Dakika 6 za Diamond na Mbosso Jukwaa Moja!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2018
  • Dakika 6 za Diamond na Marombosso Jukwaa Moja
    Mfalme wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz akipafomu na Mbosso, katika hafla ya kumtambulisha Mbosso kama memba rasmi wa lebo ya 'WCB'.
    Hafla hiyo ya utambulisho ilifanyika katika ukumbi wa Hyatt Regency na kuhudhuriwa na mastaa lukuki akiwemo Wema Sepetu, Aunt Ezekiel na wengine wengi.
    Subscribe muda huu / uwazi1 Install #GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. .
    TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 Kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 34

  • @faridamwinyi1218
    @faridamwinyi1218 6 лет назад +1

    we diamond.mrudie wema.mmependezana mbaya.from saudi arabia

  • @yasiniyasini4207
    @yasiniyasini4207 6 лет назад +1

    safiii mbosso mwambie daimond napenda sanaaaaaaaaaaaaaaa

  • @meerahm3345
    @meerahm3345 6 лет назад +1

    Diamond you are so talented. You nailed this " nitampata wapi "

  • @maulidwasafi2999
    @maulidwasafi2999 6 лет назад +2

    I love you diamond na timu nzima ya wcb

  • @youngbizzy40
    @youngbizzy40 6 лет назад +3

    krbu WCB mbosso,.. Mondii endelea na moyo huo wa kuwasaidia wasanii wenzako na kuwaenua, big up broo we love u so much,. #Lam Piko apa

  • @dorcaskaptei6977
    @dorcaskaptei6977 6 лет назад +4

    the out fit for Daimond is on point,.

  • @gracestanfod5511
    @gracestanfod5511 6 лет назад +1

    Daaa mko vzr sana aise

  • @aggiejosephath885
    @aggiejosephath885 6 лет назад +1

    nimependa san...wema & diamond fireeeeeeeeeee🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥😂😂😂😁😁

  • @chiefkaitaba.m.9466
    @chiefkaitaba.m.9466 6 лет назад +4

    wema na mond mnaendana saaaanaaaa nawapendaga sana jamooon

  • @annefidelis6931
    @annefidelis6931 6 лет назад +1

    You've got her 2day in ur arms young man..😃😃

  • @aminadaba740
    @aminadaba740 6 лет назад +2

    Iko pow sana

  • @jacquelinendambuki2759
    @jacquelinendambuki2759 6 лет назад +1

    Wema mzuri jamani ❤

  • @franklusangulo4156
    @franklusangulo4156 6 лет назад +1

    safi nimeipenda iyooooo

  • @shadyasaid2030
    @shadyasaid2030 6 лет назад +2

    Nice

  • @sistersade9039
    @sistersade9039 6 лет назад +1

    WCB watu wenye mipango mizuri! Mungu akubarikini. Mbosso hatari wewe, tapanda tu👍

  • @dorcaskaptei6977
    @dorcaskaptei6977 6 лет назад +3

    wemaaaaaa

  • @taimaliga7635
    @taimaliga7635 6 лет назад +1

    Watakubali- nice

  • @mkomatembo
    @mkomatembo 6 лет назад +1

    Saxfon man upo vizuri

  • @maryhenry606
    @maryhenry606 6 лет назад +2

    Daimond moyo wako umeshinda ubaya wako keep upsssssss

  • @jennyjayne5745
    @jennyjayne5745 6 лет назад +2

    Live performance duh!! 🤣 🤣 X... Issa no.

  • @fredytv8177
    @fredytv8177 6 лет назад +1

    Unique

  • @Joze-ko9he
    @Joze-ko9he 6 лет назад +3

    Jamani lov Ni kitu ca ajabu naamini mapenzi sio pesa Kweli hata wende wapi

  • @maryammeme2615
    @maryammeme2615 6 лет назад +1

    Wow

  • @snawtasnota6708
    @snawtasnota6708 6 лет назад +2

    Yani nikifatilia comment zenu mashabiki kila cku mara hawa jamaa wanatisha mara hawa jamaa noma ila ni kwel wako vizuri but msiwe mashabiki sana cz sometimes kuna comments wanahitaji kuzijua ila mnazificha kutokana na ushabiki

  • @bahatidan4751
    @bahatidan4751 6 лет назад +1

    Wemaaa

  • @priscavallentino2432
    @priscavallentino2432 6 лет назад +3

    wasafi yani km chadema wakimbizeni mpaka washindwe pakitokea

  • @ebenezerkombe9804
    @ebenezerkombe9804 6 лет назад +1

    ebna hawa jamaa noma

  • @zennahalhabibi9681
    @zennahalhabibi9681 6 лет назад +3

    si uko naye leo wema😂😂😂😂😂😂yani mumenifurahisha leo aaiseeh

  • @larickmtui2852
    @larickmtui2852 6 лет назад +2

    Ila mond ukipeleka zaga madale usiruhusu zaga izame ndichi na cm watakuharibia kwa mama T

  • @adamzakaria2463
    @adamzakaria2463 6 лет назад +1

    yaaaap

  • @valentinamussa4212
    @valentinamussa4212 6 лет назад +1

    nimependa mavazi yenu ya kitenge

  • @furahafuraha2952
    @furahafuraha2952 6 лет назад +2

    Nice