@@MashaMbwana ikiwa hivo itakuwa jambo jema sana. Laiti wanawake wangejua wakijistili wanapendeza sana, wanavutia na kushawishi watu kuwaoa wangejistili. Hakuna mwanaume mwenye ndoto ya kuoa jamvi la wageni. Vazi halimaanishi mtu anajitambua lakini anayejitambua hawezi kuvaa vazi la hovyo...
Sanaa inataka moyo sana nilikua chini ya kampuni flani tukafanya movie na mastaa na wakalipwa pesa nyingi lkn tuliokua ndani ya kampuni tuliambulia Vijora, maboss wanaangaliaga ma2mbo yao tuu
Congo tuna mapungufu yetu ila hatuna vitu vya kisenge hivyo, kuzarau wasanii wa nchi jirani hizo atuna... Kicheche alipenda kula na bata na mademu wa hapa kwetu kwanza n'najuwa dem m'moja ambae walilala na huyo jamaa yenu😮 Tofauti na clam huyo jamaa hana u serious kwenye maisha
Fatilieni kwa umakini, Clam Vevo, Kicheche na hao wote walikuwa chini ya bosi mmoja ambaye ni BABA ASMA. Clam alitoka kwenye kikundi hicho wakabakia hao wakina kicheche
WASANI wa TZ munaleta haya sana Sisi Congo tulikuwa tukiwa chobokeya Ila kwakuwa tumesha gunduwa kitu fulani Kati yenu. Musitusukume kuwaza vibaya. Muda mwengine upendo nao unalazimika ndani ya kazii zenu.
Bora mvulugike huenda muendako mtajifuza kufanya mivie zamaana sio movie ya family ya mzee kicheche huwezi tizama ukiwa nawazazi au na wtt jalibuni kucheza movie zakuelimisha sio utopolo
@@ashantinicas waigizaji wanajua kuropoka wangejua changamoto za wasimamiaji wasingeropoka. Kama wanaona nirahisi wafungue channel zao waone hiyo 1k kuipata heka heka zake na kushut hao watu kuwapata 😁
@@DonMooFILMES_Express 😄 ni changamoto sana alafu mbaya zaidi ni unakuta mtu uhusika wake ni wa kukamilishia komedi tu mfano huyo dada mi naonaga anacheza kama msukule mara mchepko vitu ambavyo sio main content ya igizo
@@ashantinicas 😁😁😁😁😁 nimwcheka bila kutegemea mpaka mbavu zinauma 😁 ni kweli, afadhali Vai akicheza hisia hakuna anayemfikia. Anajuwa kuteka hadhila sana. Kila mtu hulipwa mshahara kulingana na uwezo wake.
Kwenye sanaa kuna mambo meng sana yamejificha ukwel ni kwamba kwenye movie wanao pata pesa ni wachache sio wote
Queen 👸 nenda kwenye team ya clam vevo, nakushauria toka Congo 🇨🇩 ❤❤❤
Clam vevo ni bingwa 🏆 ❤❤❤🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Mwandishi wa habari tangu uanze kuvaa stara ❤❤❤❤ unapendeza sana ❤❤❤ Hongera kubwa kwako
Mhh
Itakuwa kishaposwa
@@MashaMbwana ikiwa hivo itakuwa jambo jema sana. Laiti wanawake wangejua wakijistili wanapendeza sana, wanavutia na kushawishi watu kuwaoa wangejistili. Hakuna mwanaume mwenye ndoto ya kuoa jamvi la wageni. Vazi halimaanishi mtu anajitambua lakini anayejitambua hawezi kuvaa vazi la hovyo...
hujui n
hujui ni mtoto wa DR SULE
Hajaolewa huyoo mimi nataka mke jamani♥️♥️♥️
Yile crew tangu Clam atoke mambo yalianza kusambaratika ijapo walikuwa wanafukia tu😢
Nlimuona eliza mideko anasema kule changamoto nyng
Sanaa ngumu mno , HARMONIZE yalimkuta kujifanya boss 😀😀😀
Siumbea ni maswali ya msingi, uko vizuri Rayna
Vevo ni bingwa, shauri yangu kwake ni kwamba aende kwa Vevo
From DRC 🇨🇩
Queen enda kwa clam vevo ama kwa baba joan utKuwa sawa❤❤❤ tunakupenda
Mbone wenzake wanapata maisha kwa clam vevo ,mwambie arudi kwa clam
❤❤❤❤❤
Hakuna maisha kote ni shida tu
Huyu binti nilikuwa nampenda sana, mlifanya kosa kumdhulumu, kama vipi aanzishe channel yake tumfuate.
