MWANZO MWISHO KUHUSU ISRAEL VS PALESTINA BILA KUCHAGUA UPANDE . (PART 11 & 12 )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 19 дек 2024

Комментарии •

  • @DanielDani-lr2sy
    @DanielDani-lr2sy 8 месяцев назад +1

    Nawakubali sana akili mingi sana inatumika kuyaelewa na kuyasimulia haya mpo juu sana

  • @DailaxBenjamin-y5d
    @DailaxBenjamin-y5d 8 месяцев назад +1

    Waislamu hawawezi kusikiliza hii

  • @heliudjulias7748
    @heliudjulias7748 8 месяцев назад

    Daah napenda sana ubunifu unao tumika hum kuerekeza madin adim recpect bratha wewe ni jini yaani jiniazi.

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 8 месяцев назад

    Unahakri sanakaka storiyoko ninzuli nayakweli mimwenye nimwislamu nakubaliana naww

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 месяцев назад

    ✌️👍👊.

  • @obedivenance3522
    @obedivenance3522 7 месяцев назад

    Nakuelewa sana kaka razz

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 7 месяцев назад

    Wayahudi washenz tu n mungu amewalaani tangia mitume n mitume huko

    • @ce-08
      @ce-08 6 месяцев назад

      😂😂 unapga kelele wenzako wanaenjoy

  • @claveryrubaka7243
    @claveryrubaka7243 7 месяцев назад

    Ninakikubali hiki kipindi Cha madinidotcom hongera grayson gidion, salafina na razz mtamaduni nimekuwa Teja wa hiki kipindi

  • @JamesMsike
    @JamesMsike 8 месяцев назад

    Hakikahikinichakula chaubongo

  • @ShedrackShedrack-c2b
    @ShedrackShedrack-c2b 8 месяцев назад

    Weunahakri sowanolopoka ovyoovyo awa

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 7 месяцев назад

    Walikuja UGANDA wakakutan na nyoka au fisi wengine wakakimbia washenz

  • @agustinopaulo8416
    @agustinopaulo8416 8 месяцев назад

    Mtamaduni oyyyyy!!

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 7 месяцев назад +2

    Babu hapa umechagua upande
    Tena umezama sana kwenye huo upande,
    Alafu razi mtamaduni hapa unavuruuga sana,unachanganya kati ya Israel na uyahudi,hivi unajua kuwa wapo wayahudi ambao sio waizraeli ?kimsingi hakuna mzozo baina ya uyahudi na uarabu,mzozo ni palestina na ezraeli.alafu unasema Ibrahim alikuwa myahudi? Unapotea hapa .Ibrahim hakuwa myahudi wala muezraeli,muezraeli wa kwanza alikuwa yakubu na yeye hakuwa myahudi vile vile,ila myahudi wa kwanza alikuwa Musa na pia alikuwa ni muizraeli.

  • @MichaelKavavila
    @MichaelKavavila 23 дня назад

    Kwani wayahudi kwao ni wapi........

  • @nyerumedia
    @nyerumedia 8 месяцев назад

    ✊✊✊✊✊✊

  • @hazygardmericho9571
    @hazygardmericho9571 8 месяцев назад +1

    and that is what we call contradictions😡but i will pray for israel NOMARA WAA

    • @JohnCage-we6tp
      @JohnCage-we6tp Месяц назад

      No contradiction go and study history utaelewa kila kitu au kam una pray kwa Isreal nenda Tel Aviv ukataje Jina la Yesu utaelewa wayahaudi ni kina nani

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson2261 7 месяцев назад

    Ktk Qur'an pia imetajwa masjid Al-aqsa na viloizunguk vyote so ni ukanda mzima na mitume mingi san kwa mujib wa dini ya uislamu wamezikwa Palestine

  • @SaidKondo-rw8wb
    @SaidKondo-rw8wb 7 месяцев назад

    Razi kaka hapa unakanyaga sana,Wana wa ezraeli namaanisha watoto wa Mzee yakobo hawakuwahi kukusanyika sehemu Moja wooote kwa kabila zao 12 na hiyo sehemu ikaitwa nchi ya izreaeli au nchi ya yakubu, waliishi maneno tofauti tofauti ndani ya mashariki ya kati wakichanganyika na makabila ya waarabu.waaliishi hivo kabla ya uyahudi na hata baada ya uyahudi,razim mtamaduni hakuna ulazima wa yerusalem kutajwa katika qur-an kwa jina la yerusalem,majina ya miji inabadilika zama Hadi zama na hata hapo mwanzo hapa kuwa panaitwa hivo na Bado palikiwa ni patakatifu ,inshu ni ipi itikadi ya uislam juuu ya yerusalem na nini utukufu wake. Nakukumbusha uyahudi sio kabila,mpaka umiliki ukanda au nchi,zungumzia nchi ya Israeli au watoto wa yakubu,wewe unachanganya kati ya uizraeli na uyahudi,hakujawahi kuwa na nchi ya izreaeli duniani ila lipo taifa la kiyahudi limekuwepo duniani na halijawahi itwa izraeli sababu lillikuwa na mchanyiko wa waaraubu na waajemi.chaa ajabu Hawa wa Leo wanadai nchi ,Tena iitwe izraeli Tena ni waezraeli ambao ni wayahudi tu,Sasa na wayahudi wasiokuwa waizraeli waende wapi?ubaguzi tu

  • @muhamadharun9432
    @muhamadharun9432 6 месяцев назад

    Zama unazosema media na history nyingi zilishikiliwa na jews chochote kinaweza kua manipulated , sasahivi ndio picha inaonekana na hyo graph yako kuonyesha idadi ya jews kwenye nchi nyingi za kiislam ni propaganda inaonyesha data zote umezichkua kwenye forum yao😢

  • @annurmohamedi9824
    @annurmohamedi9824 6 месяцев назад

    Bro unasimulia vizur sana lakin inavyoonekana historia yako unaichukua sana kwa waliyoiandika , umesema Kuna ushahid kma Kuna mauaji ya wayahudi kabla ya taifa la Israel et waliuwawa mpaka kuku, hii historia umeitoa wap? Kuna msemo unasema "Until the lion learn how to write then every story will glorify the hunter" Uelewe msemo huu kabla ya kutafuta source ya story yako brother