Nimempenda Sana mada hii na Mimi nimejievaluate nimegundua Nina sumu asilimia 💯. Nitaanza kesho kutoa sumu kwa kufunga . Asante Sana kwa shule uliotupa endelea kutupa material mzee baba
Nakubaliana nawe jumanne afya ndio utajiri wa Kwanza, shukran kwa kutuelimisha kuhusu afya yetu mola akuzidishie hekima na marifa uendele kutuelimisha.God bless you abundantly
Doctor nakushukuru sana. Kutufundisja mambo ya msingi sana kuhusuvAfya kweli mtajibwa kwanza.. Shurani sana. Napenda kuuliza hv kumbe tendo la ndoa nalo huto stress kwa waliojaaliwa kupata waume wazuri wataiinjoyi. Kwa wale waliopata bora lliende ni kuoza presha mara mbili yake. Mungu akubariki sana.
Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu pia akuongezee maarifa ili uendelee kutuelimisha kaka upo vizuri sana yani nimebarikiwa sana kusikiliza somo lako leo na nitafanya kila ulichokielekeza ili niepukane na sumu mwilini
Mimi Nina miaka 4 sasa na familia yangu hatumezi vidonge,tunatumia miti shamba tunayo andaa wenyewe tunamshukuru MUNGU Sana na tunamshukuru Kwa ushaur wako MUNGU akubark
Dr uko vizuri zaidi ya sana! ❤ mimi nimefurahi mno! Nimepokea maelekezo na nimepata kitu cha ziada hapo maana nilikuwa nimeshaanza zoezi lakini halikuwa kwenye utaratibu mzuri ulioboreshwa kama huu uliofundisha.Asante sana Mungu akubariki.
Me? Ha ha ha usiogp Allah au mungu niyule yesu aliyemuomba mkate nasamaki naakamshushia hapo hapo! Au niyule aliyemtuma malaika aweke roho au damu yenye uhai tumboni kwamariam kwajinalake naikahuishwa iliapatikane huyo mtume yesu nadhan nimekueleza japo kdg kwauzuri. Mungu atubariki sote amina.
Me? Ha ha ha nasiunajuwa huyo ninabii issa alitangulia kabla ya muhamad kwahyo nilzm angeambiwa mapema nikama kakaako akizaliwa kabla ya ww lzm atajuwa sheria zanymban kwnu maan ww sibado hujaja nivzr tu sisi hatumpingi huyo nikaka mkubwa kama musa na Ibrahim nawengine tunaenda nao sambamba.
@@radhiambwana8787 Asante sana umefunza kile ambacho hajawahi kufikiria Ni msiba uliokuwa mkubwa mtu mzima anashindwa kuelewa alicho mfunza yesu mwana wa Mariam ye Yuko duniani anapewa mkate na samaki akachukuwa katika mkono wa kulia samaki mkono wa kuchoto anainuwa ju anatizama mbinguni huo alikua anahisi anatizama ao anamuambia Nani mbinguni hahahaha nimsiba mkubwa
Mungu akubariki kwa elimu hiyo. Ukipata wasaa tuelimishe kuhusu namna ya kuboresha kummbukumbu zetu
Ubarikiwe sana. Mtu wa Mungu kwa kutuelimisha.
Asante sana 🍐🍏🍑🌽🥕🥒🥝somo nimelielewa Dr mungu akubariki sn🙏🏾
Hupenda sana kunywa maji mengi na matunda vyakula hupendelea mboga za kuchemsha
Hongra sana tungakua tunazingatia hivyo vyote au tungepata mapema huo ujumbe ndugu zetu hawangetutoka mapema
mungu akuinue kwaviwango vingine umeniokoa sana
Asante sana sister
Nimempenda Sana mada hii na Mimi nimejievaluate nimegundua Nina sumu asilimia 💯. Nitaanza kesho kutoa sumu kwa kufunga . Asante Sana kwa shule uliotupa endelea kutupa material mzee baba
Asante nimejifunza mambo mengi na nitayatilia maanani ubarikiwe sana daktari.
Nakubaliana nawe jumanne afya ndio utajiri wa Kwanza, shukran kwa kutuelimisha kuhusu afya yetu mola akuzidishie hekima na marifa uendele kutuelimisha.God bless you abundantly
Consolate Nauliza mutindi ni nini mutu atayipataje?
