibakari3398
    @majeshibakari3398 3 года назад

    Safi sana

  • @sdwe6426
    @sdwe6426 3 года назад

    Shida kupata hiyo mashine..kazi nzuri

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 года назад

      Mashine wasiliana na +255 752 413 459

    • @sdwe6426
      @sdwe6426 3 года назад

      @@ikamalle sitaki kununua akuna njia ingine naweza tengeneza peanut

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 года назад +1

      nunua karanga ziandae alafu uende ukasagishe kwa mtu mwenye mashine

    • @sdwe6426
      @sdwe6426 3 года назад

      @@ikamalle santi.sana

    • @joycembawala8781
      @joycembawala8781 3 года назад

      @@ikamalle huyo muuzaji yupo mkoa gani na zinauzwa sh ngap

  • @annakiondo1983
    @annakiondo1983 2 года назад

    Mashine napataje

  • @irenethom7897
    @irenethom7897 3 года назад +1

    Iyo mashine inapatikana wap na Ni bei gan

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 года назад +1

    🔥🔥🔥

  • @neemalameck5705
    @neemalameck5705 3 года назад

    Mashine ya mkono inaweza kusaga karanga zikawa rojo?

  • @shukuranihalisi7339
    @shukuranihalisi7339 3 года назад

    Habari naomba mapishi ya kaukau

  • @arafajohn9052
    @arafajohn9052 3 года назад

    Haifai kwa blender

  • @lucysanka2570
    @lucysanka2570 3 года назад +3

    Peanut butter ya karanga ndio natumia Mimi mbadala wa Nazi, kwenye ndizi, maharage, mnyama,dagaa, samaki, kande ,uji, na mboga za majani nishakua mlevi wa hii siwezi kosa na natengeneza mwenyewe bila mashine natwanga karanga, nakaanga karanga natoa maganda then natwanga kwenye kinu ni nzuri hatareee nimezoea na nimejifinza jinsi ya kutengeneza fb

  • @annasamiri001
    @annasamiri001 2 года назад

    Kwani huwezi kusaga nabrenda kama Huna mashine

  • @maryndichu879
    @maryndichu879 3 года назад +2

    Hallo, nitaziosha mwanzo Au vipi?

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 года назад

      Nimezichambua tuu nikakanga

  • @ummufarham6226
    @ummufarham6226 2 года назад

    Natamani kufahamu ila zinatok sio lain😭😭😭

  • @wardamohamedy486
    @wardamohamedy486 3 года назад

    Iyo mashine shling ngap n uyo dada anaptikana wapi

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa994 3 года назад

    I love thisssss

  • @lucianamadanyila9247
    @lucianamadanyila9247 3 года назад

    Naomba nielekeze sehemu ambayo unanunua hizi package

  • @binthawa2973
    @binthawa2973 3 года назад +2

    i channel ina madini ad raha

  • @Charisma1994
    @Charisma1994 3 года назад

    Anasagia sh ngapi?

  • @janethmwacha5208
    @janethmwacha5208 3 года назад +1

    ❤️❤️❤️

  • @denicecharles1466
    @denicecharles1466 3 года назад

    👍👍👍👍

  • @janevicent6233
    @janevicent6233 3 года назад

    Na mim nataka namba ya huyu mwenye mashine

  • @zuhuramaalim5836
    @zuhuramaalim5836 3 года назад +2

    Mashine za kusagia zinapatikana wapi

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 года назад +2

      Wasiliana na +255 752 413 459 (anaitwa dada Lucy)

    • @joycevicent5101
      @joycevicent5101 3 года назад

      @@ikamalle sawa

    • @zeinsaleh627
      @zeinsaleh627 2 года назад

      @@ikamalle anapatikana wp kwa dar

  • @kraftinghands8220
    @kraftinghands8220 3 года назад

    For how long can the peanut butter last before expiry? And how do you store it? Kwa kabati au kwenye fridge?

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 года назад

      Upto 6 months depending on how you use it (use clean and dried spoons or bread knife)

    • @madamgtv73
      @madamgtv73 3 года назад

      It stay 6 month up to one year

  • @leleraja
    @leleraja 3 года назад

    Is mashine ndogo available?

    • @ikamalle
      @ikamalle  3 года назад

      Wasiliana na dada Lucy

  • @zarinayusuph4252
    @zarinayusuph4252 2 года назад

    Nahitaji hiyo mashine

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 3 года назад +1

    😋😋😋😋😋

  • @still_kim
    @still_kim 3 года назад

    How does she clean the machine??

  • @wardamohamedy486
    @wardamohamedy486 3 года назад

    Anasaga kw kilo shlng ngp

  • @anahna6788
    @anahna6788 3 года назад

    JAMANI NATAFUTA MASHINE YA KIKANDIA NGANO

  • @badawyhaji9288
    @badawyhaji9288 3 года назад

    😂😂