Naamini kabisa usemayo . Nakumbuka mwalimu alituuliza unataka kuwa nani . Kila mtu alijibu kwajins anavyoweza .zamu yangu ikafika kuulizwa nikawambia future yangu nifike Ulaya .wakacheka sana wanafunzi wenzangu😂. Lakini Acheni Mungu aitwe Mungu Ndoto yangu Imetimia .walonicheka wamebaki kunipa hongera. Nimejua Maono yanatimia kama utayasimamia. By 2024
Amen siku moja nitahuduria mikutani yako hapo tanzania na nitasafiri kwa ndege hata ingawa leo sina nauri ya daladala kwenda jijini...kenyans watching you Joel.....much love sir
Ninamaono makubwa sana,,laini madeni ndo yananicmbua,,mm nina masta ya uwimbaji albam moja ya nyimbo bc happy nakosa pesa ya kupeleka nyimbo redioni,,Dah Mungu nisaidie nipate wafadhili wa kusapoti huduma yangu na kutoka kwenye madeni 🙏🙏
Binafsi nimekuelewa sana, nakufatilia na umekuwa mtu muhimu sana ktk maisha yangu. Ww ni mwalimu Bora sana, nimfariji na daktar mkuu. Mungu aendelee kukutunza.
Unabiii huu naona kama ulikuwa umenilenga yaan nmeshika madafutar ni some mara moyo ukanisukuma fungua utube nilipofungua tu nmekutana na ujumbe huu nmefarijika na nmejifunza kwakwel mwlm kagusa maisha yangu kwa umla nmebarikiwa sana mungu akuvariki sana mtumishi umetuka kuwa njia ya mafanikio ya watu wengi sifa kwake mungu aliye kutumia kukomboa taifa lake
Dini yetu inatuhimiza kutafuta elimu, na haikutuekea mipaka au kikomo cha elimu na nani wa kutupatia elimu hio, mimi ni muislam lakini sijali utofaut wa dini zetu mana sio dhambi, najifunza mengi na mazuri kwako, ahsante, nlikua mbali nakushuka kwa sababu ya watu, lakini umenifunua macho sasa, ahsante tena.
IPO siku Mungu ataniinua na kunifanya kuwa tajiri mkubwa duniani Nitamiliki kampuni kubwa duniani Africa nitaajiri vijana wenzangu Na duniani watatumia mitandao yangu mikubwa Mtanukumbuka tu Na jina langu ni MJ JOHN
Mungu wangu wa Mbinguni niwezeshe nami ninunue kiwanja kabla ya huu Mwaka kuisha
Hongera vp ushanunua
Natamanisana niwe mfanyabiashara mkubwa ,mungu anisaidie Amina
Naiwe ❤🎉
Allah mlipe malipo bora kaka joer Arthur nanauka kwanisomesha elim nzur sana hii
Powerful speech 💪 .. Funguo muhimu sana hiz
1. Identity (Badili ujionavyo)
2. Knowledge
3. Bidii ya kufa mtu
Be blessed 🙏
Naamini kabisa usemayo . Nakumbuka mwalimu alituuliza unataka kuwa nani . Kila mtu alijibu kwajins anavyoweza .zamu yangu ikafika kuulizwa nikawambia future yangu nifike Ulaya .wakacheka sana wanafunzi wenzangu😂. Lakini Acheni Mungu aitwe Mungu Ndoto yangu Imetimia .walonicheka wamebaki kunipa hongera. Nimejua Maono yanatimia kama utayasimamia. By 2024
Amen siku moja nitahuduria mikutani yako hapo tanzania na nitasafiri kwa ndege hata ingawa leo sina nauri ya daladala kwenda jijini...kenyans watching you Joel.....much love sir
Hey you guys
Ninamaono makubwa sana,,laini madeni ndo yananicmbua,,mm nina masta ya uwimbaji albam moja ya nyimbo bc happy nakosa pesa ya kupeleka nyimbo redioni,,Dah Mungu nisaidie nipate wafadhili wa kusapoti huduma yangu na kutoka kwenye madeni 🙏🙏
Ahsante sana Mwalimu Joel Nanauka kwa Elimu nzuri adhimu unayoendelea kuitoa kubadilishana jamii kuwa katika mtizamo mpya
Kaka joel . Wewe ni dhahabu amboyo nilikua naitafuta .sana NITAKUOMBEA KWA MUNGU AKUFIKISHE MBINGUNI" uwe MALAIKA wamilenamile" UMEBARIKIWA SANA
Atakama kwa sasa nipo gizani bado naamini ipo siku ntakua mtu mkubwa kiroho na kidunia. God bless my vision
Nitakua mwanauchumi mkubwa Sana katika dunia hii mm ni mwana wa MUNGU 🙏🙏 Asante MUNGU
I am greatest ECONOMIST ✅✅✅
Mungu akubariki
Nimejifunza kitu na naamini nitabadilisha sana maisha yangu
Joel Nanauka asante sana. Mungu akubariki. Nimeefaidika kiroho na kimwili, pia nimefurahi sana, umenichekesha pia.
