Kuna kitu hapa sio blue kabisa yani navyo ijua dar eti mtu Aokote kitu apeleke kwa mwenyekiti kama unaungana na mimi juu ya hili like na comment hapa tupate ukweli
@@goodluckmrosso486 apo tuna kunatakiwa kujua hao walioenda niwezake kweli mwenye kiti sii aliwaona ina maana akiwaona Mara ya pili atajua kama ndoo wao au raha
Mhh kuna kitu kati ya hawa wenzao haiwezekan wao walitoka wakamuacha mwenzao alafu baadae waende wao kwa mwenyekiti waseme mwenzao alikua kichaa na walijuaje kwamba gitaa lipo kwa mwenyekiti mhhh mi nahis kitu kati ya hawa wenzao police wafanye uchunguzi
Polis ivi wanafanya kaz gani mpaka muda huu ebu akamatwe uyo dura mokota gitaa. Kijana wawatu alikua mpole hana tabu na mtu kwanini auwawe namna iyo😭😭😭😭😭
ili jambo mbona kama ni wao kwa wao wamezungukana, upelelezi ungeanzia apo apo kwenye kindi lao namaanisha wasanii wenzie wa the mafik waojiwe, pili dula ahojiwe na mameneja wake waojiwe, hi kitu sio mapenzi sio ujambazi ni chuki binafsi tu.
Kweli tuna ugeni wa sadec ivi ni kweli dar mtu anaokota kitu anapeleka kwa mwenyekiti kwelii,kamata wote hao sweka ndani wauwaji aoo,na mh mjumbe unapojibu maswali ni lazma uwe makini unasema ulikuta mzigo umewekwa ofisini kwako yaani bila hata ya maelezo mazuri unakubali tu
sharif unakurupuka kujibu elewa mada ndio uwandike coment uyo sio mjumbe uyo ni mwenyekiti yeye hakuwepo wakati vinaletwa ivyo vitu aliekuwepo nimjumbe wake baada ya kufika yeye ndio akapewa taarifa kwamba kunavitu vimeokotwa amevileta dulla xo uwe unaelewa mada ndio ucoment broo
kwa tanzania hii mtyu hawez kuokota kitu akapeleka hata kama mwenyew alikutwa amefalik ila wanajiham tyu hao ichunguzwe sm nani alimpigia wa mwixh had akatoka ndan usiku
Mm nadhani huyo wa kwanza kupeleka kwa mwenyekiti angekamatwA (Dula) kwani hao vijana wawili wamejuaje kuwa kitaa na cm vipo kwa mwenyekiti? Inamaana kuna connection kati ya alievipeleka kwa mwenyekiti na wale vijana waliovifata na kusema hana akili
Maelezo dah kila mmoja anaeleza kivyake ila mwenye nyumba alikua anadai kodi kwn akua na ugomvi nae na hao wanaosema alikua punguani marehem awatak lawama.
Mussa Hassan yn huyu hakuwa anadaiwa kodi mjomba wake alisema waliwasiliana nae kuulizia kodi ya chumba chake yn hapo kwao c unajua nyumba za urithi kodi zinachukuliwa kwa vyimba kwa mm nilivyomuelewa yule baba
Wewe si unamuona? Anarudia rudia maswali mpaka baba watu anataka kujichanganya! Akili ya huyo mtangazani itakua ya duara kama bichwa lake maana anenda round and round and round ka kitenesi! Sura ka tufe! Kabichi lililotelekezwa kariakoo!
