NIACHENI NIJIVUNE - ZANZIBAR TALENTS WAINUA WAALIKWA WOTE HOLI ZIMA KWENYE HARUSI YA UKHTY MUBINA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 ноя 2024

Комментарии • 75

  • @latifasalum4226
    @latifasalum4226 2 года назад +9

    Hii sio kasda ni tarabu moja kwa moja shv huu mnanda umekuwa ni tarab subhanallah

  • @mwanashasjambia8572
    @mwanashasjambia8572 2 года назад +6

    Subhanallah meishiwa kuimba kaswida ndipo taraab waah.

  • @reyanirama2112
    @reyanirama2112 2 года назад +5

    Subhana llwah inalilah wainnalilah rajiuni nduguzang musifanye vitu kuwafurahisha watu lahasha embu jaribuni kuwa nahofu ya allwah japo kidogo kwa nini hampendi kuigwa munapenda kuigwa mziki

  • @tausenikoffela-bo8je
    @tausenikoffela-bo8je Год назад

    Congo Kinshasa tunatamani uyo aje uku lumbumbashi longera sana systa

  • @SaphiaRamadhani-dh2mg
    @SaphiaRamadhani-dh2mg 6 месяцев назад

    Mashaaaallaaaaah nimeipenda

  • @shejomba
    @shejomba 8 месяцев назад

    I love the sing ❤more love from 🇰🇪

  • @haruubhashim7740
    @haruubhashim7740 2 года назад +1

    Subhannallah moto wa mungu muusubir kwa icho mukifanyacho

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 2 года назад +7

    Innalillahi wainnaillahi rajiun 😭 qaswida taarabu jamani

  • @ibrahimkassim4505
    @ibrahimkassim4505 2 года назад

    Yan saiv nyimbo ndo zmekuwa kaswida. Innalillah. Mtihan huu...watu wapo kimaslah zaid bila kujali halali au haram

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 2 года назад +1

    Allah atuongozee njia ya haskii kwa killa jamii islam

  • @feisal6592
    @feisal6592 2 года назад

    Jasmeniii sautii ya pwanii haifanyii kaziii wakatuuu ufaa boodaaar munsjuwaa

  • @fatinahassan7434
    @fatinahassan7434 2 года назад

    Mh mh mh jaman unaupeleka uislamu kubaya Bora2 ungeandika taarabu sio kaswida Allah Allah Allah ndugu zang kiiman

  • @tifamwawema7808
    @tifamwawema7808 2 года назад +2

    Subbhannallh walikuwa wakiimba vzur lkn sah mbn taarab jamani

  • @Sefukhalfani-k4u
    @Sefukhalfani-k4u 15 дней назад

    Hakunaga qaswda y majungu zaid ni kumuombea mtu kher co hii vidole juu

  • @maryammohammed-j4z
    @maryammohammed-j4z 2 месяца назад

    Jaman jaman kwa allah si mbali mcheen allah mnahalalisha haraam jaman

  • @juma3473
    @juma3473 2 года назад +2

    Mko vizuri fanya kazi usiwasikilize watu

    • @hamzasuleiman9605
      @hamzasuleiman9605 2 года назад +2

      Yaan unavyojiamin km vile Malakul mauti hana ratiba ya kuitoa roho yko daaah

    • @reyanirama2112
      @reyanirama2112 2 года назад

      Mungu pia angaliwee si binadamu

  • @tausenikoffela-bo8je
    @tausenikoffela-bo8je Год назад

    apa Congo lubumbashi bado hatujasikia hiyo. qaswida njo dada

  • @husnaomary491
    @husnaomary491 2 года назад

    inalilahi waina ilayhi raajion sikuhiz naona wameamua kutaarabu tena apa hamna kasida. hapa ni mtihan mtupu na Allah awaongoze.

  • @salmaali7080
    @salmaali7080 2 года назад

    Jamani mwaingia dhambini mwajiharibia stara waume ndani na makanzu wake ndani yanini mitandio mngetoa tuu hiyo c qaswidda hiyo ni nyimbo ya swabaha c qaswidda

  • @khamisuddi4501
    @khamisuddi4501 2 года назад +1

    Jina la kikundi chenu cha taarab kinaitwaje mbn hatukijui inaonekana hakijasajiliwa. Muna fanya makosa.

  • @dullyyasinn7051
    @dullyyasinn7051 2 года назад

    Jaman tumche Allah hakuna jambo bay Kama kuzusha jambo katik din kwaajili yakujitengenezea masrah yako kwa kisingizio chakuw ety mtume alifany hayo mamb,, siikwel jaman tumche Allah ,,,,

