UTAWALA UJAO-Ay Nyarugusu Geita,Tz OFFICIAL VIDEO 2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 264

  • @bensonokwaro9225
    @bensonokwaro9225 Месяц назад +2

    Mungu awasaidie muendelee zaidi watoto wa Baba Kwan ni kwaya pekee inayolinda heshima ya mziki wa kisabato hata mwonekano wa waimbaji kiukweli nawataman kwa jina la Yesu na Bwana awabariki.

  • @evansnaikajr.
    @evansnaikajr. 6 месяцев назад +11

    Heavenly Music.,reminds us of the times we live in,and the coming Kingdom, Even so,Come Lord Jesus!!!.... skillfully played.
    God bless you watumishi

  • @ImaniHenry-o7t
    @ImaniHenry-o7t 6 месяцев назад +15

    nimemependa saana maana nilikua nakiu.sasa nimetoka jangwani

  • @RashidRukansola
    @RashidRukansola 6 месяцев назад +6

    Duh niliomba sana Kwa ajili yenu nyie ndo kwaya yangu pendwa siku ZOTE nabarikiwa sana. Mbele mpaka kieleweke Mungu atukuzwe

  • @hodaviahnkoswe5069
    @hodaviahnkoswe5069 6 месяцев назад +10

    Ooooooh jamani mbarikiwe sana wimbo ni mzuri hili ni hubiri makini sanaaaa

  • @ZaniyaAyubu-p4n
    @ZaniyaAyubu-p4n 2 дня назад

    Ujumbe mzuri mbarikiwe sanaaa watumish wa BABA

  • @ZenaMbwambo
    @ZenaMbwambo 6 месяцев назад +6

    Ila Nyarugusu Mungu awakumbuke ktk Ufalme wake. Mnanibariki sana

  • @mosestumaini8022
    @mosestumaini8022 6 месяцев назад +8

    Mungu wetu mwenye uwezo atukuzwe kwa ujumbe wa pekee,na awabariki sana watoto wa Baba yetu wa mbinguni.

  • @davidmayenga48
    @davidmayenga48 6 месяцев назад +4

    Enock Zabron,Mungu akubariki sana

  • @EstherTeilaNgongolo1312
    @EstherTeilaNgongolo1312 6 месяцев назад +3

    Wimbo makini sana huu, Tr. Enock be blessed, with your Y.A Choir Nyarugusu

  • @EsterNima
    @EsterNima 6 месяцев назад +6

    Nyarugusu,,,,, nawapenda sana Mungu awatunze,mbarikiwe sana.

  • @JuliusMandi
    @JuliusMandi 6 месяцев назад +9

    MUNGU awabariki sana Ay nyarugusu 🙏

  • @lizy-7
    @lizy-7 6 месяцев назад +2

    How they sing doctrines... Prophecy explained in song🙌🙌🙌 glory to God His work is moving on

  • @masomoyakarne5122
    @masomoyakarne5122 6 месяцев назад +2

    Mbarikiwe sana kwaya yetu pendwa hapa Tanzania Nyarugusu Ay, zitakuwepo kwaya nyingi nzuri, lakini Nyarugusu ay haitafananishwa na nyingine kwa sasa. Utulivu wa nyimbo na ujumbe ni bora sana.

  • @pradamkiombile3615
    @pradamkiombile3615 6 месяцев назад +2

    Doctrine that we inadequate nowadays. Thank you for getting us in altar

  • @rachelnassary4565
    @rachelnassary4565 6 месяцев назад +3

    Sabato njema watu wa MUNGU

  • @gloriousnp
    @gloriousnp 6 месяцев назад +2

    IMBA KWA AKİLİ ndo hii sasa. Hambahatishi, tukutane Paradiso wapendwa 😍🙏🏿🙌🏾🥰🇹🇿

  • @AvelinaJohn-zi5yo
    @AvelinaJohn-zi5yo 6 месяцев назад +4

    Mungu Awabariki Sana mnapo endelea kutumka shambani mwake

  • @mbiligichannel6290
    @mbiligichannel6290 6 месяцев назад +5

    PURE TALENTS, AMAIZING SONG, MAY THE LORD MAGNIFY YOUR MINISTRY ✊

  • @PerfectJbo03
    @PerfectJbo03 3 месяца назад +1

    Nimebarikiwa sana kwa ujumbe huu MZITO, mbarikiwe Nyarugusu, kama TUMEBARIKIWA pamoja naomba nione hapa