Mmmh lazima kutakuwa na Siri kubwa jini yakapeti. Hawo jamaa watakua ndo wamemuawa mwenzao aminini ninachokisema jaman khhaaa.coz wasinge weza kumpakazia mwenzao ukichaa.mtu aliye lukwa na akili ufaham wa kupga gtaa anaupata wapi jaman the mafiki mmeuwa mwenzenu khhaaa hii Dunia hii inaelekea wapi jaman.aliwakosea nini.??????😭😭😭😭
alex ww aufuhamu vizuri uyo jamaa wala ujawai kumuona kifupi kitu usichokifaham kunakipindi nikwel alichanganyikiwa adi akawa anafungwa kamba sasa usitake kubisha vitu usivyovifaham na kujifanya mnamjua sana
Huyo dullah unafikili atabaki sasa lzm akasaidie mahakama labda ndugu wasitake kufatilia sbb ya pesa mana dunia hii umaskin mbaya haki yako na unaikosa
Kisheria mtu yeyote hapaswi kumshutumu mtu kwamba ndie muuaji au muhusika ikiwa huna ushahidi au uthibitisho wowote. Jaman achen kuongea mambo yasiyokuwepo. R I P Mbalamwezi
Kama ningekua mpelelezi ningeanza na hao walopeleka gitaa na cm oficn kisha dulla hakika wauwaji ningewatia mikononi mwa sheria kwanza nina mashaka na hilo kundi lake la music R.l.p kijana mdogo wamekukatili vibaya mungu baba akutolee mateso ya kaburi
Hata nao kifo chao kinaweza kuwa ni zaidi ya kichaa ikawaza kituko jua tu unauwa mwenzako kwa namna yyt ile ujue tu hata ww utamkuta tena usishangae akakupokea
Ss hapo haijulikani wenzake hao ni kina nani?je ni wale wakundi lake au kuna wa2 walienda wakajifanya ni wenzake?by the way mwenyekiti akipelekewa awatambue atawatambua na kujulikana tu.mwenyezi mungu atacmama kwenye haki inshaallah damu ya mtu haipotei hvhv kirahic inauma sn aiseee dah
Wewe si unamuona? Anarudia rudia maswali mpaka baba watu anataka kujichanganya! Akili ya huyo mtangazani itskua ya duara kama bichwa lake maana anenda round and round and riund ka kitenesi! Sura ka tufe! Kabichi lililotelekezwa kariakoo!

Apo iko point
Na tofaut na hvyo kwann wenzake wanasema alikua hana akili nzr? Hao hao rafk zake ndio wahusika
Cinta Nicholas kulike ndo kupata nn nyie mnamatatizo gani hizo like mnapelekaga wap
@@veronicadaniel1122 kama uliona hamna umuhim ulikuja kufanya nini soma sms vinzur elewa so pls usjibu kitu kama ujaelewa maana
@@goodluckmrosso486 apo tuna kunatakiwa kujua hao walioenda niwezake kweli mwenye kiti sii aliwaona ina maana akiwaona Mara ya pili atajua kama ndoo wao au raha
Jmni rip mbalamwez dah unaishi moyoni mwangu allah akupunguzie adhabu ya kaburi😭😭😭
Fredy Feruzi, Pole sana kaka Mungu awatie nguvu
Dula ndani Kwanzaa kwa ninavyo ijua dar mtu aokote sm na gita avipeleke kwa mjumbe kwwliiiii
Hii tabia ya kuokota sm unapeleka kwa mjumbe ilianza lini hapa bongo??????
Mhh kuna kitu kati ya hawa wenzao haiwezekan wao walitoka wakamuacha mwenzao alafu baadae waende wao kwa mwenyekiti waseme mwenzao alikua kichaa na walijuaje kwamba gitaa lipo kwa mwenyekiti mhhh mi nahis kitu kati ya hawa wenzao police wafanye uchunguzi
Polis ivi wanafanya kaz gani mpaka muda huu ebu akamatwe uyo dura mokota gitaa. Kijana wawatu alikua mpole hana tabu na mtu kwanini auwawe namna iyo😭😭😭😭😭
ili jambo mbona kama ni wao kwa wao wamezungukana, upelelezi ungeanzia apo apo kwenye kindi lao namaanisha wasanii wenzie wa the mafik waojiwe, pili dula ahojiwe na mameneja wake waojiwe, hi kitu sio mapenzi sio ujambazi ni chuki binafsi tu.
