MISSION IMPOSSIBLE [50]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 1,3 тыс.

  • @RashidOmary-c4g
    @RashidOmary-c4g 2 месяца назад +132

    Tunamshukuru mungu kwa kumjalia chado masta afya njema pamoja na kundi lake mungu azidi kuwajali tena na tena bila kujisahau sisi watazamaji mungu atujalie kila lenye heli kwetu mungu tuepushe na mabaya km up namimi gonga like

  • @TumaAhmad
    @TumaAhmad 2 месяца назад +164

    Jojo hatutaki shobo tuachie bwana etu kitengo ni wetu team jau

    • @simplyphiney
      @simplyphiney 2 месяца назад +2

      Kabsa, yaan hapa mm namzoom tu😂😂

    • @MwanaharusiShafii
      @MwanaharusiShafii 2 месяца назад +1

      Hahhhhhh😂😂😂😂😂et kitengo wetu

    • @bettyluhanga6409
      @bettyluhanga6409 2 месяца назад

      Akae kwa kutulia

    • @MwanaishaChileta
      @MwanaishaChileta 2 месяца назад

      Daah najuma usinichekeshe kumekucha sio

    • @FaidhaKado
      @FaidhaKado 2 месяца назад

      Jamani Jojo mbona anataka kutuingilia kwa kidem jau wetu

  • @ZaituniKiba
    @ZaituniKiba 2 месяца назад +44

    napenda sana kazi zenuu chado films mnfany vtu bomba sanaaa❤😊

  • @NasraJuma-b4v
    @NasraJuma-b4v 2 месяца назад +64

    Nyie ivi vpande vya leo vnamafunzo zairi,,kuanzia kwamzee wamisumal kwanajima na JoJo,ilike❤❤makopa yenu❤❤

  • @NadineNdayikunda
    @NadineNdayikunda 2 месяца назад +111

    Eti kisa mimi natokea Nchini Burundi🇧🇮🇧🇮🇧🇮 hamuwezi nipa like Kwel😢😢 big up saan chado Burundi twafatilia saan moviee tam kam hii

  • @SalmaSamiry
    @SalmaSamiry 2 месяца назад +34

    Gavana stuka pumzi zimekata au nimeshakufa yani sisi ndo I like 👍 ❤ chado forever ♥️ 💖 ❤️

  • @Akidiva-ih8yq
    @Akidiva-ih8yq 2 месяца назад +44

    Isaac from Kenya 🇰🇪 kazi nzuri sana chado mastar

  • @SabbyLove-u4w
    @SabbyLove-u4w 2 месяца назад +14

    Kidem jau kanikumbuxha kitambo jmn watoto wa mam ntilie cyo pw tulio kuw tuna I like kiswahili tujuane apo🎉🎉🎉🎉

  • @annaki318
    @annaki318 2 месяца назад +127

    Wangapi Leo Kidem Jau ametufanya tukumbuke tulivokua sekondari kidato Cha tatu
    Riwaya ya mama ntilie🎉

  • @AhmadAlaee-x1r
    @AhmadAlaee-x1r 2 месяца назад +22

    Jojo hatutaki shobo kwa chado na manyonga hatutaki shobo kw kidem jau penz la chaei na kidem jau halivunjiki twalipend sanaaaaa❤❤❤❤❤❤

  • @WizmanTiger-kp3pp
    @WizmanTiger-kp3pp 2 месяца назад +130

    Tumuombee chado azidi kutuletea serius nzuri kama hizi piga Like za chado apa

    • @Rizikinassoro
      @Rizikinassoro 2 месяца назад

      👌🌹❤️

    • @bettyluhanga6409
      @bettyluhanga6409 2 месяца назад

      Ila chado kwa nn anamficha ukweli jau kuusu ngwengwe

    • @WizmanTiger-kp3pp
      @WizmanTiger-kp3pp 2 месяца назад

      @@bettyluhanga6409 CHADO ni baba mdogo wa ngwengwe kwa hyo siyo baba mzaz kwa maana chado alikua na kaka ake nd baba wa ngwengwe lakini Chado anamkubali sana najma ukiifatilia vzr serius