Asante kwa mafundisho mazuri bro.aonavyo mtu nafsini mwake ndivyo alivyo nimeipenda hii.tujinenee to be higher.
Hivi karibuni,, naenda, kununua ploti,, na ntaajiri wafanyikazi,, ntakuwa tajiri,, hivo ndo najiona
Ashukuliwe Mungu,, kwa kutupatia mtu huyu🙏🙏🙏
Ili jamaa i wish angekuwa my blood brother
In this very moment your words has changed me.I am the child of God..my dreams will come true no matter what the situation I am now.
Binafsi nimekuelewa sana, nakufatilia na umekuwa mtu muhimu sana ktk maisha yangu. Ww ni mwalimu Bora sana, nimfariji na daktar mkuu. Mungu aendelee kukutunza.
Natamani niwe mwana biasha mungu uwrupande wangu
Unanifuraisha sana Mzee wangu eti Mimi ni mnyooo aise nacheka sana Mungu akupe sikunyingi zakuishi duniani
Yes Jesus ❤sio maigizo
Hatima yangu ni kubwa Ee Mungu nisaidie na mim nifanikiwe
Amen Amen,nakataa kujiona mtu wa Kawaida, Maana hatima yangu imebeba hushuda💪💪 lnuliwa zaidi Mtumishi 🙏
Kweli umekuwa chachu ya mimi kusimama pia, kumbe nilikuwa kwenye kituo cha daladala sikupaswa kunung'unika na kulalamika. Mimi nimshindi daima
Joel uko nana fasi kubwa san katika maisha yangu, nafurah vipidi vyako sn 🎉🎉🎉🎉
lazima kuweka bidii kwenye kazi unayofanya
I admire for your Wisdom speech
Umetokea kuwa balaka katika maisha yangu, sijawahi jutia Toka nimekujua
Unabiii huu naona kama ulikuwa umenilenga yaan nmeshika madafutar ni some mara moyo ukanisukuma fungua utube nilipofungua tu nmekutana na ujumbe huu nmefarijika na nmejifunza kwakwel mwlm kagusa maisha yangu kwa umla nmebarikiwa sana mungu akuvariki sana mtumishi umetuka kuwa njia ya mafanikio ya watu wengi sifa kwake mungu aliye kutumia kukomboa taifa lake
Hata mimi
Kama mimi
Nahamasika sana na haya madin
Barikiwa Kaka, hiyo ndio Elimu yenye maslahi kwa watu.
You make me to like all things you said
mm ni tajil San kwa uwezo wa mungu
Tangu nimeanza kusikiliza hotuba zako Mungu amenisaidia na ninaimani ya kutoshindwa ubarikiwe mtumishi was mungu
Kwa hakika ninaujasiri wa kusema ahsante MUNGU Kwaajili ya uwepo wa huyu kaka, Nanauka God bless you 🙏🙏
Mungu awe nawe
Super sana ❤❤❤
Mtumishi wa Mungu mbona unayazungumzia mambo yangu yote nashukuru sana kwa kunifungua ubarikiwe sana na Mungu
Tumefunguliwa Kwa pamoja.....Amen Amen Amen Sanaa🙏🙏🙏🤝🙏
Mungu n mwema nmebadilika sana baada ya kuanza kumckilza Joel Nanauka,
Mungu akubariki
Amen mt
ooooh thanks God nimee jifunza kitu kutoka kwako mungu akubaliki
Toka nimeanza kukusikilizaa kuna kitu kimebadilika kabisa kwenye maisha yangu barikiwaaa
Amina hakika joel umeibadirisha hakili yangu naamini Mimi n mshindi mungu akubariki sana
Napataje kitabu chako iri nipone namimi.
💪💪💪💪sku moja naamin watu watanijua na kunielewa
In God i believe
Umasikini n meupiga teke katika in Jesus name
Ipo siku nitakuwa tajiri mkumbwa Ntabadilisha ninavyojiona
Safi, Ila huo mstari ni 1 Korinto 2:16..We have the mind of Christ 😊🥳
🎉🎉
Kwa jina la yesu kuanza Léo nimebadilisha mtazamo wangu... nitakuwa tajirii nakuweza kuajiri watu
This is so powerful. Mambo haya ni muhimu. I thank God for the revelation God has given you to share with us.
amen
Amen Amen nakupata vizuri nikiwa Nairobi Kenya, Asante kwa ujumbe huo wa ufahamu
Asant sana baba mtumish Hakika nimelia sana hili somo limenipa vitu adimu sana Hakika Mungu akuinue zaid
Asante baba nimepata hamani sana mahana nimevunjika moyo sana hila kwasasa najiani mm ni bola sana na niwathamani sana mm nitajili
Dini yetu inatuhimiza kutafuta elimu, na haikutuekea mipaka au kikomo cha elimu na nani wa kutupatia elimu hio, mimi ni muislam lakini sijali utofaut wa dini zetu mana sio dhambi, najifunza mengi na mazuri kwako, ahsante, nlikua mbali nakushuka kwa sababu ya watu, lakini umenifunua macho sasa, ahsante tena.