  • @luganonelson7010
    @luganonelson7010 6 месяцев назад +5

    Mungu awabariki sana kwa ujumbe wake bora sana

  • @kelvinkipchirchir9775
    @kelvinkipchirchir9775 6 месяцев назад +4

    Amina ,nawapenda sana waimbaji wenza,unabii ni suala ambalo zimesahaulika kwa nyimbo zetu,ahsanteni kwa kutupa dira na kutuelekeza kiunabii mpaka tukaona utawala wa Yesu

  • @DottoDSamwel
    @DottoDSamwel 15 дней назад

    Mbalikiwe sana Kwa ubunifu wa kueleza unabii huo mrefu Kwa wimbo what a tremendous message

  • @IMANJB-fj8gp
    @IMANJB-fj8gp 6 месяцев назад +2

    Watoto wa home💥💥

  • @MIRIAMKEZIA
    @MIRIAMKEZIA 6 месяцев назад +4

    Amen mbarikiwe sana watumishi Mungu awatie nguvu katika utume

  • @gerizim516
    @gerizim516 6 месяцев назад +1

    Nyarugusu hawakengeuki wapo kwenye misingi Mungu awabariki

  • @pamelajepleting5883
    @pamelajepleting5883 6 месяцев назад +5

    Mungu Atukuzwe milele.
    Blessings Nyarugusu!

  • @doreenpambea01
    @doreenpambea01 6 месяцев назад +1

    Barikiwen mwalimu Enock na hii kwaya Mungu awatumie siku zote mzidi kutubariki

  • @rebekajackson7255
    @rebekajackson7255 6 месяцев назад +2

    🎉❤❤❤ nimewapenda Sana kuliko ,yaani huu wimbo umenikosha moyo, mwende mbali ila msipotee njiani

  • @barakagalus162
    @barakagalus162 6 месяцев назад +2

    nawapa wito ndugu zangu,kwamba kama mtunzi wa wimbo wa kristo "nitakuandama kote(i will follow thee)" alivyosema kwa ujasiri katika kiitikio kwamba "and though all men should forsake thee ,by thy grace i will follow thee"(na ingawa watu wote watakuacha ,kwa neema yako BWANA nitakuandama)..maneno haya yanapatikana katika kiitikio cha wimbo huu kwa lugha ya kiingereza...
    wito wangu ni kwamba ingawa waimbaji wengi watauacha muziki mtakatifu,mziki wa kikristo ,muziki unaolenga injili si maburudisho,wote wajapouacha NINAWASIHI NINYI WATU WA MUNGU SIMAMENI IMARA KAMWE MSIMSUJUDIE BAALI....

  • @nyandanaftali8014
    @nyandanaftali8014 6 месяцев назад +5

    Kutoka Mbeya mbarikiwe sana watu wa Bwana

  • @MARCOFURAHA
    @MARCOFURAHA Месяц назад

    Barikiweni sana jamani mbinguni msikose tukaimbe wote wimbo wa musa na mwanakondoo

  • @JUMANNEKIMIRA-kx8zs
    @JUMANNEKIMIRA-kx8zs 6 месяцев назад +4

    barikiwa sana,Wimbo mzuri🙏

  • @rachelnassary4565
    @rachelnassary4565 6 месяцев назад +4

    MUNGU atukuzwe👏👏💕💕

  • @kenedywarumbe8820
    @kenedywarumbe8820 6 месяцев назад +4

    Bwana awabariki sana Nyarugusu

  • @AbrahamuBukolionlineTv-ju6kn
    @AbrahamuBukolionlineTv-ju6kn 6 месяцев назад +4

    Mungu awwbarik saana sana

  • @AbrahamPius-xu4id
    @AbrahamPius-xu4id 3 месяца назад

    BWANA awabariki sana wapendwa hakika mnafanya vyema kabisa nyimbo zenu zinanibariki sana