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 месяца назад

      Kabisa

  • @ugenny125
    @ugenny125 2 месяца назад +66

    Jaman na mim Leo niombe like tu maana mnawahi daah hat 10 bx af utae nipa like mungu akuzodixhie pale unapo fanya kazi❤❤

  • @EsmailSalimo-u8x
    @EsmailSalimo-u8x 2 месяца назад +77

    Nimewai wa kwanza naomba like 10 tu
    CADODO🇲🇿🇲🇿

  • @Minnahcute
    @Minnahcute 2 месяца назад +47

    Na wew mzee wa misumari utauponza kwa huyo manyonga

    • @nasrachimamy
      @nasrachimamy 2 месяца назад +1

      Kbs

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 2 месяца назад

      😂😂😂

    • @Minnahcute
      @Minnahcute 2 месяца назад

      @@mohammedkidody5618 😆😆😆😆mana gafra tu linaagizwa hela nying hata kuogopa haliogopi

    • @neemamayco1051
      @neemamayco1051 2 месяца назад

      Huyu mzee cyo mtu mzur ana jambo lake

    • @DavidMgaywa-zd5kd
      @DavidMgaywa-zd5kd Месяц назад

      Chado asimfume hiyo passo ataipindua

  • @PrivaSamson
    @PrivaSamson 2 месяца назад +195

    Nimeanza kufatilia hiii move Toka epsom 1 Leo hiii ni epsom ya 50 sijawahi pata ha like 5😢😢😢

  • @Taus-t7p
    @Taus-t7p 2 месяца назад +13

    Chado hongera sana kwa kazi nzuri, sy kwa kwa kufurahi huku ❤

  • @hunterpictures3549
    @hunterpictures3549 2 месяца назад +48

    Chado namuona ndani kanumba wakizazi hiki bro big up sana kazi yako ninzuri sana utafika mbali sana kaka❤

  • @TausRaj
    @TausRaj 2 месяца назад +46

    Binafsi nampenda Mr manyonga😂😂😂😂😂anabonge la tarent pokea maua yko bro

  • @Aaqwe-yi6qn
    @Aaqwe-yi6qn 2 месяца назад +78

    Utakae soma sms hii Mwenyez Mungu akubariki sana

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp 2 месяца назад +50

    Unyama ni mwingi sana🎉🎉🎉

    • @JescaBeauty
      @JescaBeauty 2 месяца назад +2

      Sanaaaaaa😂

    • @SalomeMhema
      @SalomeMhema 2 месяца назад +2

      Tuko pamoja kp wetu 🎉🎉🎉🎉

    • @saidiadallah-ol8lh
      @saidiadallah-ol8lh 2 месяца назад +3

      Dah Ivi ndio rejendari anatakiwa kua sio mbinafsi hongera KP

    • @SelinaDorcas
      @SelinaDorcas 2 месяца назад +2

      Hiy ndio itakikana kp mungu akuzidishee Kwa kila hatua

    • @SwabrinaSwabs
      @SwabrinaSwabs 2 месяца назад

      ❤❤❤❤❤

  • @jorammbughi4373
    @jorammbughi4373 2 месяца назад +15

    Kweli kaka una ipenda kazi yako hutaki mashabik waumie una wasikiliza na kutimiza kile wanach kitaka your the best artist

