Kwa Papa - Video ya Baba Mtakatifu 11 - Novemba 2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 23

  • @Sal.0
    @Sal.0 Год назад

    Huyu Baba Mtukutu, ame towa AMRI, ya kwamba wana Wake wa SAGANE, na Wana Ume wa PANDANE!
    Hallelujah!

  • @hassanyohna6121
    @hassanyohna6121 Год назад +1

    Mtakatifu wa Wawapi huyu ..... Mtakatifu ni Mungu peke yake ....achenikashfa

  • @mariamfaicalhassan2890
    @mariamfaicalhassan2890 11 месяцев назад +1

    Mungu wetu akulinde baba

  • @angelsulle7177
    @angelsulle7177 Год назад +2

    May God Grant you never lasting PEACE our POPE ❤❤❤

  • @malimahila9450
    @malimahila9450 Год назад

    Baba mtakatifu ni mungu tu

  • @jacksonchilukusha2747
    @jacksonchilukusha2747 Год назад +1

    Toa utakatifu MUNGU diye mtakatifu uyu tuko sawa

  • @Gaynor1234
    @Gaynor1234 18 дней назад

    Dunia yote na Mbinguni BABA MTAKATIFU NI MMOJA TU, MUNGU ANAYEISHI, ALIYEUMBA MBINGU NA NCHI, lakini siye huyu anayefanya ushoga kwa lengo la kupeleka watu Jehanam!

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 Год назад

    Kufirana ruksaaaa

  • @habibuluyangi2702
    @habibuluyangi2702 Год назад

    Huyu muhuni af awe mtakatifu inakuja hiyo

  • @julianapatrick7911
    @julianapatrick7911 Год назад

    Au ni uzee

  • @AstridaNdovanga-tz6vj
    @AstridaNdovanga-tz6vj Год назад

    Kama mtu huelewi ni Bora kuuliza kuliko kukashifu

  • @adamadamluoga6902
    @adamadamluoga6902 Год назад

    Soma ufunuò 13

  • @alfredrutaguza7506
    @alfredrutaguza7506 Год назад

    Huyu ni mpumbavu wa kwanza duniani

  • @deniseliuter3002
    @deniseliuter3002 Год назад

    Mimi ni mkatholic lkn huyu papa nna miaka simuelewi kabisa,wala simkubali ata kidogo analiharibu kanisa taratibu tuh kikubwa mimi ni mkristo katiba ya maisha yangu ni biblia na nnaishi kulingana na mafundisho ya biblia lkn huyu astahili kabiswa kuitwa mtakatifu wala kua kiongozi ni wkt sasa wakatholic wa africa tujitenge na uongozi wetu

    • @annamashauri7421
      @annamashauri7421 Год назад

      Hafai kabisa atoke achakuliwe mwingine anazinguwa jaman

    • @maheitumdintunya2928
      @maheitumdintunya2928 Год назад

      wewe yeye mwenyewe hakuhitaji anahitaji mapadrii ili wapotoshe watuu

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 Год назад

      Apo ujue una roho wa Muñgu Alie hai ndo maana humkubari Mimi hata kumikia huwa sitaki uyo Ni wakara wa kuzimu soma Sana bibilia utelewa kila kitu❤❤❤❤❤❤❤ Ubarikiwe una roho wa Muñgu Ni wachache wenye roho Kama iyo

    • @agnesspaul1866
      @agnesspaul1866 Год назад

      ❤❤❤❤❤❤❤Safi Sana uko na Müñgu uwo ujasili wakuongea namna hiyo Ni upendo wa Muñgu na Ni Neema wewe Muñgu alikujua Ni wake toka tumboni mwa mama yako

    • @hellen9056
      @hellen9056 11 месяцев назад

      Ahsante YESU kwa kuwajalia watu wako kufahamu ukweli huu