Poleni sana kwa familia za hao majeruhi na wafiliwa. Hii yote ni lawama ya mwenye nyumba kufanya godown kwenye nyumba za kuishi watu hasa haya magorofa . Serikali lazima ifanye ukaguzi sio kujali matumbo yao tu.
Allah awalinde na awape safari njema waliotangulia...apa kujua idadi ya watu waliopo ndio kazi....tujenge nchi kuzibiti majanga na kupata solution kw haraka...ni jambo zipo hili
Hamna mini excavator hata moja ya kuondoka kifusi sijui wataliza saa ngapi kwa mikono, hamna Lori la kubeba kifusi na kukiondoa eneo la tukio, hamna mashine kabisa za kusaidia dah
Kama unaamini Mungu atawaponya tujiunge pamoja kuwaombea ndugu zetu,Wote tuseme Amen 😭😭
Agiza kijiko n aexcavator waokolewe maombi hayana msaada wowote hapo
Amina
@petermangama330 kwa nchi yetu hapo utakuta hakuna emergency yoyote ambayo ishawah kuandaliwa taadhari yake
Ameeen
Amina
Mwenyezi mungu awajaalie wawe salama na ambao siku zao za kufa zimefika awajaalie awasamehe makosa yao
Poleni Sana am from Kenya 🇰🇪 2024
Poleni ndugu wapambanaji sio nyinyi mungu awape kupona😢😢
Poleeen sanaaaa MUNGU awajslie uponyaji kwa majeruhi na azilaze roho za marehemu wote Mahalia pema peponi
Mwenyezi mungu awatangurie
May Allah give life to all the helpers who were found in the same situation while fighting for their families
Poleni jamani ton tach duka ndo tunapoanziaga apo polen sn mwenyezi mungu awasimamie mtoke salama
Mungu wa uweza tunakuomba uwakoe kwenye hili
Shida ya kudharau standard za ujenzi hii hapa. Unapata hasara mara mbili
Hili sio tatitizo, tatizo ni kuzeeka kwa majengo mengi kariakoo
Hili sio tatitizo, tatizo ni kuzeeka kwa majengo mengi kariakoo
Mungu muweza wa yote tunakuomba uwaokoe waja wako wanakuitaji wewe baba uwaponye watoke wakiwa wazima😊
Mungu wa mbinguni waokoe ndugu zetu watoke salama
Eee mwenyez mungu wasaidie wanao watoke salama
Ameeen
AMEN Mungu naomba okoa watu wako
Alllah ni mwema kma aliweza fanya likatokea hili inshaala atawaokoa pia
Pole sana wàliopoteza wapendwa wao
Innalililiah 😭😭 pole San ndug zangu Hila waizi wataiba pia wakati wezao wanakufa eeee mungu
Poleni sana ndugu zangu Mungu awalinde
😢😢😢 pole sana Tanzania tuna toa pole kutoka Congo watu wangapi ndoo wamee farikii 😢😢😢😢
🏧 🏠 poleni kujenga nikazi lakini kubomoka sekunde
Allah awanusuru na awape subira kpnd hki kgum wanachptia ndg jmaa na marafiki inshallah
Poleni Sana ndugu zetu mungu awaponye haraka 😂😂
Na vibali vyote vimetolewa halmashauri,aiseee!!mungu wasaidie inauma sana😭😭
Poleni sana kwa familia za hao majeruhi na wafiliwa. Hii yote ni lawama ya mwenye nyumba kufanya godown kwenye nyumba za kuishi watu hasa haya magorofa . Serikali lazima ifanye ukaguzi sio kujali matumbo yao tu.
Eeh Mwenyezi Mungu uwakumbuke watu wako
Pole kwa familia walio wapoteza majamaa wao
Pole sana famille mulio kutana na hili tukio
Poleni sana ndugu zangu..!!
Mungu waponye ndugu zetu hayo magorofa yamechoka Sana jamani
Polen sana ndugu zetu mbaka hapo ni hasara kubwa sana wenye maduka na stoo hapo daa inauma sana🏦🏧🇹🇿
juzi tu niliuliza kuhusu kudondoka kwa gorofa wakat huo sipo mjin dar leo tena hatar hii yote ni kuwaokota mafundi
Mungu awa fanyie wepesi wakutoka
Mwenyezi Mungu wanusuru ndugu zetu ktk ajali hii
Allah awalinde na awape safari njema waliotangulia...apa kujua idadi ya watu waliopo ndio kazi....tujenge nchi kuzibiti majanga na kupata solution kw haraka...ni jambo zipo hili
Mungu aturehemu ss sote
Nyumba za gorofa zikika muda mrefu zinatakiwa kubomolewa mtihani sana 😢😢😢
Kabisa maaa hiyo miti nayo inaozaga pia
Mola awasaidie inshaallah
E mungu wanusuru viumbe wako wapo kewnye wakati mgumu amin
Poleni wezangu mungu atupiganie
Mwenyezi Mungu tenda juu ya hili
Jamani poleni sana kwahuumkasa
Allah wanusuru waja wako watoke salaama
Tukio hili limetokea trh ngapi habari za kujirudia??