  • @zuhuramshana-tl1eb
    @zuhuramshana-tl1eb Месяц назад +2

    Jamanii cheusi safi sanaaaa anajuaaa

  • @getrudakimario885
    @getrudakimario885 2 месяца назад +28

    Mpo vzr sana na tutajifunza mengi 🎉❤

  • @aminielielias3395
    @aminielielias3395 2 месяца назад +4

    Chado mdogo wangu kazi zako nzuri kwa nn mnachelewesha episode.jipangani kwa ilo

  • @NowmeRzk
    @NowmeRzk 2 месяца назад +21

    Wooooh nusuuuu nijikwaaaae hay mlikeeeee😂 team chado

  • @FatumaSadala
    @FatumaSadala 2 месяца назад +17

    Me mwenzio I like chado masta mungu akuongoze utuletee nzur zaid

  • @MohamedSurenge
    @MohamedSurenge 2 месяца назад +19

    Daaah Chado master unajuwa sana wewe mkali❤❤❤❤❤

  • @MwajumaRamadhani-f9w
    @MwajumaRamadhani-f9w 2 месяца назад +8

    Daah chado naukubali Sana msemo wako wa tenah❤ wanae kubali msemo huu gonga like hapa😂

  • @SalmaMasudi-w5t
    @SalmaMasudi-w5t 2 месяца назад +12

    Bonge la movie jmn sema tu zinachelewa kutoka daaa❤❤❤❤❤❤

  • @SohjrSamir
    @SohjrSamir 2 месяца назад +14

    Sema kitengo na jojo wakiwa kama ndugu itanoga sana Big up sana chado master 😊

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 2 месяца назад +69

    Maua siyo vitu vyangu😅mpelekee nyuki akatengeneze mizinga tupate asali nyingi😂😂 💪🔥 kwa Mr Chando🙌🎉🎉

    • @leladege1500
      @leladege1500 2 месяца назад

      😂😂😂Nimecheka kwa kidem jau eti kumekucha ashaa jua Chado anatak nini

    • @MonaaOm
      @MonaaOm 2 месяца назад

      😂😂😂😂 yani chado hachagui cha kumjibu mtu

  • @brendanyanchama9547
    @brendanyanchama9547 2 месяца назад +5

    Hii move ni nzuri sana nilianza jana but nimemaliza nimewafikia move tamu sana nipee like pia mm jamani

  • @peterphabian-l4z
    @peterphabian-l4z 2 месяца назад +6

    hii movie inafundisha kabisaa NAJMA BIG UP SANAA❤❤ wanaomkbali najma like zenu hapaaaa 😂😂

