Yanga SC 1-3 APR FC | Magoli | Mapinduzi Cup - 07/01/2024

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 дек 2024

Комментарии • 334

  • @denismaswaga9695
    @denismaswaga9695 11 месяцев назад +32

    Na Mimi wa Simba nipate ata like tano t jmn 🤲maana nimefurahj mno🤣🤣

  • @Thekidp3702
    @Thekidp3702 11 месяцев назад +12

    Usingizi mwanana kabisa 😙😙😙,Asante APR kwa kupiga hawa vigagula

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 11 месяцев назад

      JAMANI LEO KUNA WATU WANAKUJA pale FERI WAMEBEBA FURUSHI LA HUZUNI JE ni akinani VILE??? JIBU KAMA UNAWEZA ELEWA.🤪🤪🤪

  • @MinisterDaniel2199
    @MinisterDaniel2199 11 месяцев назад +106

    Hahahahaa wakwanza Leo na sitaki like yeyote😂😂😂

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 11 месяцев назад +8

      ,,,😂😂😂..chukua like zako bhanaaa

    • @mohammedkidody5618
      @mohammedkidody5618 11 месяцев назад +6

      Chukuwa km zote tn za furaha😂😂😂

    • @salehkhamis3000
      @salehkhamis3000 11 месяцев назад +3

      Tunakupa hat km hautak 😅😅😅😅😅😅

    • @noelychengula6320
      @noelychengula6320 11 месяцев назад +2

      Utataka tu😂😂😂.

    • @mussajangwa4878
      @mussajangwa4878 11 месяцев назад +1

      Chukua likes ndg yangu

  • @BULDAWNCOMEDY
    @BULDAWNCOMEDY 11 месяцев назад +6

    Apr❤ Goooooooooo Tatu kweri Apr ❤❤❤❤ Nakupennda Rwanda Sana kbc

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe 11 месяцев назад +7

    Assist ya kisigino goli la tatu... noma sana 😂😂😂

  • @GasanaInnocent-jy3un
    @GasanaInnocent-jy3un 11 месяцев назад +6

    Apr ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🙏

  • @bonapartengabo-b9k
    @bonapartengabo-b9k 11 месяцев назад +4

    APR fc hejuru cyane

  • @shyakanasri4494
    @shyakanasri4494 11 месяцев назад +2

    Apr fc 🔥🔥🔥keep shine💪🙏

  • @AlphonseHakiza-e7c
    @AlphonseHakiza-e7c 11 месяцев назад +2

    Congratulations APR I'm rayonsport fan but congs kbx

  • @shadrackdamson7904
    @shadrackdamson7904 11 месяцев назад +7

    Watoto wa yanga wanaenda shuleni bara tuwapokee asante kwa kushiriki

  • @Danielzakaria-m6n
    @Danielzakaria-m6n 11 месяцев назад +3

    Yan bora mtetoka mapema mngepita tu mnyama 🦁🦁🦁🦁alikua anawasubiri mtegoni awatie 10

  • @omariaman7818
    @omariaman7818 11 месяцев назад +6

    Shida sio kufungwa shida ni kufungwa kwa comeback

  • @MinisterDaniel2199
    @MinisterDaniel2199 11 месяцев назад +9

    Haya sasa tulisubiri tupigwe bara na visiwani au kwani kuna nini😂😂😂kudadadeki apr mmepigaje hapo🤗

  • @uniquestrlambert9209
    @uniquestrlambert9209 11 месяцев назад +3

    My lovely Apr always is a winning tunabapiga sana

  • @happynkya9770
    @happynkya9770 11 месяцев назад +4

    🤣🤣🤣🤣🤣asanteni Apr asanten sana sana sanaa❤❤

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 11 месяцев назад

      ILA TUSEME UKWELI SAA ZINGINE YANGA WANA AKILI wanawaza kama wangeendelea wangefungwa na simba ingekuwaje??? BORA APR wamewaokoa kwa kisigino!🤣🤣🤣

  • @jerusalem212
    @jerusalem212 11 месяцев назад +3

    Paul Kagame's investments are now paying off..Rwanda is also currently leading the afcon qualifiers table with S.A and Nigeria and Zimbabwe in the same group

  • @lievinntaganda1715
    @lievinntaganda1715 11 месяцев назад +7

    1 Thessalonians 5:9-10
    For God has not destined us for wrath, but to obtain salvation through our Lord Jesus Christ, who died for us so that whether we are awake or asleep we might live with him. 2024 is the year of getting salvation make a decision right now. Stay blessed

    • @kook7793
      @kook7793 11 месяцев назад

      Jesus is not our Lord, but rather our Lord, the One and Only God, who did not beget nor was born, nor was there anyone equal to Him. By watching the lectures of Zakir Naik and Joseph Estes, you will benefit.