👏 👏 👏 Mungu ubariki kazi za mikono ya Kaka Joel Nanauka
Hatima yangu ni kubwa
Eee Mungu nibariki nifanikishe malengo yangu yakifedha na kiuchumi
Thanks God Because of you.God love Tanzanian this means development of political,personal and world wide.God continue blessing you and Grace
Hii imenigusa sana kaka naona kabisa na mimi nahitaji kuchukua hatua za namna ya kuwa wa tofauti
Mungu Akubariki sana kaka joel umekuwa baraka kwa kizazi cha leo
Ingawa Nina maisha ya kawaida lakini natamka Haya IPO siku I will be at a high level, na nikifanikiwa naahidi kuwasaidia wengine, MUNGU akuongoze
Nitabadilisha ninavyojiona Mtumishi wa mungu barikiwa sana
You joel nanauka nikinunua simu kubwa nitakuwa naiga mafundisho yako na kuwafundisha wengne huku nam nikiyafanyia kazi
Natamani kufikia maono yangu kwa wakati Asante kwa mafundisho mazuri
It's like I was too late to see and listen you Joel
Pastor Mungu akubariki sana umenitia nguvu sana, nilikuwa nimekata tamaa
Nimechoka kuwa mtumwa wa watu,sitaki Tena kuwa mtumwa wa watu Tena.
Chukuwa Atua❤
Amina
@nivivianrafael19
Mm ni mtu wakukata tamaa tuu naomba unisaidie ata ushauri nitoke huku kwenye msongo wa mawazo😭😭@@Fikra-online
May my god bless you, you helped me a lot, with knowledge thank you very much keep up the greatest work of lord
Amen baba natamani sana nifanye kazi ya Mungu
Mimi nimkubwa sanaaaaaaaaa Jeremia Frank Isowe
Thank you kaka nazid kujifunza mengi🙏🙏
Amina😢siku nitakua mfanya biashara mkubwa na kuajili watu ❤
Ubarikiwe sana 🙌🙌Najifunza vingi sana
Mimi ni watofauti na hatima yangu ni ya tofauti
Ubarikiwe sana kaka dah Dunian tuna resources sana dah tumepata resource kubwa sana kuw na ww an b blessed kaka ang
Mungu akulinde
❤❤ mpya hii ata leo
Amina sana
Najihisi kubarikiwa katika mafundisho haya.ubarikiwe sana
Maono. Yangu ni makubwa sana mkuu,, umeniongezea kas , nazani saiv nikama naenda nimeona njia
Amen kuna mahali umenivusha.🎉
IPO siku Mungu ataniinua na kunifanya kuwa tajiri mkubwa duniani
Nitamiliki kampuni kubwa duniani
Africa nitaajiri vijana wenzangu
Na duniani watatumia mitandao yangu mikubwa
Mtanukumbuka tu
Na jina langu ni MJ JOHN
Www ni zaidi ya degree of PHD Speaker ❤
Nmeponywà fikra zang
Asante sana brother tangia leo mm nitabadrisha navyo jiona nashukuru sana🙏🙏
Nakushukuru kunipa tochi ya kumurika maisha yagiza sasa njiya naanza kuiyona;ubarikiwe,
Niwezeshe mungu wangu katka mipango yangu niwe na wewe bwana
Kabla cjamaliza chuo nitapata Kazi na nitafaulu Mitihan yangu🙏🙏🙏
Nitafaulu kwa viwango vya juu kwasababu mimi ni mwana wa kristo yesu🙏🙏
Amen 🙏 nitavipataje vitabu vyako natamani niwe nasoma kila siku
I really listen to your talk and it's very inspiring
Nimepata mafunzo, nabadilisha mtazamo yangu ya future
Asante sana joel! Mungu akulinde kwa kweli unaelemisha sana!
Week mwenyz Mungu nisaidie maono yangu yatimie nataka kuwa mfanya biashala mkubwa
Nabadili mtazamo wangu kufikia malengo yangu makubwa .🎉
Glory be to God ,,Naya weza mambo yote kwa huyu anitie Nguvu
Nimeamka mtumishi 🥂💌💞I'm the big boss in Africa 💞
Nitakuwa mwana technology mkubwa san duniani, Mungu nisaidie
Mm ni tajiri mkubwa sanaaa duniani
Ipo siku nitaajiri wafanyakazi wenzangu mungu nisaidie
Amina
Upo wap
Amen
Nta badirisha ninachojiona
Amin Mungu akujaalie
I like listening this life coach everything is smart
Nataka kitabu cya timiza malengo yako
Asante joer
Hakika umetukomboa wengi Mungu azidi kukuongoza
Very good and precious presentation God bless you too abundantly forever amen