  • @faidahussein4319
    @faidahussein4319 2 года назад

    Hii sio kasida Wallah

  • @aminamfaume2262
    @aminamfaume2262 2 года назад +1

    Hii sio qasida jaman mcheni Allah

  • @maryammohammed-j4z
    @maryammohammed-j4z 2 месяца назад

    Yani waisilam mmekuwa kam makafiri jaman

  • @LissaBosh
    @LissaBosh 5 месяцев назад

    really ❤❤❤❤❤❤❤

  • @maryammohammed7455
    @maryammohammed7455 2 года назад +1

    Hii kaswida nyimbo jamanii akah😳

  • @n4bell802
    @n4bell802 Год назад

    Naona kasida imegeuka tarabu mitihan

  • @aishayusuf6862
    @aishayusuf6862 2 года назад +1

    Hii ni taarabu Wala sio kaswida🙆

  • @sheikhasoud7420
    @sheikhasoud7420 2 года назад +1

    Allah atuongoze kwenye haki

  • @mohammedissa6248
    @mohammedissa6248 2 года назад

    Subuhanallh dhambi iyo

  • @jabironlinetv9295
    @jabironlinetv9295 2 года назад

    Ingia hapa kupata kasda mpya

  • @mwaramndanimwatasa8791
    @mwaramndanimwatasa8791 2 года назад +3

    Ni vema wakumbushwe ili wagundue makosa yao

  • @LatifaJuma-fu1ik
    @LatifaJuma-fu1ik 6 месяцев назад

    Asalam ualeykum

  • @Alima-j3r
    @Alima-j3r Год назад

    Namkubar

  • @rehemashaibu7635
    @rehemashaibu7635 2 года назад

    Hii ni qaswida au taarabu jamani innalilah wainnailah rajighun

  • @pilimakundalongoilongoi3386
    @pilimakundalongoilongoi3386 2 года назад

    Nimziki wa taraabu sio kaswida

  • @salmaseif9533
    @salmaseif9533 2 года назад +2

    Subhana llah

  • @motoe1073
    @motoe1073 2 года назад

    Jamani Kwan munataka kwenye haruss wasome quruani mbon muko hivyoo

  • @sharifasaidi5404
    @sharifasaidi5404 Год назад

    Sher

  • @domisiakabume2413
    @domisiakabume2413 2 года назад

    Hakika mpo good

  • @shekhaseif5809
    @shekhaseif5809 2 года назад +1

    taarab max pro

  • @omarykaloujsr6474
    @omarykaloujsr6474 2 года назад

    Nice maashallah

  • @bihanunhanun2185
    @bihanunhanun2185 2 года назад

    Adla

  • @akidaferuzi9995
    @akidaferuzi9995 2 года назад

    😁😁 Duuuh!

  • @naafey7420
    @naafey7420 2 года назад

    Mashallh

  • @hamzasuleiman9605
    @hamzasuleiman9605 2 года назад +6

    Ndio maana tumekatazwa mambo haya , maana ukianza Qasda utamalizia nyimbo tu , sasa huyu hapa anategemea kupata thawabu gani ??
    Ni nyimbo live live bila chenga , daaah mtihani huu 😭

    • @comexmediatz
      @comexmediatz  2 года назад

      Kwani wwe alokwambia qaswida sio nyimbo ni nani zote ni nyimbo mzee baba

    • @wiliyfundplus2065
      @wiliyfundplus2065 2 года назад

      Mbona kama taarabu hii jaman

    • @ulachamachu736
      @ulachamachu736 2 года назад

      Hatakam ni nyimbo Lakin sio Kam hiv saw nyimbo Lakin karibu kutunga kitu jacho sio kukopi

    • @halimamuhammad2437
      @halimamuhammad2437 2 года назад

      @@comexmediatz mbona bac mumeeka Zanzibar Qaswida

    • @halimamuhammad2437
      @halimamuhammad2437 2 года назад

      Mungeeka Zanzibar taarab

  • @saidiyisambi4994
    @saidiyisambi4994 2 года назад

    🥰

  • @nuwairadarwesh8827
    @nuwairadarwesh8827 2 года назад

    Jamn punguzn

  • @saumuhamisi7194
    @saumuhamisi7194 2 года назад +2

    Asstaqafirullah

    • @munajuma5497
      @munajuma5497 2 года назад

      Meh kubwa namnasih ukht dida kwa sbb yeye ni miingn wa watu wanaoimba qaswda asije akabadilika aimbe iyo iyo qaswda tuh asije akaingia kweny taarab na yeye dada ang nakuomb uniskilize kwan Nina kupenda sannah by miss munnah from fuon

  • @shaameshaame9721
    @shaameshaame9721 2 года назад

    Taraab mujarab kabbisa

    • @saidal-ismaily3610
      @saidal-ismaily3610 2 года назад +1

      Kwan qaswida na taraab ina tofauti gan ni ayo ayo lkn tuuu so vizr mwanamke kukaa mbele ya mitandao na kupaza sauti yake ni ukumbusho tuuu

  • @SaphiaRamadhani-dh2mg
    @SaphiaRamadhani-dh2mg 6 месяцев назад

    Mashaaaallaaaaah nimeipenda

  • @arfatz735
    @arfatz735 2 года назад

    Mashallaah

  • @SaphiaRamadhani-dh2mg
    @SaphiaRamadhani-dh2mg 6 месяцев назад

    Mashaaaallaaaaah nimeipenda

  • @Husna-d6c
    @Husna-d6c Год назад

    Mashalla