Jamani ofisi kuitwa ofisi . Kuna mhudumu. Kuna sacretary. Kuna maafisa. Kuna mk. Mipango .wakurugenzi. katibu mkuu mpaka akafika waziri inafaa tuzingatiye vyeo hao wote wanakazingani hata kufika rais . Kuna vikosi mbali mbali mapolisi majeshi . Kama mtu anajua taratibu basi rais hanalawa . Huo uonevu. Mambo ĺazima yanadaraja tuwe.makini
Maigizo mengine ufaraisha fikiria wapinzani wa Ali walijuwa atasafir na bas? ninani alie toa taharifa? juu alizitowa wapi? siku mbili kabla ya kisafiri alikuwa wapi kunashaka kwa wafuwasi wenzake mwenyezi mungu ni mwema ukweli utapatikana uhuiuu ni mwisho chadem kila njia inamwisho
Mabalozi wanathamini human rights. Kama mabalozi wenu wanakaa kimya ni kwa vile ni waoga, wanaenda kufanya Kazi Ubalozini kwa maslahi ya watu Fulani. Wameshindwa kutafutia Watanzania fursa huko nje watakuwa na ubavu wa kukemea maovu huko waliko? Mabalozi huwa hawakurupuki tu bila instructions kutoka katika serikali zao. Tunaomba Hilo lisahihishwe
Ni ajabu na ni aibu kwa mtu kujiita chawa wa mtu fulani. Chawa huwa anahusishwa na uchafu. Ina maana wewe ni mchafu mpaka mtu anakuita chawa na wewe unafurahia? Pride yako iko wapi?
Mama wacha kusema tuna sheria,hatuna Sheria sisi tuna sharia.narudia tena, hatuna sheria.
Mama hongera sana sana piga kazi aliuwawa albino juzjuz tu mbona mlikaa kimya wanasiasa bwana
Basi acheni kuwaomba misaada kama mna mambo yenu muanze kujitegemea
Uliombwa msaada w kupangiwa jinsi ya kuniongoza/ au ni wa maendeleo!!!?
Nenda ukatowe ushahidi polisi huko
Wewe mnyika acha kuiongopea jamii ujui kama Uongo huwa unamwisho
Nchi yetu Niya aman wauaji lazma wataptkn t mungu nay s yupo
Jamani ofisi kuitwa ofisi . Kuna mhudumu. Kuna sacretary. Kuna maafisa. Kuna mk. Mipango .wakurugenzi. katibu mkuu mpaka akafika waziri inafaa tuzingatiye vyeo hao wote wanakazingani hata kufika rais . Kuna vikosi mbali mbali mapolisi majeshi . Kama mtu anajua taratibu basi rais hanalawa . Huo uonevu. Mambo ĺazima yanadaraja tuwe.makini
Yaani huyu mama me simpendiiiii kbs mana kuna watu anawabeba km magaidiiii yake
ALLY KIBAO AMEUWAWA NA CHADEMA ILIWATAFUTE KIKI BAADA YA KUMUUWA WAKATANGAZA KUTEKWA BAADAE MNYIKA AKATANGAZA KIFO MNYIKA KUMA LA MAMAYI
Siyo kweli amna akili hapo kama unaamini kwambaa ni sawa toka bila ulinzi uone kwamba kifo ni kifo
Kama mmetumwa mtaumbuka Raia hamamrishi askari ,Kazi yake inajulikana,kuvaa red sio Umarshal hadi kiapo,Hatuna Mjadala Baada ya amri.
Maigizo mengine ufaraisha fikiria wapinzani wa Ali walijuwa atasafir na bas? ninani alie toa taharifa? juu alizitowa wapi? siku mbili kabla ya kisafiri alikuwa wapi kunashaka kwa wafuwasi wenzake mwenyezi mungu ni mwema ukweli utapatikana uhuiuu ni mwisho chadem kila njia inamwisho
Kaaa! Mauaji ni kawaida?
Mbona ufati katiba maandamano niaki kikatiba au amsomi
maandamano ni haki yetu kikatiba,tutasikilizwa wapi tusipotoka?kama kukosoa unaambiwa unatukana serikali
Mungu samehe hii mutu🤔
Ila chadema😢
tuipende haki ama vp
Mnaota mchana nyiye
Wamemwabia niwapi wamemtukana mpuuzi wewe huna akili ndio maana unajiita chawa wa nyoko
Yeye hana mkia?
Mnyika acha kupambana naRais.waulize kina KILA,walimpinga Musa.Mungu aliwafanyaje?muwe mnajifunza KUTOKA kwenye Biblia
Mnyika soma Biblia.ujifunze..kina KOLA,walipata adhabu gani,? Baada ya kumpinga Musa?
Hao red brigade wenu wa kazi gani mnaongozwa na mabeberu washenzi nyie komeni kumtusi rais wetu mbona mliufyata wakati wa magufuli nyoko
Wako in denial
Mabalozi wanathamini human rights. Kama mabalozi wenu wanakaa kimya ni kwa vile ni waoga, wanaenda kufanya Kazi Ubalozini kwa maslahi ya watu Fulani. Wameshindwa kutafutia
Watanzania fursa huko nje watakuwa na ubavu wa kukemea maovu huko waliko? Mabalozi huwa hawakurupuki tu bila instructions kutoka katika serikali zao. Tunaomba Hilo lisahihishwe
Namaanisha Mabalozi waliopo hapo Tanzania walitoa tamko baada ya kupata instructions kutoka katika nchi zao. Hawajakurupuka tu.
Ni ajabu na ni aibu kwa mtu kujiita chawa wa mtu fulani. Chawa huwa anahusishwa na uchafu. Ina maana wewe ni mchafu mpaka mtu anakuita chawa na wewe unafurahia? Pride yako iko wapi?
Wee mnyika ndie muuaji mkubwa kwa kushirikiana na mboe na huyo mmemuuwa nyie ukiwa ww ndo kiongozi wa mauaji
Nyie mbona mnatukana sana mwacheni mama wa watu afanye kaZi kwani Kuna baya Gani alosema
Na vita je?