My thoughts to
Young Xhadah kabisa
Nafikiri ni chuki kwa kazi
@@nancywangare5907true Daah ...nakubuka wimbo wa Aslay chuki
Hapna xaxa hao walijuaje Kama vitu vipo kwa m/kiti mmmmh mm Nina maswali mengi yaani wausika wapo hapoo msibani camini kiukweli😭😭😭😭😭
Simu ilipigwa wewe
Sijapata chochote hapa Naona MAELEZO yanatolewa Mbele Nyuma mara Nyuma mbele....
Umeonaeee
Hao nikuwabana wote hao
Watasema ukwel
Dulla mtoa taarifa za guitar dulla mtoa taarifa za mauti dulla kuna kitu ungetujuza tungekubana
Kweli tuna ugeni wa sadec ivi ni kweli dar mtu anaokota kitu anapeleka kwa mwenyekiti kwelii,kamata wote hao sweka ndani wauwaji aoo,na mh mjumbe unapojibu maswali ni lazma uwe makini unasema ulikuta mzigo umewekwa ofisini kwako yaani bila hata ya maelezo mazuri unakubali tu
Sharif Abdul kabisa
sharif unakurupuka kujibu elewa mada ndio uwandike coment uyo sio mjumbe uyo ni mwenyekiti yeye hakuwepo wakati vinaletwa ivyo vitu aliekuwepo nimjumbe wake baada ya kufika yeye ndio akapewa taarifa kwamba kunavitu vimeokotwa amevileta dulla xo uwe unaelewa mada ndio ucoment broo
alafu tambua uyo aleokota nibodaboda wa jogoo uyo aliekufa anaishi kino
Haohao wanaosema hana akili ndo wanaojua ukweli
kwa tanzania hii mtyu hawez kuokota kitu akapeleka hata kama mwenyew alikutwa amefalik ila wanajiham tyu hao ichunguzwe sm nani alimpigia wa mwixh had akatoka ndan usiku
Umenena😍😍
Ni kweli ila pia inategemea na imani ya mtu alieokota , but uchunguzi muhimu kwa kweli
Daah polen sana wasanii pamj na wazazi
Mmh maelezo ya huyu mwenyekiti zinanifanya nihic kuna utata wa hali juu ya kifo cha marehemuu
Watu wamejileta wenyewe but Mwenyekiti Mmmh,Hao wangetiwa mokononi wangeeleza Everything's.
Mm nadhani huyo wa kwanza kupeleka kwa mwenyekiti angekamatwA (Dula) kwani hao vijana wawili wamejuaje kuwa kitaa na cm vipo kwa mwenyekiti? Inamaana kuna connection kati ya alievipeleka kwa mwenyekiti na wale vijana waliovifata na kusema hana akili
Lakin ata kuna kakayake amesema aliwah kuchanganyikiwa
Polisi wawachukue marafiki ili mtendaje awatambue.damu haipotei bure
Maelezo dah kila mmoja anaeleza kivyake ila mwenye nyumba alikua anadai kodi kwn akua na ugomvi nae na hao wanaosema alikua punguani marehem awatak lawama.
Mussa Hassan yn huyu hakuwa anadaiwa kodi mjomba wake alisema waliwasiliana nae kuulizia kodi ya chumba chake yn hapo kwao c unajua nyumba za urithi kodi zinachukuliwa kwa vyimba kwa mm nilivyomuelewa yule baba
@@halimasaleh5705 okey
Wewe si unamuona? Anarudia rudia maswali mpaka baba watu anataka kujichanganya! Akili ya huyo mtangazani itakua ya duara kama bichwa lake maana anenda round and round and round ka kitenesi! Sura ka tufe! Kabichi lililotelekezwa kariakoo!
😂😂😂😂😂😂😂😂
I know! Very bad!
