Sawa ndugu Chilolo mtumishi wa Mungu wa majeshi ya Israel,nina uhakika Mungu anakwenda kukujibu haya maombi ila sasa ukiinuliwa na kubarikiwa na kuheshimishwa,naomba sana ukumbuke hiki ulichokiimba na hii hoja uliyoijenga mbele za anayebarikiwa kwamba waliobarikiwa wanakuita majina ya dhihaka na kukupita na magari,usiwafanyie hivi wengine
Ni miaka miaka Saba imepita Toka nikuone Kenya Kwa kanisa ya Christopher Leo hii ndio nimekuona tena Kwa RUclips na nasikia kubarikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako nakupata matumaini tena ya maisha
Zamu yangu ni lini, Hakika Kaka Nyimbo zako zinanibariki nikikumbuka 2021 to 2022 Hakika aliyewavusha wana wa Israel Ndio atakayetuvusha Magumu ambayotunapitia kwenye makazi ya Watu 😢, stay safe and blessed Yona Chilolo 😢😢
Mungu akubariki na akusidizie kwa hii safari kaka ya kuhubiri injili kupitia kwa wimbo . Maana tupo tuliyopitia hayo yoote lakini leo hii mungu ametenda hadi wanaulizana wamefikaje lakini hawajuhi huyu Mungu analeta zamu ya kila mmoja ❤❤❤❤
Usijaliiy mtumishi wa mungu kwasabambu mungu ndoo anatoaah enatakiwaa tujitumee hayoo yotee yakwaoo niayaah duniaah to 🙏🙏🙏🙏 tuwekee kwa mdundoo umbarikiwe piaah wewe mtumishi wa mungu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This song has a strong feeling to me some of has tuko n relatives wanajiweza lakini hawatutambui kw sababu hatujiwesi kweli baada y mawindo mbwa haana dhamana
I learned about your songs from my wife, especially "nakutegemea." She used to listen to it in a repeated mode, and I didn't find it boring. Today, I am doing the same thing immediately when I wake up. I wish RUclips were showing you how some of us are camping here. At times you may see God blessing everyone around, but not you. Some of them are even people you hosted in your house when they had nothing, but once they are blessed, you become a nuisance to them. For those going through the same don't give up on God. Even Elijah prayed for three years for the rain to come. It will rain soon. All I wish for you is good health. You are really a blessing to many people.
Sema wew mwamba unajuw san nakukubali san mungu akupe maisha mzur san 💪🙏🙏❤
kiukweli kaka mungu akupe unachotaka❤❤❤❤
Mungu azidi kukuinua, kaka umenigusa sasa barikiwa
Barikiwa Mtumishi
mungu akubalik
I'm your big fun keep going my brother you're ablessing ♥️
Ni kwelii aisee wimbo uko poa sanaa
Asante Sana
Mungu atafikisha unako taka kwenda bro❤❤❤❤❤
Mungu akupe miaka mingi good umenigusa sana
Mungu akubariki kwakwel
Wale tumeletwa hapa from tiktok Hi...be blessed . Mungu nangoja tu zamu yangu 🙏🙏
Wuui ii nia kwangu aki
Ameen
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏mungu akubalike kila unapo amuka n kutembea
Ameen
Mungu niki😊
Baba niambie na Mimi zamu yangu ni lini
Barikiwa zaidi🎉🎉🎉🎉
Kuimba unajua
Wimbo mzur san na una ujumbe mzr ❤️🔥
😂😂😂natafuta❤funguo🔐🔐🇰🇪🇺🇬zamlini
Ameen
This song is torching my God remember me
Wimbo mzuri sana, baba niambie na mm zamu yangu ni lini.
Barikiwa
Wooh 🎉
Jaman nyimbo zote kali sana😅
Asante Sana
Amen God bless you haki Wimborne wako umenigusa sana napitia mambo mengn naomba mungu aniinue na mm
Asntee mungu
Sawa ndugu Chilolo mtumishi wa Mungu wa majeshi ya Israel,nina uhakika Mungu anakwenda kukujibu haya maombi ila sasa ukiinuliwa na kubarikiwa na kuheshimishwa,naomba sana ukumbuke hiki ulichokiimba na hii hoja uliyoijenga mbele za anayebarikiwa kwamba waliobarikiwa wanakuita majina ya dhihaka na kukupita na magari,usiwafanyie hivi wengine
Baba niambie na mimi zamu yangu ni lini 🙏🙏barikiwa mtumishi wa mungu
Ameen
Good job mungu azidi kkupa nguvu am so sad 😭
Ameen
Mungu baba zamu yangu ni lini?
