Magoli yote | Yanga 5-0 JKT Tanzania | NBC Premier League 29/08/2023
HTML-код
- Опубликовано: 8 фев 2025
- YANGA vs JKT: Yanga SC imeichakaza JKT Tanzania mabao 5-0 katika mchezo wa ligi kuu ya NBC uliopigwa kwenye Dimba la Azam Complex, Chamazi.......
Magoli ya Yanga kwenye mchezo huu yametoka kwa Stephane Aziz Ki kwa free kick dakika ya 45+5, Kenedy Musonda dakika ya 54, Yao Kouassi dakika ya 64 na Max Nzengeli aliyefunga mawili dakika ya 79 na 88.
Haya hapa magoli yote......
Nime kuwa wa kwanza wana yanga tujuwane apa ni mwendo wa mkono tuuu ✊✊🇦🇺
🙌🏻🙌🏻👌🏼
❤❤❤
Ni balaa mate mpaka kangaroo wamestuka
Heshima kwako🙌
Mwana uto
Kiukweli yanga mna team nzuri...mtatusumbua sana hii season
Max = Mbappe
Aziz Ki = Messi
Yao Yao = Roberto Carlos
Pacome = Zinedine Zidane
Skudu = Neymar
Daima mbele, nyuma mwiko 💚💛
Umemsahau mzize akitulia=drogba au Lukaku😀😀
Noma sana, ni mwendo wa magoli tu🔥🔥🔥
Goli la tano unaweza his ni jepes lakin angalia nzegeli alivyolitengeneza kwa kupiga long pass akiwa nyuma kabisa lakin anawahi kufika kwenye lango la mpinzani na kufunga. So amazing. Bravoooooo wananchi💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛💛
Hilo goal ni vitu tumeona Barcelona wakifanya, a very brilliant play!
Max ana mbio hatri na good positioning
Jamaa mtu inabid aje msimbazi achukue uzoefu wa makombe😂😂😂😂
Zangu mimi nampa max mpia tuchomekee kama unakubali kazi ya max watalia wengi sana kwa huyu mkongo pemben yao kipenga kelele kwa wanainch comments sasa🙋♂️🙋♂️🙋🙋
Hii timu ni level nyingine kabisa kwa ligi ya Tanzania, mpira unachezwa kama pray station safi sana wananchi
Like kwa zengeli🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza like kama wewe unairudia hii mechi ya leo 😂😂hapa raha tuu 💚💚💛💛
Hii yanga ya Safari bila figisu ubingwa tunao tena,I love u yanga..
Triangle ilopigwa kwa last goal ni🔥🔥🙌
Nzengeli banaaa....hii ligi ataionea sanaa huyu mwamba
Huyu Max naomba atafutiwe Jimama pale Magomeni laa sivyo atasumbua sana hii League ya NBC
Kweli bhana 🤣🤣😂
😂😂
😂😂😂😂 kwann magomeni
Why magomeni 😂😂
Yanga tamuùuuuuuuuuu sana wananchiìiiiiiiiiiìiiìiiiiiiiiiiiiiiii.
Wanayanga tuko pamoja msimu huu raha kuzidi kifan yanga daima mbele nyuma mwikooooooooooo🎉🎉🎉💝💝🎉🎉🎉💝🎉💝🎉🎉👍💪💪💪💪💪💪💪
No mayele no bangla no juma shabani no problem❤❤❤❤❤5G
Naipenda yanga
Max mpia zengeli games 2 goals 4 moto utawaka
Mbeleko zimeanza
Offsides goli
Yanga Bora iwe tu timu ya TAIFA
JKT wamecheza mpira mkubwa ila Wamekutana na Wakubwa........ HONGERA JKT sikuamini ule mpira ila mbinu tu Yanga Wapo juu.....
yaani hii yanga kila mtu anafunga...mamae pira la gamondi kwa kweli linanisahaulisha mayele, yanga imekuwa team na sio kumtegemea star moja...kuna master ki, nzegeli, yao yao, pacome, yaani kila mtu anafunga...hii shida mno kwa wapinzani
Kuna timu ya masharubu Fc wanaumia sana kwa mafanikio ya yang. Tuwe wakweli na wawazi kwasas yanga ni timu nzr na nyakat hazidanganyi hongera san yang
Hataar sanaaaa hii ndo yangaaaaaaaaa
KUIOGOPA YANGA 💚💛💚 NI MWANZO WA KUPEVUKA KIAKILI NA KIWANGO KIKUBWA CHA BUSARA
Niliwaambia mngesikia ushauri wangu..msingepeleka Tim yenu uwanjani
Waooooh hyo ndy yanga
Yanga gamond ni raha sana
Me nd wa kwanza kuview hii jmn tia comment yko apa
💚💚💛
Hongeten sana yanga ndo mwrndo wetu had ligi imalizike mahasud pita huko
Yanga nomaaaaaaa
Maxxxxxxxxxx Zengeliiiiiiiiiiiii 🤣🤣🤣🤣🤣Yanga tuna raha sana jamaniii
max apewe kabisa wizara kama waziri mkuu
Nzengeli noma❤
Wanainchi mpoooooo ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
YANGA BINGWA 2023/2024
Haaaah,popote ulipo hebu chomekea.....💛💛💛💚💚💚💚🙏🙏🙏🙏
Yanga tamuuuu jmn daa
Nice football Nice goal
Yanga hii itakwenda mbali Africa na kujulikana sana duniani.....