Leo
Ni Leo kwani huwahusikilizi taarifa mjomba 😂😂😂
jengo limezidiwa uzito na hizo store za mizigo
Kwan kariakoo kuna shida gan 🥹🥹 matukio hayaishi yaarab
Ohoooo my god wanusuru watu hao jamani poleni
Poleni
Duuuh! Inauma sana 😭😭😭😭😭😭
Inauma sana Mungu watetee watoke salama Amen 🙏🏽
Hamna mini excavator hata moja ya kuondoka kifusi sijui wataliza saa ngapi kwa mikono, hamna Lori la kubeba kifusi na kukiondoa eneo la tukio, hamna mashine kabisa za kusaidia dah
Eeeee mungu wangu mungu wa mbinguni nn hiki! 🤭Turehemu mungu.. wape faraja wafiwa na majeruhi wape kupona haraka🙉🙉
Yarabbi tulibde sisi na wapenz wetu. Ameen
Dah nawaza hao watu ambao wamefunikwa au kudondokewa na jengo ilo dah Mungu saidia hii
Ndo hivyo tena hakuna namna
Duh Hawa wajenzi uchwara na wakaguzi wa majengo wasiokuwa na viwango vya ukaguzi ni mtihani mkubwa walah
mungu wasaidie watoke salama 😢 hinauma sana
Mungu awatoe wakiwa salama
Mungu awalindee na kuwaokowa
Sina uhakika na huyu engineer Kama ana elimu ya kutosha au amegushii vyeti
God of mercy save them
Mungu asimame kwa hili😢
Du! Yn kifo kipo Kila mahali, poleni aisee
Ee mungu wahurumie,na utuhurumi na sisi
eeh mungu baba simama na wenzetu uwi
Mungu wa mbinguni azinusuru nafsi zao🙏🙏🙏🙏
Ee Mwenyezi Mungu sikia sala zetu tunaomba uwaokoe watoke salama
Poleni sana watani 🫂
Kikosi Cha uokoaji yani zima Moto wako wapi?sasa
Poleni sana kwa janga hilo lililowakuta ndugu zetu
Mungu wangu tusamehe poleni sana
Poleni sana ndugu nzetu Mungu awe na nyi
Mungu atusaidie hiii safar nindefu
Kwa uwezo wa mwenyez mungu kifo kitakaa mbali nao
Inna lillahi wainna ilayhir raajiuun
Mungu atuhifadhi
Poleni sana
Mungu saidia watu wako jamani
Mungu awanusuru toba yarab
Unaweza kuambiwa ndio maghorofa mapya hayo, maana huwa kiyaangalia yananitia shaka sannah..!
Kama mimi tu yaaani ghrofa lina jengwa asubihi jioni lime ishaa
Poleni sana
Mkono wa Mungu utendeke
inna lilah waiinailyhy Raj,uny
Polen sana
Kariakoo kuna shida majengo ya zamani miundombinu ya kizamani moto kila siku saivi watu wamefukiwa tena
Kikosi Cha uokoaji kipo kina kula bata kwanz 😂😂 mungu wanasur wako watu hawa
Serekali yenyewe nzima ipo kwenye kutafuta mbinu za kuendelea kutawala, hawana uchungu na wananchi.
Mungu awaponye walofukiwa na kifusi
ALLAH AWATOE SALAMA
Ee Mungu watetee😢
Ila watu wanaongeza uzito
Hiv jeshi la uokoaji Lipo wap had wana nchi wanaamua kufanya wenyewe
Subhanallah😢
Kweli mali haina thamani mbele ya utu
Inahuzunisha humo ndani watu wamefukiwa hivihivi dah
Jamani Mungu awanusul
Injinia atafutwe kwanz tujue moja haiwezkn😢😢
Majengo yamda yameoza ayo daa😢
Ooh Mungu uturehemu
Munguu wanusuluu wajawako
Mtaa gan wadau
Maneno Gani?
da kwakweli inauma sana 😢😢😢
My God ...save them plz