😂😂 msamehe jamn
Ni kweli kwa ni-ni wasani wenzake wawe njo wawo kote vitu? Wawa cunguze
Hey Waw ahahaahahaha
Hapo. Hamuna kitu utaweza kujua. Kitu kama akili unayo
Mmmh lazima kutakuwa na Siri kubwa jini yakapeti. Hawo jamaa watakua ndo wamemuawa mwenzao aminini ninachokisema jaman khhaaa.coz wasinge weza kumpakazia mwenzao ukichaa.mtu aliye lukwa na akili ufaham wa kupga gtaa anaupata wapi jaman the mafiki mmeuwa mwenzenu khhaaa hii Dunia hii inaelekea wapi jaman.aliwakosea nini.??????😭😭😭😭
alex ww aufuhamu vizuri uyo jamaa wala ujawai kumuona kifupi kitu usichokifaham kunakipindi nikwel alichanganyikiwa adi akawa anafungwa kamba sasa usitake kubisha vitu usivyovifaham na kujifanya mnamjua sana
@@jafariuwesu1691 kweli kushabikia vitu usivyo vijua ni hatarii duniani na hata kwa manani
Na inaonekana walienda kwa mwenyekiti kuchukua cimu ili wafutea ushahidi kuwa wao ndo walimpigia usiku wake
Mwenyekiti nae hana ufahamu vizuri kwann asiwazuie nakuwapigia cm police waje
kuuwa mtu sio kitu chamchezo damu yamtu haipoteii watajulikana tu eti kichaa mmhhhhh aya acha tusubiri mwendelezo
Wameshamjeuka mwenzao eti kichaa
Ni haohao wenzie wamemuua mwenzao cz yeye ndie alieanzisha kundi ni wao wamejuaje hivyo vifaa vipo hapo na kwann waseme matatizo la akili????
Kutoka na maelezo ya mwenyeketi hapo kuna sitoelewa kuna somethings suspiciously
Naam akhui hpo kipo kitu
Lait angelikuwa huyo
Alyepoteza ndg yng wangejuta
@@umikram6755 yani ni hatari watu wamekuwa na roho ya kinyama sana inatisha Tanzania matukio ya ajabu sikunhizi yamekuwa mengi
Innalilah wainnaillah rajiuun
Dula kajihami ila mchezo unajulikana hapo
Ata mm siamini kwa dar mtu aokote sim na gita apeleke kwa balozi ningumu kuamin
Kiukweli utata
yan uyo dulla akamatwe kwnz maan ukwel umefichika apa..
Huyo dullah unafikili atabaki sasa lzm akasaidie mahakama labda ndugu wasitake kufatilia sbb ya pesa mana dunia hii umaskin mbaya haki yako na unaikosa
@@naamohamed9964 kubwa nikushtak kwa ALLAH SW TU
@@umikram6755 hilo ndio lililo baki mana kama mtu kashapotea
Huyo aliyepeleka cm na gitaa ndy wa kuanza nae
Kabisa umeonaee
Tena mapema
Ramla Ameer hahahahaaa daaah yaani ndiyo maana watu wanaogopaga kutoa msaada maana polisi wakitaka uwasaidie ni ishu
@@christophermsekena616 😆😆😆😆
@@goodluckmrosso486 maana kwa nnavyojua mm mxanii kma huyo hawez 2mia kixwaxwadu lazma litakuwa libapa tyu na wabongo jinc 2livyo hv inawezekan uokote touch kimo cha m2 alaf upeleke serkal ya mtaa kwel¿¿ mmh hainingii akln
Kisheria mtu yeyote hapaswi kumshutumu mtu kwamba ndie muuaji au muhusika ikiwa huna ushahidi au uthibitisho wowote. Jaman achen kuongea mambo yasiyokuwepo. R I P Mbalamwezi
Mwenyekiti unamakosa tena makubw,,,kwanin usiwaulize majina yao nawanatoka wp
Wange jibu ya uwongo
Mhhhj huyo Dullah kaz anayo anaweza kamatwa akasaidie mahakama
tatizo letu wabongo ndio ilo
@@jafariuwesu1691 ndio mana watu wanaogopaka kujitia kimbelembele na pia kutoa ushahidi
I smells something fishy let's wait until it's done bt truth will come out, God help us all
Nahisi kuna jambo hapo uchunguzi uanze kwa hao wenzie na huyo dula
Simu ichunguzwe ukweli uhuru upatikane daah makubwa.
apo kunakitu ,haiwezekani waseme muhusika ni kichaa
Kwa maelezo ya mwenyekiti basi wenzake wa karibu ndio wamehusika hakuna mjadala police anzeni na huyu mwenyekiti.....