Asante kwa wimbo mzuri
Wow,,,be blessed bro
Hongera sana kaka
Asante Sana
Barikiwa sana kma vile huu wimbo unanibariki moyoni
Amen barikiwa sana bro
Ameen
Huu wimbo unanipa hopes sana, may God bless you
Nimeguzuwa Sana na huo wimbo. Baba zamu yangu Ni lini?
Ameen
Huu wimbo ni kiboko kila anae usikiliza lazima ubalikiwe
Ameen
Cholo uko🔥🔥🔥 nimesiliza huu wimbo mara nyingi hauchoshi masikio yangu ni wimbo wenye ujumbe mzuri kwenye jamii pambana baba utatoboa
Ameen
Mungu azidi kukutumia mpendwa nyimbo zinanigusa sana
Ameen
Ni miaka miaka Saba imepita Toka nikuone Kenya Kwa kanisa ya Christopher Leo hii ndio nimekuona tena Kwa RUclips
na nasikia kubarikiwa sana nikisikiliza nyimbo zako nakupata matumaini tena ya maisha
Ameen
Huu wimbo huwa unanibariki sana barikiwa sana ndugu
Ameen
Kazi mzuri san kaka
Eee Mungu wangu , unajibu Kwa moto....nimesubiri sijachoka...niambie Zamu yangu ni lini 🙌🙌🙌
Ameen
Kuna Muda unaweza ukasikiriza wimbo ukajikuta unariaa, Mungu akubaliki sanaaa huu wimbo 🔥🔥🔥
Amen 🙏🙏
Kabisa💯
Chilolo hio ni ufunuo ya ukueli
Kweli kabisa ani,,, Yesu amwinue uyu mtumish
Hakika
Woi MUNGU aniambie na Mimi zamu yangu ni lini aky bro get blessed sana ju ya iiii wimbo imenifanya nikalia it's all about me oooooh God😭😭😭
Ameen🙏🙏🙏
Nimebarikiwa Sana na wimbo huu barikiwa Yona
Mungu akuinue zaidi brooo
Ameen
Hongera kaka nimebarikiwa sana kwa nyimbo zako zote 🎉🎉🎉🎉.
Amen amen amen 🙏🙏🙏🙏 ata mm nauliza zamu yangu ni lini. Barikiwa sana mtumishi wa MUNGU, Mungu akuinuwe kwa mwimbaji wako.
Ameen🙏🙏🙏
Am blessed thru your songs good message,,,,Much love from Kenya 🙏🙏🙏
Wimbo nzuri kweli
Much love frome 254
Thanks so much
Goud
Ubarikiwe sana Kijana! Sitachoka na maombi na kazi! Baadae mbwa Hana thamani ila kawinda!
Kabisa
Mungu azidi kukubariki
Zamu yangu ni lini, Hakika Kaka Nyimbo zako zinanibariki nikikumbuka 2021 to 2022 Hakika aliyewavusha wana wa Israel Ndio atakayetuvusha Magumu ambayotunapitia kwenye makazi ya Watu 😢, stay safe and blessed Yona Chilolo 😢😢
Ameen
Nyimbo inabariki
Ameen baba niambe na mimi zamu yangu ni lini bado na bambana tu mungu najua ipoo siku ❤ barikiwa sana mtumishi yona chilo 🤗🙏🙏🙏
Ameen Ameen❤❤🙏🙏
mimi kama mkenya naomba ufanye collabo na mtumishi anoint amani
Yote mungu anajua zamu ya kila mtu
Baba nambie na Mimi zamu yangu Ni lini, very inspiration song mugu akubariki,
Ameen
Amina mtumishi nabarikiwa Sana💯🙏
Asante sana
Bro mi nimekubali sana wenimkali
Ameen 🙏
Mungu simama na huyu muimbaji wetu azidi kuwa mfariji wetu sisi maskini
Ameen🙏🙏🙏😭
We sio masikini ila wakati wako bado
Huu wimbo ni wangu kabisa 😢😢 Babaa niambie na Mimi zamu yangu ni lini, umenigusa sana
Baraka tele bro karibu Tena kitengela Kenya
Asante sana
Nitasubiri zamu yangu kwa utulivu.
