Aisee bonge moja la ngoma hakika imenigusa sana na sichoki kuiangalia na kuisikiliza.Kaza buti kaka nedy kipaji,nguvu na uwezo wa kufika mbali kimziki unao
Jamani kutoka dallas Texas USA tumeisikia ngoma kali sana . Appreciate mr the king of the best melodies Christian bella. Nakupata mtu wangu. Mnanyoosha kichizi yaani.
Hapa ndipo nilipomtambua Nedy coz wengi imetukuta hcia zmetumika sana nahc nedy yalimkuta kweli kma nadanganya kataa au dis like this comment kma kweli like tu
Bella UA voice is something else ,unaimba sauti inapenya mpaka mshipa wa moyo ,am in love with UA vocals ,big up guyz still listening 2020,handsome nedy
Rudiiii.. Bonge moja la hits Song ni wimbo ambao huchokii kusikiliza na kuangalia, kichupa kipo gooder,Mashairi ndo kabisaaaa wameuwaaaa #muziki mzuriii..
Acha maneno fanya muziki ,,,,, .....oyaaaa nerdy goma limetait kamba bella still on de pick always me huwaga nauelewaa sanaa uwepo wako kwenye ngoma yoyote unayotia vokal
hiv Unajua huyu mtu akipata support anaweza kumpindua chibu wetu jamaniii mm hoi hoi wewe nedy Ni tabuuuh keep it up umechukua nafac ya benpaul kwangu maana yeye Kaa za kuvua
This Song so amazing for sure!!! Nasikiliza na kurudia mara nyingi Zaidi na Zaidi!! jamaa nilikuona EATV tu toka siku hiyo ni mwendo wa ku play hii ngoma!!! ongera kwa Kipaji!! kaza buti ije nyingine Zaidi ya hii!!! wale wenye timu za majipu watapasuka any time.!!!!
Neddy Music is the Next superstar in Bongo Tz and very soon collabo yake na King Kiba itafunika.Management ikae chini na Neddy coz mda ni huu.Ommy Dimpoz mpe nafasi kijana na utembee naye kila sehem unayokwenda ili aonekane na mafans.
Tuliopo apa bado 2024 like hapa❤
❤❤❤da Kali sana
Namkubali Sana Nedy Kama upo pamoja Nami like happy😍😍😍
Penda sana yy
Nakubali Mpak 2050 Lazm Tuenjoy Huu Wimbo
Daah huwa sichoki kutazama nakuskiliza wimbo huu nedy umeuwa babaaa napenda unavyoimba hadi kero
Bella salute kwako!!! unaimba hadi sauti inapenya kwa moyo !! kwa sauti hiyo lazima atarudi tu!!!
dayana lushina ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Aisee bonge moja la ngoma hakika imenigusa sana na sichoki kuiangalia na kuisikiliza.Kaza buti kaka nedy kipaji,nguvu na uwezo wa kufika mbali kimziki unao
zuri
zuri
Emanuely Samwely nis nedy
hata Mimi naipenda sana hii ngoma
Emanuely Samwely ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Jamani kutoka dallas Texas USA tumeisikia ngoma kali sana .
Appreciate mr the king of the best melodies Christian bella.
Nakupata mtu wangu. Mnanyoosha kichizi yaani.
aliyepata macho roho zafanana nami.......rudiii kosa nimekosa daaaah its my dedication
This song deserves more views than many diamonds songs
Hapa ndipo nilipomtambua Nedy coz wengi imetukuta hcia zmetumika sana nahc nedy yalimkuta kweli kma nadanganya kataa au dis like this comment kma kweli like tu
Nyimbo nzur mashaallah...ila nedy ni handsome jmn
Nikweri
When I remember myX huwa nakuja apaaaa. Zinga la nyimbo moja kaliiii sanaaaa ever
tixhaaa xanaaa neddy.. bonge moja la audioo and videoo piaaa.
Surely palipo na king of the best melodies lazima pawake lit 🔥🔥🔥🔥
lizzie lala kaka aisee ww ni mkali
Ngoma Kalii saana! Video kaliii Saaana!! NedyMusic Unajua Saaana!! endelea Kukaza
Bella UA voice is something else ,unaimba sauti inapenya mpaka mshipa wa moyo ,am in love with UA vocals ,big up guyz still listening 2020,handsome nedy
m/kiti wa second generation crew,, ngoma Karee video had video uwiiii,, raha saanaaa 👆👆
nzuuurii sanaaaa duuuh!!!!!!!! na mfalme wa masauti ni sheeeeda!!!!!