Kwa yanga hii weka mbali na watoto
Ni mwendo wa 5G tuuu💚💛
Tofauti kubwa kati ya YANGA ya msimu wa 2022 na ya 2023 ni kwamba, msimu huu yeyote anayecheza safu ya ushambuliaji anaweza kufunga "(ma)goli", msimu uliopita mfungaji tegemezi alikuwa mmoja tu, hongera YANGA kwa ushindi mnene 🔥
Hii Yanga mmmh!! Si wa mchezo mchezo, ni danger zone
Masau bwire yuko wapi,yanga hii balaa sana ubingwa tupewe
Duh, ule MSHIPA alioupiga NZENGELI ni NOMA....huyu jamaa balaa, YANGA kweli wamedhamiria SHARI msimu huu..!
Iyo ndo yanga ❤❤❤❤❤❤
Safi sana kwa team hizi za Tz zitachezea snaa aiseee
wapili mimi❤❤
Yanga ya avic town❤❤❤❤
Makolo wanatesekaaaaaaaa,Wananchi tunafurahiiiii💛💚💛💚💛💚💛💚💛💚🙏
Hiiii yanga kazi wanayooo
Watupangie list ya timu mbovu ligi kuu tuzijue kabla hatujacheza nazo, vinginevyo waache visingizio😂😂😂😂
Yanga tamu
Mungu awaepushe na majeraha timu yetu pendwa
Amiina 🤲🤲🤲
Nan Kama mayere
Safi sana yanga yetu mwka hii Tim zjpange nimwendo wamkono tu
Moto umewaka jaman 💚💚💚💚🧡🧡🧡🧡🧡💚💚💚💚
Kwa Yanga hii wataisoma namba
Yanga tamuuu,💚💚💚💚😻💚💚💚💚💚💚💚💚💚💚
Je Suis Sans Voix.
Merci Mr.Gamondi
Anaitwa k aziz
Yes
Pole goli keeper wa jkt..maana sio kwa shuluba hilo
Da yanga yangu tamuuuuuuuuuuuhhhh kwakweli
❤❤❤🎉yang ya moto
Hii yanga wek mamb na watoto
Yanga nomaaaa sana
Yanga dah mmesajili kweli cyo promo wala majina makubwa hatari sana
Nyinyi si mliambiwa watu hawana shida ya Chama wala Ngomaaa!
Wamepelekewa motooo😂😂😂
goli la tano golikipa kagoma kunyanyuka kaona bora yaishe isiwe tabu bhaana 😂😂😂🤣🤦♂️🏆💚💛💪🇹🇿
Wa kwanza mm
haki huu mwaka wa aziz ki
Kilichobaki nikubadilisha jina la uwanja na liitwe yanga arena au avic town arena
👊👊👊👊👊👊👊👊👊tupo apa Mashabiki🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐🖐tupo juuuuuuuuuuYangaaaaaaaa
Yanga hatari 🔥
Sawa hatuna namba 9 kama mayele lakin safari inawezekana Yanga akatangaza ubingwa mapema sana maana naona anawaogopesha wapinzan wake kwa namna anavyocheza
Yanga tamuuuuuuuuu
Wana yanga tupoooo
Yangaaaaaaaaaaa ni shidaaa
Yaaan max kapiga pasi katikati ya Duara kaenda kufunga yeye
Bado hatujasema....yaan mpaka tuseme...
Adi sisi mashabiki wa yanga tunatishwana na club yetu Sasa maana sio kwa pira nguruwe pira kitimoto😋pira kisukari🥰
Wawooo piga kelele na yanga yakeeeee oyoooooooo
hiii yanga inataka roho zetu sasa maan sio kwa raha hizii
Jamani mimi nime kuja apo nasema tu niseme watupe tu combe letu mechi 10 goli 50 io si watupe tu combe na kilabu bingwa tuna fika nusu fainal
Yangaaaaa
Key 🗝️
✌️✌️✌️✌️✌️mpaka kielewek mwakah✌️✌️✌️✌️
Yanga yamoto sana dah
Wana yanga Rasmi, tunaanza kuingia maofisini saa 5
💛💛💚💚
Magori magumu hakuna goti la mchongo hi siyo yanga hi man city 😍
Ni mwendo wa mkono tu 😂😂😂💚💛💚💛
Oyooooooooooo
💚💚💚💚💚💚💚💚
Makolo watsumia sanaaaaaaaaaaaaa😅😅😅😅😅sanaaaaaaaaaaaaa 😅😅
Makolo kwa hii burudani wanashangilia Chooni au stoo😂😂😂😂
Mwendooooo wa fivee fiveee tuuuuuuu👊👊
Mmmh hata c elewi hii inawezekanaje 5 to 👊
🔥🔥🔥🔥🙏
Kened akiwa pemben niatar zaid
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Na apo pacome ajacheza😂😂😂