bonzena got talent wamechukua usukani na clam sambamba
BABA ASMA NDO NANI MBONAA SIMJUIII MIMI NIELEWESHENIIIII UYOO QUEEN AKAFANYE KAZI KWA CLAM KWA SABABU CLAM ANALIPA MISHAHARA MIZURIII
Ndyo director kitoto chake kile ki Esma muigizaj
Anaitwa bichwa
So kicheche movie zote zleee kumb ana nufaika mwngne
Unafahamu analipa sh ngapi au Umbea tu?
Ata mie cmjui huyo bana asma
Dah uyu mdada namuelewaga natamani awe bi mdogo kwangu
Nenda kwa clam vevo queen dada yangu❤❤
Sanaa inataka moyo sana nilikua chini ya kampuni flani tukafanya movie na mastaa na wakalipwa pesa nyingi lkn tuliokua ndani ya kampuni tuliambulia Vijora, maboss wanaangaliaga ma2mbo yao tuu
njoeni mikoani tuwaoe🎉❤
Nenda kwa vevo my queen 🇨🇩
Uyu dem mzuri kweli
Sio LEY ni REY, jina lako mwenyewe pia kutamka shida
Kweli anatajaga pesa ambayo haiendan na brand
Wambea wa taifa 🎉
daaaah so poa kicheche unazingua ban so vzr
Nileteeni Vai wangu
unajuwa sana Queen
Mwajuma huyoooo
Nilikuwaga namuona kama mtu wa vurugu kumbe ni mdada mstaarabu hivi
Mbona mtangazaji umelikomalia sana suala kicheche kulala sebleni
Nenda Kwa vevo anakuita wew na Vai nenden Kwa vevo
vai awezi muacha mpenzi wake kicheche
Party 2 lini
Nenda kwa clam Vevo bbyy
Uyo si angelienda kwa clam vevo
Sasa walikuwa wapi kuongea kipind hicho
Baba asma ni nani aki😢
Kicheche kakata moto clam baba
Ww unajua TU I don't know hujui maneno mengne
Njoo nyumban bhana kuna pengo huku kwa cram
Sasa wanadai Nini na RUclips imeibiwa
Kwani you tube inaibiwa
Hyo n kbla ya RUclips kuibiwa
Wasanii wanateseka sana asee. Wanaopata ni wachache
Kanalinga aka dada ila ni kazuri jamani 😅
Channel ya kicheche siioni jmn
Sjuh ile tamthilia ya mwisho iliishiaje duuuh
Big up kwa News Mbego Tv❤
Babe hasma daa unazingua hao wausika ndio wanakupa jina bhana!! Lazima ule ndio unye bhana
Plus Quen nenda kwa clam vevo,Nina kupenda sana.@clam vevo musamehe Quen umu saidiye
Nakukubali mwandishi umetulia sanaaaa❤❤❤❤
Amjui tu sanaa yetu ikoje
Lumos ndio kitu gani we dada unae hoji?
Congo tuna mapungufu yetu ila hatuna vitu vya kisenge hivyo, kuzarau wasanii wa nchi jirani hizo atuna... Kicheche alipenda kula na bata na mademu wa hapa kwetu kwanza n'najuwa dem m'moja ambae walilala na huyo jamaa yenu😮
Tofauti na clam huyo jamaa hana u serious kwenye maisha
Imekuwaje Tena Huko😂😂
Mbona wakatoka kwa Clam VEVO
Fatilieni kwa umakini, Clam Vevo, Kicheche na hao wote walikuwa chini ya bosi mmoja ambaye ni BABA ASMA. Clam alitoka kwenye kikundi hicho wakabakia hao wakina kicheche
Enda kwa clam vevoooo.. huyo NI bingwaaa
Nenda Kwa dady ukamhoj pia
Queen nenda kwa Clam ukale maish ww
Kicheche anatoa mizimu, tena familia ya Mzee kicheche
WASANI wa TZ munaleta haya sana Sisi Congo tulikuwa tukiwa chobokeya Ila kwakuwa tumesha gunduwa kitu fulani Kati yenu.
Musitusukume kuwaza vibaya.
Muda mwengine upendo nao unalazimika ndani ya kazii zenu.