Rudiiiii" kosa nimekosa nisamehe xana big up bro
huu wimbo ni mkubwa sana management ya uyu dogo naona imeshindwa kuufanyia prom huu wimbo.. BT in bonge moja LA hit song
Rosemary Swai ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Yeah ni kweli 😢
good work Nedy...kazi yako nzuri sana.fan wako katoka Kenya nakukubali.
am a #Ugandan and i love Tz music though i dnt pick Swahili.....and i love work done by Hanscana.....boy so talented
Owor Benon ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Congratulations Bella. You're always very good in music. Asante sana kwa nyimbo zako.
So good muisc
John Simbi ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
PKP mmetisha sana bonge la ngoma.... Hongera #teammzikimzuri
Rudiiii.. Bonge moja la hits Song ni wimbo ambao huchokii kusikiliza na kuangalia, kichupa kipo gooder,Mashairi ndo kabisaaaa wameuwaaaa #muziki mzuriii..
Chrispine Shayo ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Chrispine Shayo ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
🥰❤
kumbe #Nedy__music__Noumaa sio wa mchezo hongera xnaa ngoma ime2lia
Acha maneno fanya muziki ,,,,,
.....oyaaaa nerdy goma limetait kamba bella still on de pick always me huwaga nauelewaa sanaa uwepo wako kwenye ngoma yoyote unayotia vokal
Chidy mzaramo Og ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Hongera sana bro imetulia ngoma hii
Nyengine fanya na King 👑👑👑kiba
In love with the lyrics of this song big ups guys 👌🏻🥰 May God continue guiding your talents
hiv Unajua huyu mtu akipata support anaweza kumpindua chibu wetu jamaniii mm hoi hoi wewe nedy Ni tabuuuh keep it up umechukua nafac ya benpaul kwangu maana yeye Kaa za kuvua
Mmmhh bro kolabo nzuri sana kaza buti utafika
#king Obama Mzee mtamu sana
Ahuja wai kukosea Christian bella
Wau manze uko juu ndugu yangu nyimbo poa Sana 😊💕my favorite
Km Diamond vleeee....big up bro unaweza
Big-up Bella kwa kujitolea kusaidia vijana wapya, kila unapofanya nao inakuwa njema
Big up brother unajua iposiku dunia itazidi kukufaham
This Song so amazing for sure!!! Nasikiliza na kurudia mara nyingi Zaidi na Zaidi!! jamaa nilikuona EATV tu toka siku hiyo ni mwendo wa ku play hii ngoma!!! ongera kwa Kipaji!! kaza buti ije nyingine Zaidi ya hii!!! wale wenye timu za majipu watapasuka any time.!!!!
am american but always interested of this song hands up to nedy music🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧🇬🇧
Hello
Bella sauti baba killed it reviens chérie mon cœur, sans toi je peux pas waooouuh
Heeeee.. "kama ni kosa mi tayar nishahama Musoma..."#christa bella
sawa baba narudi sio kwa ngoma hii ata angekua nani angerudi tu
I love it ,,that song is so amazing, congratulations
ee bwana hiii bonge la bonge la ngoma sjawai kuona mwanangu nedy
Xaf xana Nedy ft bela kwa pini kali,kwani nkickiliza nyimbo hii inaukonga xana moyo wang,big up.