@@ndayishimiyeconsolate302 mtindi ni maziwa mgando yaan yale maziwa yalioganda ndio huitwa mtindi
Doctor nakushukuru sana. Kutufundisja mambo ya msingi sana kuhusuvAfya kweli mtajibwa kwanza.. Shurani sana. Napenda kuuliza hv kumbe tendo la ndoa nalo huto stress kwa waliojaaliwa kupata waume wazuri wataiinjoyi. Kwa wale waliopata bora lliende ni kuoza presha mara mbili yake. Mungu akubariki sana.
Asante kaka umenionesha njia
Daah nimejifunza vingi sna kumbe ata kufunga nid❤❤awa
Asanteee sana MUNGU azidi kukubariki brother
Somo in zuri saaaana
God bless you doctor iManuel 🌹
Nitaacha kuchelewa kulala.
Shukran sana
utatisha sana ukhty FATMA ZENA
Asante kwa maelekezo ubarikiwe
Shukran Doct EJ❤❤
Nimejifunza vitu vingi sana بارك الله فيكم وجزاكم الله خيرا brother (EZDEN JUMANNE)🥰🥰
Nashukuru sana ukhty... karibu sana
shukrani sana bro Kwa kutoa somo zuri Allah akubariki
Asante sana nmesoma vitu nyingi sana kwa mawaidha yako mungu akubariki
Asante unaongea kwa nguvu sauti nzuli tunakuerewa unasema nn mungu akubaliki nimekupenda bule
Asante sana yumekuelewa
MashaAllah somo hili pia limeingia ktk kufanya dawaa na kushajiisha watu kufuga Allah akulipe kheri nyingi Amiin shukran
Hakika umenifundisha mi nimtu ninaefanya mazoezi sana kuanzia Leo ninaufanyia kazi ushauli wako mungu akubalik EZDEN JUMANNE
Barikiwa sana Dr. Emmanuel. Nimekusoma. Kazi yako njema sana
Mungu akubariki Sana uendelee kutufundisha kuhusu afya nzuri, binafsi nimejifunza na kupata kitu hapa. Asante Sana.
Mwenyezi Mungu akupe umri mrefu pia akuongezee maarifa ili uendelee kutuelimisha kaka upo vizuri sana yani nimebarikiwa sana kusikiliza somo lako leo na nitafanya kila ulichokielekeza ili niepukane na sumu mwilini
Asanteee kwa ushauri wako Allah akujali mila LA heri
Asante Dana nimejifunza mengi sana baadhi ya hayo mimi nipo naomba nifuate ushauri wako
Wasabato uwa wanatumia chai ya rangi
maa shaa allah allah akupe umri mrefu na afyatele mwana wa mwanamke mwenzangu
Tumefaidika na soma Hilo. Shukran doctor
Thanks brother Mungu akujaalie kila la kheli akujaalie uzidi kutupa somo Zaid
Asante bro somo zur sana
Asante sana nimeguswa sana na somo hili maana yote yaliyozungumzwa ni kweli Mungu akubariki sana
Dah! Hizo dalili za mwili wenye sumu zote ninazo. Asante naendelea kukufatilia
Hahahaha! Pia Mimi.
Hata Mimi kwakweli
Asante hii ni mashauri mzuri sana sababu mimi Nina zoweya kunya kahawa sana Kila asubui
Uko vizuri KWAKWELI umenisaidia Sana kwani Mimi natumia Sana sawa za asili na unga wa mlonge ninao kutokana na mafundisho yenu Mungu awabariki Sana.
ASANTE SANA DOCTER NIMENUFAIKA SANA MUNGU AKUBARIKI, UNAFUNDISHA KWA UTAALAM MKUBWA SANA
Yote ni mazuri na yenye faida.
Asante kwa kutuelewesha ambayo tulikuwa hatuyajuwi
Asante kwa somo zuri🤝
Shukrani sana mungu akuzidishe elim uzidi kutuelimisha
Nashukuru sana Kwa elimu mungu akubariki sana🙏🙏
Be blessed Dr Emmanuel
Nashukuru sana Mungu akubariki hii elimu ni nzuri sana miye mwenye tatixzo la asid nimejifunza vitus vingi
Mungu akubsriki Kwa elim nzuri naomba na elimu kuhusu maumivu ya mishipa
Asante sana doctor wangu kwa usaidizi
Thanks a lot may God bless you
asnte sn, kaka ezden
Uko vizuri .God bless you.