Hakuna mwanamke mubaya akiwa amejisitiri leo umependeza sana kilanga komwe😂
Pore mpenZi angaria masrai
Clam mchukuebuyu dada
From Canada nahitaji number zake nimpe kazi
waende kwa clam vevo kuko amani
Mimi demu akivaaga ivo vikofia vyeus sijuh vitambaa sitongozi kbsa uwaga n videge john vilivyo kubuhu
sasa nani kakuomba utongoze 😅😅😅
@@rachelrodgers5080 sitongozi kidege john
@@rachelrodgers5080 sitongozi kidege john mm
Nime fwata iyi interwies pamoja Naile ya kipara Mpaka nacanganyikiwa sana
baba asma ni nani?
Wamehama kwa clam vevo
hajawahi kuwa chini ya clam
kicheche vipi
Hamna mzur hapo ote maji malamoja
Wewe na fai nendeni kwa Rk kundi lake
Ludi kwa clam
Ulikosea ungebaki kwa clam vevo tu.
Huyu mtu mambo mengi
Unafiki unasambaa kuliko ukweli kuna kitu ndani yake hakipo sawa
mtangazaji mwali kweli
Msijifanye hamjaskia lumos instead of rumours.
Baba Asma ni Mimi hapa ❤.
Tv izi za hoji umbea tu 😢😢
Vai njoo nyumbani ufunguo nilikupa
Lakini kutolipwa mshahara wako mwaka mzima ni vitu vidogo???????????????
Mbali na yooote huyo mtangazaji narudia tena ninampenda san pls niatafute tuzungumze
Mke wa mtu huyo hahahahahaha
Nataman saan siku nikikuon kwa clam vevo .. snake boy
Nenda kwa clam 3:22
Bora mvulugike huenda muendako mtajifuza kufanya mivie zamaana sio movie ya family ya mzee kicheche huwezi tizama ukiwa nawazazi au na wtt jalibuni kucheza movie zakuelimisha sio utopolo
Matusi mengi sana.
Nilikuwepo sipo😅
U tube ya kicheche imewekwa rehani congo wanadaiwa zandaniiii 😂😂😂
Baba asma ndo Nan jmn
Bichwa
Tanzania bwana yan amnaga mwendeleo mzur asa mnafanya kaz wenzio utak kutoa yan nyie mameneja mtafika kwa mungu mtachoka xnaa
Makubwa
Mtangazaji acha kuludia maswali ishauli tu
Content Hii Kama ya Mkojani Na Cha Ndimu
hii ni kweli
😂😂content kama ya chandim kabisa, baadae akaanza ooh ilikua prank.
Au Kuna sister anaitwa maina wa chumnvi nyingi gang nae kazingua anamchafua chumnvi
sasa huyu dada uhusika aliokua akicheza si kila mtu anacheza tu kiufupi sio wa muhimu sana
@@ashantinicas 😁😁😁 maneno ya watazamaji yanaweza kumfanya mtu kujiua 😁😁😁
@@DonMooFILMES_Express 😅 alafu anasema yeye na kicheche ni sawa mjinga kweli
@@ashantinicas waigizaji wanajua kuropoka wangejua changamoto za wasimamiaji wasingeropoka. Kama wanaona nirahisi wafungue channel zao waone hiyo 1k kuipata heka heka zake na kushut hao watu kuwapata 😁
@@DonMooFILMES_Express 😄 ni changamoto sana alafu mbaya zaidi ni unakuta mtu uhusika wake ni wa kukamilishia komedi tu mfano huyo dada mi naonaga anacheza kama msukule mara mchepko vitu ambavyo sio main content ya igizo
@@ashantinicas 😁😁😁😁😁 nimwcheka bila kutegemea mpaka mbavu zinauma 😁 ni kweli, afadhali Vai akicheza hisia hakuna anayemfikia. Anajuwa kuteka hadhila sana. Kila mtu hulipwa mshahara kulingana na uwezo wake.
Tafta wakili and claim your money
Tangia wewe utoke kwenye muvi za huyo baba asma siangalii ,ulipo tupo
acha kutafuta kiki
Anapokea trh 22 kama mm ila sema yeye hajalipwa
😅😅
Naomba no yako broo
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Sasa walikuwa wapi kuongea kipind hicho
Sasa walikuwa wapi kuongea kipind hicho
Sasa walikuwa wapi kuongea kipind hicho