JINSI YA KUTENGENEZA SIAGI YA KARANGA I HOMEMADE PEANUT BUTTER
HTML-код
- Опубликовано: 14 дек 2024
- .KARIBU KUJIFUNZA ZAID KWENYE MAGROUP YETU YA WHATSAP
0682456819
0628080322
✡️KARIBU KUJIPATIA VITABU VYETU ILI UWEZE KUJIFUNZA ZAIDI
BONYEZA LINK HIYO
👇👇👇
bit.ly/3TE8lKz
KWA MAELEZO ZAID PIGA
0682456819 Airtel WhatsApp
VIDEO ZINGINE ZA MAFUNZO YETU MENGINE
1. KWA VIDEO ZASABUNI YA MCHE NA MAGADI
LINK.
bitly.ws/XSwN
2.KWA VIDEO ZA VIJORA
LINK :
bitly.ws/XSx2
3.KWA VIDEO ZA SABUNI YA MAJI LINK
bitly.ws/XSxg
4.KWA VIDEO ZA UBUYU WA ZANZIBAR NA VIPANDE
LINK
bitly.ws/XSxt
5.KWA VIDEO ZA PILIPILI
LINK
bitly.ws/XSxG
6.KWA VIDEO ZA MAPISHI NA BITES
LINK
bitly.ws/XSxT
7.KWA VIDEO ZA BATIKI ZA AINA MBALIMBALI
LINK
bitly.ws/XSy7
8.MIREJESHO YA WANAFUNZI WANGU ONLINE
LINK
bitly.ws/XSyp
9.VITABU VYETU
👇👇
Link
10 .SEMINA MBALIMBALI
👇👇
bitly.ws/XSAb
11.KWA VIDEO ZA POCHI ZA SHANGA
👇
bitly.ws/XSAg
12.KWA VIDEO ZA SABUNI YA TIBA
👇👇
13.VIUNGO VYA CHAKULA
👇👇
bitly.ws/XSAx
14.DARASA JIPYA LA VIUNGO
👇👇
bitly.ws/XSAF
KARIBU SANA SUNRISE UJASIRIAMALI NI AJIRA
NAITWA MWALIMU SALANGA
Nimeelewa
Nzuri sana
ahsante sana
✈️🔥✈️ kazi kazi bro
✈️✈️ kazi kazi
Nimeipenda mwalim
Hongera sana kwa kazi njema.
Nawezaje kuipata mashine?
Machine kama hii napata wap
Hongera kaka nahitaji kujifinza
Karibu sana
Kama huna io mashine unasagaje
Asante
Ahsante sana
Nahitaji mashine nitapataje KWA sh ngapi?
Nina hitaji visado vya karanga nivipataje
Nmekuwa boss wangu hii inakaa kwa mda Gani hadi ialibike au kitu Gani unanya ili isialibike
Hadi mwaka mzima haijaribiki
Nahitaji kujifunza
je brenda aisag???
Mashine inapatikana wapi na bei gani
Ofisi za SIDO wanauza hizo
@@mwalimusalangahello ninashida na hii mashine je inapatikana sido za mkoa ganii maana mimi nipo Songea nimetafuta saana sijapata na ninahitaji
Hamna haja ya kuweka preservers???
Ndio haiwekwi
@@mwalimusalanga nahitaji kitabu
Kitabu shngap
Habari kaka unauza vitabu shillings ngapi ??
Kaka mashine nitaipata kwa Bei gani?
Hii mashine ndugu yangu unaipata ofisi za sido wanazo inategemea ziko bei tofauti tofauti kuanzia laki saba Hadi milion Moja huko
Ahsante
Vitabu unavyo??shillings ngapi?? Na machine shillings ngapi?
Naomba kujua bei ya mashine kama yako plz
Laki nane Hadi million
Usipoweka chumvi na sukari inakuwa na madhara gani?
Mbona tumesema sio lazima ni Radha tu
Hiyo mashine sh ngap
hiyo ya muda mrefu Milion moja
Sildi
Naomba kujua bei ya hizo pacage. Na zikiwa katika vifungashio vidogo zaid.
Buku hizo hapo
Mashine nahitaji naipataje ama wapi
zipo zinauzwa njoo Whatsapp nitakuelekeza 0682456819
Pamoja. Sana kaka
Pamoja sana dada
Naskia usipoweka asali haikai sana et n kweli???
Waongo
Naomba unieleweshe namna ya kuweka soldi yake
kopo zake zinasilid tayari
Mm niko oman vipi naweza kupata vitabu
Ww uko nchi gani Na wapi naweza kupata
Vitabu ni softcopy unatumiwa kwa Whatsapp
Inadimu ka mda Gani baada ya ku pack
Hiyo inakaa Hadi miezi 12 yaani mwaka hakikisha maji ,chafya , wakati wa kutengeneza inaweza kuharibu peanut butter yako
Mashine ni ya aina ngan?
Mashine za peanut hazina aina kwa sababu wanatengeneza hapa hapa bongo
Hello .Naomba unisaidie jina la designer wa hizi lebo @sunrisetz
Njoo Whatsapp nikupe namba