Waaaww!! God bless you always!!
Shukran sana
Nimejifu nza kitu asante ubarikiwe
Mimi Nina miaka 4 sasa na familia yangu hatumezi vidonge,tunatumia miti shamba tunayo andaa wenyewe tunamshukuru MUNGU Sana na tunamshukuru Kwa ushaur wako MUNGU akubark
Mimi nakúnywa vidonge lkn kwa Saba maalum km nimeugua sinywi km na maumivu
Asante nimejifunza kitu muhimu kwa afya
Asante sana kwa somo nzuri nimejifunza mengi yenye sijui mungu akubariki sana bro 🙏 🙌
Thank you doctor I understand u 🙏 and God bless you for teach us good lessons
Asante Doctor nimebarikiwa na mafunzo yako
Nitaanza na kunywa maji mazoezi, mboga na matunda. Asante sana dactari pia nitafunga Mungu akubariki sana
Nashukuru kwa ujumbe mungu akubariki
shukran San dkt SoMo nimelielewa San ubarkiwe
Asante kwa kunifuza yale nilikua naitaji kuyajua nitapumzika mapema nitachagua vyakula shukrani
Asante sana, Barikiwa na Bwana
Umenifariji kweli Mimi ni mmoja wa wenye shida hiyo kubwa umeeleza ukweli kabisa natamani nipate mawasiliano niulize maswali.
Asante Sana kabisa , very powerful
Nakupata vyema ezden endelea kutuelimisha na kutuhabarisha
Nimependa sana barikiwa
Barikiwa sana Dr. Watu tunatembea na masumu mwilin haswa zamadawa ya hospitali 😞
Thankyou brother for the message 👏👏
Asante baba mungu akujalie umenifungulia mawazo Maki wa.Asante baba aminen.❤❤❤
Asante docta Mimi nakula kila siku kitunguu saum Nina kunywa maji sana2 Lita 2 kila siku nimepungua sana asante
Ahsante sana kwa dalasa zuri nitajitahidi sana
Shukrani kwamafundisho namungu akubariki.
Asante sana doct
Asante kaka ezden jumanne ss leo nianza kujua thamani ya afya yangu
Karibu sana Thania... keep learning
is true utajiri wa mwanzo ni afya(the first wealth is health )
Asantee
Shukran sana unatupa elmu nzuri kwa faida zetu Alla akupe nawewe umri na afya nzuri
Amin
Hilosomo nisawa nakupeleka injili ilikuokoa rohozawatu Mungu akubalikisana
Maji nitazingatia
Unga wa mlonge sijuwi ndio kitu gani
Jazakallah kheri
Inshaallah shukran sana kwa somo Boss mana nilikua napenda sana kahawa
Asante sana from Oman nimejifunza mengi kwenye video zako
ahsante
nimekuelewa sana dr
Asantee mungu akubariki sana nitaanza kutumia swaumu maziwa mazoez
very useful info.... I learn alot how to deal with poison in our body...thanks and more such clips..
THANKS FOR SHARING👌 GOD BLESS U ALWAYS🙏
Merci infiniment cher frère que Dieu vous bénisse abondamment...
Dr uko vizuri zaidi ya sana! ❤ mimi nimefurahi mno! Nimepokea maelekezo na nimepata kitu cha ziada hapo maana nilikuwa nimeshaanza zoezi lakini halikuwa kwenye utaratibu mzuri ulioboreshwa kama huu uliofundisha.Asante sana Mungu akubariki.
Amin
Karibu sana
Stress, nimejifunza namna ya kuondoa stress, vipi kuhusu matatizo ya miguu kuuma na kuwaka Moto kwenye nyayo, mini dawa yake?
Mimi murevi
Kutowa stress
Appreciate you
Thank you
Yote nimazuri kwangu mungu akubariki sana kaka
Asante kwa ushauri🍓🍒🍎🍉🍑🍊🥭🍍🍌🍋🍈🍏🍐🥝🍇🥥🍅🌶️🥕🥑🥬🥒🥦
Wali I salute u bro keep it up jha bless you
Asante sana kk 🙏🙏
All of them kwa juhudi especially kunywa maji
M.Mumgu akupe uri mrefu na afya Shukran
Allahumma ameen 🤲🏽🤲🏽🤲🏽
Ww bonge LA Mwalim nimekusoma.
