Kama ulikuwa hufahamu, hii ndio historia ya mji mkongwe (Stone town) Zanzibar.
HTML-код
- Опубликовано: 15 сен 2024
- Usisahau kutufuatilia katika mitandao yetu ;
Subscribe to our RUclips Channel : bit.ly/itvtanzania
Facebook : bit.ly/2KeQNl3
Twitter : bit.ly/2XG7aii
Instagram : bit.ly/34KItmg
Alhamdulilah Mashaallah Twashkuru Allah Subhana Wataala Atujaalie Kula la Kher,Afya Nzuri na Atuhifadhi Shari.Tafsiri nzuri ya Kuielewa Zanjibar.Shukran.i
Jamani kwa nini mnawauliza watu walokuwa hawaijuwi Zanzibar wala hawakusoma hapo Skuli wala Chuoni...Hata basi waulizeni Wahindi ndio walokuwa wakiishi wengi kama 70% hapo Stone Town. Muulizaji huna kazi wewe......
Nzur
Hiyo estory inatakiwa wazanzibar wazijuwe mana wenge shule wamekibia
namimi nakufundisha kuna mahali mogadisho somaliya yiko mta karibu na baharini yiko shangani asili ya hiyo jina la kituruki
Kanisa la mkunazini limejengwa 1905 sio 1800 usitupotoshe historia yetu na hao mishonari wamekuja kusambaza ukiristo na sio kuondosha utumwa masoko ya utumwa yalifungwa tokea 18022
Tuleteeni Makunduchi Kwa Muheshimiwa mkuu wa Nchi
Hakutaja kwamba hao wa Arabu walikuwa zaidi ni kutoka Oman
Kama hujui historia usjifanye kuwa wewe ni mwanahistoria