Rev.FJ.KATUNZI, SASA NI ASKOFU MKUU WA KANISA LA CHRISTOS ASSEMBLIES OF GOD (CAG)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 ноя 2024

Комментарии • 45

  • @PaulWambura-b1p
    @PaulWambura-b1p Месяц назад +2

    Baba nashukuru sana katika mafundisho yako na maombi yako ukweli Mungu amenifungua kupitia maombi yako pia tupo nyuma yako kukuombea kwenye hii huduma yako Mungu ni mkubwa sana

  • @Ufalme1
    @Ufalme1 Месяц назад +2

    Unastahiri kuitwa Askofu, na unao upako wa Kimungu, umenifanya nione ndo naanza maisha, ubarikiwe sana Baba askofu Katunzi.

  • @hatiagk4447
    @hatiagk4447 Месяц назад

    Nimeupenda ushuhuda huu Mungu akubariki Mchungaji. Katonda akubele.

  • @El9a
    @El9a Месяц назад

    Siku za mwisho ni siku zakumsikiliza Mungu sana, Ikiwa ni Mungu Atathibitika na kuyafanikisha maono hayo,. Mungu Akupe miaka Mingi ya kuishi Mchungaji ili uyaone matunda ya maono hayo. Glory be to Jesus The Christos.

  • @TeklaNkwaju
    @TeklaNkwaju Месяц назад +1

    Mhaya ndani ya Yesu. Haleluya!!!!!

  • @gfydfdf8869
    @gfydfdf8869 Месяц назад

    Ameeni God bless you, Rohomtakatifu azidi kukupaka mafuta yake Kila Leo, pastor.

  • @lusubilomwaipyana3889
    @lusubilomwaipyana3889 Месяц назад +1

    Amen hakika Mungu hajawai kushindwa

  • @ApiaMaiko-ym1zj
    @ApiaMaiko-ym1zj Месяц назад

    Amina Baba injiri iendelee

  • @NeemaUrasa-u4y
    @NeemaUrasa-u4y Месяц назад +2

    Hili kanisa liko wapi hapa Dar natamani nije kuabudu hapo nimeguswa sana na mahubiri ya Askofu Mungu atimize Rhema aliyompa mtumishi wake ili wengi wapone

  • @barakamaliaki1365
    @barakamaliaki1365 Месяц назад

    Amina mtumishi

  • @devothaanzikali8243
    @devothaanzikali8243 Месяц назад

    Songa mbele baba Mungu yuko upande wako

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 Месяц назад

    Hongera simama kwa miguu yako ondoa vibwagizo vya Kulola utakuwa unasimama kwa miguu yake

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario Месяц назад +1

    Mmeshaasi EAGT tayari mtagawanyika sana!

    • @rev.harunichaula6509
      @rev.harunichaula6509 Месяц назад

      Kama umekosa cha kusema kama Kimya mtu wa Mungu acha Watu wahubiri injili mbinguni Hakuna madhehebu.

    • @supermatty7499
      @supermatty7499 Месяц назад

      hahaha roho inakuuma😂😂

    • @Werema3760
      @Werema3760 Месяц назад

      😂. Acha ushamba wa kiroho. Woote hao ni huujenga mwili wa kristo.

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario Месяц назад +1

      Ndio Kulola aliasi TAG na ile roho ya uasi inaendele kuitafuna EAGT aliyoiacha "UASI undelee"

    • @Werema3760
      @Werema3760 Месяц назад

      @@ManswetKimario Kristo alileta EAGT au TAG au CAG ? Au wokovu? Hivyo vibanda vyenu mbona haviwafanyi kutenda makuu kama kulola?
      ■ACHA UDHEHEBU. Ikiwa unajali hayo na si kaz ya msalaba bas rudi RC

  • @jacklinesheddy9427
    @jacklinesheddy9427 Месяц назад

    Hallelujah

  • @doreenalphonce2422
    @doreenalphonce2422 Месяц назад

    Ameen baba

  • @MurunguwetoshaDeheaven
    @MurunguwetoshaDeheaven Месяц назад

    Roho ya uasi, Kwa wapentecoste itaisha lini

  • @hagaimwaikenda5696
    @hagaimwaikenda5696 Месяц назад

    Naomba nyimbo ya maratha hiyo

  • @ROBERTCHEDIELMAHIMBO-t2g
    @ROBERTCHEDIELMAHIMBO-t2g Месяц назад

    MUNGU AZIDI KUKUPA HEKIMA KATIKA KUHUBILI NENO LA MUNGU UBARIKIWE

  • @TreyCarlos-p2i
    @TreyCarlos-p2i Месяц назад +1

    UTUKUFU KWA YESU WA CHRISTOS ASSEMBLIES OF GOD , TUNAKUOMBEA BABA KUWE NA MATAWI MENGINE HATA HUKU KIMARA TUSIWE MBALI SANA NA HUDUMA YENU