  • @SandraKhabeisa
    @SandraKhabeisa 2 месяца назад +11

    Mpo vzr sana na tutajifunza mengi🎉❤❤❤❤

  • @allenkabambe223
    @allenkabambe223 2 месяца назад +8

    KIDEM Jau leo anatufafanulia watoto wa mama ntilie kwa umakini kabsa😍😍

  • @MwaijaNjogomo
    @MwaijaNjogomo 2 месяца назад +6

    Hongereni sana chado master na kuruu yako kwa ujumla mnatisha sana

  • @KipanyaKhamis-v1e
    @KipanyaKhamis-v1e 2 месяца назад +22

    Wa kwnza leo mimi hapaa kutokaa ZANZIBAR NJEMA 🎉🎉🎉❤❤❤❤❤🙏🙏🙏

  • @rachelskazungu
    @rachelskazungu Месяц назад +1

    Mmmh huyo manyonga nahis sio mtu pow kabisa 😮😮😮😮

  • @mwanafurahaali
    @mwanafurahaali 2 месяца назад +130

    Chado always on top

  • @MissFreeda
    @MissFreeda 2 месяца назад +9

    Waoooh kidemu Jau. Tupo shule Sasa tushukur Kwa kutukumbusha

  • @MussaNassoro-j4i
    @MussaNassoro-j4i 2 месяца назад +7

    Iko bomba movie nakubal kundi lote linafanya vizuri

  • @KababaaJuma
    @KababaaJuma 29 дней назад +1

    Nakubal sana chado masta unajua sana mwana

  • @YeriKahindi
    @YeriKahindi 2 месяца назад +9

    Alafu chado bwana hauboeshi uko vizuri saana yaani bongezi mr🎉🎉🎉❤❤

  • @isacksimon4288
    @isacksimon4288 17 дней назад +1

    Chado master nakubali sana🔥🔥🔥

  • @Bymavohustler
    @Bymavohustler 2 месяца назад +9

    Mambo yako mpereng'e mpereng'e 🎉 ❤❤❤❤

  • @JumaMdoe-h4z
    @JumaMdoe-h4z Месяц назад +1

    Sema huyu cheusi anajua sanaaaaaa

  • @George-qk8fw
    @George-qk8fw 2 месяца назад +8

    Chado mwamba nakukubali mwanangu round hii achia full movie ❤❤

  • @AnnickNimpye
    @AnnickNimpye 2 месяца назад +8

    Yaleo nimepnda kinom chado nimepnda kabs nakuomb usije kwaribu mambo tena naon manyonga kunakitu anakitafuta kabs uyo mteg uwupanguw vizur kabs ao isiw ndo ule mkubwa wak baba yak na ngwengw❤

  • @LudeofficialXworldwide
    @LudeofficialXworldwide 2 месяца назад +1

    Dah, najima kanikumbusha mbali enzi hzo, riwaya ya mamantilie tunajifunza kidato cha tatu, maua yenu kwa kweli kwa kitupa kitu kilichobolaaa 🎉❤

  • @JamilaAbdallah-i4v
    @JamilaAbdallah-i4v 2 месяца назад +12

    Dady we ni comedian sema tu hujijui 😂😂 eti sasa mbona mamaetu hakuwa mam ntilie

  • @ZainabuColumba-j5d
    @ZainabuColumba-j5d 2 месяца назад +7

    Mjomba ameyakanyaga kula ela zawatu 😀😀 uchumi umeyumba

  • @sylviaachieng5361
    @sylviaachieng5361 2 месяца назад +18

    Yaani wewe cheusi muongo kweli kweli 😂😂😂😂😂

  • @RichardKambale-b1e
    @RichardKambale-b1e Месяц назад +2

    Mwenyezi mungu aku tanguliye Kaka chadooo hapa Richard kutoka congo

  • @arbanuskatua5667
    @arbanuskatua5667 2 месяца назад +9

    Watching from Nairobi kenya

  • @MoxeKidato
    @MoxeKidato 2 месяца назад +15

    Cheus anafany tuinjoy sana mission impossible ❤

  • @LightnessMaluli
    @LightnessMaluli 2 месяца назад +4

    Umenikumbusha mbali Sana leo kidem jau❤❤❤😂

  • @Naema-x7p
    @Naema-x7p 2 месяца назад +28

    Heheheheheeehaloooooooo mjomba kanyoa leo da alihamdhullh kwapa jeupeeeeee😂😂😂😂😂😂cheusiiii ujambo chado uko juuu unajali watu wako shukrani kwa ilo ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 месяца назад

      Comments zafanya kazi 😂😂

    • @TheresiaEmmanuel-nr3iu
      @TheresiaEmmanuel-nr3iu 2 месяца назад

      😂😂😂 umenifanya nirudie duh

    • @Naema-x7p
      @Naema-x7p 2 месяца назад

      @@aishaomar2287 😂😂😂😂

    • @Naema-x7p
      @Naema-x7p 2 месяца назад

      @@TheresiaEmmanuel-nr3iu tenaa aki amenyoa leo ata mikono ameyiinua kwa nguvu zote 😂😂😂😂

    • @aishaomar2287
      @aishaomar2287 2 месяца назад +1

      @@Naema-x7p na camera man nae akalengesha vizuri 😂 haki ya Mungu nmecheka

  • @Stogwa
    @Stogwa 2 месяца назад +23

    WA kwanza Leo nipeni ata tano bass

  • @RajabuIssa-e4q
    @RajabuIssa-e4q 2 месяца назад +2

    najima anajua kucheza na hisia yan alfurah kuckia chad bab mdg wa ngwengwe🎉🎉❤

  • @BazzilDebwoy
    @BazzilDebwoy 2 месяца назад +17

    Bazzil de Bwoy wakwanza jaman more likes

  • @MohamedyMohamedy-t1h
    @MohamedyMohamedy-t1h Месяц назад +1

    Oya msta maindi unatisha sana 🎉🎉🎉🎉 na dad wmajei

  • @MussaMatata-d7v
    @MussaMatata-d7v 2 месяца назад +21

    Wakwanza jamani tunaomkubali chado tujuane..