Asante ntafanyia kazi
Nakushukuru Sana bwana Ezden.. I need to know if you have such motivational books in kiswahili. Let me know sir so that I may have one. Thank you
Asante doctor kwayote tutajitahidi kwayote
UMENENA KAKA,ALLAH AKULIPE NA AKUZIDISHELIE ELIM ZAID
Nashukuru sana kwa elimu uliyonipa,Mungu akubariki sana Dr
Imekwisha i0 =chief Ezden kwa upande wangu sina la kuongeza sema kila kitu nikunijizoesha na ninaimani inawezekana..
Shukran sana dokta
Woww penda sana hii channl!!#Each One Teach One##
MashaAllah Saudi yako IPO vizuri ktk kila video zako, Allah awape swiha nyote munaochangia kutupa faida
Mtaalam
Safi Sana dokta
Really brother u touch life in general,,,when i watch success path i never end up an empty pot,,thnx alot & much congrats to u
Nashukuru kwa njia hii ya matibabu Mungu akubariki
Somo zuri bro nimelipenda Sana nimejifunza umeni inspire sana
Asantee sana mm naanza na mazoezi na kula matnda na kutokula vykula vilivuokobolewa
Kumbe Allah alijuwa lzm tufunge ilituwe na Afya njema. Vzr
Allah kajua baada ya miaka miaka 625????
Yesu alisisitiza kufunga na kuomba miaka 625 kabla allah hajaongea kupitia nabii wake mohammad,
Me? Ha ha ha usiogp Allah au mungu niyule yesu aliyemuomba mkate nasamaki naakamshushia hapo hapo! Au niyule aliyemtuma malaika aweke roho au damu yenye uhai tumboni kwamariam kwajinalake naikahuishwa iliapatikane huyo mtume yesu nadhan nimekueleza japo kdg kwauzuri. Mungu atubariki sote amina.
Me? Ha ha ha nasiunajuwa huyo ninabii issa alitangulia kabla ya muhamad kwahyo nilzm angeambiwa mapema nikama kakaako akizaliwa kabla ya ww lzm atajuwa sheria zanymban kwnu maan ww sibado hujaja nivzr tu sisi hatumpingi huyo nikaka mkubwa kama musa na Ibrahim nawengine tunaenda nao sambamba.
@@radhiambwana8787 Asante sana umefunza kile ambacho hajawahi kufikiria Ni msiba uliokuwa mkubwa mtu mzima anashindwa kuelewa alicho mfunza yesu mwana wa Mariam ye Yuko duniani anapewa mkate na samaki akachukuwa katika mkono wa kulia samaki mkono wa kuchoto anainuwa ju anatizama mbinguni huo alikua anahisi anatizama ao anamuambia Nani mbinguni hahahaha nimsiba mkubwa
@@radhiambwana8787 sawa sawa kabisaa
Limenigusa sana kuhusu kufunga kwa wiki Mara mbili ubarikiwe
Nimeipenda solo nzuri sana ila wataalamu wengine wanasema ni vizur kula tunda la aina moja na sio mchanyiko katika mlo mmoja,kuna ukweli ndani yake
Hapana sio kweli unatakiwa kula matunda aina 5 hadi 7 kwasiku, alkadhalika mbogamboga aina 5 hadi 7 kwasiku
Mchanganyiko wa matunda ni Bora zaidi naanza Kila tundra Lina kazi yake mwilini
Asante saaana nimeipenda ni kitu kipya Kwa ya kunywa mtindi, kufunga na Kula mlo mmoja wa matunda
Sasa bro tufanyeje,matunda na mbogamboga nazo zinapigwa dawa za sumu na mbolea
Ni muhimu kuwa na kibustani nyumbani hata cha mboga mseto
Asante sama barikiwa sana
👍🏽
Asante sana docta nimefurahi sana kwakujali afya zetu nami nitaanza kufanya hivyo asantee allah akubarik
Upungufu wa nguvu za kiume je?...
Meme I'm from America by don't know what you can do
You died if Yu don't understand what to do...
Hiyo elimu kwa sisi waislam tunasema umetowa swadaka kubwa saana mungu akubariki saana.