  • @westtvonline2963
    @westtvonline2963 11 месяцев назад +4

    Congratulations APR fc🎉🎉

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 11 месяцев назад +1

    jesuis contente, félicitations L'APR. Komesha ya utopwax

  • @babyboyusee
    @babyboyusee 11 месяцев назад +2

    APRfc(🇷🇼)🔥

  • @BakariSwaleh-ym7xh
    @BakariSwaleh-ym7xh 11 месяцев назад +5

    Wamepigwa bwana 😂😂😂😂

  • @LuluMbaku
    @LuluMbaku 11 месяцев назад +4

    Poleni kwa kipigo Cha paka mwizi

  • @BabyPazzo-ud5rt
    @BabyPazzo-ud5rt 11 месяцев назад +2

    APR nakupenda sana

  • @frankpablo8256
    @frankpablo8256 11 месяцев назад +3

    Apr mmepigaje hapo😂😂😂😂😂😂😂😂✅

  • @ramadhaniigafa4892
    @ramadhaniigafa4892 11 месяцев назад +4

    kivumbi leooo😅😅😅😅

    • @rockygappi1018
      @rockygappi1018 11 месяцев назад +1

      malizia bhanaaa...hiii imeeenda😂😂😂😂😂😂

  • @kwizerafrancois3461
    @kwizerafrancois3461 11 месяцев назад +2

    APR ❤❤❤

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 11 месяцев назад +4

    Hizo kenge mhhh mji umetulia

  • @BecanhoPrince
    @BecanhoPrince 11 месяцев назад +5

    Kitu kilichonifurahisha ni vile APR walivyochza sok safii😅 lkin kizur zaid baada ya shiboub kufunga vile amevua jez nakuitupa pembeni. 😀😀. kitu ambcho kilishngza zaid ni mchzo haujasimama sanaa lkin ziliongezwa dk 9😢😢.

  • @UmutoniwaseAlice-ft8iz
    @UmutoniwaseAlice-ft8iz 3 месяца назад

    Good❤😊

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 11 месяцев назад +4

    Watoto wa Shule wanafungua kesho😂😂😂

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 11 месяцев назад +1

    oOoOO tutampelekea kombe la mapinduzi Rais wa Zanzibar haya pelekeni gol tatu mlizofungwa

  • @waziribori2280
    @waziribori2280 11 месяцев назад +3

    Mtangazaji wa AZAM magoli ya APR hayatangazi vizuri yaani anaumia sana hasemi gooo yaani goli anaongea tu lile la yanga alipiga goooo kwa furaha

  • @MariamiFredrick
    @MariamiFredrick 11 месяцев назад +2

    Wameyakanyaga kwa apr😂😊😮

  • @BrunoEmanuel-h1d
    @BrunoEmanuel-h1d 11 месяцев назад +3

    Kwa heri mtani
    😂😂😂😂

  • @rashidmaulid7312
    @rashidmaulid7312 11 месяцев назад

    Very good strategy yanga.Mnyama alikuwa anasubiri khamsah

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 11 месяцев назад +4

    Utopolo loooooooo you

  • @TuyisengeVedaste-p4w
    @TuyisengeVedaste-p4w 11 месяцев назад +2

    Epr. Asate sana

  • @gozberthSimon
    @gozberthSimon 11 месяцев назад +2

    Pole watani😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @konshazikonsha6180
    @konshazikonsha6180 11 месяцев назад +4

    Weee APR mmepigaje hapoooo!!!!!!😂😂😂😂😂😂😂

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 11 месяцев назад

      WACHEZAJI WA YANGA WAMEKALILI ukitaka kuwafunga kirahisi piga pasi za kisigino tu!

  • @Tuyisingizegitinyiro
    @Tuyisingizegitinyiro 9 месяцев назад

    A q r fc oyeeeeee❤❤

  • @Pajamwamovie
    @Pajamwamovie 11 месяцев назад +2

    Yanga karibu dar nitakuja kuwapokea

  • @EliyaExaudy-dr5cb
    @EliyaExaudy-dr5cb 11 месяцев назад +3

    Machookooo wamepigwaaaaa leo dadeeek

  • @BarakaBaraka-cw7ti
    @BarakaBaraka-cw7ti 11 месяцев назад +2

    Walipiga kelele kama vile mechi ilikuwa imeisha😂😂

  • @isunga1964
    @isunga1964 11 месяцев назад +2

    Kumbe huku kulipendeza hivi 😂😂😂😂😂

  • @NiyonzimaCladieu
    @NiyonzimaCladieu 5 месяцев назад +1

    Congratulations Apr fc

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 11 месяцев назад +1

    Utopolo dah leo nimefurahi sana😂😂😂😂

  • @angendayambaje3068
    @angendayambaje3068 11 месяцев назад +1

    Young inapigwa vibaya sana

  • @abdullymaruzuku-uy8rb
    @abdullymaruzuku-uy8rb 11 месяцев назад +4

    huyu mtangazaji alipolitangaza goli la nyuma mwiko sauti ilikuwa kubwa ila walipofungwa nyuma mwiko goli la APR sauti imekuwa ndogo hatujalisikia

