Kuna shida ya watangazaji wengi sana wa kiislamu tunajua mmesoma ila mnapokutana na masheikh kuweni watangazaji msiwe na nyinyi ni masheikh mnatukosesha kujua mengi yaan kama huyu habiby hapo kaupiga mwingi hata kuliko sheikh mwenyewe
Tunathamini Ushauri wako na Maoni yako Ili tuboreshe Kipindi chetu Nini Tufanye ? Unaweza Kutuandikia kwa urefu kupitia Email; aif.foundation207@gmail.com ELIMIKA, ANGAZIKA na AL AMEEN TV.
Wallah najisikia raha kweli hapa nkiwasikia Wazee wetu hawa...
Allah awahifadhi
Allah amuhifadhi Baba yangu
Sheikh jitahidi kufupisha introduction zako zinakuwa zinachosha. Shukran
Ahsante Tunashukuru kwa Ushauri Mzuri , Endelea Kuangalia AL AMEEN TV.
ELIMIKA, ANGAZIKA NA AL AMEEN TV.
Masahallah watu 11 zamani watu walizaa bwana
MashaAllah Al Ameen TV
MashaAllah
mum samahani nambaoukuwa makinafurads
Saut iko chin saaana sheikh
Ahsante Tunashukuru kwa Ushauri. InshAllah Tutaufanyia kazi Endelea Kuangalia AL AMEEN TV.
ELIMIKA, ANGAZIKA NA AL AMEEN TV.
Kuna shida ya watangazaji wengi sana wa kiislamu tunajua mmesoma ila mnapokutana na masheikh kuweni watangazaji msiwe na nyinyi ni masheikh mnatukosesha kujua mengi yaan kama huyu habiby hapo kaupiga mwingi hata kuliko sheikh mwenyewe
Tunathamini Ushauri wako na Maoni yako Ili tuboreshe Kipindi chetu Nini Tufanye ? Unaweza Kutuandikia kwa urefu kupitia Email; aif.foundation207@gmail.com
ELIMIKA, ANGAZIKA na AL AMEEN TV.
Kwaufpi hawajafa wengi
Mtaimbo kisra anatumia uzoefu tu lakini hajasojea mambo ya media
MashaAllah
MashaAllah