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      UTAJIRI HUU JAMANI: AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE, WALIFARIKI MIAKA MINGI MORO
      ruclips.net/video/bXl3lufZu_Q/видео.html
      AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE DAR ES SALAAM, WALISHAFARIKI MIAKA MINGI MKOANI MOROGORO NA WAKAZIKWA NA HUWA WANAKWENDA KUPALILIA MAKABURI YAO KILA MWAKA NA KUWASOMEA DUA.
      KAKA YAKE ANA PESA NYINGI SANA NA MAGARI YA KIFAHARI KAMA VOGUE SPORT, TOYOTA LAND CRUISER, V8 2.4L 326HP - KING OF SUV NK.
      USISAHAU KUSUBCRIBE NA KUSHARE TUKIO HILI KWA WATU WOTE ILI WAJIFUNZE KUMTEGEMEA MUNGU PEKEE SI MWANADAMU. SHARE, LIKE, COMMENT
      Maoni na ushauri wasiliana na chumba chetu cha Habar kwa simu no 0713 575718 ipo WhatsApp

    • @MkoiTvTz
      @MkoiTvTz Месяц назад

      UTAJIRI HUU JAMANI: AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE, WALIFARIKI MIAKA MINGI MORO
      ruclips.net/video/bXl3lufZu_Q/видео.html
      AKUTA WAZAZI WAKE WAKIWA HAI CHUMBANI KWA KAKA YAKE DAR ES SALAAM, WALISHAFARIKI MIAKA MINGI MKOANI MOROGORO NA WAKAZIKWA NA HUWA WANAKWENDA KUPALILIA MAKABURI YAO KILA MWAKA NA KUWASOMEA DUA.
      KAKA YAKE ANA PESA NYINGI SANA NA MAGARI YA KIFAHARI KAMA VOGUE SPORT, TOYOTA LAND CRUISER, V8 2.4L 326HP - KING OF SUV NK.
      USISAHAU KUSUBCRIBE NA KUSHARE TUKIO HILI KWA WATU WOTE ILI WAJIFUNZE KUMTEGEMEA MUNGU PEKEE SI MWANADAMU. SHARE, LIKE, COMMENT
      Maoni na ushauri wasiliana na chumba chetu cha Habar kwa simu no 0713 575718 ipo WhatsApp

  • @ManswetKimario
    @ManswetKimario Месяц назад +1

    Kweli pesa mwanaharamu!

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario Месяц назад +2

      Eti nimwache ahubiri injili, Injili gani ya kutengana tengana hovyo hovyo? Mnashindwa kuvumiliana? Uko wapi ule UMOJA ambao yesu alitutaka tuwe nao sisi wafuasi wake? YOH:17: 21-22 Au mm nasoma Biblia nyingine? kwani angehubiri akiwa EAGT asingesikika? Kwann ameenda kuanzisha dhehebu lake? Ana fundisho gani jipya? Kila siku madhebu mapya tena yasiyokuwa na nguvu yaani vidhehebu uchwara, dhaifu a.k.a vikundi vya sala, mtu akishafikisha waumini 10 tu anakurupuka chap anaenda kuanzisha kadhehebu kake maana kashapata MTAJI nyie HAMNA kitu kabisa wakristo wa mchongo!

    • @scariondeus7595
      @scariondeus7595 Месяц назад +1

      Pole sana Mwanangu usicho kijua Mbinguni hatutaenda madhehebu wataenda watakatifu kwaiyo hacha kabisa kupointi madhehebu

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario Месяц назад

      We unaenipa pole hujui unachikisema, Jidanganye kama dhehebu si kitu basi wakristo wote tunapaswa kurudi ROMA we utarudi lini? Au huyo Katunzi ndiye aliyekufundisha kuwa dhehebu halitampeleka mtu mbinguni? Kwa hiyo Waroma waendelee kubaki katika dhehebu lao? We hujui mambo dhehebu lina uhusuano na safari ya mtu kwenda mbinguni km dhehebu linafundisha mafundisho yasiyo sahihi litakupelekee ww kwenda kwenye Maangamizi weka hiyo akilini.

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario Месяц назад

      We hujamielewa nilichokuwa namaanisha ni kwamba, ikiwa imani ya EAGT na hilo dhehebu lake ipya ni ile ile ya nn aondoke, ajitenge na kwenda kuanzisha kadhehebu kake kama sio NJAA ? Yaani kutafuta MASLAHI zaidi? Sio lazima yeye awe askofu mkuu. Kwani kuna nn kwenye uaskofu mkuu? Angekuwa amekuja na fundisho jipya sawa lakini hana fundisho jipya acheni kuugawa gawa MWILI WA KRISTO kumbukeni umoja ni nguvu na utengano ni udhaifu

  • @bonifasiemanueli21
    @bonifasiemanueli21 Месяц назад

    Hapo ktk kujenga Makanisa 12500 bado sijakubali,

    • @edgarrich9895
      @edgarrich9895 Месяц назад

      yasiyowezekana kwa wanadamu kwa Mungu yanawezekana.

  • @supermatty7499
    @supermatty7499 Месяц назад +2

    Songa mbele nimefurahi ulivyotoka uko

    • @zakiamseka9698
      @zakiamseka9698 Месяц назад +1

      Hata mimi nimefurahi

    • @ManswetKimario
      @ManswetKimario Месяц назад

      Kwann umefurahia? Huoni huko ni kuugawa mwili wa Kristo?

  • @TeklaNkwaju
    @TeklaNkwaju Месяц назад

    Hata imekuwa mtu akiwa ndani ya Kristo ya kabila yanapita

  • @wakristotv
    @wakristotv Месяц назад

    WATU HAWATAKI KUWA CHINI YA..... WAO WANAHITAJI KUWA JUU YA..... UASI LAZIMA UIBUKE.