  • @Zainab-vo2uz
    @Zainab-vo2uz 2 месяца назад +5

    Jamani chado sijui kama utaleta muvi nzuri kama hii naipenda sana

  • @AdejaAhmad-uq4wj
    @AdejaAhmad-uq4wj 2 месяца назад +4

    Safii sanaa. Nawapenda nyote hongereni sana ❤❤🎉🎉

  • @BucumiErick
    @BucumiErick 2 месяца назад +4

    Tunashukuru mwenyezi mung inshallah allah atujalie.nimefurahi chado mstaa na maneno ameambia jojo kama anataka cheusi ni asema amufanyie muchongo

  • @MlondaniWilondja
    @MlondaniWilondja 2 месяца назад +10

    Unyama sana kaka chado master

  • @janeth673
    @janeth673 2 месяца назад +14

    Ila cheusi 😂😂ila waongo ndo wanavyokuwaga kuongeza maneno

  • @HappySilengi
    @HappySilengi 2 месяца назад +17

    Chado amenifraisha sana yani❤❤❤❤🎉🎉 mpak mwanagu tumbo ka frai

  • @HuxenmuKihel
    @HuxenmuKihel 11 дней назад +1

    I like 😮😮😮😮

  • @TifaShey
    @TifaShey 2 месяца назад +35

    Mnaoangalia hii series bila kulike sio vzurii😢 anglia kisha like,maana kwa uzuri huu wa series usipolike unashido😅

  • @SwaumuIssa-s8m
    @SwaumuIssa-s8m 2 месяца назад +4

    Jojo,bonge,cheusi kesho ntawchomoa kweny move yetu

  • @RabiaSaid-sh1km
    @RabiaSaid-sh1km 2 месяца назад +11

    𝐎𝐲𝐨𝐨𝐨😂😂😂

  • @Editherleoncey-c3z
    @Editherleoncey-c3z 2 месяца назад +4

    Dadie tafuta kazi bhus tuenjoy❤naomben like bhus nami ata 10 to

  • @JacksonKombe-w9d
    @JacksonKombe-w9d 2 месяца назад +13

    Wakwanza from kenya

  • @mariammariam5723
    @mariammariam5723 2 месяца назад +3

    Kwaiyo ngwengwe kashavuruga uko chado ajiandae kulea mjukuu❤

  • @MagrethNhanos
    @MagrethNhanos 2 месяца назад +9

    Duh!! Nimechelewa kidogo 2 nimekuwa 6000 aaah htr jmn 😢😢😢

  • @ShaibuKunambi-e1y
    @ShaibuKunambi-e1y 2 месяца назад +1

    Sema cheusi muongo muongo sana😄

  • @BeatriceMussa-y4b
    @BeatriceMussa-y4b 2 месяца назад +8

    haya ally daddy kaingia kwenye mtego wa tajeeeeeri manyonga.... avamiwe na wez njian ashindwe kuaminika mwsho aambiwe namtaka najima 😂😂😂

    • @muniraamani535
      @muniraamani535 2 месяца назад

      Ndiooooo ww umewaza kama mimi yule mandonga sio mtu mzuri hata kidogo😢😢😢

    • @manyonga6940
      @manyonga6940 2 месяца назад +2

      @@muniraamani535Manyonga sio mandonga

    • @TullahSanga
      @TullahSanga 2 месяца назад +1

      ataambiwaa kuwa iyo milioni ulopoteza ndy mahali an duuuh dady ww

  • @moraaonsembe5946
    @moraaonsembe5946 2 месяца назад +2

    Ahsante sana bwana chado yaani unabidii si kama waigizaji wengine nafurahia sana.

