Jinsi ya Kuwa Mtu Bora Zaidi Kwenye Jamii | Mwongozo wa Maendeleo Binafsi
HTML-код
- Опубликовано: 7 ноя 2024
- Jinsi ya Kuwa Mtu Mwema Anayeleta Thamani Kwenye Jamii - Hatua 5 Rahisi
Katika somo hili, tunakuletea hatua tano rahisi za jinsi ya kuwa mtu mwema na kuongeza thamani kwenye jamii. Kujifunza jinsi ya kuishi kwa kuwasaidia wengine na kuleta mabadiliko chanya si tu kunakujenga kama mtu, bali pia kunakuza jamii yetu kwa ujumla. Hatua hizi unaweza kuanza kuzitumia leo na kuona matokeo yake. Jiunge nasi kujifunza zaidi na usisahau kuacha maoni yako!
.
Hatua Unazoweza Kuchukua Leo:
1. Kuwa mkarimu kwa wengine.
2. Changia mawazo mazuri na msaada wa kweli.
3. Jenga tabia za huruma na uvumilivu.
4. Wekeza muda wako kusaidia wale wenye uhitaji.
5. Kuwa mfano mzuri wa kuigwa katika jamii.
.
Usisahau ku-subscribe na kugonga kengele ili upate taarifa za video mpya!
hii content ni ya kuifanyia maludio Kila Asubuhi Thank you so much brother Ezden
Amazing thought... Shukrani sana!
Wakwanza kutazama video hii nipe like zangu 🎉
I totally agree with you..
Thank you ukhty
Barikiwa kila utakae soma comment hii
Amiin...
ni kweli brother ezden kusikiliza kunafanya uwajue watu kuliko kuongea sana: lakin kibaya zaidi binadamu walio wengi hawazijui sheria za asili za uumbaji, ndio maana mtu anamtendea kibaya mtu, wala hajui lile baya kama litarudi
Sahihi kabisa ndugu yangu...
Asante 🎉🎉
Karibu
Dah wew brother una madini kinomaaaa 🎉
Shukrani sana ndugu yangu. Endelea kufuatilia
Nakufatilia sana bro una vitu vya kitofauti sana
@@DanielKitimla Nashukuru sana Daniel...
Sicomment chochote kwn nina maskio mawili na mdomo moja,nasklza mara mbili ndo
🎉
Nimekuelewa san mkuu ila kiukwel point ya 3 nimeielewa san san be blessing
Ni kufanya yale unaona mazuri hata kama watu watachukulia kupoteza muda wako kama vile kuheshimu kila rika bila kuangalia kabila wala dini maana tumeambiwa kuwa tutoe nasi tutapewa iwe leo ama kesho uzuri imani yako inajua kitakachotokea.
Nakubali
Ahsante sana kaka 🙌
Mi wa 19 ku like😂😂