  • @Came-p1h
    @Came-p1h 6 месяцев назад +2

    Wa mama wa vyijana Munaimba vyzuli sana mungu awabaliki sana 🇬🇦🇬🇦❤❤❤🙏🙏

  • @dianaonyando5777
    @dianaonyando5777 6 месяцев назад +2

    Amen Amen😭😭🙏, my heart longs for my Lord so much. Even so come Lord Jesus 😭, thank you for this wonderful piece

  • @jackplaymacheku3021
    @jackplaymacheku3021 6 месяцев назад +1

    Kazi nzuri sana, sahv inatakiwa waimbaji muimbe unabii tu, Yesu aje asee tumechoka

  • @lionsontv946
    @lionsontv946 6 месяцев назад +3

    Waooow....Ujumbe Mzito....Unabii umerahisishwa...Ubunifu 🔥 Mbarikiwe sana Wapendwa

  • @ChristinaCharles-z5n
    @ChristinaCharles-z5n 5 месяцев назад +1

    Mbalikiwe sana MUNGU azidi kuwatumia kama atakaavyo

  • @HappinessLinus-u7c
    @HappinessLinus-u7c 6 месяцев назад +1

    Your the best🎉, Mwenyezi Mungu awabariki🥰.

  • @melejisekeyan9492
    @melejisekeyan9492 5 месяцев назад +1

    Keep moving to the highest steps Nyarungusu, you're my favorite.

  • @danieledward2294
    @danieledward2294 6 месяцев назад +2

    Mko vzr wapendwa

  • @SamwellubigisaLubigisa
    @SamwellubigisaLubigisa 6 месяцев назад +2

    Mbarikiwe sana vijana wa nyarugusu zahanati

  • @SifaelMpagike-gt1gz
    @SifaelMpagike-gt1gz 6 месяцев назад +5

    Amen... Nyarugusu... Mungu awabariki sana..

  • @joshuasebastian6210
    @joshuasebastian6210 6 месяцев назад +1

    "WE LOVE EACH OTHER THUS WHY WE SHARE WITH OTHER". Nyarugusu Mnajua kuimba kwa Akili. Stay blessed🎉🎉

  • @richmabula5223
    @richmabula5223 6 месяцев назад +14

    Hizi ndizo nyimbo za kuimba hasa unabii mlijisahau sana mkaogopa kuimba unabii ili muwe karibu ulimwengu kwa sababu mnatazamwa na wengi na nilishaga wambia muimbe unabii mmetimiza ongezeni tena nyimbo za unabii Daniel na Ufunuo msiwaogope watu watasema nini asante.

    • @emmanuelnoah1946
      @emmanuelnoah1946 6 месяцев назад

      Nikwel kaka Kuna sehemu walifanana na dunia

    • @donaldmwahalende4841
      @donaldmwahalende4841 6 месяцев назад +2

      Wimbo gn walifanana na dunia? Ukiimba unabii ndio hufanani na Dunia

    • @richardkonzo5717
      @richardkonzo5717 6 месяцев назад +2

      Hakuna nyimbo za nyarugusu zinazofanana Na za kidunia

    • @mikeomolo7133
      @mikeomolo7133 5 месяцев назад

      I agree all have spiritual lessons including the patriotic song which was sang to rais Samia​@@richardkonzo5717

    • @DanielYoel-ih9pc
      @DanielYoel-ih9pc 5 месяцев назад

      Wapo vzr kweli wana heshima hata uvaaji wao jaman​@@richardkonzo5717

  • @SaratuyaRebeka
    @SaratuyaRebeka 27 дней назад

    kwakweli mungu awabarik kwa ujumbe mkuu

  • @RoseeElys
    @RoseeElys 5 месяцев назад +1

    Natamani sikumoja niimbe na nyie aseee❤❤❤

  • @nyafungonjarabi75
    @nyafungonjarabi75 6 месяцев назад +1

    Kazi nzuri hongeren jina la BWANA liinuliwe milele

  • @mwitaandrew8053
    @mwitaandrew8053 6 месяцев назад +3

    Kaka Enock umefikaje apo🫡, wimbo mzuri Sana mmeimba vzr Sana jmn...Mungu awabarik nyote

    • @cheyomasunga
      @cheyomasunga 6 месяцев назад +1

      enock ndo mwalimu wa hii choir toka enzi

    • @gloriousnp
      @gloriousnp 2 месяца назад

      @@cheyomasungapengine mgeni humu

  • @aneciarutabingwa
    @aneciarutabingwa 6 месяцев назад +1

    Hongereni sana kwa wimbo mzuri. Mungu awabariki kwa uinjilisti wa uimbaji, na azidi kuwatumia zaidi.