Ameen
Mungu akubariki yonah ,l love it,haswa wakati huu mgumu ninaopitia ,nasubiri zamu yangu na mimi ❤💋🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Ameen
Nataka namba Yako tuongee kabla ya tarehe ya leo 9-9-2023 au kesho
Yona
Zamu yangu ni lini?Baba❤❤
Hakika kaka point kabisa ubarikiwe amen amen amen 🙏🤝
Ameen
Hizi nyimbo zote zako ni maombi kwangu maanake inagusa moyo wangu hadi nahisi Mungu akinijibu kupitie ujumbe huu,Your no.1 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Ameen
Wimbo yako umeniweka nguvu mungu akubari
Asante kwa wimbo mzur
Mungu muinue sana mtumshi wako huyu
Ameen
Nampataje inbox Yona jaman nifanye nae kaz
M DM
Amen mtumeshi wa mungu 🙏🙏🙏
Hii wimbo imenibariki sana, Baba niambie na mm zamu yangu ni line🙏🙏🙏🙏
Amen
Amen
Mungu akubariki sana
Ameen
Mwanangu Mungu akutunze uwaone wajukuu na vitukuu. Huu wimbo ni wangu tu
Ameen
Amen 🙏... 🎉💃Zamu yangu ni lini❤
Mungu atatenda
Mungu akubariki
Ameen
Naaamini kubarikiwa na hizi nyimbo mungu uwe upande wangu
Ameen
Barikiwa sana
❤❤❤❤🎉Amina kubwa
Mungu akubariki na akusidizie kwa hii safari kaka ya kuhubiri injili kupitia kwa wimbo . Maana tupo tuliyopitia hayo yoote lakini leo hii mungu ametenda hadi wanaulizana wamefikaje lakini hawajuhi huyu Mungu analeta zamu ya kila mmoja ❤❤❤❤
Ameen
@@yonachiloloofficial🙏🙏🙏🙌🙌
Usijaliiy mtumishi wa mungu kwasabambu mungu ndoo anatoaah enatakiwaa tujitumee hayoo yotee yakwaoo niayaah duniaah to 🙏🙏🙏🙏 tuwekee kwa mdundoo umbarikiwe piaah wewe mtumishi wa mungu 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Amen
Nyimbo mzr Sana napenda sana nyimbo hii
Ameen❤
I tell you najipata nimelia yangu yote
😢😢😢🙏🙏🙏😭
Nimebarikiwa sana na huu wimbo thanks God ubarikiwe mtu wa Mungu Mungu azidi kukuinua
💪💪💪💪💪 mungu akubariki kaka 📌📌
This song has a strong feeling to me some of has tuko n relatives wanajiweza lakini hawatutambui kw sababu hatujiwesi kweli baada y mawindo mbwa haana dhamana
Kabisaaaa
I learned about your songs from my wife, especially "nakutegemea." She used to listen to it in a repeated mode, and I didn't find it boring. Today, I am doing the same thing immediately when I wake up. I wish RUclips were showing you how some of us are camping here. At times you may see God blessing everyone around, but not you. Some of them are even people you hosted in your house when they had nothing, but once they are blessed, you become a nuisance to them. For those going through the same don't give up on God. Even Elijah prayed for three years for the rain to come. It will rain soon. All I wish for you is good health. You are really a blessing to many people.
AMEN 🙏
Ameen 🙏🙏🙏
Napena sn nyimbo zako napenda kusikiliza maan zinaelimish! Thanks for song
😭😭😭🙏
It's well. It has already rained my brother as you have planted just wait for harvest.
Wimbo mzuri sana ubarikiwe
Mungu akubariki sana kaka zamu yangu iko sku
Ameen🙏🙏
Nimeamua kuokoka
Ubarikiwe sana 🙏🙏🙏
Ubarikiww mtumishi wa mungu huu wimbo umenigusa sana,
Ameen
Ooh mungu wangu! Zamu yangu ni lini👋😱😭 it's true bro 👍👍🙏🙏🙏 mm kila mara nilikuwa najitambulisha kila nikikutana nao,,,,,,, ooh Hallelujah Glory 🔥🔥🔥
Ameen
Mungu akuokoe. Kwawmbo huu🎉
baada ya kusikiza huu wimbo siwezi kata tamaa..bado nasubiri ahadi yangu 🙏🙏🙏
Whaticansayisthanks