Mafundisho Kuhusu Utoaji wa Sadaka Na Zaka: Bw. William Bhoke

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 окт 2024

Комментарии • 6

  • @FaithJones-nq9tz
    @FaithJones-nq9tz 5 месяцев назад

    Kiukweli mafundisho yako ni mazuri sana,ulikuwa parokiani kwetu umeondoka tukiwa tunatamani uendelee nasemina, ubarikiwe sana naMUNGU aendelee kukutunza 🙏🙏🙏

  • @jofreychristian1593
    @jofreychristian1593 2 года назад

    Najua SoMo zuri Sana hili

  • @davidmaganga7083
    @davidmaganga7083 Год назад

    Ahsante kwa mafundisho mazuri na yenye nguvu sana.

    • @mohdnasser3620
      @mohdnasser3620 Год назад

      Hayo sio mafundisho mazuri kwanza unapo towa sadaka unawapa wamasikini walio karibu yako au ndugu zako sasa vipi inapeleka sadaka kanisani eti unampa Mungu inawaza mungu anahitaji hiyo sadaka yako na wachungaji wacheni utapeli

  • @bahatiluck8640
    @bahatiluck8640 2 года назад

    Hakika umenena kweli binafsi nimeguswa!

  • @mohdnasser3620
    @mohdnasser3620 Год назад

    Unapo towa sadaka iwe siri yako na mila wako nakutowa sadaka sio kuipeleka kanisani unawapa wamasikini wasio jiweza makanisa wacheni utapeli