daaaaaah wako vzr xn bg up kwaoooo
love the song everything is Gud... mko juuu tu Sana hizo sauti ni mwaaaaaaah Sana. don't stop zingine zikam
kwa kweli kibao kizuri ,naipenda rudi and bella ongereni sanaaa kwa sauti zenu na maneno
bonge LA dude big up Dogo unajua
always namkubali sana Belle maana melody yake mwachie tu mwenyewe yaana anaitwa the king of melody
ahhhaaaa wimbo mkali sana, saruti kwa nedy na bella
Big up 😍
Kuna nyimbo zinaimbwa jamani khaaaa😍😍😍😘😘💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞💞 me nataka kuwa mwanamziki nitaimba nini sasa?😂😂😂😂
handsome ad rahaaa...,😍😍😍😍
Kali sana #NedyMusic nakukubali
Aseeeee na mm ntamuimbia aliyentoxa coz bado nampnda xaaaana u'r famous
Kama bado unasikiliza hili ligoma 2021 gonga like
Waoooo vizuli sana nimpeda mzikyako Love you ✌👌🎻
ngoma kali BT inafanana na ngoma ya killy inaitwa rudi ickize vzuri
I keep on repeating listening this hit ......cjui kwann nimechelewa kuijua ......thankx Nedy this song is more than HOOOT
I'm here 2020 bro I got support for you homie
Kazi imeenda iyooooo 🇨🇩🇬🇦🇱🇷🇲🇾
nzuri sana yani siichoki kuisikiliza toa nyingine like this ma friend nedy
nice song penye Bella hakialibik kitu👏👏👏👏
wooow nothing to say wallah oll of oll big up sanaaaaa
unaweza sana yani uko juu unaimba mpaka wivu sasa
I can't stop listening dis song.......big up nedy&bella
nyimbo. za injili. sda
nyimbo. za injili. sda
nyimbo. za injili. sda
Alawy Jr09 ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
@@davidsongaleli213 ⁰000
Nice song sana sijawahi kuuchoka naupendaa sana, unakipaji sana Mungu akusaidie ufike mbali
Ume maliza baba😍😍😜
Go Nedy Go...go.. can’t stop listening to this big hit.. I am your number one fun.. holla
Sawa nedy music narud umenifanya nirudi kwa bby
kumanina Bella umetisha neddy mwenyewe sio mchezo
serious naipenda sana nyimbo yako yan nikiicheck mpk nalia......💞💞💞💞💞
Christian Bella as usual🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Edson Magadula. nahipenda
Ngom kali video kali big up neddy x bella
so nice Wallah. mmmmwaaaaah!
khadija kasim ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
Waaooow Nedy music keep it up
Boooonge moja la dude......big up
ebhn neddy ngoma mpuyango mmelia xana mpk mmetoka nje ya mdundo kwa ngoma hii hata Kenya huto skika
bella naomba nifanye collabo nawe pls maana najua ntakuwa supa star kwa ngoma moja surely i really appreciate bella
qwiiiiiii qwiiiiii
unawezaaa Dada hapana chezea mtafute
baby anney dat's good idea
Baby Anney Tv Show ruclips.net/video/E2iUxMvJbEc/видео.html
ngoma Kali big up bro
Wallah Nimzur san ❤❤
Good Music done Nedy 😆😆 💥 I'm a Ghanaian and I enjoy the lyrics .the beat 🔥💯👏
nedy uko vzr saana hii bonge LA ngomaaaaa
Bella ako sawa bigg up nedy
Neddy Music is the Next superstar in Bongo Tz and very soon collabo yake na King Kiba itafunika.Management ikae chini na Neddy coz mda ni huu.Ommy Dimpoz mpe nafasi kijana na utembee naye kila sehem unayokwenda ili aonekane na mafans.
Nedy fundi nilikuwa naomba nina msanii wa umsaidie mimi naitwa meneja kichogo fb
daaaah bonge moja la ngomaaaaaaaaa
so great bella bcz you impose your music style 2 tz people, all of them their voice singing like Diamond
Hii nyimbo nimeitafuta tangu January 2017 , leo ndio nakutana nayo daah. Miaka inaenda kasi sana.
ngoma Kali sana yan Bela daa!
Dogo uko juu kwenye melody za kulalamika....wakuache
ata akisound kama mpoto its fine...enjoy wat a lovely record
wow great song bro 👏👏👏👏👏👏👏💯💯💯💯💯
Nedy brother unajua kaza buti uko vzr inatakiwa ufanye kolabo n kiba kazi zuri
kidomo umetishaaaaaaaaa
Ngoma kali sana big up brothers
bro big up sana sauti kama timbulo ilawatakao sema ivo niwale wanao fuata ngoma za waimbaji wote wa tz kama timbulo.
iko poa kabisa kazi mzuri hii
Nice song Bella kngesha neddy mntishaaaa
Daah akiya mungu Niki sikiya uhu wimbo nakumbuka ex wangu
daaaaaah bonge la song aisee nedy kaz buti aiseee
nedy umetisha yaan bonge la song