  • @KephaEdgar
    @KephaEdgar 5 месяцев назад +1

    Wow so amazing massages,may God blesses you all ❤❤

  • @Yonambindi-td6rh
    @Yonambindi-td6rh 6 месяцев назад +1

    Oooh wimbo mzuri mbarikiwe Ay nyaragusu

  • @kadawimathias287
    @kadawimathias287 6 месяцев назад +1

    So blessing🏆, keep flying the colours of heaven🙏

  • @poetaclayofthepotter
    @poetaclayofthepotter 6 месяцев назад +1

    Amen! What a simplified way of presenting prophecy! To God be the glory. Yesu jiwe Kuu ainuliwe milele!

  • @yonasanga4174
    @yonasanga4174 6 месяцев назад +2

    Oh! Hallelujah 🙏

  • @thehumbledtanzania
    @thehumbledtanzania 6 месяцев назад +1

    Unabii wa muhimu sana katika wimbo mzuri sana, Mungu mnaemtumikia awafikishe mbali.

  • @mosessabena17
    @mosessabena17 6 месяцев назад +2

    Mbarikiwe Sana nyarugusu 🔥🔥🔥

  • @neemamoses7078
    @neemamoses7078 6 месяцев назад +2

    Mbarikiwe❤

  • @timothypaul1769
    @timothypaul1769 6 месяцев назад +1

    Ooh.. Ameen🙏
    Huu ujumbee🙌🔥

  • @bernardwebiro6901
    @bernardwebiro6901 6 месяцев назад +1

    Mungu awabariki sana asanteni kwa kutubariki namna hii.

  • @elvis_okerio
    @elvis_okerio 6 месяцев назад

    Wimbo mzuri sana...Danieli 2 imeelezewa vyema
    Utufuku kwa Mungu. Barikiwa Nyarugusu ❤

  • @BoniphaceKaje
    @BoniphaceKaje 6 месяцев назад +2

    BWANA ATUKUZWE SAAANA

  • @lameckmawuti9759
    @lameckmawuti9759 6 месяцев назад

    Mbarikiwe sana vjana at nyarugusu sda❤❤❤❤

  • @MussaChamba-mr8lv
    @MussaChamba-mr8lv 6 месяцев назад +2

    Mbarikiwe sana

  • @RoseKemunto-z6c
    @RoseKemunto-z6c 22 дня назад

    Amen mubarikiwe

  • @ivankihwelo-s1u
    @ivankihwelo-s1u 3 месяца назад

    daah sijawafuatilia mda mrefu kumbe mumeachia vitu vizuri muendelee kujihusisha kwa moyo huohuo barikiweni sana kwaya yangu pendwa ay nyarugusu

  • @Jnyakyora
    @Jnyakyora 6 месяцев назад +1

    Mbarikiwe🙏🏽🙏🏽

  • @fadhiltv5942
    @fadhiltv5942 6 месяцев назад +3

    Be blessed MY KWAYA

  • @EverlyneOmari-i4z
    @EverlyneOmari-i4z 3 месяца назад

    Uimbaji wa nidhamu. Nawapenda tu saana

  • @fredrickmagele7065
    @fredrickmagele7065 6 месяцев назад +1

    Nimeupenda huu wimbo barikiwen sana

  • @EmmahMusa
    @EmmahMusa 2 месяца назад

    Always apraising choir with humble in christ

  • @AbsalomMwamaloba-x7l
    @AbsalomMwamaloba-x7l 2 месяца назад

    Bwana muumbaji awabariki sana,

  • @ZawadiGasana
    @ZawadiGasana 6 месяцев назад

    Hoo my God wimbo nzuri sana tena sana nimebarikiwa namafundisho mungu wetu azidi kuwapa ujumbe muendelee kusonga mbele ay nyarugusu my favority choir.

