Karama yake ya utunzi haikuwa ya kawaida. Ni wajibu wetu kuziweka kazi zake kwenye digital platforms sasa, kitu ambacho hatujaweza, kuna wanaoimba kazi zake nusu nusu au kubadilisha maana vionjo, sijui nani ataitunza kazi ya huyu mzee wetu! Ningeweza ningekusanya waimbaji mahiri tufanye kazi zake zooooote katika uhalisia wake.
Hii Ndiyo iliyokuwa katoriki siyo kama nyimbo za Wahuni nyimbo inatungwa Leo kesho haitamaniki, harafu staili ya Uimbajii lazima utajua Hawa ni wakatoriki siyo siku hizi tunaomba kama Sabato hovyo nakukata Viuno .
Pumzika kwa amani Baba wa muziki asili mtakatifu. Wafuasi wako tunaenzi nyimbo zako.
Shining on your Composer- Maestró ⛪🇰🇪🙏🙏😇
that amazing touch
Karama yake ya utunzi haikuwa ya kawaida. Ni wajibu wetu kuziweka kazi zake kwenye digital platforms sasa, kitu ambacho hatujaweza, kuna wanaoimba kazi zake nusu nusu au kubadilisha maana vionjo, sijui nani ataitunza kazi ya huyu mzee wetu! Ningeweza ningekusanya waimbaji mahiri tufanye kazi zake zooooote katika uhalisia wake.
Wazo zuri sana, nampongeza despine anajitahidi japo kuziimba tu
Hii Ndiyo iliyokuwa katoriki siyo kama nyimbo za Wahuni nyimbo inatungwa Leo kesho haitamaniki, harafu staili ya Uimbajii lazima utajua Hawa ni wakatoriki siyo siku hizi tunaomba kama Sabato hovyo nakukata Viuno .
Sabato wanaimbaje
RIP MZEE....PIA NA MAKOYE
Uwajalie pumziko la milele amina
Nyie mnaorusha hizo nyimbo muache roho mbaya mnaturushia vinusu turushieni nyimbo kamili
Raha ya milele umpe Ee Bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani. Amina.
Mzee angebahatika kukutana na Teknolojia ya sasa angetustaajabisha zaidi. Roho yake ipumzike kwa amani.
Twakuomba Bwana utusikie.
rest easy legend
Mwanga wa Milele umwangazie Ee Bwana
Mwanga wa milele umwanginzie ee Mungu,roho yake izidi kupumzika kwa Amani
Mungu ampe pumziko la milele marehemu
Amina
Raha ya milele umpe Ee Bwana na Mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa Amani. Amina.
Ledendari mwenyewe!🙌
Mungu amupokee
Mkuu,, ongeza clip nyingine za mgandu
Safi sanaaaaaa
Aendelee kupumzika kwa amani nyimbo zake zinaishi mpaka leo
jina la wimbo anaejua atutajie tafadhali
Pumzika kwa amani baba
Mwanga wa milele umwangazie
Azidi kupumzika kwa amani. Wimbo wanaouimba kwa video hii ni upi? Waitwaje? Ni mtamu sanaa....
R.i.p
Babu wetu kipenzi
Mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani
Naomba video yake in full mkuu
Full sina boss
What's the name of the song?
Angalieni Kesheni by John Mgandu
Ni kazi nzuri alifanya Mzee wetu huyu, naomba unitumie wimbo huu wote video hii ktk 0766 214 812
Ilipotea..labda niidownload hapa nikutumie
@@georgenyotoka1468 Mwl nawe sio mgeni machoni pangu nahisi unacheza kinanda ili sikumbuki ni wapi
Alikuwa akiimba kwaya gani
Duuuuuuu
vip mkuu unasemeje hapo
Roho yake ipumzike kwa Amani
SASAHIVI YUKO MOTONI ANAUNGUWA
Mungu akurehemu mwenye kuhukumu ni Mungu peke yake.
Mbona ukasema haya?wewe wamfahamu vizuri Mwalimu Mugadu?
Mwanga wa milele umwanginzie ee Mungu,roho yake izidi kupumzika kwa Amani