  • @MukamutesiDelice
    @MukamutesiDelice 8 месяцев назад

    Aproyeeeeeeeeee❤❤❤❤❤❤❤

  • @shadrackjuliuskaboya5239
    @shadrackjuliuskaboya5239 11 месяцев назад +4

    *yanga kafariki ongeza dakika 9 hakuna kitu*

    • @othmanfaraji7771
      @othmanfaraji7771 11 месяцев назад

      Mmeachiwa offside mmeshindwa kufunga mmeongezeea dakika 9 mmeshidwa ham bebeki

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 11 месяцев назад +4

    Sisi tulidroo mlituchea 😂😂😂

    • @agnesclement6305
      @agnesclement6305 11 месяцев назад

      Walizani mchezo 😂

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 11 месяцев назад

      @@agnesclement6305 umeonaee Leo wamekiona Cha moto

    • @AminaLibisa
      @AminaLibisa 11 месяцев назад

      @@agnesclement6305 Aisee nimefurah sanaaa wallah

  • @InnocenteUwimans
    @InnocenteUwimans 7 месяцев назад

    Apr f c oyeeeee ❤❤❤❤

  • @RugajuRiganiElie-ci7rg
    @RugajuRiganiElie-ci7rg 2 месяца назад

    Aperi nirukane umutoza❤😂😢😅

  • @beyondmediatz1607
    @beyondmediatz1607 11 месяцев назад +2

    Yamewakuta Janene😀😀😀 vip tuwachangie Apr mabango nn

  • @KASIRYE001
    @KASIRYE001 11 месяцев назад

    Apr fc 🇷🇼🇷🇼on top🔥🔥🔥

  • @ChosenJonathan
    @ChosenJonathan 11 месяцев назад +3

    Hivi hawajachukua ngalawa bado tu, hatuwataki Zanzibar Tena ss😂

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 11 месяцев назад +3

    Kiburi na kelele za yule 'msanii' wao mahiri zitatulia kwa muda kidogo.Tunasubiri na yule 'msanii' wa Msimbazi naye kesho itakuaje.

  • @danielimalaki
    @danielimalaki 11 месяцев назад +2

    Apr daaaa umepigaje hiyo bweha?hahahaahaahaaaa😅😅😅😅😅😅

  • @side_film
    @side_film 11 месяцев назад +3

    Team kubwa kipigo kikubwa

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 11 месяцев назад +1

      TEAM KUBWA KIPIGO KIKUBWA CHA UMIZA

  • @IfrahAshery
    @IfrahAshery 11 месяцев назад +3

    Ushangiliaji wa moloko ndo uliowaponza

  • @thevoiceofthesign5592
    @thevoiceofthesign5592 11 месяцев назад +1

    APR on top

  • @shazilshabani5715
    @shazilshabani5715 11 месяцев назад +3

    Lisemaji lao lina kelele mingi sana haya sasa yamewakuta😅

    • @amaniomar1755
      @amaniomar1755 11 месяцев назад

      Tumepoteza tunarudi Dareslam tukaangalie biashara nyengine

  • @othmanfaraji7771
    @othmanfaraji7771 11 месяцев назад +7

    Yanga mnaondoka na boti ya saa ngapi?

  • @Ostadhatnasma
    @Ostadhatnasma 11 месяцев назад +1

    Kifo cha mende 😂😂😂

  • @zalhathasaid2060
    @zalhathasaid2060 11 месяцев назад +1

    Utopolo mnacoment wapi naona sioni 😂😂😂😂😂

  • @pascal-x7r
    @pascal-x7r 11 месяцев назад +2

    Wamenyooshwa ssa inchi imetulia

  • @davidnziku2492
    @davidnziku2492 11 месяцев назад +2

    Kwan makundubela hakucheza

  • @NsemaAbdallah
    @NsemaAbdallah 11 месяцев назад

    Ahsante mungu

  • @MariamiFredrick
    @MariamiFredrick 11 месяцев назад +1

    Na mtasema😅😅😅😅😂😂😂

  • @emmanuelchamba08
    @emmanuelchamba08 11 месяцев назад +3

    😂😂yenge aka yanga fyafyafya ..... Pyuuuu....