  • @AbiwaqsExpensiveboy
    @AbiwaqsExpensiveboy 2 месяца назад +6

    Uwa hilo mpeleke nyuki ,watatengeneza mzimga mnne ya asali 😂😂😂 hio kauli nimeimind sana

  • @jogejoboy3159
    @jogejoboy3159 2 месяца назад +1

    🎉🎉chado master ww ni faya sema jojo anazingua

  • @MarthaLiberathy
    @MarthaLiberathy 2 месяца назад +5

    Jmn najma kanikumbusha shule Ila yupo vzr Sana 👍

  • @TausRaj
    @TausRaj 2 месяца назад +4

    😂😂😂😂ila chado unamuonea Sana cheusi😂😂😂😂 Afu cheusi ni mwehuu mwehu sanaa etiii kimeanza mapenzi kimekua kidogo

  • @fatyAmorianne
    @fatyAmorianne 2 месяца назад +3

    jaman cheusi na bonge na wapenda sana❤

  • @Barakahtz41
    @Barakahtz41 2 месяца назад +3

    Mzee wa uchumi ameyatimba kwa muhuni😂😂😂😂
    Full vybe😂😂😂😂

  • @johnkalee
    @johnkalee 2 месяца назад +10

    Sem cheusi anabalaa 😂

  • @Diyankurze
    @Diyankurze 2 месяца назад +1

    em njoo hpa kwa Baba😂😂😂🙌🏾🙌🏾🙌🏾 mbona kumekuchaa🤣🤣

  • @chibbuimsodocki
    @chibbuimsodocki 2 месяца назад +7

    Oooooya weeeeh From PBA Chake chake kam kaw Mission Inpossible!!!

  • @anthonykish3179
    @anthonykish3179 2 месяца назад +2

    Hii sasa ndio I like hebu dondosha 51 basi 😎nusu nusu yatatiza 😂😂🇰🇪 tuko locked

  • @RashidKidume-w8e
    @RashidKidume-w8e 2 месяца назад +19

    Tatizo chado unabahati ya kupendwa na mabint ila hueleweki kwa hao mabint baba ngwengwe chukua mali hiyo

  • @FatmaF-p5k
    @FatmaF-p5k 2 месяца назад +1

    😂😂😂😂cheusiii🔥🔥na bongeee🔥🔥🔥🔥

  • @valuboy4335
    @valuboy4335 2 месяца назад +6

    Wow ❤❤❤❤

  • @JescaWimbi-f8x
    @JescaWimbi-f8x Месяц назад +1

    mie nampenda cheusi jamn❤❤

  • @kinjekitilew
    @kinjekitilew 2 месяца назад +3

    Chado unajua sana sana mzee

  • @JashimHamza
    @JashimHamza 2 месяца назад +2

    Nmpenda kaka Ake najm AP kweny umesma salut

  • @Zebuu-kp
    @Zebuu-kp 2 месяца назад +5

    Chado kama Chad sapoti zen🎉🎉🎉

  • @WatuHuruTv
    @WatuHuruTv 2 месяца назад +1

    Dah chad9 kweli masta tenaaah katuludisha shuleni kidato cha 3 na 4 mzeelomolomo daddy

  • @moudkipete
    @moudkipete 2 месяца назад +4

    Sema Chado anajipendelea sana kila mchumba yeye

    • @TausRaj
      @TausRaj 2 месяца назад

      😂😂😂😂😂

    • @AlfaCharles-e8h
      @AlfaCharles-e8h 2 месяца назад

      😅😅😅😅😅

  • @Atb300
    @Atb300 2 месяца назад +1

    Cheusi mwanangu we jau sana😂😂😂😂😂😂

  • @KhairuniSimba
    @KhairuniSimba 2 месяца назад +11

    Kazi nzuri team chado