  • @neemamashauri3502
    @neemamashauri3502 2 месяца назад

    Mungu atukuzwe,mbarikiwe sana

  • @EdwardBoniphace-c4l
    @EdwardBoniphace-c4l 3 месяца назад

    Nawapenda sana jmani mungu awabark

  • @brightonjonas69
    @brightonjonas69 6 месяцев назад +2

    Bwana awabariki i hope one day to join you 🙏🙏

  • @peteredward7113
    @peteredward7113 6 месяцев назад +1

    Amen,Amen Bwana awatumie

  • @Israelites-special-forces
    @Israelites-special-forces 5 месяцев назад +1

    AMIRI JESHI MKUU
    JESHI LA WAISRAELI
    GENERALI
    JESHI LA WAISRAELI
    Huu mwimbo ni wa Dunia nzima ni bora mkaacha kuimba nyimbo zote ila mfanye kazi ya kuimba mwimbo huu tu katika lugha mbalimbali ikiwezekana katika lugha zote maana mmechaguliwa kwa kazi hiyo kama waimbaji.
    BWANA ASEMA.

  • @zabronmilingwa6432
    @zabronmilingwa6432 6 месяцев назад +1

    BWANA azidi kuwatumia kwa ajili ya utukufu wa jina lake

  • @BuguhiBalele
    @BuguhiBalele Месяц назад

    Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏🤝🤝🙏🙏❤️❤️

  • @VivianMkumbo
    @VivianMkumbo 6 месяцев назад

    Safi sanaaa,u arikiwer kazi njema sanaa,

  • @fredrickmagele7065
    @fredrickmagele7065 6 месяцев назад +1

    nyie ndo mmerudishs hakika jinsi waadventista walivyo na aina ya nyimbo zao hakika wimbo huu ujue sana ufike sehemu kubwa nanyi mbarikiwe zaidi na wasikilizaji wote Bwana awabariki kuanzia mavazi Hadi muonekano u're really Adventist

  • @Amshaafya
    @Amshaafya 6 месяцев назад +2

    Mbarikiwe

  • @DanielYoel-ih9pc
    @DanielYoel-ih9pc 5 месяцев назад

    Mbarikiwe waimbaji wa Ay nyarugusu kwanza mnavaa vizuri mna nidhanm ya uimbaji

  • @thevoiceofwildernesstz-udo3860
    @thevoiceofwildernesstz-udo3860 6 месяцев назад +2

    Stay blessed

  • @PeterwaltsGmlowoka
    @PeterwaltsGmlowoka 5 месяцев назад

    Hallelujah!!! Praise God
    King's dream well interprated
    I like the song
    Keep on
    Glory be to God

  • @gordonrakiro3053
    @gordonrakiro3053 6 месяцев назад +2

    So educative

  • @rogyphiny9551
    @rogyphiny9551 4 месяца назад

    Mungu awabariki sanaaaaa, mnauimbaji mzuri, creative kwenye shooting, ujumbe uko vizuri, Mungu awatunze na kuwafadhili mno

  • @jamesimanwel5089
    @jamesimanwel5089 6 месяцев назад +2

    Oh! Amen amen

  • @lambofgodtv8107
    @lambofgodtv8107 6 месяцев назад +1

    Amen and Amen🙏🙏🙏🙏

  • @HappinessMwandiki
    @HappinessMwandiki 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤God bless u saints❤❤

  • @jimmysigntv8776
    @jimmysigntv8776 6 месяцев назад +1

    Wow wonderful message

  • @ZipporahAbere-ls8hk
    @ZipporahAbere-ls8hk 6 месяцев назад

    Amen. The best way to understand prophecy!

  • @rosemsemo1291
    @rosemsemo1291 6 месяцев назад

    Mungu wa mbinguni awabariki sana kwa kuhubiri ujumbe wa siku za mwisho kwa njia ya uimbaji. 💥💥💥

  • @MosesSese-fq8pm
    @MosesSese-fq8pm 6 месяцев назад

    Thank you continue the work of the lord until end

  • @nellykavutha9926
    @nellykavutha9926 5 месяцев назад

    Amen 🙏..Heavenly music 🎶.