  • @UwisunzemariyaTeta
    @UwisunzemariyaTeta 9 месяцев назад

    APR FC much respect

  • @felistanelson5373
    @felistanelson5373 4 месяца назад

    🎉🎉🎉🎉 woyoooo

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 11 месяцев назад +2

    Machuraaa hayooo😂😂😂

  • @UwisunzemariyaTeta
    @UwisunzemariyaTeta 8 месяцев назад

    Respect to u APR

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 11 месяцев назад +3

    Goli mlilolipata mlishangilia kama me hi imeisha mlichokipata mhhhh mpo mochwar

  • @agustinoshukran8558
    @agustinoshukran8558 11 месяцев назад +3

    Umepigaje hapo 😅

  • @UmwaliSonia
    @UmwaliSonia 11 месяцев назад +2

    Apr oooh

  • @nicksonkajuna450
    @nicksonkajuna450 11 месяцев назад +1

    Hawakujua hawakuju😂😂😂😂

  • @augustinemainde2730
    @augustinemainde2730 11 месяцев назад +1

    Hahaha APR Bwana eti wanashangilia!😅😊😅

  • @EstherChristopher-ud7ll
    @EstherChristopher-ud7ll 11 месяцев назад +2

    Wamepigwa Kama mbwaaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @gibsonjosephat6352
    @gibsonjosephat6352 11 месяцев назад +2

    Kesho ni siku ya kufungua Shule watoto wanawahi kuandikishwa of my life with

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 11 месяцев назад +2

    Kwan iliyofungwa ni yanga au ni mti wa SI mna kikosi bora

  • @omaraonasir4361
    @omaraonasir4361 11 месяцев назад +2

    Bora sisi Simba na kikosi chetu Cha kauka nikuvae

  • @Dushimirimana-j1e
    @Dushimirimana-j1e 5 месяцев назад

    Good

  • @JeremiahMyrosse-qb1yj
    @JeremiahMyrosse-qb1yj 11 месяцев назад +2

    Yanga yaliwa kiboga Zanzibar 🤣🤣🤣

  • @Brunoh90Tv
    @Brunoh90Tv 11 месяцев назад +1

    Utopolo woyooooo🤣🤣🤣🤣

  • @wilfredshoghosho0017
    @wilfredshoghosho0017 11 месяцев назад

    Mwaloko venye ameshangilia😂💔

  • @diegocosta2988
    @diegocosta2988 11 месяцев назад +2

    Naomba msiguse hii comment 😒🙄

  • @elementofficial4015
    @elementofficial4015 11 месяцев назад +3

    Ariko nubundi narinabiveze uwagutsinze mbere yanagusubira APR FC kumutima🤍🖤🤍🖤🇷🇼

  • @cloudngoko.2679
    @cloudngoko.2679 11 месяцев назад +2

    Tunajua wameweza kumkimbia mnyama ila tutakutana tu.

  • @dushimimanaInnocent-m1m
    @dushimimanaInnocent-m1m 11 месяцев назад +1

    Even if Apr has won the game the referring try to correct their mistakes bcse is to much that reffers are not at level of East Africa

  • @francisphilipo5749
    @francisphilipo5749 11 месяцев назад +2

    Mbele nyuma mwiko kauli hii siielewi morison aliwasymbua wakaachana nae wakamrudisha je walienda mbele au walirud nyuma ?!?!?!

  • @MajangaMajanga-c8i
    @MajangaMajanga-c8i 11 месяцев назад +2

    Tulitoka nao sare wakasema sisi wabovu hatuna timu.. yame wakuta 😂😂😂😂

    • @salehwaziri5062
      @salehwaziri5062 11 месяцев назад

      Ulipopigwa 5 ilikuwaje

    • @marinaarsen3151
      @marinaarsen3151 11 месяцев назад

      Najua yanga imewauma sana poleni sana😢...muache kujigamba ndo mana sisi hatuna noma tukipigwa ni kama tumepiga yani kwetu ni furaha😂😂😂

  • @olivierrukundo2095
    @olivierrukundo2095 11 месяцев назад +2

    Mako Nikoshwa anabamuanga

  • @johnmucyo
    @johnmucyo 11 месяцев назад

    APR fc iradushimishije kubona yongeye gutsinda YANG

  • @uziflims6106
    @uziflims6106 11 месяцев назад +1

    TURINTARE 🦁🖤🤍🖤🤍🖤🤍🤍

  • @SylivesterJackson
    @SylivesterJackson 11 месяцев назад +1

    wataferi sanaaaa😂😂😂

  • @IrenMushi
    @IrenMushi 11 месяцев назад

    yaan na bado mnatakiwa mfungwe kbsa 😂😂😂😂😂😂😢😢😢😢😢😢😢

  • @MkaliZuberi-rt3gb
    @MkaliZuberi-rt3gb 11 месяцев назад +2

    Uto mnabahati mpango wenu umetiki kama umesoma qbaa umenielewa

  • @kook7793
    @kook7793 11 месяцев назад +1

    🇸🇩💪8❤