From mozambique #RIParadise
Mie naona hao waliosema mwenzao hana akili timamu kunakitu wanakijua kuhusu mwenzao
Kabisa...pengine ndio hao hao wamemmaliza
Millardayo mpige marufuku huyu mtangazaji wako kuongea sana anakuwa kama mtangazaji wa global
Buhaaaaaaaaaa medy ugomv huo
Kama ningekua mpelelezi ningeanza na hao walopeleka gitaa na cm oficn kisha dulla hakika wauwaji ningewatia mikononi mwa sheria kwanza nina mashaka na hilo kundi lake la music R.l.p kijana mdogo wamekukatili vibaya mungu baba akutolee mateso ya kaburi
Hata nao kifo chao kinaweza kuwa ni zaidi ya kichaa ikawaza kituko jua tu unauwa mwenzako kwa namna yyt ile ujue tu hata ww utamkuta tena usishangae akakupokea
Mmmmh I smell something fishy here.. anyway, RIP kwa marehemu
Kawa lini kichaa jaman. Mbona utata??
Kweri dar mtu aokoye kitu akiprreke kwenye uwongozi?
M/kiti tunaomba ututafutie huyo dullah atueleze ukweli maana sielewi elewiii🙄mmmh tz...Kuna mambooo kweli lazima ukweli anaujua
Bado cjaelewa hatA kichaa aimbe mziki haiingii akilini
Mtanga zaji ubabowa!
Matatizo ya akili tena rip
Hao wenzake wawili waulizwe,maana wao walifuata vifaa,then wanasema mwenzao ni kichaa.Polisi ianze na hawa.
Ss hapo haijulikani wenzake hao ni kina nani?je ni wale wakundi lake au kuna wa2 walienda wakajifanya ni wenzake?by the way mwenyekiti akipelekewa awatambue atawatambua na kujulikana tu.mwenyezi mungu atacmama kwenye haki inshaallah damu ya mtu haipotei hvhv kirahic inauma sn aiseee dah
Kama nikichaa kwa nini wakatoka kwa nyumba na kumwaja peke yake?
Mtantangqzaji unarudia rudia maswali
Kaboa kwelii angekua vidox kdg ingekua poa
Wewe vipi! Unamchanganya baba wa watu!
Mtangazaji punguza intro iwe fupi kidogo.kwa mtu asie mvumilivu ana skip hbr
Kuna mazingira na uchawi. ....Rip young talent😢😢😢
Mmh matatizo ya akili tena
me ninavyoona ukayee kmy tusubiriye watu wa uchunguz wasemeh vzr atutak maneno mengi na watu wauchunguz wasemeh ukweli isiishiye hewan too
Tena kichaa jmn mtu
We mtangazaji Uso mpana ka Cabichi lililotelekezwa sokoni!
😂😂😂😂😂Dah unachekesha
Unakosoa uumbaji wa mungu
yako ka kipande cha mbilimbi
Daaah ila wew😂😂😂😂😂
Wewe si unamuona? Anarudia rudia maswali mpaka baba watu anataka kujichanganya! Akili ya huyo mtangazani itskua ya duara kama bichwa lake maana anenda round and round and riund ka kitenesi! Sura ka tufe! Kabichi lililotelekezwa kariakoo!
Stress nyingi za muziki
Ww mtangaazaj au mpelelez ni mambo ya jeshi la polic hayo